HIZI NDIO SIFA ZA KIPEKEE ZA DARAJA LA J.P MAGUFULI "UNAVUKA KWA DK 3 TU, NI PEKEE AFRIKA MASHARIKI"

  Рет қаралды 85,284

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk 11 ай бұрын
Tulio mbali na nyumbani tunafurahi kuona maendeleo haya❤❤❤
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 11 ай бұрын
Magu ndani ya miaka 5 kafanya makubwa sana Mungu angemueka tukampa miaka 20 Nnchi yetu ingefika mbali Viongozi wetu wa asa ivi kazi yao kuiba tu
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 10 ай бұрын
nikweli ndugu 😢
@timboxlee919
@timboxlee919 11 ай бұрын
Angekuwepo JPM daraja lingekuwa limekwisha, RIP JPM
@Officialvplat
@Officialvplat 11 ай бұрын
Achen kufany imagination
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 11 ай бұрын
Acha ujinga wewe unafili ilo dalaja balabala yavumbi unapitisha katapila namagali yanapita mda uo uo
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 11 ай бұрын
Wewe kichaa wewe.. hata yeye alivyokuwa hai aliambiwa mpaka 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni ndio litakamilika.. wewe vp wewe
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 11 ай бұрын
Unaongelea mkunduni wewe
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 11 ай бұрын
​@@Officialvplatsio imagination ndio speed Hayati Magufuli alikuwa anakwenda nao na ndio ilikuwa mpango ukamilike haraka
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Angekuwepo MAGUFULI lingeishaisha
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 11 ай бұрын
Magu ameweza kuanzisha mengi yangu madaraja Reli ya kisasa Makao makuu Dodoma Mradi wa umeme mkubwa nk l ❤❤your job RIP
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 11 ай бұрын
JPM asante
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 11 ай бұрын
We msenge nini JPM ndo kauanzisha tena kwa kasi na saa hizi angekuwa hai kama tayari limemalizika afu unaleta vijineno vyako kwamba ilikuwa asilia 25?? Daah bwege sana wewe
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 11 ай бұрын
kwanza alikuwa amelipa PESA nyingi mno JPM kwenye huo mradi
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
JPM angekuwepo pangekuwa pameisha rakin hapo mtajenga miaka kumi kazi kuiba vifaa vingrereza viingiii hakuna kitu
@didasseveline9013
@didasseveline9013 11 ай бұрын
Kipindi Cha awamu ya 5 mkataba ulikuwa miezi36 lakini!!
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 11 ай бұрын
R.I.P MAGUFULI SASA NAONA nitakuwa natoka Zzoo naenda bukoba. Kusalimia bi mkubwa KWA basketball 🙏🙏😅😅😅
@allyselemani785
@allyselemani785 11 ай бұрын
Yaani umejawa na furaha mbaka umekosea kuandika😁😁😁😁baada ya baiskeri umeandika basketball,RIP magu
@MasseLyale
@MasseLyale 11 ай бұрын
kweli angekuwepo mwamba lingeshaanza kutumika hata treni za sgr zingeshaanza kazi, bahati mbayaa tumerudi awamu ya 4 jamanii
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 11 ай бұрын
Mungu ampumzishe mahali pema rais wangu mpendwa wangu
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 11 ай бұрын
Wizi ni mkubwa wa fedha za watanzania na miradi haikamiliki kwa wakati majizi nyie😮
@frankymagatory1338
@frankymagatory1338 11 ай бұрын
Daraj la sarenda bridges na kigambon hayafati kwa mrad huuu mwanza is going to shine🎉🎉
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 11 ай бұрын
inanichoma kama mkuki nkiona kitu kama hichi alaf leo kuna vigugula wanasema hawakuona magu alichofanya
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Hawanaga shukurani hao waisilamu
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 11 ай бұрын
