Davido aongelea beef yake na Diamond Platnumz

  Рет қаралды 244,034

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@makangangereza2522
@makangangereza2522 9 жыл бұрын
Kaka angalia biashara I mean we umejiajiri so mambo yanayokupa followers wengi ndo maisha yako hakuna anayebisha kwamba diamond pltnmZ kaiteka all Africa na watu wengi wanataka kusikia habari zake au siyo. So watu wasikuchezee kabisa na kazi yako, Kwa ajili ya kupost habari za diamond,umekuwa miongoni mwa blogs nne bora east African na unakuwa kwa kasi, Keep it up broo, Diamondz are forever """"
@mankaraphael2860
@mankaraphael2860 9 жыл бұрын
I alwz c Good in U Millard..hongera
@killingmleke1810
@killingmleke1810 8 жыл бұрын
Napenda sana music wako kiba una kipaji
@philipolawrence1573
@philipolawrence1573 8 жыл бұрын
millad nakukubali sana ndugu yangu
@abedinegostephano2329
@abedinegostephano2329 9 жыл бұрын
big up, bro but can i have your E-MAIL?
@bobwangwe748
@bobwangwe748 7 жыл бұрын
It seems Davido recognized his mistake and repented accordingly. That's how it should always be. Nice!
@hamidarashid8424
@hamidarashid8424 9 жыл бұрын
Asante sana kwa habari moto moto.
@evaevance5932
@evaevance5932 6 жыл бұрын
Kwa Mara y kwanz naona interview nzuri hivi between Millary n diamo
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 6 жыл бұрын
Misimamo ndiyo inayokufanya uzidi kuwa juu.
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 9 жыл бұрын
hongera millard!
@Bakame0701
@Bakame0701 9 жыл бұрын
It's always about Diamond, kila news Diamond. Davido says he's going to do a collabo na Ali Kiba, so Millard why usimtafute Ali Kiba nae atwambie kuhusu Collabo? Anyway, U're doing a great job, keep it up.
@annlove501
@annlove501 9 жыл бұрын
Very true! Tz media revolves around him, media blackout to other artists!
@millardayo6828
@millardayo6828 9 жыл бұрын
Bakame West Thanks for watching Bakame, hata hiyo ya Davido kusema kuhusu kolabo na Ali Kiba imeanzia hapa, he did an exclusive interview with me.
@ndeshijoseph3199
@ndeshijoseph3199 9 жыл бұрын
Bakame West hahahha cause he is the best in east africa at the moment...its like people always beefing with drake in USA so that they can a air time...diamond is the people's champion
@salimmussa9719
@salimmussa9719 9 жыл бұрын
Nafikiri nyny wenyewe ndo mupo busy sana kufuatilia habar za Diamond wakat hamumpend, so munajiumiza moyo bure.. Kwnye channel hii ya Millard ayo kuna videos nyng sana za wasanii mbali mbali sijui kama munaangalia.. Maana zina views chache sana ukicompare na za Diamond.. Achen upumbavu musilazimishe media waache kuandika habar za Diamond, huo ni uchawi wa maendeleo... +bakame West
@hubertmselem1530
@hubertmselem1530 9 жыл бұрын
Bakame West alfu we bakame mwanaume but kma mwanamke we video za alikiba au davido akiongelea collabo na alkiba hujaiona humu n sasa unatak apost za alikiba huyo alikuwepo south alikuwepo cku ya tuzo alikuwa nominated paka na yy atajwe alfu isitoshe hii ni channel ya mtu ana haki ya kupost chochote ila ww ndo unahaki ya kuchagua ipi ya kuichek ipi ya kuacha...unaforce mfupa kuwa nyau au co,huyo msanii wenu local artist na atabki kuw hvo hvo alfu linazidi kuzeeka lenyew halijijui tu
@douglasmodrax4608
@douglasmodrax4608 4 жыл бұрын
Wimbo unaoanza kwenye ilo tangazo inaitwaje jaman au kaomba Nani?
@sakinakondo9989
@sakinakondo9989 9 жыл бұрын
Thnx habar motomoto
@faridkibavu2028
@faridkibavu2028 9 жыл бұрын
big up ayo tv
@saidimazengo484
@saidimazengo484 4 жыл бұрын
Davido,anamiliki,shingapi
@renardjelemia8807
@renardjelemia8807 9 жыл бұрын
Cool
@twahiraliy3382
@twahiraliy3382 6 жыл бұрын
Mm naisi hakuna haja ya kugombana kwa ajili ya m2 kukuzarau wakati yeye mwenyewe so mkalifu aiseè mm sijui kukasilika hata m2 akinikwaza na nacho jua mm yeye amenikosea na haina haja ya m2 kujiwekaga nyuma eti kisa anatafuta k2 flani nyinyi nyote muko kwenye mishe 1 ya nn kugombana mufike pahali mujitambuwe kama muna tafututa kila 1 wenu nimuhitaji kwa mwenzake weww bila yeye hamna k2 na yeye bila wewe hamna k2 kazi njema.
