BAHARIA ALIYEJITOSA PAKISTAN!/ AFICHUA MASHAMBA YA UNGA/ MAISHA/ MILION 200/ WATU WANAUAWA..PART 09

  Рет қаралды 5,459

Dar24 Media

Dar24 Media

4 ай бұрын

MAISHA NI SAFARI ISIYO NA MWISHO, UNAWEZA UKALALA MASIKINI NA UKAAMKA UKIWA TAJIRI. KAMA HUIJUI KESHO YAKO UNAPASWA KUMUOMBA SANA MUNGU ANAYEFAHAMU NINI UTAKACHOKIPATA KWA NAMNA ALIVYOKUPANGIA.
DAR24 MEDIA TUMEPIGA STORI NA BAHARIA CHAD AMBAYE AMETUMIA MKASA WAKE KAMA FUNDISHO KWA VIJANA WANAOTAMANI KUPITIA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA KATIKA MAISHA YAO YA KILA SIKU.
INAFURAHISHA KWA UPANDE MMOJA LAKINI KWA UPANDE MWINGINE INAHUZUNISHA SANA KWA SABABU HUENDA LEO ANGEKUWA ANA KAMPUNI KUBWA AMBAYO INGEWEZA KUWAAJIRI VIJANA WENGI, LAKINI HUENDA NJIA HARAMU ALIZOTUMIA NI KAMA MUNGU AMEMUADHIBU NA KUAMUA KUMRUDISHA KATIKA HATUA YA SAHIHI ILI APATE RIZKI YAKE KIHALALI.
KARIBU UFUATILIE KISA HIKI CHA KUSISIMUA.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mbanga #dupamdupange #dar24

Пікірлер: 14
@dar24media
@dar24media 4 ай бұрын
Kama una simulizi/mkasa ungependa kusimulia kwa jamii kwa lengo la kuelimisha na kufundisha, karibu wasiliana nasi kwa namba..#0653127761. kwa mahitaji ya nguo nzuri zenye chapa ya KABUNYAU wasiliana nasi kwa mawasiliano ya,...0764368113/0717066207/ 0653127761...Asante
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 4 ай бұрын
Simulizi nzuri kaka, nakusikiliza kutoka Qatar na Mombasa ndio nyumbani,
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 4 ай бұрын
Big up bro.Good job.
@jumaramadhan1600
@jumaramadhan1600 4 ай бұрын
Niko na wazo kaka, hii simulizi ni nzuri Sana ila ni fupi fupi. Ningeomba uunganishe sehemu 3 au 4 tusikilize vizuri
@samzigwajuma7820
@samzigwajuma7820 4 ай бұрын
Oyah dupa keep it up,sema nini huyo dada anaetokea kava pullover ananikosha sana mpe salam
@emanueljohn9601
@emanueljohn9601 4 ай бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu 🎉
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 4 ай бұрын
Respect 🇹🇿
@mohrecaps
@mohrecaps 4 ай бұрын
Huyo dada niliyemuona apo mbona ni Consious sana
@astroworld2021
@astroworld2021 4 ай бұрын
Saut ip chin sana
@smkrabiot2319
@smkrabiot2319 4 ай бұрын
Mbona naona iko sawa mzee wa kazi
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 ай бұрын
Sana mkubwa upo sahihi
@michaeldalali7470
@michaeldalali7470 4 ай бұрын
P😊
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 ай бұрын
Dupa unakichwa kizito sana kuelewa
@samzigwajuma7820
@samzigwajuma7820 4 ай бұрын
Oyah dupa keep it up,sema nini huyo dada anaetokea kava pullover ananikosha sana mpe salam
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 18 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 14 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 36 МЛН
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AJINYONGA NEWALA
5:06
May Online Tv
Рет қаралды 2,1 М.
WALITAKA KUNIUA KUNITUPA KWENYE MAJI | NIMEENDA NCHI 15 KIBAHARIA
38:51
Maximum Tv Online
Рет қаралды 23 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 18 МЛН