Ahsante sana Magufuli Mungu aitangulie safari yako tumefurahishwa sana na juhudi zako ulizotutendea watanzania
@iconifcOfficial2 ай бұрын
Thank you so much JPM. A patriot and a leader. 🕊🇰🇪
@davidwalalason76302 ай бұрын
Uncle Magu was a visionary and may his soul r.i.peace forever 🙏
@ibrahimually21803 күн бұрын
Asante mangu mwenyezi mungu akufanyie wepesi kwenye nyumba ya mille asante samia mwenyezi mungu akupe umli mrefu amina
@malikkb64442 ай бұрын
Endelea kupumzika kwa amani Jembe letu JPM. Alama zako ulizoziacha bado zinazidi kung'aa na kuleta manufaa kwa watu wengi. Hongera Rais Wetu SSH. Endelea kuvumbua miradi mingine mingi zaidi kwa manufaa ya Watanzania
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl8 күн бұрын
Mama yetu Raisi Samia anafanya kazi nzuri Sana. Mwenyezi Mungu akuzidishie kila la kheri katika maisha.
@Jamesmwakisambwe2 ай бұрын
Ni mmoja tu ambaye naweza sema alikuwa anatupenda na kutujali alikuwa huyu baba tu 😢😢😢😢
@RenatusMatungwa-o7c2 ай бұрын
Bila utashi wa Magufuli lisingejengwa
@lifeonearth942 ай бұрын
Magufuli ❤
@jacksonelieza1608 күн бұрын
j pmn mungu akulinde
@shukurukihwelo30848 күн бұрын
Mwamba Mungu akurehem
@danielmacharia96032 ай бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jpm alikuwa kaa former president mwai kibaki
@agapemunyi20952 ай бұрын
Tunawakumbuka waliosema ni kampeni tu na wengine wanasubiri kwa hamu wawe wa kwanza kupita hapo na wapo kimya kama sio wao, wabongo tuna unafiki uliopitiliza
@KiristinaRobert15 күн бұрын
Asante sana JPM
@HajiKlein-so1rk2 ай бұрын
Safi sana JPM R.I.P 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫡
@streets_marketstours2 ай бұрын
Kenya is slowly being overtake 😊
@hemedmwipopo780Ай бұрын
Baba tutakukumbuka daima katika maisha yetu
@samsonrhoby5778Ай бұрын
Tutakumbuka sana jpm❤
@KISINZACHARLES-r5wАй бұрын
Thank you JPM
@robertmkude82342 ай бұрын
Walden’s kampeni tuu kwenye Nyerere Dam,SGR na hilo daraja. Pia aliahidi daraja la Jangwani Dar naona mama analokamilisha hilo. This was the best duo of President and vice president.
@iconifcOfficial2 ай бұрын
Heko mama Samia. EAC
@Mrishoathumani-m2cАй бұрын
Ahsante Mama Samia kuyaenzi majukumu mazuri na magumu kwa faida ya watanzania wote
@GabrielMwoya2 ай бұрын
Magufuli na Uhuru Kenyatta walifanya kazi sio km hawa wawili Suluhu na Ruto kazi yao ni kuendeleza na kumalizia hizo miradi na wanachukua credit for doing absolutely nothing....
@mudighurayra2 ай бұрын
😂😂😂kweli akili ni mali sana mbka umeona mtu kaanzisha kitu aliekuja ana endeleza ujue anastahili sifa sana coz alikua na uwezo wa kuanzisha mambo mengine na kuonekana alie anzisha kitu ni nothing lakin watu hamna shukurani
@ati2010-c7f2 ай бұрын
Hongera sana Tanzania. Wakenya muone mfano mzuri na nyinyi mjenge daraja la likoni haraka ili mpunguze wakati unaopotea kwenye likoni ferry
@MohdMkubwa-v8kАй бұрын
Niko na swali hivi hizi nguzo wanaanzaje kuweka na hali ya kuwa kuna maji yametapakaa
@mimiraia253126 күн бұрын
Nenda kasome civil engineering
@MohdMkubwa-v8k26 күн бұрын
@mimiraia2531 mimi sijauliza sehemu ya kusomea nimeuuliza jinsi zinavo wekwa unajua niambie mimi ni maskini sina uwezo wa ilo jambo ulilo litajaa ndugu yangu
@ELIASFELIX-bq2ncАй бұрын
We still love you although you left us alone and suddenly. We will remember you our hero JPM.
