SHEKHE SHARIF:AINGILIA NDOA YA DR MWAKA INALAANA/KULALA NA WANAWAKE WAWILI KITANDA KIMOJA/ANADHARAU

  Рет қаралды 39,657

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@boitumelongaka6245
@boitumelongaka6245 Жыл бұрын
Amina kubwa Sheikh! Ni marafuku kuwasema vibaya viongozi wa DINI ! Asante saana! Mungu akubariki sana! Haji Manara nampongeza sana Hongera Haji (Alhamdulilahi) ndilo neno lako!
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Jmn tumepata mtetezi mashallah honqera kwa Hilo shekhe
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 Жыл бұрын
Kweli shehe sharifu unasema kweli wanawake wananyanyasika Sana wanawake tunavumilia Sana mungu akubariki sana
@omarihamad1729
@omarihamad1729 Жыл бұрын
Nyie nyote munajua munalolifanya nyote wababaishaji tu munafanya kama hii dini mumeileta nyie munajaribu kupambana na mtu Moja acheni hizo nyie
@salha.d5060
@salha.d5060 Жыл бұрын
Uko vizuri sana shekhe
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Yup I agree with you,hiyo ni laana na Allah anamuumbuwa jinsi alikuwa anajivika ngozi ya kondo, kuonesha yy ni Mme mwema kumbe unafiki mkubwa.
@saumuibrahimhatibu4202
@saumuibrahimhatibu4202 Жыл бұрын
Allah akujalie maisha Marefu Shelhe.Kweli umesimamia haki na Mungu wetu ni Mungu wa haki.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Huyu shehe nimependa tafsiri zake zenye kiwango kikubwa cha busara,hekima na ufahamu wa hali ya juu
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Busara nikumkili kristo
@sitihassan4309
@sitihassan4309 Жыл бұрын
@@gosbertgideon6843 kumekucha hehehheheheh 🙊
@binsaluun8921
@binsaluun8921 Жыл бұрын
Eti nitaroga,eti nitapata dhambi nitatubu..yaani hatujielewi kabisa
@mrafm7285
@mrafm7285 Жыл бұрын
Chief msopa Asante
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallh. Ukinisema nakuloga
@makamehajj8865
@makamehajj8865 Жыл бұрын
Shekh gani wewe huogopi dhambi eti nakuloga atanikipa dhambi wewe shekh kweli?
@jenifamtima9325
@jenifamtima9325 Жыл бұрын
Kwelii kabisa yaani,,,ujengewe sanamu nimekupenda ,,,,
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 Жыл бұрын
Hongera sana shekhe
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 MashaAllah!!! Nimekuelewa Sheikh. Upo sawa kabisaaa. Allah atawaongoza inshaAllah
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Жыл бұрын
Kulala kitanda kimoja na wake wawili ni ukahaba,ndio maana Kuna zamu Kwa wale wenye mke zaidi yammoja, kulala mke na mume kunahitaji faragha
@teresiamumbi8069
@teresiamumbi8069 Жыл бұрын
Shekhe uko vizuri. Ninà wasiwasi ndoa ya Mwaka ni Kiki mitandaoni.
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Unajuaje kama mungu atakupa muda wa kutubu
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Жыл бұрын
Mpe raddi dokta mwaka mshenzi sana
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Жыл бұрын
Mpoki ana afadhali
@sistersade9039
@sistersade9039 Жыл бұрын
Tunavofahamu, shekhe anakua mtaratibu kwenye kuongea na hatishii watu. Shekhe huyu mkali nakutisha watu ukinikosea nakuroga 🤣 ati 😂😂majisifu kwa wingi, wacha kudanganya watu. Na ndevu kupaka henna 😂😂hatari shekh
@amisikombo8787
@amisikombo8787 Жыл бұрын
Kweli🙏
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@joycemgonja8156
@joycemgonja8156 Жыл бұрын
Manshaallah❤❤❤❤
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Mimi nauliza kwani hayo mamlaka yao,vyeo vyao au nyadhifa zao walipewa na mw/mungu au wamepewa na binaadam?mm sikuona sababu ya kutangaza hio talaka kwenye mitandao wakati hio bakwata ina offisi zake jee incase wamerudiana pia watatangaza mitandaoni??