Oooh hata wasipo shukuru masta kuna vitu ukivitengeneza lazma watu wakukumbuke hata wasipo kuwa hawa waliopo maana nmeona hataha mh kusafiri hataki kutaja j anasema mtangulizi wang 😁 ukimtaja to watu wanaumia
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 11 ай бұрын
Oooh hata wasipo shukuru masta kuna vitu ukivitengeneza lazma watu wakukumbuke hata wasipo kuwa hawa waliopo maana nmeona hataha mh kusafiri hataki kutaja j anasema mtangulizi wang 😁 ukimtaja to watu wanaumia
@toymadebho7048
@toymadebho7048 5 ай бұрын
kwel kbs
@issabilali3539
@issabilali3539 11 ай бұрын
JPM haujafa mioyoni mwetu❤
@omarysaid8725
@omarysaid8725 11 ай бұрын
Mchina noma aisee kitu kimesimama ndani ya maji
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 11 ай бұрын
Jaman polen mimi hapa nasoma tu comment na kuchek Maana zpo za kuchekesha na zakuskitsha
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 ай бұрын
JPM WE STILL REMEMBER 😭😭😭
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 11 ай бұрын
😢😢 JPM
@oscarkomba7258
@oscarkomba7258 11 ай бұрын
😢
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 11 ай бұрын
Sio zitalipwa wewe, rekebisha kauli. Magufuli alishatoa mpunga mapema tena mpunga wote na akatamka adhalani na lengo la kutoa pesa hizo alizisema wazi kuwa anataka Mkandarasi hasiwe na sababu sababu na aliwataka wamalize mapema. Msilete mambo ya ubabaishaji hapa wa kumkandya mzee wetu Magufuli. Hapo Samia anakujaje sasa.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 10 ай бұрын
nikweli hata kunasiku samia aliropoka kwenye hutuba yake akasema miradi yote magu aliacha kailipia sema wezi wanaiba sasahivi wanasingizia miradi napesa zimeibiwa sana wakat wa msiba hadi leo bado wanaiba tu alisharopoka samia kasema mtangulizi wake aliacha kalipia miradi yote hakuna mradi unao daiwa pesa ila sikuhiz utasikia billion mia 700 imelipwa fidia ya kuchelewesha kulipia mradi wakat ilishalipiwa wanaiba kweli hadi wanajisifu bungeni kua pesa nyingi zinaibiwa na kupelekwa inje
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Magufuli alikuwa jembe sana.angelikuwa hai lingekuwa limeisha
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 11 ай бұрын
Hawana jipya mungu anawaona
@mimiraia2531
@mimiraia2531 11 ай бұрын
VITUKO tu; eti ameupa nguvu, aliukuta uko 25%. Hivi bwana msemaji, angekuwepo YEYE MWENYEWE ALIYEANZISHA UJENZI HUU, angeshidwa kuutekeleza?? KILA KITU MNALETA MISIASA MISIASA
@bakariamour1024
@bakariamour1024 11 ай бұрын
Kwa iyo wewe ulitaka wasemaje ikiwa ukweli ulikuwa 25% acheni kubeza nyinyi ,
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
KAZI ya MAGUFULI mseme sasa nyie ndo mmejenga
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 11 ай бұрын
Mwamba jpm shm alpo MUNGU amrehem
@bongohackss
@bongohackss 3 ай бұрын
We miss JPMagufuli, tungekuwa mbali kupita kawaida
@bongo39
@bongo39 11 ай бұрын
Hizo taa wala msioate gharama kuziweka kwakuwa tushaona huko nyuma daraja la kigamboni taa zipo ila haziwashwi hali kadhalika daraja la tanzanite pia ni hivyhivyo bora gharsma za hidontaa mtoe ili mpeleke ktk madarasa au afya hatuoni faida yake na wahusika wanaliona hilo ila wamefunga midomo basi kama ni gharama kuwasha taa kwa umeme wa tanesco tumieni solar umeme wa mungu wa bure kabisa tunaomba lifanyiwe kazi hili jambo
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 11 ай бұрын
Ww ni mmoja wa wasio penda maendeleo unatoa sababu za kijinga ety msiweke taa hizo gharama mpeleke kwenye madarasa kwani huoni pesa kiasi gani zimepelekwa na kwa ukubwa wa barabara na ukisasa unataka pawe giza??
