DARASSA: HAKUNA MTU ANAEFANYA / WANATAPATAPA

  Рет қаралды 26,184

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilOmmy.com

Пікірлер: 112
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 5 жыл бұрын
Pamoja sana wanangu woooote 👊👊👊
@fejam9223
@fejam9223 5 жыл бұрын
Nakukubali sana #LilOmmyTV
@TheAlesry
@TheAlesry 5 жыл бұрын
Brother Ommy mbona show fupi?
@mwendwamjukuu9468
@mwendwamjukuu9468 5 жыл бұрын
Nakukubali sana mwanangu toka 254
@ibbutv4275
@ibbutv4275 5 жыл бұрын
uko vzri sana Mr mvp
@sir.dejemantatz6261
@sir.dejemantatz6261 5 жыл бұрын
Sublime👊👊
@adknimmoja
@adknimmoja 5 жыл бұрын
+254 tunamuelewa zaid darasa na mvp,nipeni likes zangu
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 жыл бұрын
Umefanya kitu cha kueshimika mzee wa muziki..mzee wa burudani,..kiukweli ulituacha door Sana,hususan tuliposkia umekuwa muathirika wa madawq ya kulevya umewqhakikishia kuwa upo sawa zaidi..Big respect # Theplaylist#Halfmenhalfamazing##mrM.V.p..#Amygirl let's share love
@Yegon254
@Yegon254 5 жыл бұрын
MVP half man half amazing, napenda sana Interviews zako
@yohanaayeko7869
@yohanaayeko7869 5 жыл бұрын
Kama unamkubali darassa na m.v.p gonga likeee
@abelguykam4107
@abelguykam4107 5 жыл бұрын
Yoo mr Buradani kazi nzuri san zote 3 watu wako tuko uku USA🇺🇸 tumekuw tume ku miss san congrats kbs. Na piya Mr King of Interviews LilOmmy may God give u the best cuz you did a good job to all bongo flava and Africa music industry.
@venancemwakyoma8735
@venancemwakyoma8735 5 жыл бұрын
Wapi team Lil ommy gonga like hapa twende sawa ✅ ✅ ✅
@madini4913
@madini4913 5 жыл бұрын
Kama umeziona ngoma za DARASA SMG #Leo + Jux #Tumepoteza + Maua sama #Relax 👊👊 Gonga Like Twende sawa
@shukurusbxrule
@shukurusbxrule 5 жыл бұрын
Zote nimetazama yani moto 🔥🔥🔥
@ramakadzingo99
@ramakadzingo99 5 жыл бұрын
bro nimekuwa nikiangalia your interviews for sure LIL OMMY u are the best interviewer KENYA NA TANZANIA salute bro!
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 5 жыл бұрын
Namkubali darasa ihave watched the three videos and they are fantastic like Leo,oh yeh Darasa is good men and ilike his lyrics ,movement but men he is unique he knows how to do the thing all triple are nice and easy .may be other artist should see the chemistry of jux and Darassa so thar they can take the vibe and try tointergrate with darassa music style.Darassa uko juu sana.
@ahmedramadhan7844
@ahmedramadhan7844 5 жыл бұрын
Mr burudani poa sana, Kizazi sana
@princespider5854
@princespider5854 5 жыл бұрын
Kweli nimeamni kimya kingi kinamshindoo kazi nzuri darasa mawe matatu ni atari fireeeeeeeee
@hamisinanyata1237
@hamisinanyata1237 5 жыл бұрын
Mr burudan mikwaju yako mitatu utawakalisha safar hii sio sili. Hongera Darassa.
@mchangeboy5928
@mchangeboy5928 5 жыл бұрын
Nakubali we king.. Gonga kama unamkubal TAMBWE gonga like..💪💪
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 5 жыл бұрын
lilommy Upo poa sana pia interview zako zinaeleweka sana tofauti na mapresenter wengine
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 5 жыл бұрын
Lil ommy nikusaidie mziki wa darasa uko tofauti na wasanii wote huwo ndio ukweli
@abdallahkikoti5880
@abdallahkikoti5880 5 жыл бұрын
Wakina kamwene tunakuelewa sana darassa upo juu mzee baba
@stevewanga957
@stevewanga957 5 жыл бұрын
King of interview Lil Ommy....
@allymasoudi6780
@allymasoudi6780 5 жыл бұрын
Nilitaka na mimi niwe wa kwanza kucoment kumbe watu walali duh haya bhana acha niwaombe likes basi tusapoti mziki mzuri ndio maana akajiita darasa yaani maana yake ingia soma huwezi kusoma relax
@watchme5678
@watchme5678 5 жыл бұрын
Hahaaaa you kill it brooo
@acleyedward5453
@acleyedward5453 5 жыл бұрын
Lillommy your the best
@victordenis2411
@victordenis2411 5 жыл бұрын
Wanaokubali kama Darasa ni Mr.burudani droop like yako hapa.
@kuppeburrows1621
@kuppeburrows1621 5 жыл бұрын
Ommy juu Sana anaekubali gonga like apa
@graysonlikwama6527
@graysonlikwama6527 5 жыл бұрын
safi dasara ! seen your video !! big up brother.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
#KingOfInterviews I like that.. u deserve to be one. Utabaki kuwajuuu kileleni
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 жыл бұрын
Darasa ni Fundi wa Muziki...
@enginierthalion-kid4998
@enginierthalion-kid4998 5 жыл бұрын
Yuh. True boy. You said it
@uncledavitv6481
@uncledavitv6481 5 жыл бұрын
oyeaaaa... jiwe juu ya jiweeeeee Mzee dingiii... ama niniiii wahuuuniii
@hamedmohammedjafari6114
@hamedmohammedjafari6114 5 жыл бұрын
M nakupenda sna kaka ....intrvws zako hatari uko sawa sana
@watchme5678
@watchme5678 5 жыл бұрын
All about vibes #mrburudani
@centralboytz4240
@centralboytz4240 5 жыл бұрын
nowdays heshima ipo kweny kile ulichonacho #real ckupgi broo kuna kitu cha kujifunza kwny nyimbo zako ukiachana na burudan✌
@fejam9223
@fejam9223 5 жыл бұрын
Usitoe nyingi kwakutukatusha kiu... Noh acha tuwe na kiu na mawe yako mzee baba #Darassa Hakuna Bagara woyooooo angusha #like kama unakiu na ngoma za #Darassa
@appetizertz4036
@appetizertz4036 5 жыл бұрын
Kitaani kwetu ngoma zishalia ukienda KZbin ngoma ya darasa ft jux leo inakimbiza iko namba 3 on trending nimependa hiyo movement
@richardsweya231
@richardsweya231 5 жыл бұрын
Yeeeeeeee BABA @ Relax
@theanalyst1563
@theanalyst1563 5 жыл бұрын
Appetizer Tz no 1 now
@levisonmwangujilo1567
@levisonmwangujilo1567 5 жыл бұрын
jamaa anawwzaaa sanaaa darasa unalitendea hakii jina lako respect brooh
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 5 жыл бұрын
Mr Burudani + MVP 💥💥
@karathajunior6675
@karathajunior6675 5 жыл бұрын
Daaah.. Nice interview
@jerryjeycokingboy6306
@jerryjeycokingboy6306 5 жыл бұрын
Kizaz sana njomba bado mimi jerry jeyco soon Gusa link hapa now
@backaryponda5369
@backaryponda5369 5 жыл бұрын
MVP NAKUKUBALI SANAA MZEE BABA #kizazi
@hassanhussein1374
@hassanhussein1374 5 жыл бұрын
Utabaki kuwa juuuuuuu mawinguni nakukubali sana darasa mr BURUDANI
@rahisalovely9622
@rahisalovely9622 5 жыл бұрын
Darassa ur amazing kabisaaaaaaaa kizazi sanaaa
@benoitniyukuri4959
@benoitniyukuri4959 5 жыл бұрын
king is back
@abuumsophe1739
@abuumsophe1739 5 жыл бұрын
Benoit Niyukuri safi kaka
@yusuphmussa6589
@yusuphmussa6589 5 жыл бұрын
darasa me sikupingi nakubar mwanzo mwisho kazi zako
@mcjayz8686
@mcjayz8686 5 жыл бұрын
Lily Ommy
@sixbertkigomakwetu7416
@sixbertkigomakwetu7416 5 жыл бұрын
Fire Mr burudan
@johnmwangi2435
@johnmwangi2435 5 жыл бұрын
Ya kizazi sana nice show
@goodluckdalali8063
@goodluckdalali8063 5 жыл бұрын
Hatari sana Darassa,, hiyo tumepoteza nasubiri show
@finexntimi2749
@finexntimi2749 5 жыл бұрын
Kizaz Sana Darasa lete Album tutaipokea kisawasawa
@marcomutungi8259
@marcomutungi8259 5 жыл бұрын
Ommy braza naona ume mtengeneza uyo amy gal now ni anajua kuoji atari...braza ubaki kua kileleni
@officialmangstar7227
@officialmangstar7227 5 жыл бұрын
Darassa hakna ka ww uko unik big up bro
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 5 жыл бұрын
Nakubali
@jumaadioff9346
@jumaadioff9346 5 жыл бұрын
Kizazi saanaah
@johnkerrysibomana9062
@johnkerrysibomana9062 5 жыл бұрын
Looooh mzuka baba darasa yaaani wewe ni zaidi ya shule baba nakusoma nikiwa burundi bujumbura
@alhabibyahyabinkibwana9430
@alhabibyahyabinkibwana9430 5 жыл бұрын
FOBY njoo uchukue ndugu yako mwanangu..Dah!!
@richardsweya231
@richardsweya231 5 жыл бұрын
King on heya
@evaristlucas6338
@evaristlucas6338 5 жыл бұрын
100% Mr burudani
@DULLAHMASTER
@DULLAHMASTER 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥 The mvp
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 5 жыл бұрын
💥💥💥💥💥
@mrtboy9788
@mrtboy9788 5 жыл бұрын
MR BURUDANIII NOUMAAAA KWELIII
@christophersoty101
@christophersoty101 5 жыл бұрын
kizaazi saaama
@jeremialauden5710
@jeremialauden5710 5 жыл бұрын
Hqkun kuondokaa tenaa pole kwa folen lakn
@jumahaji2454
@jumahaji2454 5 жыл бұрын
M.V.P Huyooo Jamaa ni Fundi wa Huu mziki Akupataga zari tu lakutoka Kimuziki Miaka hiyoo aendelee kuwakazia Hatafika mbali Mungu wetu sote Ommy lily 😀😁☝✌
@cleopamalcom3338
@cleopamalcom3338 5 жыл бұрын
Mr Burudani fireeee
@tinopaul7603
@tinopaul7603 5 жыл бұрын
Kama tuko pamaoja tangu #sikatiTamaa mpaka #Leo Gonga like yako twende sawa
@sarafiniantoni3949
@sarafiniantoni3949 5 жыл бұрын
mia mia darasa mwamba na kukubali saana kizazi saana brother
@charlomsanifu2660
@charlomsanifu2660 5 жыл бұрын
CMG na MVP
@edisonkayaman8851
@edisonkayaman8851 5 жыл бұрын
Kwel style yako hakuna wa kuitumia. Nakukubali huna matusi unatowa bludani .
@robsondalink6206
@robsondalink6206 5 жыл бұрын
⚓ mzee unaweza nakukubali kinyoko braza baba
@erodeshayo8783
@erodeshayo8783 5 жыл бұрын
Mista Burundian take me agen noma sana
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 5 жыл бұрын
NAMWITA KING OF HIP HOP BONGO
@mohamedabdallah7526
@mohamedabdallah7526 5 жыл бұрын
😂😂 hayo ni maono yko ila ukweli unajulikana... Yeye ni darasa ila kuna mwenye university mr fid q💪
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Huyo Dada anamuiga DJ fetty Bonge LA show
@enocksilungwe2720
@enocksilungwe2720 5 жыл бұрын
Kivipi...?