@yahyabashir7394
@yahyabashir7394 Жыл бұрын
Una akili sana, mashaalah
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 Жыл бұрын
Kweli kabisa 🙏
@salmasalma-pv2ue
@salmasalma-pv2ue Жыл бұрын
Shekh huyu mwaka analaana tena kubwa. Huwez kulala na wanawake wawil kitanda kimoja. Din haijasema hivyo.
@bintichausa6716
@bintichausa6716 Жыл бұрын
Tatizo kafunga ndoa kiislamu lkn talaka anataka maakama ingilie.kati wakati kadhi anatosha na Allah ni shaidi ...mpuuzi uyu Dr mwaka mnafki kweli.
@abdimanundu
@abdimanundu Жыл бұрын
Wewe shehe Sharifu wacha unafiki. Kweli kabisa wewe Una jisifu unaroga na utatubu , wewe unafahamu siku yako kufa?. Ndege wafananao huruka pamoja. Wewe na huyo anae jinasibu na mambo ya ulozi na albadiri wacheni unafiki. Mu ulize huyo mlozi mwezio kafanywa nini na Mange Kimambi.
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs Жыл бұрын
Mbona shekh kama zimemruka kidogo
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Utarogwa 😂😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Жыл бұрын
Waambie hao wanaume wamezidi
@kabebemazambi194
@kabebemazambi194 Жыл бұрын
Ukweli mtupu kavisa 😢😢😢😢
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs Жыл бұрын
Sifa ya ushekh hana asee
@uledihassan6065
@uledihassan6065 Жыл бұрын
Hakuna sheikh hapo ni msanii tu
@bahakyejo3800
@bahakyejo3800 Жыл бұрын
Kweli hamna kitu hapo
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Kamtaja YESUKRISTO wetu pa1 na majiniyake tusktke kdogo
@sarahanthon1273
@sarahanthon1273 Жыл бұрын
Yesu ni mkubwa japo wanajisahalisha tu
@saidikambi9597
@saidikambi9597 Жыл бұрын
Kuloga tena na shekhe......!?
@oyay2821
@oyay2821 Жыл бұрын
Huyo Sheikh wa mkoa ameingia katika mtego wa Dkt Mwaka. Hii kesi sheikh alikua ajiweke mbali sana na kesi ya Dkt Mwaka, vile amjiingiza amempa point ya kuto vunjika ndoa. Kwa hili Dkt Mwaka yuko sahihi.
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 Жыл бұрын
ACHA UPUUZI NA HASIRA ZAKO ZA KIJINGA SHEIKH YUPO KIKATIBA YA BAKWATA BOYA WEWE
@Saidkhel
@Saidkhel Жыл бұрын
Hujui kitu tulia sasa aliye peleke kes ni nani mwaka hatakiwi na qeen anaforce tu na hakuna kitu kibaya kama kulazimisha mwanamke akupende akikukataa hata ufanye vipi hakutaki tu
@faridasanduka7345
@faridasanduka7345 Жыл бұрын
000
@faridasanduka7345
@faridasanduka7345 Жыл бұрын
00⁰00000
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
Mashehe wanapakaga hina lakini akiona mtu anapaka brich anasema nizambi sasa shida iko wap wakat zote nirangi hina na brich zote ni zambi unampangia Mungu akupe rangi hiiyo maana Mungu anamekosea kukupa rangi ulio nayo
@shaibumkullu4478
@shaibumkullu4478 Жыл бұрын
Ng'ombe na nguruwe zote ni nyama, lkn nguruwe ni haramu kwa imani ya kiislaam.
