Pastor Paul Semba. MUNGU akujalie ulinzi wake, mahubiri yako ni tofauti sana hata mwenye uelewa kidogo lazima apate kitu cha kumsaidia. Mchungaji MUNGU amekuita kweli kweli🤝
@stellamariki6852Күн бұрын
Ameeeen.
@mhojafransisco208921 сағат бұрын
AMEN AMEN
@cliffordsamwel414716 сағат бұрын
Hongera Kwa utumishi. KUMBUKA UNA WAFUASI WENGI, BWANA AKUHEKIMISHE KATIKA HUDUMA YAKE. TUNAKUOMBEA... BWANA AKUTIE NGUVU. CHAPA KAZI KAMANDA WA YESU.
@LeahMchome-ek5bwКүн бұрын
Unanibariki sana kwa mahubiri yako mchungaji
@sarahabdullatif855623 сағат бұрын
Barikiwa sana mchungaji napia tubarikiwe nawale tunaofatilia kupitia youtub amina
@gichungwamuthoni2063Күн бұрын
Amen Pastor. Nimebarikiwa sana na mahubiri. Nafuatilia nikiwa Kenya.
@pascalngaya4050Күн бұрын
Amina pastor.unatubariki sana.
@yugemasanza100816 сағат бұрын
Asante kwa neno safi Mchungaji
@paulbudoto15 сағат бұрын
Be blessed Pastor
@damarisgesare698523 сағат бұрын
May God bless you and continue using you in a might way, you inspire me so much,pray for me to grow spiritually.
@mashelmbalamwezi9299Күн бұрын
Amaizing messege God bless you all❤
@zephaniasangala4275Күн бұрын
Mungu akubarik sana pastor.
@DionizNkilijiwaКүн бұрын
Pastor Paul semba mwenyez mungu aliyekuita akuzidishe maradufu zaidi ya ulivyoakujaze roho wake mungu aifunuaye siri ya neno la mungu
@MaryanneDaniel2 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji....pray for me to grow spiritual 🙏🙏
@mikayadaniel3148Күн бұрын
BARIKIWE CAN mtumishi wa mungu taji yako iikaribu ,,zaidi mungu akujaz rehema n neema yake
@jumasabuni3297Күн бұрын
Amina Ubarikiwe pr p semba
@ZIRHUMANAFISTONКүн бұрын
Amina 🇨🇩 Bukavu BWANA akutiye nguvu mtu wa MUNGU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lydiamo2503Күн бұрын
Thank you for this teaching. I have understood what it means to abide in him and he in me. May he grant us the Spirit and may he give us the power to will and do according to his will
@TimothKanutiКүн бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako hakika tunafunuliwa mengi tusio yajua kupitia wewe Mungu akutunze .
@estherogembo5536Күн бұрын
Napenda Sana mafundisho yako pastor
@ezekielbarnaba5785Күн бұрын
Mwenyez Mungu awe pamoja nasi atupatie hekima na ufahamu katika dunia hii iliyochaganyikia ila tukimjua yeye tutakuwa salama
@omaka72116 сағат бұрын
Hakika Roho ndiye ashuhudiaye; Siku kumi za maombi ni Roho Mtakatifu
@BathoromewMahindaКүн бұрын
tupo pamoja mungu akutie nguvu mchungaji wetu
@LailaLaila-r2j19 сағат бұрын
Mungu awe pamoja nawe
@stephanomuganga9872Күн бұрын
Mlefi Semba ,Mulungu akusakile, jimisango ja Mungu.
@GobeJose13 сағат бұрын
ubalikiwe cn pastor kwenye mahubr ya kihonda morogoro ulifanya vyema cn endelea kutumika shamban mwa bwana
@IsmailMusa-b4s12 сағат бұрын
Amen 🙏
@CrescentokouКүн бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@joshuasebastian6210Күн бұрын
Ameeen
@HannahSamwelКүн бұрын
Ubarikiwe
@YonahBazilaКүн бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji
@FrankFulamoto-o5p21 сағат бұрын
powerful
@bamag-021Күн бұрын
Amen
@danilph119 сағат бұрын
I wish to attend in-person where is this church pastor?
@SamuelNdulu-bz7qvКүн бұрын
Tabia Ya Kristo Inapatikana pekee kwa kumkiri Kristo