#ChristopherMwahangila #Subscribe #255654379537.Channel Administered by Huru Digital Instagram: / hurudigital
Пікірлер: 665
@lulupeter-xf9gs5 ай бұрын
Mbele yangu Naona ushindi, Kwa anae amini mwaka huu 2024 anaona ushindi tujuane Kwa like hapa 🙏
@user-rf4km6bp9s2 ай бұрын
Amen corrage
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen sana Na Iwe Hivyo
@josephaleto87082 жыл бұрын
Thanks bro, nabarikiwa nikiwa Nairobi, Kenya, Chochote unachoguza kibarikiwe unapohudimia Mungu pitia huduma yako.
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Wooow kaka Joseph... Mkono Wa Mungu u Juu Yako Popote ULIPO MUNGU akuhudumiee...
@felichesmkweka13302 жыл бұрын
Japo Vita Ni kubwa Ila mbele yangu naona ushindi✅ kazi nzuri ✍️ Kaka
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Daaaah Barikiwa Mno Felishem
@abdulihamisi-lf2jgАй бұрын
naipenda sana hii nyimbo leo paka kesho MUNGU akubariki mtumishi na akunulie mwingine tena najua sikwaakili yako bali yeye kakutumia utufikishie huu ujumbe
@rosinawawuda74322 жыл бұрын
OH Hallelujah! Nimeonaaa Ushindi Mkubwaaa Yeriko Yangu Imeanguka!Maadui Chini.Nasimama na Neno LA Kutoka 14:13-14 naa Warumi 12:19.Glory to God!
@rosinawawuda74322 жыл бұрын
Kijana May God Always Bless You Abundantly.
@agnethpaul35962 жыл бұрын
Agano lake kwenu hakika lisimame.... Tutainuliwa wengi . Ushindi unaoneka.!!!!
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEEN SANA MUNGU Ni Mkuu
@thomasamos95632 жыл бұрын
Nimepata matumaini tena nasimama na kusonga Mbele ushindi uko mbele yangu
@kakulematumomoise11482 жыл бұрын
À santé sana kwa wimbo wako ni Moïse from Congo d, r,c beni
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
re mercier's kakule
@manmaster536 Жыл бұрын
safii mbele yangu naona ushindi🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
@selinajohn35529 ай бұрын
Nilijuwa house girl nakaa nyumbn lakn nilijuwa na ndoto ya kusoma lakn wazazi hawan Hela nilijuwa naamin mungu ansem one day yes ushindi uko mbelee lakn sas me ni mwalimu
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen Sana Mungu ATATENDA Makubwa Zaidi..
@virginiamwikali19682 жыл бұрын
Mnele yangu naona ushindi.kwa mambo yalionishinda kuna ushindi.wimbo wenye matumaini
@rosinawawuda74322 жыл бұрын
Huo Wimbo Ni Wangu.Wapendwa Nine Barikiwa Kweli Ni Kiwa Kenya Yetu.Ni Kwa Neema .
@emanuelhancy6192 жыл бұрын
My brother inuliwa Sana Sana huduma yako Ni kuuu💥💥💥💥
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Asanteee Sana Ndugu Yangu Emmanuel hancy
@petersinga2085 Жыл бұрын
Kaka Steward be bless from COED USCF uko wap ule wimbo wa sambamba na Yesu
@isayamalima27262 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, Mungu akubariki mtumishi (Chombo) akuinue zaidi na ndugu yako mwahangila.
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Isaya asanteee Mno kaka... Barikiwa Sana
@mrkibali60752 жыл бұрын
Ukafanikiwe kwa jina LA Yesu
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEN Sana Mr KIBALI
@gracesidi1077 Жыл бұрын
@@stewartmwakasege hallelujah hallelujah hallelujah, japo vita nikubwa ila naona USHINDI, vita si vyetu vita nivya bwana, hallelujah, pls man of God sinuwekw hii song mdundo plz Iko na uwepo wa MUNGU,,,,,,, nimeitafuta kwa Christopher mwahangila bt sikuipata na haiko mdundo, plz. Man of God weka mdundo,
@EvalineKessy6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@gracekalebo7610 Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki sana hongera KWA ushindi.karibu na kanisan kwetu hata mara moja ututembelee
@jobjohn21602 жыл бұрын
Broo big up nice song ilipangwa na ikapangika
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
I appreciate...kaka Job...
