Day#6, ASUBUHI, WALIOSALIA WAKATI WA MWISHO / Pr. PAUL SEMBA /🔴Live

  Рет қаралды 3,301

ORIONe TV

ORIONe TV

10 ай бұрын

Tuko Mbashara kutokea kambi la CHANG'OMBE - DODOMA

Пікірлер: 23
@SamhhIlo-ib4ij
@SamhhIlo-ib4ij 9 ай бұрын
Mchungaji Mungu akutunze kupitia sauti yako nimeelewa utatu mtakatifu na mengine mengi Roho akanisaidie KUSHUHUDIA bila uoga ushuhuda wa KRISTO YESU!
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 2 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏🙏🙏🙌🔥, watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hatuaomi ndio maana tunapotea. Ubarikiwe Mchungaji
@bamag-021
@bamag-021 8 ай бұрын
Hakika Mungu atukuzwe kwa kutupatia mtumishi wake pr Semba. Najifunza mengi kupitia yeye, na nimezidi kukuwa kiimani , na kuepuka madanganyifu ya ulimwengu
@stephanomuganga9872
@stephanomuganga9872 10 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Baba, Mungu azidi kukupa njozi umetuweka wazi Leo,kuhusu Laudikia, Kanisa la waliosalia wana utume safi, na Sifa Yao wana ujumbe wa mwisho wa malaika watatu unaoita watu tukome kutenda dhambi.......
@user-nz5zg4lz7l
@user-nz5zg4lz7l 10 ай бұрын
Pasteur. Kweli. Mungu Akubariki nime elewa sana
@bamag-021
@bamag-021 8 ай бұрын
Fatilia fundisho la" Uungu katika mashambulizi" Utapata suluhisho la utatu
@cizatelesphore
@cizatelesphore 10 ай бұрын
Mungu aendelee kumubariki hatasote Pia ,wandugu Tuishi neno kama vile wacristo
@theson1987
@theson1987 10 ай бұрын
Hongera sanaa mchungaji Paul semba hubiri sanaa watu waijue kweli
@JacksonLayton
@JacksonLayton 10 ай бұрын
Tunawasikia ila tunawapiga Kwa neno
@DeclaCruise
@DeclaCruise 10 ай бұрын
Amen 🙏🙌
@patrickkamau7754
@patrickkamau7754 9 ай бұрын
Amina ,,hapa Kenya tuna mchungaji Moja ambae amututatiza sana madai yake ni Kanisa limetoka KATIKA mfumo wake wa zamani Utatu ni uwogo Makao makuu ya general conference ni babeli
@paulsemba_TV
@paulsemba_TV 8 ай бұрын
MUNGU AMREHEMU
@bamag-021
@bamag-021 8 ай бұрын
Namjua huyo atakuwa Anaitwa F.Ndcha binafsi kidogo anishawishi kwenye fundisho la UTATU, ILA MUNGU AMENIEPUSHA KUPITIA PR SEMBA, KTK FUNDISHO LAKE LA UUNGU KTK MASHAMBULIZI, LILE FUNDISHO LILINIFANYA NISAME IMARA. NA NIKALIFORWARD KWENYE LINK/KZbin YA UYO anayepotosha huko kenya ajifunze na yeye, Na aliyapata maana niliona anaanza kumtafuta pr semba kwa yutbe. Mungu asimame nasi
@gideonmasingi6972
@gideonmasingi6972 10 ай бұрын
Nimejifunza nimegundua kweli ushupavu utatupoteza. Endelea kurusha mahubiri haya mtumishi ili tulio mbali pia tupate kuijifunza
@daud8785
@daud8785 10 ай бұрын
Amina
@josephmbotwa
@josephmbotwa 10 ай бұрын
Amen
@MusaEmanuel-lj2pr
@MusaEmanuel-lj2pr 8 ай бұрын
Mchungaji naomba ukutane na shehe sure maana anaamini kuwa hakuna mtu wa kumshinda kimaandiko unaweza tusaidia
@josephmbotwa
@josephmbotwa 10 ай бұрын
Pastor nitajie kitabu nimepata ukulasa 360 tuu au yeyote anae just hicho kitabu
@abelimalifedha1762
@abelimalifedha1762 9 ай бұрын
Amina Pr. Hata kwenye Selected messages Book 2, Kipengele cha "Devine credentials" kimesheheni ujumbe sahihi unaofanana na huu wa Manuscripts Releases, kuna mifano mingi ya watu wababaishaji ambao hata Ellen G. White mwenyewe alipingana nao.
@bamag-021
@bamag-021 8 ай бұрын
Barikiwa mtumishi kwa kufatilia neno, by ur friend Rite.
@abelimalifedha1762
@abelimalifedha1762 8 ай бұрын
@@bamag-021 Amina, ni nia ya kupanda katika katika jukwaa.
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
KATIKA BONDE LA AKORI // Pr. PAUL SEMBA // 🔴LIVE
1:10:58
ORIONe TV
Рет қаралды 7 М.
FUNGUO TANO ZA KUKUZA IMANI SEH 1 | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:07:53
WITO WA MUNGU KWA WAZAZI NA PR PAUL SEMBA
1:10:14
MAREJEO TV
Рет қаралды 74
Pr Khethelo Mazibuko - Habakkuk
1:02:44
Nkuly tv
Рет қаралды 78 М.
MUZIKI UNAVYOANDAA WATU KUPOKEA ALAMA YA MNYAMA. MCH PAULO SEMBA.
39:11
Petro Tumaini TV
Рет қаралды 24 М.
ALAMA YA MNYAMA  NI NINI? By  MCHUNGAJI PAUL SEMBA
56:47
TOSSY MEDIA CHANNEL
Рет қаралды 1,4 М.
Matt Kills Dexter's Deer | Dexter: New Blood S1E1 | #Shorts
0:51
Clashed PR
Рет қаралды 24 МЛН
😇 or 🔥 ? #shorts
0:43
A4
Рет қаралды 2,7 МЛН
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 24 МЛН
ХОТЕЛ ПОТОПИТЬ ДЖЕКА, НО НЕ ВЫШЛО
0:51
Tasty Series
Рет қаралды 1 МЛН