Ameeen ameeen Sifa na Utukufu ni vya Mungu Mwenyewe
@josephwanjala77942 жыл бұрын
Ndiyo amen
@ClarainWakihaka8 ай бұрын
Amen
@celestinealimasi48663 жыл бұрын
Barikiwa sana baba yangu David kwa wimbo nzuri
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Mungu akutendee na kwako pia
@barbrahasubira29073 жыл бұрын
Baraka tele
@fordingofabian69563 жыл бұрын
Ni kweli hyu Mungu ndo Yule Alie tenda hapo zaman na sasa tusiache kumtumikia ame
@clementkevogo23483 жыл бұрын
I like Tanzanians for umoja katika kumsifu MUNGU,Be BLESSED.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi kazi njema keep up
@johnimonje9173 жыл бұрын
🙏🙏🎶🎶🎶🎶
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu Asante Sana kwa Sapoti yako Kubwaa Mungu akubariki pia kwa Moyo wa Upendo Ubarikiwe Sana sana
@mathayokasaba81533 жыл бұрын
Najiskia furaha nionapo watumishi wa Mungu mnavyoshirikiana kumtangaza Huyu Mungu kupitia jina la Yesu. Hakika ni njema sana machoni pa Bwana Kuna dhawabu katika hilo, maana ni alama ya upendo.
@juleey78673 жыл бұрын
More grace of GOD man of GOD
@juleey78673 жыл бұрын
God bless you and protect you and your are ministry your family everything you touch overflow in Jesus mighty name
@frankmwinuka82643 жыл бұрын
Christopher na sifael ninyi atari sana toeni wimbo wa pamoja bhana iwe kali
@mosesjuliusofficial44493 жыл бұрын
Mungu awabariki tu mtumishi wimbo huu unanibariki Sana
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeeen Ameeen Mungu aendelee kukubariki sana
@producerkay13763 жыл бұрын
Mungu akubariki Sanaa mtumishi kazi ni nzurii
@beatriceachiengomolo99423 жыл бұрын
Mungu ni yule yule habadiliki milele !!!!
@francisgichichi68133 жыл бұрын
Acha Mungu apewe utukufu kupitia watumishi wake 🙏,
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeen Ameeen Barikiwa sana
@johnmaingi70903 жыл бұрын
Moto sana,
@dorothykayags2622 жыл бұрын
Wimbo mzuri huu watumishi
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@celestinealimasi48663 жыл бұрын
Kweli uyu Mungu ni yule yule mwenye nguvu mubarikiwe sana baba sifaeli pamoja na christ
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@yusuphneema72982 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi mungu azid kukuinua na kukuweka viwango vingine kabisa.maana yeye alisema huinua wanyonge na kuwaketisha pamoja na wakuu wa watu wake .ikawe heri kwako
@subiraadam23223 жыл бұрын
Hakika hajawahi badilika Toka zamani mpaka leo anatenda.....barikiwa Sana mtumishi kazi yako n njema Sana..
@cecilyakasekelo7113 жыл бұрын
Mungu ni yule yule abadiliki milele na milele akuta tokea mwingine Amen Amen
@jboymamilion61743 жыл бұрын
Aiseee brooo kaz nzuri sana kaka
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Asante Sana Mkuu Sifa ni za Mungu wetu
@mushumbusirespicius97213 жыл бұрын
Hongera sana kwa hatua hiyo David kasaba, hongereni watumishi wa Mungu kwa ushirikiano wenu. Christopher Mwangila na Sifael Mwabuka. Sifa na utukufu kwa Bwana.