@ayoubmwalyawa2824
@ayoubmwalyawa2824 7 жыл бұрын
Huyu mondi anajitahidi sana yaani
@denniskalisti2570
@denniskalisti2570 6 жыл бұрын
Davido uwa anafanana na ommy dimpoz
@robertkellybergakifuvwesha3335
@robertkellybergakifuvwesha3335 7 жыл бұрын
one love 🤘
@gaxorn_gr5630
@gaxorn_gr5630 9 жыл бұрын
hongera sana kaka kwa hatua kubwa ulopiga
@josephmunna8577
@josephmunna8577 8 жыл бұрын
very Gud Mond 🙌✌
@ommynizbaby7047
@ommynizbaby7047 8 жыл бұрын
Ommy like simbaaaaaaaaa
@chao3979
@chao3979 9 жыл бұрын
Its like u keeping too much effort on one artist but why don't you give them credit all yaani I mean one love.its ok u love diamond but don't show it so openly but I respect your decision keep the fire burning
@goliathmker3335
@goliathmker3335 8 жыл бұрын
Swahili people speak quick man
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
😂
@christinetimothy5805
@christinetimothy5805 6 жыл бұрын
Millad ayo nilikua natisheti moja nimeiprint ayo tv baada yakuona nawewe umejiunga nawapuuzi wamjini kutomwandika aukutoa habari yeyote ya babatee, dimond nakaamua kuichana Kama umerudi basipoa nitaprint nyingine maana mm nijilani yako hapa msewe
@berthatz
@berthatz 2 жыл бұрын
😂😂
@paulothomas7270
@paulothomas7270 9 жыл бұрын
ok I thing utaenda sawa ucja man..........
@azizayassin3623
@azizayassin3623 8 жыл бұрын
safi
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 8 жыл бұрын
😂😂😂😃😃baba tifah namkuta hayupo 😂😂😂
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 9 жыл бұрын
challenges ndo sinasongesha music mbele
@saidwilson6529
@saidwilson6529 7 жыл бұрын
okey lakini diamond kiswahili gani nilimkuta hayupo wewe ur tanzanian
@mussaagrey5679
@mussaagrey5679 7 жыл бұрын
said wilson ndo unachosikiliza ikiwa unajitambua, wazia mapungufu yako
@shafdaudarobert6960
@shafdaudarobert6960 7 жыл бұрын
Davido
@jabirimdoe313
@jabirimdoe313 9 жыл бұрын
JB boy
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 5 жыл бұрын
Davidoo domo lifunge utameza mainzi
@mayengamarco7932
@mayengamarco7932 7 жыл бұрын
hayaaa tuhuusuu
@danielwilson8820
@danielwilson8820 7 жыл бұрын
Tumeyasikia baba tiffah
@damydee5278
@damydee5278 8 жыл бұрын
yani kiba ni zuzu kweli
@vidaluisjoesph1021
@vidaluisjoesph1021 7 жыл бұрын
gostei
@billkalolo6836
@billkalolo6836 8 жыл бұрын
simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@barakalugata5050
@barakalugata5050 7 жыл бұрын
Uko poa bro
@congera6617
@congera6617 9 жыл бұрын
that nigha burundian check that mane shot.
@jkissjuma9425
@jkissjuma9425 6 жыл бұрын
Simba namkubar
@alfredylameck4627
@alfredylameck4627 9 жыл бұрын
millard tatzoooo nn unapost ktuu hakunaa daah umenkwazaa san
@martinvavatu5167
@martinvavatu5167 6 жыл бұрын
Namkuta hayupo
@mahsnirmohammed2493
@mahsnirmohammed2493 8 жыл бұрын
Lazima mtu ajiamini hamna kuogopa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 8 жыл бұрын
haaaaaahaaaa simba simbaaaaaa
@daudkipusa6890
@daudkipusa6890 4 жыл бұрын
domo lako hulingan na davdo
@faridkibavu2028
@faridkibavu2028 9 жыл бұрын
big up ayo tv
Diamond Platnumz - Utanipenda Behind The  Scene Episode 3
10:21
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,4 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
DAVIDO OPENED DOOR FOR ME IN NIGERIA   DIAMOND PLATINUMZ
1:42
tunde abayomi
Рет қаралды 8 М.
Davido na Diamond Platnumz Show ya Fiesta Dar
5:25
Bongo5
Рет қаралды 191 М.
DIAMOND PLATNUMZ: ZARI ALICHEPUKA NA PETER WA P-SQUARE/ PICHA ZAO NINAZO
6:18
Harmonize alivyokutana na Diamond Platnumz - INTERVIEW PART 2
29:10
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
WIZKID ASHANGAZWA NA SHABIKI HUYU KWENYE STAGE YA WASAFI FESTIVAL
14:14