Amina mtumishi nafatilia sana mbeya tunakusubiri kwa hamu sana
@erickrotich2740 Жыл бұрын
GOD bless Amiel katekela Apostle
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Amen mungu akubarki san mtumishi katekela
@mpandawiliam5390 Жыл бұрын
Ameni, barikiwa mtumishi wa Mungu.
@JuliasRanga-dd8zn Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@EmmanueliZani-ur9bi Жыл бұрын
Waimbaji mpo vizuri sana, Mungu awabariki.
@SarahMathias-sn6nmАй бұрын
Amina amina
@alicebayubahe3760 Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
@ShipolaSaidi Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@neemashendu Жыл бұрын
Hakika mtu wa mungu, mungu akutumie sana kati kati ya mataifa
@MosesWakristo-ko5ze Жыл бұрын
Kenya twasubr
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Nakukubari sana katekela hubirihubiri.mpaka kieleweke
@JoshuaMtafya-r1b Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa bwana nakufwatilia sana.natamani ukafike na kwetu ileje
@Neema-c3r Жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen
@fitinamarando Жыл бұрын
Amina
@EdwinMbwilo-fj6bf Жыл бұрын
Kanisa tunateseka kwa kosa la kuto mruhusu Yesu aingie ndani yetu, wengi tumejaza madhehebu mioyoni mwetu Kama ,katoriki, KKKT, TAG. Nk. YESU turehemu wakristo wa leo
@RachelEmid-jq6eo Жыл бұрын
Ameeen mtumshi wa Mungu 🙏
@mwananyamalaz4427 Жыл бұрын
Amina mungu mbere 🙏
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@neemashendu Жыл бұрын
Amina mtuwamungu Kwa neno la kweli litokalo Kwa mungu nikweli na uzima NAMI neemashendu naomba niombe Kwa mungu unaye mtumikia Kila wakati nisiikose mbingu
@sarahkishaluli6087 Жыл бұрын
Bwana Yesu kristo asifiwe Mtumishi wa Mungu usiimbe hizo nyimbo
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Duu! Haalafu mtumishi wa MUNGU, amekupa unene mzuri, unapendeza madhavahini na mafundisho yako yananibariki kabisa. Zidi kubarikiwa. Wewe ni mkweli na aliyewahi kusoma shuhuda zako mwanzo mwishi anala kujifunza kujikomboa kwa WAGANGA NA WACHAWI WASHIKINA. TENA WASIISHI KAMA HAWATAKI KUTOKANHUKO.
@rerisamba Жыл бұрын
🤣🤣🤣nimecheka ati makwapani kuna irizi
@SigifridaKapama Жыл бұрын
Namba yako katekela tutaipataje?
@RhianShauri-h8rАй бұрын
Uishi milele baba
@eddahmwakipesile3847 Жыл бұрын
😂yesu uinulie
@gloriousfrancis8201 Жыл бұрын
Yaani kila mafundisho ni makafara tu jamani
@SAAYAUAMSHOULIMWENGUNI Жыл бұрын
Kwani wew unataka tuhubiri Nini sasa??wewe mwenyew umefungwa na makafara
@magdalenapeter6106 Жыл бұрын
Anaongea vyanzo vya mateso wanayoteseka nayo watu dunia ya leo mpnz huwez kufikia mlango wa kufanikiwa kiroho na kimwili bila kujua chanzo cha tatizo na kufunguliwa katika hicho chanzo