Рет қаралды 4,446
Hili ni daraja la Umoja "Ponte Da Unidade" kati ya Tanzania na Msumbiji, daraja hili limekuwa kiunganishi kikubwa kati ya pande mbili za Tanzania na Msumbiji kimawasiliano lakini pia katika kushirikiana kwa mambo mbalimbali kama biashara nk.
Kinachovutia na kushangaza hapa ni kuwa Chini ya daraja kuna ukumbi mkubwa sana wenye uwezo wa kubeba vijiji 8 vyenye kubeba watu wengi na kuna vyumba 18 kila chumba kina ukubwa yapata nusu ya uwanja wa mpira na kuna sehemu ya kupitisha hewa safi kutoka Tanzania mpaka Msumbiji.
Dada Muhifadhi @SophiaKessy na @Mwakajana_wetu wamefunga safari kutembelea daraja hilo na kuzungumza na Afisa Mahusiano Ngome Lihame Mwamba anabainisha mengi kuhusu muundo wa daraja hili na sifa zake za kipeke