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen sifa na utukufu apewe Bwana
@edyamosi5863 жыл бұрын
Yeye habadiliki yeye anatupenda
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@fgcv98933 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo.Ndugu zanguni katika Kristo Mungu akawabariki sana😇😇😇
@ibrahimlameckministry18673 жыл бұрын
Barikiwa San
@nurukalinga79983 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkuu sana acha akufikishe kule unataka kufika Kaka usikate tamaa ila songa mbele na Mungu awabariki nyote
@johnnziku58703 жыл бұрын
Alie tenda wakati uleeeeeeeee
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Kaka
@celestinealimasi48663 жыл бұрын
Wow nzuri sana mubarikiwe sana wimbo nzuri sana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Barikiwa zaidi
@lucywambui76363 жыл бұрын
Kidolee kwa sifaeli na hao ndugu wawili🔥
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Barikiwa Sana
@johnsonwanyangachika15853 жыл бұрын
Huyu MUNGU NIYULE YULE UJUMBE MZURI SANAAA NDUGU YANGU HAKIKA KUNA KITU KIKUBWA MUNGU KAWEKA NDANI YAKO
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Sifa ni za Mungu mwenyewe
@aneth5203 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi ufike mbali....ujumbe mzuri sana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi Mungu akutendee mema zaidi
@esthernekesa31573 жыл бұрын
Mungu ni yule yule na bado tunaimani naye
@PapaTheKingKenya3 жыл бұрын
Niko pia mtumishi WA mungu#tusupport injili
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen
@mercykibwagekerubo91613 жыл бұрын
KAZI NZURI
@mwalimuselemankasangani20742 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumish wa Mungu
@raphaelymsilu66913 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu kazi nzuri
@ngongomamy2968 Жыл бұрын
nabarikiwaka sana vidéo Zako nikiwa BURUNDI mujabe asate baba
@jofreymbawala59632 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa BWANA,well done.Mungu akuinue zaidi.💪💪🎹🎹🎹🎸🎸🪘🪕🪕🎷🎤🎤🎤🎶🎶
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@michaelkamtupe19703 жыл бұрын
HONGERA SANA DAVID KASABA HAKIKA NYIMBO HIYO MUNGU AKUPE UZIMA TUENDELEE KUMTUMIKIA HONGERA SANA SANA
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa Sana kaka
@esthernekesa31573 жыл бұрын
Nyimbo nzuri kazi nzuri
@jamesdonard20813 жыл бұрын
Hongera sana kk kwa kazi nzuri sana Mungu awabariki watumishi
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi
@richardmutekeofficiel43722 жыл бұрын
Mungu akupeleke kwa vi Wango vya juu
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeeen
@doskalunguofficial30572 жыл бұрын
Mungu ni yule yule, Jana, Leo na milele 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeen
@yerikoseph95163 жыл бұрын
Nabarikiwa sana, mungu azidi kukuonekania kaka
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Ameeen
@jeanmariemuco11323 жыл бұрын
Barikiwa saana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Mungu akubariki pia Mtumish
@magdalenayuda43543 жыл бұрын
Mimi nimebarkiwa sana na huuwimbo MUNGU wambingu awainue zaidi ya hapo
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@shangweremiofficial41243 жыл бұрын
Barikiwa Sana mwenewachu
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Mwenewachu Ubarikiwe
@maxmillanamayi37142 жыл бұрын
Nice song 🙏🙏..si Chris na sifael wafanye ile kitu jameni inaenza kua 🔥🔥
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeeen
@juliennewakana19663 жыл бұрын
Mungu azidikukupa nguvu yakufanya kazi nzuri kamanaizi Amen 🙏🙏🇧🇮
@mathayokasaba81533 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi
@diverjohnfasi65023 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongera sana kaka
@ngongomamy2968 Жыл бұрын
mubarikiwe narudiyaka uyu wibo mara kumi
@josephinemichael15143 жыл бұрын
hongereni kwa kazi nzuri
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
@josephinemichael15143 жыл бұрын
Amen
@edyamosi5863 жыл бұрын
Nimeungalia Zaidi ya mara mbili kazi nzuri David kasaba Mungu awabariki nyote MUNGU NI YULE YULE
@witnessurassa99772 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@yonasshechonge45493 жыл бұрын
Barikiwa sana
@mathayokasaba81533 жыл бұрын
Ameen ameeen
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
@joelmsawile98983 жыл бұрын
Kazi yenye viwango vya juu sana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Sifa na Utukufu ajitwalie Mungu Mwenyewe
@evodiusjohntz60323 жыл бұрын
Mungu akuinue zaid kaka
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Kaka Barikiwa Sana Pia
@ozemobadia74073 жыл бұрын
Hakika Mungu ni yule jana, Leo na hata milele, Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu Kaka David kasaba , Mungu akuinue zaidi kwa ajili ya utukufu wake.🎤🎸🎹🥁🎤🎸🎹🎸.
@witnessurassa99773 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi david, sifael na christopher wimbo mzuri Sana, Mungu awainue kwa viwango vingine
@mellenondieki63292 жыл бұрын
Thanks,mungu,asemi uongo,, this song is my life,history, mungu ni mungu, hafanya machabu,.some songs,is to teach the story of some people. Be blessed 🙌 I IN USA 🇺🇸
@evodiusjohntz60323 жыл бұрын
Kaka upo juuuu
@domeddtzbouraaa3 жыл бұрын
Amina mtumishi mungu aendelee kukuinua na uendelee kunyenyekea katika mkono wa bwana aweze kukuinua kwa wakati wake ombi langu mungu akufanikishe zaid kwa utumish wako
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Asante Sana Mtumishi Wa Mungu Barikiwa zaidi Ameen
@mapachawayesu3 жыл бұрын
Mungu Akubariki Saana Mtumish Wa Bwana Kwa kazi nzuri
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Asante Sana Mapacha wa Yesu
@michaelkamtupe19703 жыл бұрын
Waoooooo huyu Mungu 💥💥💥💥💥
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Barikiwa Sana kaka
@evansimsagaatkog19533 жыл бұрын
Ameni ...Mungu niyule yule
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Ameeen
@timothybilato39603 жыл бұрын
Waooooo nakubali Sana kazi zako Barikiwa
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaid
@danphordcosmas97253 жыл бұрын
Ni yule yule habadiliki Yesu Umetisha sana mtumishi
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Ameeen Sifa ni za Mungu wetu
@mathayokasaba81533 жыл бұрын
Wimbo, mzuri sana David Kasaba, Mungu akubariki, aendelee kukutumia zaidi na zaidi, kukupa maono ya kumtangaza yeye, hakika tunahudumiwa na huduma Mungu aliyo kupa.