@user-hx4oh4ih8b8 ай бұрын
Ni kweli ninapt kwenye magum lakn mbele yang naon ushind
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen sanaaa UTAFANIKIWA
@Upendo-qb2kc Жыл бұрын
Wimbo huu umenitia moyo sana na kunivusha kwenda upande wa pili na nikaona ushindi,MUNGU azidi kukupa mafunuo ya jumbembe mtumishi.
@stewartmwakasege5 ай бұрын
Ameen
@zakariamhando91402 жыл бұрын
Nyimbo ninzuri nimependa Sana mungu akusaidie!
@silvestererasto98902 жыл бұрын
Amen,naona ushindi
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Receive
@janetchemai76792 жыл бұрын
Amen. Mbele yangu naona ushindi..,, 🇰🇪🇰🇪
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Wooow be Blessed..Janet... from Kenya MUNGU AKUTENDEE MAKUU
@mamafetty8778 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa nyimbo nzuri imenibariki sana huyu mama ametulia kweli kwl nampa hongera zake❤
@rosekamadi63122 жыл бұрын
Wimbo nzuri ya kutiya moto, God bless you
@rosekamadi63122 жыл бұрын
#kutia moyo
@titomkenya67892 жыл бұрын
from 🇰🇪 naona ushindi mkuu Sana, wimbo umekubalika🔥🔥🔥
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Kaka Tito Barikiwa Mnoo kaka... asanteee Sana
@frankbalile28702 жыл бұрын
Ahsante, ubarikiwe sana
@shanicechemariech37742 жыл бұрын
Amen
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Asanteee Sana Tito Ni Support Yenu Tuu
@stewartmwakasege Жыл бұрын
Ameen Tito From Kenya
@sizosmwamba407910 ай бұрын
Izinyimbo zinanifanya sawa vile Niko mbinguni
@emanuelhancy6192 жыл бұрын
Naona ushindi 💥💥💥💥💥💥💥
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEEN MTUMISHI IMEKUA
@youngresearchkenyalimited31832 жыл бұрын
Wimbo wenye tumaini. Tia bidii ndugu katika njia ya injili
@hillaxlovonga4905 Жыл бұрын
This song is timely , mbele yangu naona ushindi. This is the year, mimi mwenyewe naoma ushind, promotion coming, God is raising me
@stewartmwakasege Жыл бұрын
Be blessed Servant of God
@keflentito23182 жыл бұрын
Mbele yangu naona ushindi, Yeriko imeanguka amen, barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Japo kwa sasa vita ni vingi ila mbele yangu naona ushindi.....nice song❤️
@bonfaswambui73152 жыл бұрын
It's true usife mwoyo mbele yako naona ushindi, baraka palipo yesu baraka na ushindi hazikosi, I have a testimony GOD BLESS YOU
@samwelandrew63362 жыл бұрын
I see u man of GOD, hakika ushindi ni lazma kwa kila anaemwamini MUNGU halisi!
