Darassa ft Jux - Leo (Official Music Video) Sms SKIZA 9048058 to 811

  Рет қаралды 2,941,997

Darassa

Darassa

Күн бұрын

Пікірлер: 2 800
@rosegathoni5192
@rosegathoni5192 5 жыл бұрын
From kenya..nipeni likes kama tano za huu wimbo mtam
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 5 жыл бұрын
Sweet likes
@wasafisongsnow1818
@wasafisongsnow1818 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/apWXhKR9fLaaick Rayvanny upole wako
@tahiyaal-jabry2975
@tahiyaal-jabry2975 5 жыл бұрын
Rose Gathoni Welcome new artists from Africa -traditional songs kzbin.info/www/bejne/jmHTe61rnauabtE
@tahiyaal-jabry2975
@tahiyaal-jabry2975 5 жыл бұрын
Welcome new artists from Africa -traditional songs kzbin.info/www/bejne/jmHTe61rnauabtE
@joashkeya2919
@joashkeya2919 5 жыл бұрын
kwani wee ndo umeimba....ufala
@lordigardkimaro9953
@lordigardkimaro9953 5 жыл бұрын
Itasumbua kama ile ya maisha na muziki? Kama ndiyo gonga like twende sawa
@meshackurio8274
@meshackurio8274 5 жыл бұрын
nakubali darasa bado na sikiliza
@mansabkassim6593
@mansabkassim6593 5 жыл бұрын
Hatr na nusu
@kassimmuya8243
@kassimmuya8243 5 жыл бұрын
Kama ulijua cheche imekuwa kasheshe,, hauwezi kuzuia mvua acha inyeshe.🎼🎼🎼🎤 Darasa nakuelewa sana Like nyingi kwake
@MustaqimMuhsin
@MustaqimMuhsin Жыл бұрын
Nakubali mwamb darasa
@mutumamuriungi6952
@mutumamuriungi6952 5 жыл бұрын
Darasa is underrated, one of the best rappers in EA, respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lyonahbrams534
@lyonahbrams534 5 жыл бұрын
My fev rapper in East Africa
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 4 жыл бұрын
Who told you he is underrated we love his music and we support him.
@kofid21.91
@kofid21.91 4 жыл бұрын
Bullshit.the best ever
@sarahototo6444
@sarahototo6444 4 жыл бұрын
True
@carolineazar3471
@carolineazar3471 4 жыл бұрын
Totally!!! 🔥🔥
@genyamj1272
@genyamj1272 5 жыл бұрын
Wenye wanerudia ku watch video na kuskiza ngoma zaidi ya mara moja na kukimbia kwenye comments gonga like twende Sawa #much love from Kenya 🇰🇪
@hezzymapozzy7030
@hezzymapozzy7030 5 жыл бұрын
Mamama si hii ngoma ni moto..nipeni likes mbili tu juu hii ngoma ni 🔥🔥🔥
@magdalenajoseph9717
@magdalenajoseph9717 5 жыл бұрын
Hezekiel Mwadime
@raymondkadutu4333
@raymondkadutu4333 5 жыл бұрын
Nimekukubali sana darasa song la ukweli
@erisianamwadime9650
@erisianamwadime9650 5 жыл бұрын
😂😂mwadime🔥🔥
@zlatanyiida5901
@zlatanyiida5901 5 жыл бұрын
Nice song
@nicholauspeter4679
@nicholauspeter4679 5 жыл бұрын
Kwann usome comment bila kugonga LIKE,kiukwel Darasa kaja na amaizing style,Big Up kamanda w2🙌🙌
@jamalalhabsi8099
@jamalalhabsi8099 5 жыл бұрын
Nc song
@enmanuerymnyampaa1053
@enmanuerymnyampaa1053 5 жыл бұрын
nicholaus peter uku ndan ndo kumekucha vunja mifupa usiulize nan kaachiwa butcher.