@RonnieBertin12 күн бұрын
Hili daraja la magufuli lifunnguliwe tarehe 31disemba kuamkia tarehe1 mwaka 2025 yaani tuanze mwaka na mambo mapya. Mnasemaje wadau
@African5112 ай бұрын
Jpm uishi milele miyoni mwetu
@JacksonMasija21 сағат бұрын
Kwa kwelii huyu mwamba alale salama Kwa uthubutu wake
@djgodyfever86322 ай бұрын
Ni hatua nzuri jambo la kuipongeza serikali yetu,ila tumechoka kupigwa Tarehe Mara mwezi wa Tisa,Mara mwezi wa kumi na mbili,Leo hii Tena naskia mwezi wa pili😂😂😂
@abdulyabdunuru14762 ай бұрын
Greatest true man JPM
@psgospel349012 күн бұрын
Kuweni makini na shukuran zenu nyingi mnako zitoa. Toeni shukuran zenu kwa haki, nasi kwa uwoga. Jiamini kama mtanzania usiekuwa na upendeleo.
@MashakaMagesa2 ай бұрын
Tutakukumbuka daima Rip Kamanda Magufuri uliifia nchi yako
@petermasanilo7327 күн бұрын
Hiyo ni kazi ya Magufuli si mwingine
@barakateacher32252 ай бұрын
Nice
@wanguwangu34Ай бұрын
Mungu awabariki sana serikali ya tanganyika kwa ujenzi wa miundo mbinu
@barakateacher32252 ай бұрын
Likikamilika litakuwa kitovu cha uchumi.
@ContentSmartphone-rq6po10 күн бұрын
Sixty
@melikizedekieliya52212 ай бұрын
Hatuta kusahau JPM
@MohdSalum-y5i11 күн бұрын
Milioni 3 kwa siku?
@AbelyMwalukali-jl5jz2 ай бұрын
His ideas still lives
@tashone78842 ай бұрын
Mimi ni mmoja kati ya waliosema haiwezekani ni siasa tu.😮
@Hajimugini2 ай бұрын
Aminia askali wangu
@JohnKifaru-hz9ir2 ай бұрын
Samia mitano tena binafsi nimekuamini sana mama
@allenelias2804Ай бұрын
Huo ndo ujinga badala uzungumzie jitihadda na mawazo ya Maguful unaanzisha Campan tena samia wa nini hapo
@dr.swagztv35592 ай бұрын
💯
@BoniphaceButambalaАй бұрын
Waafrika tujitafakali sana bado fikila zetu tunawategemea wazungu
@TuntufyeBrayson2 ай бұрын
Ivi linaisha lini mana sijuh kwanini hamuwezagi kukamilisha vitu on time
@NDEWARA2 ай бұрын
Wewe kale kanyumba kako ulimaliza on-time?😂😂
@Ngaizavedastus2 ай бұрын
Nchi yetu ina maeneo mengi ya kiongozi kujenga kumbukumbu take.eh kuvunja vibanda vya magomeni na manzese na kujenga maorofa na kuwagawia wananchi ah kuwauzia.nyumba zilizoko vijijini ni Ainu sana kwawananchi ,viongozi na taiga.do something pliz
@leonnyntandu43242 ай бұрын
Huyu mama aliyeomba stand nadhani kuna jambo la kufanya siyo standi Bali ni soko la samaki ambalo litakuwa fulsa kwao hasa wajasiriamali mimi mwenyewe likikamilika hunipitishi kahama haki ni mbali kuliko njia ya busisi
@SaiclassicTzАй бұрын
mnazingua
@nganzimwaliza81912 ай бұрын
❤
@agapemunyi20952 ай бұрын
Umuhim wa hili daraja ukitaka watu wa kuwauliza bila kuleta unafiki ni wananchi wa Geita na kagera wa lindi wanaweza kuona maluelue
@MussaSeba25 күн бұрын
Tutaku kumbuka San baba
@ImmaJulius-rg4yfАй бұрын
Viongoizi watumikie wanchi ili upate. swawabu
@SaidMussa-k5i15 күн бұрын
Tumepoteza rais tumeachiwa mtarii muigizaj da kwel Mwanamke si kiongoz bar ni mshaiur nchi mirad yote imekufa Barbara ya gongo la mboto miaka mine sasa haiishi mbagala mwendo kas mpaka sasa da mjenz kafark kumebak wachumia matumbo dhuruma ifisad ubinafs kulindana hata kwenye uovu laan mnayo
@kageclemence70962 ай бұрын
Kenya kaa pemben Kwanz hii Tanzania najivunia kuzaliwa uko