@@lizamedia Yeye anasema ananipenda lakini nispomkumbuka mimi kumtafuta zinawezapita siku2 bila yeye kukutafuta nimpaka umuanze. Ss inaniumasana kwani sifikirii kingine zaidi ya yeye. Zamani tulikuaga poa sana ila saiv naonakabisa anamahusiano mengine japo nikimuuliza anakataa kabisa dah😭😭