@fibonaccimwadime9479
@fibonaccimwadime9479 5 жыл бұрын
Mr burudani ,hello its me again mr.burudani take away the pain,pole kwa kuchelewa si unajua foleni nawapa vidonge kutuliza complain,kichwani sijabeba kama pambo akili nimeteka kwenye chambo 🕺🏼🕺🏼🕺🏼🕺🏼 wapi likes za darassa CMG blood fan +254 ndo home
@isaachayes9783
@isaachayes9783 5 жыл бұрын
Ah!ah!ah! Hii ya leo kali...hili beat, la kuchimbika... darassa badest Afro bongo boy on the planet
@abdilahimwachapwani2696
@abdilahimwachapwani2696 5 жыл бұрын
Imeweza hadi huku +254🇰🇪💯💯...nasubiria likes za Darasa na African Boy👌👊
@febamohammed2989
@febamohammed2989 5 жыл бұрын
Umefika tayari kijana
@abdilahimwachapwani2696
@abdilahimwachapwani2696 5 жыл бұрын
@@febamohammed2989 si unajua jana si leo #leo_ni_leo
@sideboy2752
@sideboy2752 5 жыл бұрын
good sana brother like kwa sana
@brianstelix8982
@brianstelix8982 5 жыл бұрын
Manze darasa kama ulifanya muziki Ikakuwa anthem kenya for an year mbona nisiskie leo, wapi likes majama. Msinipite tafathali
@calebonlinetv
@calebonlinetv 5 жыл бұрын
From kenya 🇰🇪 tumeikubali hii collabo 🔥🔥👍👍
@davenmcmullar7354
@davenmcmullar7354 4 ай бұрын
Sijalalaaa....kama ni mzuka pandisha!....you know now
@sharonmsengi9823
@sharonmsengi9823 5 жыл бұрын
Like jamani toka nizaliwe sijawai kupata like.
@originalflo9829
@originalflo9829 5 жыл бұрын
Iyoooo Atiii nini 🤔🤔🤣 Nyimbo kaliii ,nzuri sana ❤❤ Darassa atabaki kuwa juu 👆👆
@509Nation
@509Nation 5 жыл бұрын
M pa konprann loll
@fatmahbakhar9686
@fatmahbakhar9686 5 жыл бұрын
Kabisa
@tabaclassic
@tabaclassic 5 жыл бұрын
Amisa Florence yooo lazina watii
@datwasmvungi3808
@datwasmvungi3808 5 жыл бұрын
Walio Irudia zaidi Ya Mara Moja Tujuane
@elardmadeez3382
@elardmadeez3382 5 жыл бұрын
Mm
@gilbertmwampepo710
@gilbertmwampepo710 5 жыл бұрын
Kuangalia mara moja mziki wa hv ni kudhurumu nafsi ya burudani....
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 жыл бұрын
Mziki mnene huu
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 5 жыл бұрын
Hii ngoma itafika far sana jama katulia sanaa
@fatmahbakhar9686
@fatmahbakhar9686 5 жыл бұрын
😂😂
@shokajr9714
@shokajr9714 5 жыл бұрын
Huyu ndiye darasa tunayemfahamu ss na hii kwangu ningoma kali kuliko kutoka kwenye nyimbo zako3 ulizotambulisha... good music...🤘🏽☝🏽👏🏾👏🏾
@christinajackson5747
@christinajackson5747 5 жыл бұрын
Saf
@barnabarzcsimion443
@barnabarzcsimion443 5 жыл бұрын
Ww ndo darasa kwel lazima uwafundishe mzee baba gud 💟💟💟
@thureyaseif7143
@thureyaseif7143 5 жыл бұрын
Darasa don't give up, keep moving plzzzz. Nyorosha wao, bwaga bwaga wao wote, we love you man !! Salute you.