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Presenter samwel Andrew Nashukuru Mnoooo kaka Support Yenu Ni kubwa
@priscadate87742 жыл бұрын
Merci beaucoup pour la traduction,cela nous permettra de comprendre pour aussi glorifié Dieu tout puissant avec vous, merci
@puttenyanthony92842 жыл бұрын
Kazi kubwa sana nami nitashinda umeweza sana
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Kaka Putten Nashukuru Mno kaka
@modesternorbert97282 жыл бұрын
Kabisa wimbo mzuri sana
@janetjano87022 жыл бұрын
Kwenu ndugu tunaona ushidi
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEN Sana MPENDWA
@wanguiregina89292 жыл бұрын
Amen bado liko tumaini
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEN Sana MPENDWA Wewe Ni MSHINDI
@poluvocalcoach2 жыл бұрын
Hongera san bonge la kaz
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Sana Kaka
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Barikiwa Mnoo
@zulfasaeed74452 жыл бұрын
Mbele yangu naona ushindi japokua nina magumu mengi sana 😭😭😭😭😭ila sijakata tamaa mm najua mshindi tu kwa uwezo wa mungu 🙏asantee kwa kaz nzur ubarikiwe sana kaka🙏🙏
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Wooow Zulfa .. Wewe Ni MSHINDI MUNGU amekuchagua..
@zulfasaeed74452 жыл бұрын
@@stewartmwakasege Asantee kaka hakika ndiyo mana sikati tamaa wallah kiza kingi ujue karib kunakucha 🙏😭😭💪💪
@aymanisaid1042 Жыл бұрын
Ameni nimebalikiwa na nyimbo hii mungu awe pamoja nanyi
@emilywafula92379 ай бұрын
Ushindi na saidi ya ushindi ni sehemu...yangu kwa jina la Yesu.
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen sanaa
@unclenico97382 жыл бұрын
Wow nina ushindi mm
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Uncle Nico asanteee Mnoo... Wewe Ni MSHINDI KATIKA YEYE ATUPAYE NGUVU... Ameen
@gladysjero5 ай бұрын
My favorite song Ever naona ushindi 🇰🇪🇰🇪
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Keep up the good work Star 🌠✨✨✨✨ 🎙️ ilove the song 🙏
@lydiahanyango5066 Жыл бұрын
Maombi yangu mungu anionekanie na anipanguze machozi
@silahmarauni3942 жыл бұрын
Mubarikiwe kwa huduma nzuri...huu wimbo una ujumbe kweli,naona ushindi Mungu tufungulie kesho
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Na iwe Hivyoo
@musyimipurity94445 ай бұрын
Chris is anointed...the part he gets in makes the rest of the song a masterpiece....what a nice collabo.
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen Be Blessed Man Of God.
@josephinemichael15142 жыл бұрын
Songambele Stewart, nimebarikiwa nikiwa IRAQ🇮🇶
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Wooow asanteee Sana Josephine.. Barikiwa mnooo Wewe Ni MSHINDI
@josephinemichael15142 жыл бұрын
Amina sana
@CASSIUSJUSTUSKIONAMBALI2 жыл бұрын
Hatua zako ni nzuri Prom. Ninazifuatilia na kuridhishwa nazo. Ninathamini michango ya kila mmoja aliyefanikiwa kwa wewe kufika hapo.
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
PROMINENT Nashukuru Mno kaka, Support Yenu Naiona Tuzidi kuombeana..
@mahirwekanyere3120 Жыл бұрын
I love his song I hope you enjoy and listen 🎧 keep up the great music
@victoramwamumusic56092 жыл бұрын
Upako upya na neema imeshuka kutoka wimbo huu ,Mungu akubariki
@selinajohn35529 ай бұрын
Mungu akubariki san huu wimboo umenivusha kutoka sehemu Moja na nimefka sehemu nyingne ubarikiwe Sanaa
@stewartmwakasegeАй бұрын
Ameen Utavuka zaidi na Zaidi
@edinagwasupika34062 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua katika uimbaji wako mwanetu hakika mbele yetu kuna ushindi, wimbo mzuri sana
@mrkibali60752 жыл бұрын
Hakika barikiwa sana mkuu
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Mr KIBALI Asanteee Mno... Barikiwa
@ezekieltumza13892 жыл бұрын
Ni fire Wimbo mzur sana mbele yangu naona ushidii
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Ezekiel.. Ushindi Uko Na Wewe
@benjaminmukonda6578 Жыл бұрын
Only God knows our future...today am no body, but tomorrow God willing I will be somebody and will deat and win..glory to God..
