Mwenyezi Mungu Akubariki kwakutuokoa kutoka mfumo wa mambo haya tunayo ishi
@StivinSamwel7 ай бұрын
Pastor barikiwa saana
@user-ts9em5mb7u5 ай бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana Kwa mafundisho mazuri sana
@paulsemba_TV4 ай бұрын
AMINA
@REHEMAMASUNGA2 ай бұрын
Mungu Atukuzwe Kwa ajili Yako pr. Semba,, na Mungu asimamie ndoa Yako pia maana umesimama kati ya pambano kuu, maana Shetani akiharibu ndoa, ameliharibu kanisa pia, Be blessed
@paulsemba_TV2 ай бұрын
AMINA, BWANA ATUJALIE NEEMA YAKE KILA SIKU
@deogratiasmazangi-mk4fp7 ай бұрын
Ubarikiwe Pastor kwa somo zuri, Pray for me 🙏🙏🙏
@isakabuswelu37927 ай бұрын
Amen sana
@UniceSanga-zz5zy7 ай бұрын
Pr ubarikiwe sanaaaaaaaaa
@blanchardkatseghe90037 ай бұрын
Asante mchungaji kwa masomo mazuri yamenibariki mimi. Nakufuata toka DRCongo/Goma. Siku nyingi nimetafuta Numbers zako za simu hadi leo sijafaulu kuwa nazo.
@paulsemba_TV7 ай бұрын
+255621154690
@nikitumarthinne89097 ай бұрын
Balikiwa sna Mchungaji. N aomba jamen alie na number za Mch. Paul Semba anisaidie ba jamen!
@paulsemba_TV7 ай бұрын
+255621154690
@UniceSanga-zz5zy7 ай бұрын
Ivi pr orione ndo nini??
@paulsemba_TV7 ай бұрын
NI MUUNGANIKO WA MANENO: ORIONI NA NEBULA
@CLIVEMNYASA6 ай бұрын
@@paulsemba_TV Pasta nashauri, ungeendelea kuiita kama zamani, kuna wakati nilipata shida kukupata, hadi nilivyo jua umebadili jina kwenda ORIONE