@princesilver
@princesilver 5 жыл бұрын
Wa kwanza kukoment Kama unamkubal darasa like zake hapaa 🔥🔥✅✅
@zujoboy36tzmusic9
@zujoboy36tzmusic9 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qpSzpXSKoJ1rhMU
@jumamata8703
@jumamata8703 5 жыл бұрын
ngma kali
@chataboychota4077
@chataboychota4077 5 жыл бұрын
Good
@chaudryramos7397
@chaudryramos7397 5 жыл бұрын
"kichwa sijabeba Kama pambo " Darassa kweli you are class.
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Darasa iz back.... Say yeaaaaaaaaaaa... Swahili to the world..... Big up darasa... Tanzania flag to the world... Show love LIKE April 2019
@nasimvitendo4683
@nasimvitendo4683 5 жыл бұрын
safi
@culatebellejeremy262
@culatebellejeremy262 5 жыл бұрын
Yeeeeaaaahh
@musambizo4450
@musambizo4450 5 жыл бұрын
Kastol Mwalyego Africa to the World
@idayakei8349
@idayakei8349 5 жыл бұрын
Yeebaba umetisha kaka ngoma kali sana wenye wivu wajinyonge
@officialmangstar7227
@officialmangstar7227 5 жыл бұрын
Ma fans wa darassa wacha tuwahesabu kwa idadi ya likes....... Jamen darassa anaweza na hakosei +254 much love
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 жыл бұрын
Kama umeirudia mara 4 hii video twende sawa,, boge la nyimbo
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 жыл бұрын
Mimi nizaidi ya marakumi huu ni uhondo wa ngoma
@kakaisaack4014
@kakaisaack4014 5 жыл бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya Aisee nipeni likes ndugu zangu
@charsmwaimu2598
@charsmwaimu2598 5 жыл бұрын
kaka Isaack
@jimmyx8412
@jimmyx8412 5 жыл бұрын
Ungepambanaga na class uwe wakwanza usingekua hapo ulipo leo
@kakaisaack4014
@kakaisaack4014 5 жыл бұрын
Darasani nilikua wa kwanza braza
@vdj_jones
@vdj_jones 5 жыл бұрын
Mysterious man,disappeared..came back like u never left..good one
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 жыл бұрын
Unajua sana mwanangu... sema nini achana na poda ujunki haujawah kumuacha mtu salama... muulize chid benz.
@eliasmshiu2600
@eliasmshiu2600 5 жыл бұрын
Hio cheza ya kinyamweziiii #jux
@kumi_254
@kumi_254 5 жыл бұрын
Back to class..DARASSA 💥💥 🇰🇪🇰🇪 +254 thumbs up!!!
@kachalalameck3054
@kachalalameck3054 5 жыл бұрын
Alikiba
@raymondkadutu4333
@raymondkadutu4333 5 жыл бұрын
Bonge La song skills za maana beat kuntu
@patricknsengiyumva1073
@patricknsengiyumva1073 5 жыл бұрын
Nc
@msodokimauwezo4194
@msodokimauwezo4194 4 жыл бұрын
+225
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 5 жыл бұрын
Huku Kenya tunasema hii ngoma ni Ngoriii!!! Yaani Noma Sana!
@onestkasmir4297
@onestkasmir4297 5 жыл бұрын
TONY BEST SENIOR hahahahaa kiazi kwel ngori ni nzuri muliz khaligraph fresh og ww jmaa lishe
@tonybestsenior8874
@tonybestsenior8874 5 жыл бұрын
@@onestkasmir4297 Kabisa bro
@michaelrapando1866
@michaelrapando1866 5 жыл бұрын
Kama umezikubali ngoma zote tatu gonga like ni relax kisha nipotee leo
@winladymziray2864
@winladymziray2864 5 жыл бұрын
Htr
@fatyqueen346
@fatyqueen346 5 жыл бұрын
Napendaga sana gusi anavyo imba darasa yaani anaimbaga staili yake kazi unaijua kaka
@sexyuniq22
@sexyuniq22 5 жыл бұрын
+254 locked in.... Loving it. Na huyo ni @pendo nimeona looking mwaahhh
@254shorttrendystories4
@254shorttrendystories4 5 жыл бұрын
Welcome back to class (Darassa) homework well done 💯💯na usichelewe tena tumeku miss🔥🔥🔥🔥
@chris_jabari
@chris_jabari 5 жыл бұрын
*Kurudia kuitazama* naruhusiwa mwisho Mara ngapi et!?😁💥💥💨🔥🔥🔥
@2116-n
@2116-n 5 жыл бұрын
1m bro
@messimessi7255
@messimessi7255 5 жыл бұрын
As long as una fulu bando hakuna limit😁😁
@kevinscholastica8628
@kevinscholastica8628 5 жыл бұрын
Infinity
@nathannjombemji7183
@nathannjombemji7183 5 жыл бұрын
Bando lako 2
@jimmyfabian5081
@jimmyfabian5081 5 жыл бұрын
ha ha haaa, as may as possible
@jim9443
@jim9443 3 жыл бұрын
Darassa is the king of rhymes...and who has noticed that he only does 2 rap verses in his songs and he kills it?
