PART37:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 10,512

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@azuwaniriziwani2695
@azuwaniriziwani2695 Жыл бұрын
wakwanza likes zangu,
@GideonFrancis-j1v
@GideonFrancis-j1v Жыл бұрын
Wamayo mungu anakupenda sana umepitia mazito mno
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Kabisa Mungu anampenda
@happsamwita7381
@happsamwita7381 Жыл бұрын
Yan nasubir mwisho kuona utukufu wa Mungu na ukuu❤
@salomekisubi4035
@salomekisubi4035 Жыл бұрын
@@happsamwita7381 kabisa ❤
@Anastadhi
@Anastadhi Жыл бұрын
Sijawahi kuwa wakwanza daah nipeni moyo bas ata kwa like
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Wanaume Huwa mna moyo wa pekee sana wamayo Kila alipopita alipata msaada mzuri pia Mungu alikuwa upande wake
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ndio wanaume ni tofauti na wanawake japo wanawake wa sasa wanathamini pesa sana kuliko wanaume mpaka wanaume wanaanza kutafuta pesa na kutoa kafara
@eddymasphineasilwa2093
@eddymasphineasilwa2093 Жыл бұрын
These story can be one of the greatest series ever.. watching from Washington DC American..but I'm a Kenyan 🇰🇪..naitwa Eddie.
@ushindimwazembe7800
@ushindimwazembe7800 Жыл бұрын
Km ya sinya ni series ike
@elizabethkamunya2891
@elizabethkamunya2891 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa hili stori mimi ni mkenya na nimeendelea kujifunza mengi hasa kiswahili ni mufti....wamayo Mungu anakupenda kwa kweli
@AceneyPoal-ql1wc
@AceneyPoal-ql1wc Жыл бұрын
Jmn... fanya bac uwe unatuongezea ya kulalia aiseee😊
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Wamayo maongezi yako inanifurahisha sana but pole ndungu yangu
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Jamn tukumbuke kumchangia kak davistar
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Huyo jamaa mahali yupo mungu amkumbuke alikuwa na roho safi waa alisacrife kweli
@ArbetMangwea-if6ih
@ArbetMangwea-if6ih Жыл бұрын
Nakubali msimu huu kila niki amka nakuta kipande kipya
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht Жыл бұрын
Makinn Sanaa SIMULIZI hii big up
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Hii bado tu😂😂😂😳 Unamambo mengi sana kaka umepitia kwenye hii dunia akuna kama wwe brother
@JumaSaid-u9h
@JumaSaid-u9h Жыл бұрын
Hela mlikuwa nayo usafiri wenu binafsi ingependeza zaidi
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Жыл бұрын
HAPO. KWENYE BAG. UMETUDANGANYA. WAMAYO
@ClintonDaniel-yb8um
@ClintonDaniel-yb8um Жыл бұрын
Wanaliaj
@ClintonDaniel-yb8um
@ClintonDaniel-yb8um Жыл бұрын
Kula chuma ichoo 😂😂😂😂😂 wanaliaje??!!!! Davsta acha bhna usnich
@emojongtv3995
@emojongtv3995 Жыл бұрын
Wapenzi watazamaji kumbe mkomo tayari? 😊
@ayoubmwangonji2357
@ayoubmwangonji2357 Жыл бұрын
Nimesubiri kwahamu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@manketeziba265
@manketeziba265 Жыл бұрын
Wamwisho like zangu😢😢😢😢😢
@johnmoghu5010
@johnmoghu5010 Жыл бұрын
Konda akisema begi likae kwenye buti sipati picha😁
@butondodavid2105
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Ameludimo jaman.
