BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 10

  Рет қаралды 4,895

Dar24 Media

Dar24 Media

5 ай бұрын

MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mbanga #dupamdupange #baharia

Пікірлер: 23
@dar24media
@dar24media 5 ай бұрын
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@user-rw9hx3nh3q
@user-rw9hx3nh3q 4 ай бұрын
Stori ya huyu baharia ilianza vizuri sana episode za mwanzo lkn Dupa umekuja kuiharibu sana hapa katikati imekuwa ni mahijiano sasa imepoteza mtililiko mzuri aisee inaenda mbele inarudi nyuma tena daaaah
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 4 ай бұрын
Mwanetu MAN CHAD nakubali sana hili shoo
@abdulazizbrek4980
@abdulazizbrek4980 5 ай бұрын
On on dupa....big man chad
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 5 ай бұрын
😅😅😅😅 fundi wa michezo,dupa kwa kuongezea 😂😂😂😂😂
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 4 ай бұрын
Dupa😂😂😂fund wa michezo😅😅😅
@nickbrown8350
@nickbrown8350 4 ай бұрын
Dupa kaka muache bro aongee
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 5 ай бұрын
hatari sanaa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 5 ай бұрын
Yeah mbanga kwa hewa 🔥🔥🔥🔥 p
@mohrecaps
@mohrecaps 5 ай бұрын
Dupa😂😂😂Ety fundi wa michezoooo😂😂😂
@user-cw7xw9cu6m
@user-cw7xw9cu6m 5 ай бұрын
chad man;;! jah akubless bro
@roviykamage5423
@roviykamage5423 5 ай бұрын
Mbagaaaa hatare sna
@sadamhassan4047
@sadamhassan4047 5 ай бұрын
Fundi wa michezoo 😂😂😂@dupa
@kennedymwagambo7197
@kennedymwagambo7197 5 ай бұрын
Man Chadi !!
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 5 ай бұрын
Ongera baba tupo pamoja mapenzi hamna kizazi iki
@user-qf2mg1bu4u
@user-qf2mg1bu4u 4 ай бұрын
Dupa unakicheko frani cha kinafik
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 5 ай бұрын
Sir Chad. Jipange umalizie uzee wako bongo kaka
@nobamsigala2951
@nobamsigala2951 5 ай бұрын
Uweuna weka Kila siku
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 ай бұрын
Bro ww muislam unajua Quran unasema kiama hamna na kila kitu kimeandikwa sema hatujui ni lini lkn dalili zote zipo na ushahidi kwenye kitabu kitukufu Quran upo ...
@3malis
@3malis 5 ай бұрын
Michezo ya bediii 😂
@FazoPhone
@FazoPhone 5 ай бұрын
Panoja xana
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 ай бұрын
MAMBO YASHAKUWA MENGI,,USHAURI WANGU ANGALAU ZILRUSHWE EPSODE 2 KWA WIKI,,,,,MI MPAKA HUWA NASAHAU ILIKUWAJE
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf 4 ай бұрын
Kweli kabisa halafu dupa anarudia story yaani haieleweki kabisa yaani anaaza mbele mara anarudi nyuma yaani katika story dupa amechemka kwa Chad boy
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 87 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 87 МЛН