@josphatmuchiri5422
@josphatmuchiri5422 2 жыл бұрын
Osama mwenyewe💯💥
@jumaramadhan6299
@jumaramadhan6299 5 жыл бұрын
Hii song Kali sana ,Darasa utabaki kuwa juu
@Labtechnics
@Labtechnics 5 жыл бұрын
Darasa and Abba Prosses full champions...tuna tulizia chini..
@saidiemile7468
@saidiemile7468 5 жыл бұрын
From USA🇺🇸 , Darassa is on 🔥. Drop like
@lucycamelous4918
@lucycamelous4918 5 жыл бұрын
kwa dawa za kukuza uume na kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya dawa asili +255673200051
@DEGESTAR
@DEGESTAR 5 жыл бұрын
Like hapa kama umeikubali iyii collaboration
@anwarhassan85
@anwarhassan85 3 жыл бұрын
Mazungumzo baada ya habari...,cheza mbali maana hali sio shwari..💯.....no one like DaraSsa👊........hatuwezi zuiaa wimbo zako wacha zingonge🎼🎧
@markolando
@markolando 2 жыл бұрын
If he's not the best new generation rap king Then I honestly want to meet the real one now💯💯🔥🔥🔥
@hasanimashina6585
@hasanimashina6585 5 жыл бұрын
Darassa atabaki kua juu nyimbo Kali itabaki mawinguni ...........
@wacjona9837
@wacjona9837 5 жыл бұрын
Hello its me again, Mr burudani, take away the pain, pole kwa kuchelewa si unajua folen, nawapa vidonge kutuliza complain kichwa, sijabeba kama pambo, Akili, nimetega kwenye chambo, Fulu, chaji na full bando, ukileta, soo unawekwa kando, Anamaseke au kitete muulize, Ila kama mapepe mtulize sema naye... ooooh aeeeee....