@ShillahShillah-rp5oo
@ShillahShillah-rp5oo Жыл бұрын
Daahhh wamayo story imezidi kunoga😂
@kubet4704
@kubet4704 Жыл бұрын
Hii imeenda hii imeenda kabisa😂😂
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
Wamayo mi hata usiku nita amka ni msikilize 😂😂
@florences8087
@florences8087 Жыл бұрын
Mimi ni Mkenya 🇰🇪🇰🇪 huwa nalala saa saba usiku kwa ajili ya kusikiza story za Wamayo tu 🤣🤣🤣 amepitia mengi magumu haki!🥰🥰
@benjaminthomas4372
@benjaminthomas4372 Жыл бұрын
@@florences8087 karibu Tanzania
@AminaMaziku
@AminaMaziku Жыл бұрын
Nikachomokamo nikadondokeamo 😅😅 hii Kali sana
@zainasaidi3906
@zainasaidi3906 Жыл бұрын
Shida.mgoba.mmmm.mungu.asimame.nawewe
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
Hapa ni kusikilizamo tu 😅😅
@xcaliber8300
@xcaliber8300 Жыл бұрын
Ndo nikachomokapo kuchukuapo chakulapo nikalapo nikashibapo nikanenepapooo🤣😅😂
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
huyu jamaa mungu kamsamehe dah🫡🫡🫡🥱🥱🥱
@Johansenbwakya-uq5zu
@Johansenbwakya-uq5zu Жыл бұрын
Nikaonekamo nikachomokamo😅
@alifujomwandaro5297
@alifujomwandaro5297 Жыл бұрын
Bariad iko mkoa gani?
@KhamisiMsechu-jk8rm
@KhamisiMsechu-jk8rm Жыл бұрын
Storii hii sijawai ona siachi kuifatilia bonge la stori noma
@Foodie_Tv1
@Foodie_Tv1 Жыл бұрын
Davistar basi tuwekeamo angalau episode moja nyengine ya leo
@NAIKODOYENG
@NAIKODOYENG Жыл бұрын
Hili lizee hili likaenda sehemu likakaaa,,😂😂😂😂 Hali ya ukubwa ,,, au ni lichawi leti,,,
@victorphocus5931
@victorphocus5931 Жыл бұрын
davista tuwekeemo part 38 na 39 za kumalzia siku.. leo umeweka chache mno
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 10 ай бұрын
Napenda anavyosema "bhasii"
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌👊.
@jamalimeja3151
@jamalimeja3151 Жыл бұрын
Naomba like jamani
@barakabahati6600
@barakabahati6600 Жыл бұрын
Hii story itachukua hata miezi miwili na haiza isha 😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@asifkhanalifkhan6358
@asifkhanalifkhan6358 Жыл бұрын
Mone❤
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Wamayo aise umepitia kweli wengine wote ni cha mtoto
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Waa yani kubebwa na bagi huko kote Mzee kafariki yani wamayo umepitia mambo magumu sana
@maimunahamisi6081
@maimunahamisi6081 Жыл бұрын
Jamani!!?
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
So heavy
@aziza9093
@aziza9093 Жыл бұрын
Imekujaa kwraha zetu😅
@shepherd1x84
@shepherd1x84 Жыл бұрын
Kazi ngumu mno waah
@johnmoghu5010
@johnmoghu5010 Жыл бұрын
Wakati wa kuchimba dawa jamaa atashuka na begi😁
@shabankhalfan4198
@shabankhalfan4198 Жыл бұрын
Lina vitu vya saman
@salomekisubi4035
@salomekisubi4035 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@thomaskengwa6646
@thomaskengwa6646 Жыл бұрын
Oya davi muulize vipi ule mkuki mkononi umesha toka na VIP kuhusu yule Pacha wake bado anaishi chumba kile kile
@benjaminthomas4372
@benjaminthomas4372 Жыл бұрын
First one haaa
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Жыл бұрын
Duuh! so sad😢
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Жыл бұрын
Story hii nzuri isipokuwa imekosa matukio ya kiuhalisia, kwa mfano hataji maeneo, hataji vyombo vya usafiri, hztaji muda na nyakati, hataji wahusika! Hivi vyote vinapunguza hisia za hii habari
@mazonaone7708
@mazonaone7708 Жыл бұрын
Sasa kwa matukio yote hayo unafikiri utakumbuka mpaka muda na tarehe au saa?na unamlazimisha akumbuke hivyo vitu kwani yeye alijua kuna siku angekuja kuhojiwa na kutakiwa aeleze mpaka hayo mambo yote ?