@RehemaNabintu2 жыл бұрын
Vita ni kubwa lakini Ushindi wangu nauona kwa Yesu. Naupokea kwa Jina la Yesu Kristo Amen. 🙏🏾
@frankbalile28702 жыл бұрын
Amen, ukweli unatubariki sana
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
RECEIVE IT IN THE NAME OF JESUS...MUNGU AKUTENDEE MAKUBWA MNO...
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
MUNGU AKUTENDEE MAMBO MAKUBWA, YASIYOTAFTIKANA
@RehemaNabintu2 жыл бұрын
Amen and Amen.🙏🏾
@blessing8230 Жыл бұрын
Very powerful song I love this song
@joshuamimpwi3794 Жыл бұрын
Powerful song leteni likes za shabiki yako mkubwa from Kenya you will sour into great heights in Jesus Name❤️👋
@hassanmachnoo58912 жыл бұрын
Kaka wimbo mzuli sn mungu akufanyie wepes kila jambo lako kaka 🙏🙏🙏🙏
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Daaaah Ameeen Sana Hassan
@wemajsimon85592 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Na Mungu aendelee kukutumia viwango vya juu kupitia wimbaj🙌
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Sana wema
@petergerevans84482 жыл бұрын
Nakubali kaz n ya motoooooooo
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Sana Mtumishi Peter
@kyalagwamaka1550 Жыл бұрын
Napokea kwa Jina laYesu namimi nitashinda
@florencesanita14132 жыл бұрын
AMEN naona ushindi
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Na Iwe Hivyoo
@monicasisya67792 жыл бұрын
Erico imeanguka ,ma adui wameanguka, naona ushindi mimi ♥ hakika Mungu anawatumia watu wake kuponya miyoyo ya watu wake ,nice song 🎵...
@ericampanju15742 жыл бұрын
Mungu akuinue kwa viwango vingine, hakika naona ushindi mbele yangu.
@NashonNashon-gg6dfКүн бұрын
Bonge la rumba hongera na aliyepiga bess gitaa Nampa big up
@selemanikihiyo71676 сағат бұрын
Mungu niongoze nipate ushindi mkubwa sana
@diananyawanda19502 жыл бұрын
Mbele yangu naona ushindi na kuinuliwa, katika jina kuu la Yesu Kristo.
@bigirimanaguillaume10062 жыл бұрын
Amen nitashinda kwajina ra Yesu Christo.
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
AMEEN Imekua...AMINI Tuu
@queendeeofficial9810 Жыл бұрын
This is what I needed to hear ,kwa wakati huu ambao familia yangu inapitia kwenye changamoto na majaribu ambapo baba mzazi amepata ajali, Nina imani Kuna ushindi mzazi atapona Kwa jina la yesu🙏🙇
@daudimangire4976 Жыл бұрын
Bwana yu nasi hata milele
@premmyhamisi45782 жыл бұрын
Barikiwa sana Ndugu Stewart 🙌🙌🙌🙌🙌🙌kwa kweli mbele yako kuna ushindi
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Ameen Ameen Sana Mtumishi
@mshambawayesu2 жыл бұрын
Ushindi uko Mbele Yangu Hakika... Barikiwa Sanaaa kwa Kazi nzur sana...
@stewartmwakasege2 жыл бұрын
Daaaah asanteee Mnooo Mzee wa Vifungo...
@rozisiara958 Жыл бұрын
Powerful song,nata skiza tune nitapaje
@adyutyvedasto26362 жыл бұрын
Mbele yangu naona ushindi,,, Nimebarikiwa sana na wimbo mzur wa kutia tumain Hongera sana kaka Stewart Mungu azid kukuimarisha mtumishi wa bwana Yesu
@neemakadege3652 жыл бұрын
Mbele yangu naona ushindi....mbarikiwe mno
@a.j.m97402 жыл бұрын
Kutoka group la gospel singers hongera sanaaa mtumishii