@bekabokande254
@bekabokande254 5 жыл бұрын
Utauwawa bure cjalala nmeficha tu makucha,,,,,#darasa always mistari yako iko top bro
@nicholausshololoshololo5972
@nicholausshololoshololo5972 5 жыл бұрын
Fundiiiiii jux na brother darasa wameuaaaaa
@hamisisuley6362
@hamisisuley6362 5 жыл бұрын
Mr burudani haaaa hii ya moto sana like kama zote wajanja hizi ndio ngoma zenyewe jichanganye kama kachumbali chumvi mpaka kwenye chai haaa unahalibu
@danielmahila2692
@danielmahila2692 5 жыл бұрын
Xana
@anwarahmed9738
@anwarahmed9738 5 жыл бұрын
Dooh ngoma kali kishenzi
@fatyqueen346
@fatyqueen346 5 жыл бұрын
Napendaga sana nyimbo zako kaka
@bonita329
@bonita329 5 жыл бұрын
wewe ni kichwa aisee😍😍😍nakupenda aisee unaimba vizuri sana unahitaji sifa👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽✌🏽🇩🇪🇹🇿
@bonita329
@bonita329 5 жыл бұрын
@@ramaaboytz7606 unawazimu ww tatizo wabongo akili zenu umeziinamisha chini🙄ndio mana amuendelei kimaisha....pambana na africa yenu huko..Scheiße Mann
@bonfacejonas1131
@bonfacejonas1131 5 жыл бұрын
BONIFACE
@bonfacejonas1131
@bonfacejonas1131 5 жыл бұрын
Boniface
@bonfacejonas1131
@bonfacejonas1131 5 жыл бұрын
Okavango
@nellyjolie5650
@nellyjolie5650 5 жыл бұрын
Darassa's rap game is Kenya style just in a refined way, ama aje +254 JUX ❤️❤️❤️❤️is a darling and he sings with passion ❤️❤️❤️❤️ Alafu 0:21 Pendo alirudi kuwa video vixen, kweli economy ni mbaya
@amalcsalim-uu7hk
@amalcsalim-uu7hk 5 жыл бұрын
I thought i was dreaming kumbe ni pendo kweli
@gracewambui9690
@gracewambui9690 5 жыл бұрын
He should be a Kenyan😍
@margaretwairimu7728
@margaretwairimu7728 5 жыл бұрын
nelly jolie ndio ata mm nimeona khaii 🤣🤣🤣
@Silamoblapo
@Silamoblapo 5 жыл бұрын
Pole kwa kuchelewa kwenye comment section si unajua foleni 🔥🔥🔥 Love from +254🇰🇪
@eliasrwechungura7503
@eliasrwechungura7503 5 жыл бұрын
Kichupa Cha ukweli sana
@jacksonndimugwango5667
@jacksonndimugwango5667 5 жыл бұрын
Nasubili like za wanao mpenda darasa king of Africa kwa mzki mzr
@jacksonndimugwango5667
@jacksonndimugwango5667 5 жыл бұрын
Like you
@timetraveller454
@timetraveller454 5 жыл бұрын
Salute from +254🇰🇪🔥👌
@zujoboy36tzmusic9
@zujoboy36tzmusic9 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qpSzpXSKoJ1rhMU
@safatimatwiga3515
@safatimatwiga3515 5 жыл бұрын
utabaki kuwajuu daraassa
@shabansalum162
@shabansalum162 5 жыл бұрын
ukitaka kazi ya jeshi don't forget hakuna wa kukupetipeti daaah bro umeuwa
@justuskaitira5543
@justuskaitira5543 5 жыл бұрын
Nice song ngoma hatari
@2116-n
@2116-n 5 жыл бұрын
Duuuuh, ckuwa nmeinasa hiyo, KWELI HUJABEBA KICHWA KM PAMBO
@shingwahemed3803
@shingwahemed3803 5 жыл бұрын
Duh nikwel CMG kaachia hit song!!!! Km umeelewa like twende sawa
@harriethe3rd327
@harriethe3rd327 5 жыл бұрын
Huyo ako ligi ya shule awache kuitwa darasa...naona nikiua replay button..
@happysunsimina4971
@happysunsimina4971 5 жыл бұрын
uyu bwana ana fanya vizuri sana nani ame bisha aka ji nyonge
@ndalushabani2859
@ndalushabani2859 5 жыл бұрын
Darassa & jux!;;; namba mbaya!!!!!
@bkmyahudi9648
@bkmyahudi9648 5 жыл бұрын
Darasa kachafua Hali ya hewa, nyi zingueni tu!! jamaa katisha, proud of you bro, Genius +254
@sheilakilosa424
@sheilakilosa424 5 жыл бұрын
Duuuh Tatu?kwa siku Moja! Halafu zote Kali!
@maryoriang1949
@maryoriang1949 5 жыл бұрын
I wish ningekua kwa hii video sauti zapendeza hapa makofi kwa darasa😍😍😍
@emanuelcharles8469
@emanuelcharles8469 5 жыл бұрын
From KISAKI.....SINGIDA.....TANZANIA ngoma Kali sanaaa brow cpingagi Kaz zako big up Sana.....