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Asante Sana Sifa na utukufu ni za Mungu alie Hai
@nuhumichael5553 жыл бұрын
Hakika #Mungu niyule yule
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Hakika
@rotaseliud21143 жыл бұрын
Hongeeeera Sana watumishi wa Mungu Wimbo huu nimeupenda Sana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaid
@alicembaga63502 жыл бұрын
Wimbo mzuri umenibariki Sana mungu awalinde
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@judithmakuto36123 жыл бұрын
Watumishi Wa Mungu Waliojawa Na Upako,Shangilia!!!..
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Amina kubwa atukuze Mungu wetu alie juu Sana
@tasokwamichael24333 жыл бұрын
Sifael mwabuka &Christopher mwahangila sijawahi choka sikiliza kazi zao 🙏🙏🙏
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Barikiwa Sana
@farajaemmanuel52523 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtu WA MUNGU
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi
@farajaemmanuel52523 жыл бұрын
Ameeen
@anisethmisana70263 жыл бұрын
Habadiliki niyeye yule yule wanadamu watabadirika lakini yeye akisema ndiyo hapana asema ndiyo
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Hakika Mungu habadiliki hata Sasa anatenda
@joasatv69933 жыл бұрын
Barikiwaa
@edyamosi5863 жыл бұрын
Hakika wabarikiwe sana
@mombeolunyonyi80273 жыл бұрын
Hiyo ni kweli. Mungu awabariki watumishi wa Mungu kwa uimbaji wenu mzuri!
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Atukuzwe Mungu wetu
@thedykyaruzi86283 жыл бұрын
MUNGU wetu anaweza yote tusikate tamaa kumuomba,Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU🙏🙏
@tasokwamichael24333 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri 🙏🙏
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@linnamnzava94283 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Umenibariki Sana jaman
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Sifa ni Aliye huu sana
@mathayokasaba81533 жыл бұрын
Very blessing song, Mungu awabariki sana, David Kasaba ft Christopher Mwahangira+ Sifael Mwabuka
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Atukunze Mungu wa Mbingun
@frankelias1063 жыл бұрын
D, C , S. well done brz's nyimbo inatufundisha kua wavumilivu na kuendelea kumwamini Mung. Like km
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Hakika Mungu niyule yule Jana na Leo hata Milele Habadiliki Asante Sana Kaka
@rozaliamagige21092 жыл бұрын
Wow! Hongera sana mtumishi
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Ameeem
@maureengitahi2203 жыл бұрын
Ths song has been much of a blessing to me.God bless u uweze kubariki moyo ya watoto wake
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@deejayjamohmkenya43183 жыл бұрын
Amen, huyu Mungu Ni Yule yule. Deejay James kutoka Kenya
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa Sana pia
@AsaphYegon2 ай бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa mko na sauti ya upako sifael mwabuka mungu akuinue
@MICHAELDAMASTZ3 жыл бұрын
Hogera kaka kazi nzur
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa Sana kaka
@monucesthela60893 жыл бұрын
Mubarikiwe na mwenyezi Mungu watumishi nabarikia sana na wimbo uhu from DRC✊
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen
@jonathanvyaranse26683 жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Barikiwa Zaidi
@zaburonimeshacki59172 жыл бұрын
Mung akubariki akuinue
@Bishopemmanuelsinduhije72893 жыл бұрын
Barikiwa sana mkuu
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Baba Barikiwa zaidi pia
@NashonShisoka-tg8po Жыл бұрын
Nimebarikiwa my pstor Christopher mwagila mungu akubariki ,
@rehemampangala41183 жыл бұрын
Kazi yenu ni njema Mungu awabarki sana
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Amina Sifa na Utukufu nivya Mungu
@DavidGKasaba2 жыл бұрын
Amina Sifa na Utukufu nivya Mungu
@jemiljay1946 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hapo hongera sasa kaka David n wenzio ....much love from 254
@heavenlyprincess11223 жыл бұрын
Ni MUNGU wa majira na nyakati zote, muinuliwe sana watumishi wa MUNGU🇰🇪🇰🇪
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Amina Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
@Lavin49653 жыл бұрын
Wimbo huu umenibariki sana Mungu awainue viwango na viwango 🙏🔥🇰🇪
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Barikiwa zaidi Mkuu
@daudimhoha8943 жыл бұрын
Mbarikiwe.sanaaaa.watumishi.wa.mungu
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu
@linnamnzava94283 жыл бұрын
Kaka Kasaba mbarikiwe Sana
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Sifa ni za Yesu
@elishajafari2673 жыл бұрын
Powerful and blessing VIDEO!🎷🥁🎺🎸 Kazi yako Ni njema sana mtumishi wa Mungu David, Uzidi kuinuliwa zaidi na zaidi, huku ukishuka na kumuinua Mungu , kisha nawe AKUINUE maradufu!❤️🔥🔥👏
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Ameeen ameeen Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu