No video

Daktari amwaga machozi KIFO cha mtoto BENITHA aliyezama kwenye maji/Mapigo ya Moyo yalishuka mara 3.

  Рет қаралды 91,468

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Жыл бұрын

December 30/2022 mtoto BENITHA aliongozana na wazazi wake pamoja na ndugu zake wengine kwenda kwenye mtoko wa familia maeneo ya Temboni Jijini Dar es salaam, Familia ikiwa yenye furaha huku wakimshukuru Mungu kwa kumaliza mwaka salama.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mtoto Benitha alitoweka kwenye upeo wa macho ya wazazi jambo ambalo halikuwashtua wazazi sana kutokana na ukweli kwamba mtoto huyu tayari alikuwa ni mkubwa, miaka 13 anayejitambua na zaidi sana mtulivu wa akili.
Baada ya dakika kadhaa kama mzazi mwingine yeyote wakaona hii siyo hali ya kawaida, ndipo wakasimama kuangaza macho ili kuona mtoto yupo wapi
'MASKINI WEE!! Hawakujua kama ilikuwa ndiyo siku ya mwisho kumuona binti yao akiwa mzima wa afya.
Nini kilimpata mtoto Benitha?
Benitha alitumbukia kwenye Swimming pool bila ya mtu yeyote kubaini hali hiyo na kwa makadirio ya dakika 10 ndipo alipopata usaidizi ambao kimsingi haukuzaa matunda
Hapa Madaktari wanaelezea ni nini kilichofuata hadi umauti.

Пікірлер: 44
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 Жыл бұрын
Safiii Dr imejieleza vizuri sana umetumia elimu yako vizuri hongera sana.
@redemptashirima4222
@redemptashirima4222 Жыл бұрын
Hongereni madaktari. Hizi swimming pool jamani ziwe na uangalizi wa kutosha. Imekuwa kawaida kisema bwana ametoa bwana ametwaa. Huo msemo idolise anautumia sana.
@abedamohamed2766
@abedamohamed2766 Жыл бұрын
Pole Sana kwa familia hakika mtoto ameniliza ni mapema na ghafla, Mungu ampumzishe mahari pema peponi amen
@oliverkyara8232
@oliverkyara8232 Жыл бұрын
Silvester na Familia Mungu Awashike Poleni sana Jamani. Duh nimeumia jamani na wenzake nikiwaona duh poleni sana jamani
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
Isiptali au spitali..... Poleni sana kwa msiba... Ila wabongo rekebisheni baadhi ya maeno .. utaskia hata ambalesi manasema ambyules..
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Hongera Nadactari na wauguzi mliomhudumia mtoto Bwana amempenda zaidi
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa 😭😭
@happyphilemon9753
@happyphilemon9753 Жыл бұрын
Poleni sana familia
@evamerycostantin2458
@evamerycostantin2458 Жыл бұрын
Poleni sanaaa
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Жыл бұрын
Daktari mpo vizuri!!!
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 Жыл бұрын
Pole sana familia.
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa.
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Innalilah wainnalilah rajiun! Poleni Sana wafiwa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani poleni wanafamiliya
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Poleni wafiwa
@florachogo243
@florachogo243 Жыл бұрын
Hongera madaktari
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Madaktari❤️❤️❤️❤️
@neemamkakata1574
@neemamkakata1574 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu Silvester Bwana awafariji
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa au mtoto alipelekwa msukule mkazika gogo kama tulivyo zika wetu baadae akapatikana aki hii Dunia but huo si mpango wa Mungu but ni shetani
@mariamsindano2877
@mariamsindano2877 Жыл бұрын
Ehe Alipatikana akiwa hai
@gabrielalex448
@gabrielalex448 Жыл бұрын
Aisee imeniumiza,lakini kazi ya Mungu haina makosa
@sofiahamis
@sofiahamis Жыл бұрын
Watoto wakiogelea pawe na wakubwa wa kuwaangalia. Hata Kama maji yakimshinda pakiwa na waangalizi watamuwahi kumtoa.
@veronicaanosisye4160
@veronicaanosisye4160 Жыл бұрын
Poleni sana familia. Pumzika kwa amani mtoto mzuri
@lulumwakila5201
@lulumwakila5201 Жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia wote
@happyhamis537
@happyhamis537 Жыл бұрын
Oh pole sana familia 😭😭😭
@mariumkulwa
@mariumkulwa Жыл бұрын
Polen
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@shillahkenny4818
@shillahkenny4818 Жыл бұрын
Sasa unacheka nini doctor
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Nimeshangaa
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 Жыл бұрын
Kwahy asicheke jmn khaaa wanazengo Kaz mnayo
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣dah mbk nimecheka
@emmymgonto4110
@emmymgonto4110 Жыл бұрын
Doctor huyu Ni Ana asili ya kuficha huzuni yake ktk uso wa kutabasamu maana hata ukimsikiliza Ni kichwa Sana Ana moyo mwepesi huzuni yake anaificha kwa kutabasamu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@emmymgonto4110 ni kwel kabisa
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Najiuliza hiyo swimming pool haina msimamizi?kamata wapiliki tia ndan.R.I.P.benitha
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ujue hamna kazi ngumu kama kucontrol watoto ususan wakiwa wengi
@anetmsuya4934
@anetmsuya4934 Жыл бұрын
Mtangazaji unauliza mtu analia nn msibani upo sawa ww
@breezonlinetv
@breezonlinetv Жыл бұрын
Masikio yako yana matege
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Huyo si Dr .Marrry
@breezonlinetv
@breezonlinetv Жыл бұрын
Ndiyo
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@breezonlinetv haya
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 Жыл бұрын
Ndiyo yeye.. ni Dr mzuri sanaa wa watoto pale Aga Khan..
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@jenipherchristopher2230 namjua nakaa nae mtaani Kwa wazazi wangu ni rafiki yangu tumekuwa pamoja tumesoma pamoja Ila nimeashangaa
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@annamsuguri4345 umeshangaa kumuona anahojiwa🤣
JINA LA MTOTO _ Kachara/Naomba/Kigwaru
13:59
Jufe Film Production
Рет қаралды 42 М.
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
MCH MBARIKIWA  MWAKIPESILE NA MASANJA MKANDAMIZAJI LIVE🙏🏾
9:21
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 50 М.
mtoto umleavyo
5:53
Rehema Kibali
Рет қаралды 70 М.
MUDA HUU:  KIWEWE NA MATUMAINI WAFUNGA NDOA | MASANJA TV
9:37
Masanja TV
Рет қаралды 111 М.
#BMGTV Eunice Ogot, mtoto mwenye maajabu Rorya (Sehemu ya 04)
16:48
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 68 М.