@janewambui1523
@janewambui1523 5 жыл бұрын
My best bongo artiststs mob love 💕💕💕👏👏👏👏 👏 iyo rap na chorus 🔥🔥🇰🇪
@silawsang2565
@silawsang2565 5 жыл бұрын
mistari ya darasa🤭🤭 always on point 🔥🔥
@yohanagunda8335
@yohanagunda8335 5 жыл бұрын
darasa ni darasa anahitaji darasa kweli noma sana
@deobongole876
@deobongole876 5 жыл бұрын
Two five five... Wapi mkooo 🤙🤙💪🏽💪🏽
@julianmbowe4575
@julianmbowe4575 5 жыл бұрын
kama ni kishindo tingishaaa, kama ni mzka pandishaaaa........oyoooo chuma kwa chuma yan tabu hapa club D....LIKE za kumwaga
@harrison_weru
@harrison_weru 5 жыл бұрын
kama ni mzuka pandisha...darasa ako juu si uongo...cheza mbali maan hali sio shwari...kwampigo
@allyianbgoya5163
@allyianbgoya5163 5 жыл бұрын
Jux kama alikuwa na mzuka hivi na kaupandisha kinoma...good chemistr asee ngoma kali sana..big up Darasa
@christianangelo4832
@christianangelo4832 5 жыл бұрын
Darasa Mkali Duniiiia Nzima..... Utauwawa bure, Cjalala nimeficha tuu makucha😎😎😎
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 жыл бұрын
christian angelo ni nomaaaaa
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 жыл бұрын
christian angelo waaabieshe wakisema amepotea anavuta madawa dah fireeee
@mohamedkodi3643
@mohamedkodi3643 5 жыл бұрын
Wambile wackile!
@jamesdenis9698
@jamesdenis9698 5 жыл бұрын
kwani hii ngoma si imeachiwa LEO kweli leo ni leo
@nuranmoshi6644
@nuranmoshi6644 5 жыл бұрын
kama ni maji mwagika leo leoooo
@anthonymgogo2651
@anthonymgogo2651 5 жыл бұрын
From outerspace nmekuja duniani kuhudhuria DARASA twende sawa kwa likes hapa
@Kimaro_Comedy
@Kimaro_Comedy 5 жыл бұрын
Naona mzee baba karudi vizuri sasa safi sana darasa hayo ndo mambo tunayotaka sasa!!😘😘😙😙
@honestatibu7204
@honestatibu7204 5 жыл бұрын
Karibuni darasani mwalimu ni darassa🔥🔥🔥👏👏👏💯
@amisisteven8339
@amisisteven8339 5 жыл бұрын
Bust down down Jux !!! Chuvi mpaka kwenye chaI ☕️❤️💯
@bernatonny7549
@bernatonny7549 5 жыл бұрын
Wapewape vidonge brasa
@naheerally9019
@naheerally9019 5 жыл бұрын
Sijipenda kbsa mxiiiiiiuuuew
@stevengeorge249
@stevengeorge249 5 жыл бұрын
Dah imegusa broo huwa Sipendi kukoment ila Leo 👏👏
@edigargidioni5043
@edigargidioni5043 5 жыл бұрын
Darasa fundi kabisa Wakwanza mim🔥🔥🔥
@mkula2023
@mkula2023 5 жыл бұрын
Oyeeee huku Darasa yupo kwa air
@duncanmotanyanyariaro7454
@duncanmotanyanyariaro7454 5 жыл бұрын
Noma sana hii traki, me nataka Joh Makini na Darassa. Bring it on.