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 11 ай бұрын
Ukiendelea na fikra zako hizo nchi haifatafanya maendeleo maana huwezi kujenga madarsa ya kutosheleza kabisa nchi nzima lazima pesa ziende kwe maendeleo mengine ili zirudi na faida kufanya maendeleo mengine tumia akili usiropoke tuu
@sagulesalehe6203
@sagulesalehe6203 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@barikimollel7890
@barikimollel7890 11 ай бұрын
RIP Magufuli😢😢😢
@timboxlee919
@timboxlee919 11 ай бұрын
Hili daraja wamelifanya la kisiasa,limechelewa kumalizika, RIP JPM
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
Hawaja uza nondo kwer tusje tumbukia maana saizi kra mtu anajipigia arpo
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 11 ай бұрын
Hio Yote ni juhudi za hayati Magufuli bila anko magu lisingekuepo Wala wasinge Jenga 😂
@MaryStambuli-r4p
@MaryStambuli-r4p 11 ай бұрын
Ni kweli kabisa yeye ndiye muasisi wa jambo hili aliona wananchi wanapata taabu akaamua pesa ziende zikafanye kazi hiyo siyo sasa hivi pesa inaliwa tu na watu hawachukuliwi hatua
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 11 ай бұрын
Nkweli kbisa wee unazani angikua bado yupo ilo daraja lingekua halijakwisha mpka sasa hakuna kama yule mwamba
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 11 ай бұрын
Hongera mama Samia kazi iendelee ❤
@edwardomodest9297
@edwardomodest9297 10 ай бұрын
Khaaaaa
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 11 ай бұрын
JPM alikuwa ni mtu na robo tatu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Angekuwepo yy ungekuwa lilitosha sku mingi sana
@toymadebho7048
@toymadebho7048 5 ай бұрын
halijaisha tu kwn mpk sasa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 11 ай бұрын
Magu alale tu kwa Amani alifanya mengi
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 10 ай бұрын
ANGEKUWEPO INGEKUWA IMEISHA
@edwingideon3606
@edwingideon3606 11 ай бұрын
R.I.P Magufuli
@rashidmakame7068
@rashidmakame7068 11 ай бұрын
Kuhusu daraja sawa Ila kuhusu barabara za kuingia mkoa wa mwanza kwa pande zote mwanza haina barabara na meneja wa TANROAD yupo?hii ni aibu
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 9 ай бұрын
Safi sana
@masudymanju6062
@masudymanju6062 11 ай бұрын
Magufuli Alikuwa ni Raisi bora ukipinga shauli yako
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 11 ай бұрын
Asanteni
@maskatiglobaltv
@maskatiglobaltv 10 ай бұрын
KAZI iendeleee
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 11 ай бұрын
Inabd mwez wa12 nikatembee Mwanza jmn❤
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk 11 ай бұрын
Mie mwenyewe nimeanza kutamani kurudi mwanza
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 11 ай бұрын
@@MadilishaSimon-sb9kk Me nmewah kufka mara 1 tu 2020 mwez wa 12 lazma niende kutembea tena mm naish Dom
@damianmakala2913
@damianmakala2913 11 ай бұрын
Tunaomba pia serikali ijenge barabara ya kutoka mjini kupitia mkolani , buhongwa usagara mpaka darajani iwe njia nne hii itasaidia kuondoa foleni katika njia hiyo
@onekisstv8412
@onekisstv8412 11 ай бұрын
Darja alijakamilika mpka leo Duuuuhh
@MasungaMasaka
@MasungaMasaka 10 ай бұрын
Mungu amsaidie tu hii yaan hakuna rais atakae kuwa Kama jpm dunian ha
@MuemedeManinga
@MuemedeManinga 11 ай бұрын
Daraja Hilo ni bala
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 11 ай бұрын
Daraja bado halijaisha hilo
@MohamedMbaraka-b2d
@MohamedMbaraka-b2d 11 ай бұрын
20, 18 ndio nini Nyooka mjomba
@tomsijohni
@tomsijohni 11 ай бұрын
hilo daraja kuja kuisha lote nguzo za mwanzoni zita kua zimeoza 😂😂😂
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 11 ай бұрын
Ila pia mama samia wewe nijembe kuendeleza kazi ambayo hukuianza ni ngumu sanaaaa ngumu mnooo yani ni ngumu sana mama nakuunga mkono sana ila japo kuna watendaji wako wanaenda tofauti na matakwa yako lakini naamin wataumbuka siku moja tu
@candidoderosa
@candidoderosa 11 ай бұрын
Watu ni wakatili sana. 😢
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 11 ай бұрын
Nachukia kwa ucheleweshaji
@tato8979
@tato8979 11 ай бұрын
Kazi nzuri 🎉
@kambamazig02024
@kambamazig02024 6 ай бұрын
Meli inapita kwenda wapi tena huko Mwanza Gulf, watu hawaangalii geografia nini?
@DerickRinwa
@DerickRinwa 11 ай бұрын
Shida mnapenda kuongeza chumvi et kuvuka apo ni masaa mawili jaman as if hatupajui apo au hatujawah kuvuka apo wakat kuvuka apo ni dk 30 mpka 45 mwisho😂😂😂ila siasa jaman 😢
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
Hvi mpaka reo wanajenga duuuuuuuuuuu mpaka reo hariiishi tuuuu
@allysalum-nd5fd
@allysalum-nd5fd 11 ай бұрын
Hili pia lilikua liitwe daraja la nyerere muasisi
@edwardomodest9297
@edwardomodest9297 10 ай бұрын
Rudiiiiii JPM. Rudi tu.
@Ibrah287
@Ibrah287 8 ай бұрын
Acheni siasa fanyeni kazi daraja likamilike.. regardless nani kaanzisha mradi au nani anasimamia kwa sasa, wajibikeni siasa mziweke pembeni!
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 10 ай бұрын
Asiyemkumbuka magufuli atakua na kichaa chake japo mwamba alikua hataki ujinga ujinga
@r14kgroup68
@r14kgroup68 11 ай бұрын
Ameishi mda.mfupi lakini ameweka.kumbukumbu ya daima
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 11 ай бұрын
HAO JAMAA WANAITWA CCECC NDO WALIJENGA UBUNGO, NI WACHINA WA MOTO
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 7 ай бұрын
Magufuli aliacha amelipa pesa yote tunawadai kazi
@omarysaid8725
@omarysaid8725 11 ай бұрын
Hapo kwenye njia ya waenda kwa miguu haitakuwa na maana maana kama nawaona ndugu zangu bodaboda kwenye hizo njia za waenda kwa miguu
@Africanempire-hi2zx
@Africanempire-hi2zx 11 ай бұрын
😂😂😂
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 11 ай бұрын
Maputo mambo
@Tanganyikatv965
@Tanganyikatv965 11 ай бұрын
Salamanga katembe
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 11 ай бұрын
Ni kweli Watanzania wengi mnasema ni Kazi ya Magufuli ila ukweli ni Kazi nzuri iliyofanya na Chama cha Mapinduzi kupitia Ilani ya Uchaguzi katika kuleta Maendeleo Nchini. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 11 ай бұрын
Hili Daraja, Reli ya SGR na mengi tu hayakuwa kwenye ilani ya awamu yeyote ile kutokana na gharama ambazo watangulizi wake waliukwepa kabisa. Hata kina Nape walikiri hivyo. Kongole JPM.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 ай бұрын
Usituambukize ujinga
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 11 ай бұрын
Chama kipi kwani tangu mwanzo hakikuwepo? Magu woyee?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Ulisema chama.chama kilikuwepo tangu uhuru kwanini ifanyike ktk utawala wake. Chama kilikuwe tangu uhuru marais wangapi walipita bila kugundua hilo? Lazima asifiwe magufuli cy chama.chqma mbona kipo halafu hakifanyi mambo mapya hata yazamani hayakamiliki?
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Kama unabisha siyo magufuli mbona hayupo hayafanyiki tena? Magufuli ameondoka na chama? Au ameondoka na ilani ya chama chamapinduzi?
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 11 ай бұрын
B700 hela itarud?!
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 10 ай бұрын
Mama anafanya kazi ila ufuatiliaji ndio unao tuangusha kipindi cha JPM ilikua ni ngumu ufike site uskute watu wanafanya kazi these days watu wanafanya kazi kwa mazoea
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 27 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 90 МЛН
EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO
17:49
OLDEST CITY TOUR (mwanza) IN TANZANIA 🇹🇿 (ep 29)
31:04
Thee Pluto Show
Рет қаралды 35 М.
LIVE: RC CHALAMILA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU DAR ES SALAAM
17:09
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57