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
The way she speaks, pitch na intonation
@thehuntervevothehuntervevo7703
@thehuntervevothehuntervevo7703 5 жыл бұрын
Bro nahitaji interview nifanyeje?
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 5 жыл бұрын
Kama unamkubali darassa achaga majungu na wivu gonga like yako hapa
@datikazumari515
@datikazumari515 5 жыл бұрын
MTU mbaya darrasa
@barackalonare4152
@barackalonare4152 5 жыл бұрын
Mr burudani
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 жыл бұрын
huyu jamaa anajua mwenyew tanzaniwa nzima
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 жыл бұрын
nipeni like basi acheni wivu
@bernardzibwe3279
@bernardzibwe3279 5 жыл бұрын
Emmanuel Inyasi
@hassan0256
@hassan0256 5 жыл бұрын
Itakua vizuri kama Unapomuuliza msanii mambo ya nyuma kwa mfano 'Tareh flani Ulipost hiki' Hio post uioneshe Tuione pia.
@shakilahingabire7278
@shakilahingabire7278 5 жыл бұрын
Wapuuzi naombeni like😎😁
@bonifacelubava4954
@bonifacelubava4954 5 жыл бұрын
Mwenye muziki wake amerudi
@talazain1017
@talazain1017 5 жыл бұрын
Vanessa + Mwana fa
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 5 жыл бұрын
Mbona sikuona msanii yoyote wa WCB au sio wanao mwamba darassa 😃
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
+260 Kizazi sana
@yusuphmwakafwila3431
@yusuphmwakafwila3431 5 жыл бұрын
Mashine ya kazi
@gandygandi2740
@gandygandi2740 5 жыл бұрын
😘😘😘
@amanidaud9375
@amanidaud9375 5 жыл бұрын
Gandy gandi oyaaaa we nani unaejiita gandy fala we
@justinjason6916
@justinjason6916 5 жыл бұрын
nakukubal darasa
@youngtwite7580
@youngtwite7580 5 жыл бұрын
dah huyu mdada kimbea aiseee kimekaa kimya mwanzo wa inteview kumbe kinatafuta mistar ya darasa
@msamyndevi2471
@msamyndevi2471 5 жыл бұрын
kafanana na dingi ya mondi
@madini4913
@madini4913 5 жыл бұрын
Fwalaaaa😁😁😁😁
@mullahkaposo6663
@mullahkaposo6663 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@adamtimotheo3157
@adamtimotheo3157 5 жыл бұрын
sf
@elewatz804k4
@elewatz804k4 5 жыл бұрын
Uko guud ila bado sana kwa WCB
@halimamasalanga4039
@halimamasalanga4039 5 жыл бұрын
Kwa yale.matusi labda kwa wanaopenda matusi
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 жыл бұрын
Weee mwanga umeambiwa lazima na ukereketwa wako,nyie hamuna uimbali..ni matusi,fitna,husda na ubayaa..mchawi mkubwa
@halimamasalanga4039
@halimamasalanga4039 5 жыл бұрын
@@johariabdalla3319mjinga huyo si tumechoka matusi yao mtu ukikaa sebleni unashindwa hata kuangalia tv na watoto kwa kuogopa matusi
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 жыл бұрын
Wcb makuma
@ashamecky7772
@ashamecky7772 5 жыл бұрын
Kweli
@godfreykyando3345
@godfreykyando3345 5 жыл бұрын
Mr burudani
Nameless on The Making of PAh ft Darassa
11:21
Milele Fm
Рет қаралды 4,3 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 9 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 25 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
COOKING UGALI & FISH - Stevo Simple Boy & Dem wa Fb
15:53
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 62 М.
Darassa Ft. Osman - Sio Mbaya (Official Video)
3:38
Darassa
Рет қаралды 197 М.
Samsung Galaxy S25 Ultra - 10 New Big Updates
8:34
TechTalkTV
Рет қаралды 161 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 9 МЛН