@beka.jeshijeshi2100
@beka.jeshijeshi2100 5 жыл бұрын
Atari sema nae Leo Leo leo
@lmmaculatealualu5630
@lmmaculatealualu5630 5 жыл бұрын
Inaitwa tz and Kenyan music l really love it weza sana wanipendeza sana moto hvo hvo tamuuuuuuuuuuuuuuuu 😘
@d.t.o1747
@d.t.o1747 5 жыл бұрын
Love from Mali🇲🇱 je comprend pas ce qu'il dit. Darassa l'un de mon Chanteur de L'Afriques 💣💣
@jeancallixtekwizera7425
@jeancallixtekwizera7425 5 жыл бұрын
Tunabapenda burundi gonga hapa
@Mtznajua
@Mtznajua 5 жыл бұрын
Jean callixte Kwizera poll
@allymigambi8995
@allymigambi8995 5 жыл бұрын
Jean callixte Kwizera kweli kk
@Simbaneema
@Simbaneema 5 жыл бұрын
Darassa na jux mko juu Tena sana Nani akona mimi
@ishermumy1254
@ishermumy1254 5 жыл бұрын
uko juuu brother
@elizabethsanka2726
@elizabethsanka2726 5 жыл бұрын
Ngoma tatu kwa siku mojaaa. Wowww!! Brotherrrrr
@jmkentertainment..8247
@jmkentertainment..8247 5 жыл бұрын
Jux/ Darassa Bg up yourselves..Salute from🇨🇭🇰🇪
@shadrackmwendwa7808
@shadrackmwendwa7808 5 жыл бұрын
Mr. Burundani...kichwa sijabeba kama pambo
@oscarfelisian2512
@oscarfelisian2512 5 жыл бұрын
darassa sijui unarudi nyuma ama waenda mbele kama n mbele hii nyimbo sio ya kuwa na viewers wachache kama ivi ,miezi miwili bado viewers n million moja tu broo warudi nyuma kimafanikio upande wa you tube
@kingrasdee445
@kingrasdee445 5 жыл бұрын
Jaman mashabik w music mzur Tz, like nyng zmiminike kama mvua kwnye wmbo huu.
@MrMtulivu
@MrMtulivu 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kutoka bongo hadi. +39 ITALI.
@mohthecrypto5096
@mohthecrypto5096 2 жыл бұрын
FYI: Darasa is Class! 🇰🇪 Kenya is in full attendance!
@maryanneakinyi
@maryanneakinyi 5 жыл бұрын
The ghetto princess (Pendo) popping like Damnnn😍😍🤗
@officialwakungwimark3797
@officialwakungwimark3797 5 жыл бұрын
Callme Maryanne kumbe umemuona
@yemedia255
@yemedia255 5 жыл бұрын
Sanaaaa darasa
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 5 жыл бұрын
Oyoooooooooooooo! Kama ......limechanika.............kama ni kishindo tingishaaa...kama ni mzuka amshaaa....kama ni mnazi katkaaa
@nampozamani1692
@nampozamani1692 5 жыл бұрын
leo kali sana mzuka
Proud of You - Darassa Ft. Alikiba (Official Music Video)
3:44
Darassa
Рет қаралды 11 МЛН
Darassa - Mind your Business (Lyrics Video)
3:16
Darassa
Рет қаралды 8 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Nameless and Darassa - PAH (Official Music Video)
3:55
NAMELESS KENYA
Рет қаралды 1,1 МЛН
Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Dance Video)
4:18
Rayvanny
Рет қаралды 10 МЛН
Darassa ft Ben Pol - Muziki ( Official Music Video )
3:00
Darassa
Рет қаралды 27 МЛН
Darassa  - Shika ( Official Music Video ) ft Maua Sama
3:37
Darassa
Рет қаралды 1,6 МЛН
Willy Paul x Jux  - Nimelewa Rmx ( Official video )
3:51
Willy Paul Thee Pozze
Рет қаралды 1,9 МЛН
Darassa - Hasara Roho (Official Music Video) - Tanzania
3:11
Darassa
Рет қаралды 6 МЛН
Darassa ft Harmonize - Yumba (Official Music Video)
2:54
Darassa
Рет қаралды 2,7 МЛН
Darassa ft Marioo & Nandy - Loyalty (Official Music Video)
3:26
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.