Asante kwa mahubiri yako mungu akubariki pasta. Naomba ulinzi dhidi ya roho za uvamizi, roho za uchafuzi, roho zinazo niwinda usiku na mchana zisizo za kimungu kwa jina Yesu kristo. Amen
@ValentineVugutsa-l8h9 күн бұрын
Eeeh,,mungu wangu naomba hulinde wazazi wangu na watoto wetu, Amen
@MwanaishaSeif-t1d8 күн бұрын
Nadai agano la ulinzi wako katika mwaka huu kwa jina la Yesu kristo: ulisema ukiomba chochote kwa mungu baba kupitia jina lako nitapata naomba mwaka huu ulinzi kutoka kwa Bwana kwa jina la Yesu. Amin
@florencetchanja526010 күн бұрын
Naitanji maombi kwa watoto wangu wawili. Wanaumwa Anemia . Kutoka Iowa City
@HAPPYNESMSONDE10 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa bwana Yesu 🙏🙏🙏
@louisebyukusenge588110 күн бұрын
Amen natangaza ulizi kwa familia yangu kwa jina la yesu.
@FrankSeni-t3i10 күн бұрын
Ahsante mchungaji nabarikiwa sana na wewe nipo songwe natamani ata kuhamia mwanza kwa ajiri ya kuchungwa nawe
@MwikaBebz-ky9wc10 күн бұрын
Àmen
@Joycedickson-l5c10 күн бұрын
Amen Mungu anilinde na familia yangu🙏🏻🙏🏻
@givenmsomba935810 күн бұрын
Shalom, napataje kitabu hicho cha maombi
@RUTHKCHIKIRA10 күн бұрын
Nahitaji kitabu hicho Cha maombi Niko Nairobi kenya
@FidesTarimo-yj7jm10 күн бұрын
Amen.Asante Yesu kunipa Neema ya kushiriki Maombi haya.. Niko Tanga Nabarikiwa sana.
@AgnesNyaleso10 күн бұрын
Amen amen amen 🙏
@ConjestaKimario10 күн бұрын
Ameeeeen
@HELENAMBUNGU10 күн бұрын
Amina
@RUTHKCHIKIRA10 күн бұрын
Ni how much for the book
@MARYVICENT-m9c10 күн бұрын
Bwana Yesu Asifiwe watumishi wa Mungu, jamani nawezaje kupata hicho kitabu .