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
@@shaibumkullu4478 kweli eee
@aminasaid4174
@aminasaid4174 Жыл бұрын
Akuna talaka tatu kwa pamoja hyo yaisabika moja shekhe
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Eti mmepatia nafasi pumbavu zako hivo ulivo kuna mtu anakupenda na akili zako mbovu sasa kuhusu talaka dokta mwaka ndo wakwanza
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Huyo mwaka na Haji manara wote madayuusi
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 Жыл бұрын
hhhhh kbsaa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mara yesu mara allah kasema watu wengine ukiwasikiliza unaweza watapika eti hapo kasoma nyoo eti shehe wamkoa yani nyie bakwata sijui mkoje yuko wapi wakuheshimiwa
@luluabdul2800
@luluabdul2800 Жыл бұрын
Unashangaza ujue. Unajua km Yesu ni nabii Issa (a.s) dada??? Unajua km huyo n nabii pendwa wa Allah (S.W)??😅….hajasema Yesu ni Mungu. Kamtaja Yesu km nabii the same thing ukimtaja Mtume Mohammad (S.a.w). Soma dini usifate mkumbo 😂😂😂.
@mapendofirimoni2517
@mapendofirimoni2517 Жыл бұрын
We'we maryam yesu ni nabii na yupo kwenye qaran
@dullymcha1038
@dullymcha1038 Жыл бұрын
@@luluabdul2800 mmmmh
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Kulala kitanda kimoja na wake wawili? Ni udhalilishaji sn. Dini hajasema hivyo
@sethstiven3393
@sethstiven3393 Жыл бұрын
Analoga anakusomea albadili atatubu,,,, Mungu anasema usitumikie mabwana wawili, nuru na giza hazikai pamoja,sasa albadili si kufuga majini?
@gh7naa
@gh7naa Жыл бұрын
Albadili sio kutumia jini ni dua
@aminasaid4174
@aminasaid4174 Жыл бұрын
Hapo kwa kuniroga 😂 😂😂
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😁😁😆😆😆😆😆😆Alafu thoba ifatie
@bahakyejo3800
@bahakyejo3800 Жыл бұрын
Umechemka hamna hata Cha maana unachoongea daaa pole
@magdalenapaulo1776
@magdalenapaulo1776 Жыл бұрын
Sasa huyu amehojiwa kama nani maana ni mganga tena mchawi kajinadi hakuna sheikh hapo hana dini mwenyezi mungu hapandi talaka dini yetu na serikali wapi na wapi
@fadhiliyusuph5195
@fadhiliyusuph5195 Жыл бұрын
Ani hata dini inakwambia usifate vitendo fata maneno yake,ko hayo matendo yake yaache mwachie mungu fata maneno yake ya hekma
@adamshango
@adamshango Жыл бұрын
@@fadhiliyusuph5195 du hatari sana
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mama b njoo uone mashehe ubwabwa huku wanasujudia watu
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Mama b ndo mungu wako uyo mama b aliekosa adabu
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 Жыл бұрын
@@tatotato506 ilo demu maryam kama chizi limeweka udini wa ubaguzi mbele litakuwa lina akili mgando
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Chawa wa Alhad
@sadickabdallah1519
@sadickabdallah1519 Жыл бұрын
Nyinyi sio mashekhe bali ni wauni tu wewe sharifu majini na shekhe wako wa mkoa mauni tu
@mbut3437
@mbut3437 Жыл бұрын
Embu ondoka maneno yako hayana vigezo na masharti huna mpyaaaa
@drabuuzaid11
@drabuuzaid11 Жыл бұрын
Mpuuzi kama sharif majini hakuna na huyu ni mganga na ni mshirikina Tu watu hamjui tu
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Shekhe amekula miwani moja tinted
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 Жыл бұрын
😀🤣🤣🤣
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Ukinisema vibaya nakuroga huo ni tamu
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Hivi nitamu
@hanifaa1487
@hanifaa1487 Жыл бұрын
Asate baba
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Sheikh ila talaka 3 haijuzu kumpa.mke wakati mmoja 😃🤣 apo umenikosha😂😂 Haji amrudie nan?🤣🤣🤣
@eunicembane8136
@eunicembane8136 Жыл бұрын
Saw
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 Жыл бұрын
Kweri kabisa umeongea vzr sana shekhe mungu akurinde sana
@betridajulias7676
@betridajulias7676 Жыл бұрын
Mungu akubariki kaka uyu kaumia kuachwa sasa halivyokuwa hana aibu anadai mali hana hata aibu mwanaume unalilia mali
@saidikambi9597
@saidikambi9597 Жыл бұрын
Duuuh
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅nacheka kabla cjaimaliza
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@donjb3178
@donjb3178 Жыл бұрын
Dini ni siasa tu 😂😂😂😂
@aftapat5365
@aftapat5365 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 eti ukinisema vibaya nakutoga
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Жыл бұрын
😅😅🙌
@mbut3437
@mbut3437 Жыл бұрын
Shekh wa mkoa wewe unaugomvi na Dr Mwaka vipi uwingilie ndoa yake??? Tena unaitolea talaka hadharani?? Kwanini Shekh ameingilia mambo siyo yake??? Huu ni uchokozi kabisa uliyo wazi
@fatmamachongwe4674
@fatmamachongwe4674 Жыл бұрын
Punguza majigambo
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Hakuna unachoongea ushabiki tu.