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM Жыл бұрын
Nilimwambia aeleze matukio muhimu tu akianza kutaja kila kitu mwisho stori itakuwa ndefu na watu wengi huwa mnapenda mtu aende moja kwa moja kwenye points na matukio tu
@happsamwita7381
@happsamwita7381 Жыл бұрын
Ila anajua kujieleza sana Nampa big up
@happsamwita7381
@happsamwita7381 Жыл бұрын
Ila anajua kujieleza sana Nampa big up
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Usiache kumchangia davist
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Kwa hiyo naweza nikanyofokamooo 😂😂😂😂😅
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Kweli alikua rafiki wa dhati huyo
@ClintonDaniel-yb8um
@ClintonDaniel-yb8um Жыл бұрын
Wnaliaje
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Na wewe davistamooo unabahatimooo yakupatamooo stori za kuchekeshamooo.....🤣🤣🤣🤣🤣 Aminamoooo
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Жыл бұрын
Wamayo nouma
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Жыл бұрын
Kwan jamaa s angepewa tena yale mafuta ya kupotea ili wawe wanatembea kwa raha tu
@hakunamatatajapantv8088
@hakunamatatajapantv8088 Жыл бұрын
Wakwanza😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sheilaamanzi3001
@sheilaamanzi3001 Жыл бұрын
Nikaingiamo umondani😂wamayo bhn
@joivon3038
@joivon3038 Жыл бұрын
Ukipata shida unapata akili kubwa kutumia begi n akili kubwa mno sikuwahi kudhania km kitu km hicho kinawezekana
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Davista mata mtu makini
@MartinyMaryogo-nt6xg
@MartinyMaryogo-nt6xg Жыл бұрын
hawa hawakukumbuka tu, angejipakaa mafuta yale ya kutoonekana sehemu hzo zinazoonekana asionekane wangeenda kwa aman, sema ndo ivo walijisahau
@emojongtv3995
@emojongtv3995 Жыл бұрын
Mwenzake pia hangemuona Wala kumsikia.
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Sidhani kama ingefanya kazi coz walivunja masharti,I think mtu anafaa apake mwili mzima uonekane then vice versa
@barakabahati6600
@barakabahati6600 Жыл бұрын
Masaa mawili na zaidi story moja tu za mafuta kwa nini 😂😂😂😂😂😂
@ANITHASTEPHEN-bs1ee
@ANITHASTEPHEN-bs1ee Жыл бұрын
Part 38 vip?
@nyaresoosebe5914
@nyaresoosebe5914 Жыл бұрын
Umeyapitia
@SalomeDaniel-wd7pq
@SalomeDaniel-wd7pq Жыл бұрын
Pole saw jmn wangwise maan umeptia meng xan jmn muimbe mungu xan xx iv
@elizabethauma7561
@elizabethauma7561 Жыл бұрын
Nikachomokamo
@mwinamimrpfamily4240
@mwinamimrpfamily4240 Жыл бұрын
watu hatuchelewi ni mwendo wa kuunganisha
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Story inasikitisha inachekesha
@mgenirasimi7771
@mgenirasimi7771 Жыл бұрын
Stori gani hii haiishi😅
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Mbwa watu mpo makn
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 Жыл бұрын
Hasa mnapiga stry inamana watu hata sauti hawasiki jamaa yupo pekeake vp anapiga stry
@kimandoro7432
@kimandoro7432 Жыл бұрын
mambo mswano
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Mimi nakupenda sana baba angu 😅😅😅😅
@michaelthemick1033
@michaelthemick1033 Жыл бұрын
Nisikilizamo tu
@DennisNdutta
@DennisNdutta Жыл бұрын
Shinyanga
@michaelthemick1033
@michaelthemick1033 Жыл бұрын
Muone ee
@hariettekiza9050
@hariettekiza9050 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Na wewe davistamooo unabahatimooo yakupatamooo stori ya kuchekeshamoooo....🤣🤣🤣🤣🤣 Aminamoooo
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 10 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 37 МЛН
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
NON-STOP - FULL EPISODES - +4 Hours - The Beginners Bible
3:45:35
The Beginners Bible
Рет қаралды 10 МЛН
Mänsklighetens framtid i rymden,  Ulf Danielsson  | Framgångspodden | 416
1:45:59
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,4 МЛН