@jacksonwilson5772
@jacksonwilson5772 Жыл бұрын
Kuloga ndo mnafundishwa ivo kwenye dini yenu. Siku nimecomment kuwakosoa hawa mashekhe siku wana muattack DR Mwaka nikasema wanasumbuliwa na wivu wa maendeleo, kuna jamaa alinimind sana. Haya sasa kumbe hawa hawa mashekhe ndo wanaloga???? 😂. Hii hatari sana kama inafkia hatua kiongozi wa dini anatangaza hadharani kuloga.😂
@mbut3437
@mbut3437 Жыл бұрын
Embu tuondokee
@siasasiasa6238
@siasasiasa6238 Жыл бұрын
acha unafiki mchawi ww
@tatotato506
@tatotato506 Жыл бұрын
Unafikigani nawewe
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
😲
@poureenmkude8659
@poureenmkude8659 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@janeobure3006
@janeobure3006 Жыл бұрын
Hakuna cha laana sheh hawezi kumlaai mtu acha uwongo wewe mpuuzi mkubwa
@hamisimussa5238
@hamisimussa5238 Жыл бұрын
Kwani laani inatolewa na nani kwa akili yako
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Жыл бұрын
Tena mshamba sana eti atamloga,unajisifia kuloga.
@suhailarashid8307
@suhailarashid8307 Жыл бұрын
@@hamisimussa5238 Allah pekee
@officialsalim3955
@officialsalim3955 Жыл бұрын
SHEHE GANI HUYU?? MUSIITE MASHEHE WATU KAMA HAWA
@sarahsimon8060
@sarahsimon8060 Жыл бұрын
Ahaha eti shehe gani huyu mshamba sana mmm hawa apana hiii mmmmmmmmmm
@gracebrenda1199
@gracebrenda1199 Жыл бұрын
Mnaabudu kuloga. Mambo gani hayo sasa siushamba tuu
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
Kuwa na adabu nani kasema anaabudu kuroga
@fatmamachongwe4674
@fatmamachongwe4674 Жыл бұрын
Huna mpya hata wewe ni wale wale tu A? Kubadilisha ndevu rangi ndio uislam? KWENDRAAA
@fathmamohammed3417
@fathmamohammed3417 Жыл бұрын
😅😅😅😅🤣🤣
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 Жыл бұрын
Wesharifu nishoga na mmewako ni alhadi nadini hujasoma hujui lolote funga bakulilako
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
We fala sana chawa mtu mzima hivi huwa unajisahau kama we huna elimu yoyote si ya dunia wala ya akhera. We muhuni tu wajinga wajinga wenzio ndio wanakuelewa umri wako unaenda fala wewe utakuwa ukiwa chawa kuroga mavi yako huwezi utaweza kumloga mtu?!la saba B we
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Chawa wa Alhad
Cheka tu - Erick Omondi (4K) Jan 2021
6:24
Mufid Al Jabri
Рет қаралды 14 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 12 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 13 МЛН