Wimbo mzuri sana nafurahi sana kuhamia yanga naona itanipa burudani vya kutosha mpka kiama aisee wananchiiiiiii 💪👊 oyeee 💚💛💛
@alviny9164 ай бұрын
Nmekuwa wakwanza jmn wanao mkubali dayooo tugonge like hapa
@ashamahadi52814 ай бұрын
Umetisha❤❤❤❤❤❤
@morganbaraza5176Ай бұрын
I am Kenya's No. 1 Yanga fan. Yaani kwa ajili ya nyimbo hii nampa subscription Dayoo. Yanga is my blood
@ChenchiKing4 ай бұрын
Let's Go Watoto Wa Jangwani 💛💚💛💚💛💛💛
@vincentinimah32722 ай бұрын
Dayoo and Yanga,Nairobi tumekubali🔥
@user-vr7er8zd5g4 ай бұрын
Wana yang huu mwaka ni wetu❤❤❤
@sir_lum4 ай бұрын
Mwaka wetu huu dadeki 💪💪
@RahmaAbdulrahman-er2yg4 ай бұрын
Yanga oyeeee yanga yetu bhana
@user-sl1ft2ij8o3 ай бұрын
🏅🏆🏆🏆🏆caf fe lingi hatuaci ss ngo yanga
@officiallibeson53324 ай бұрын
Ngoma kali sanaaaaaaa
@guccij62364 ай бұрын
Tanzania nzima ni Yanga sema wengine baada ya uzinzi,ulevi na bangi wakajikuta kwenye izi team zengine
@Shadia5444 ай бұрын
Yangaaa yetu tamuu halafu raha tuu 💚💚💚💛💛💛💛
@rukaya-jg7hj4 ай бұрын
Hatuachi kikombe hata cha chai manina🎉🎉🎉😂
@VeronicaDunbar3 ай бұрын
Manina ?
@tariquexplore3 ай бұрын
We mwaka huu raha 🎉🎉🎉😅😅😅😂😂😂😂
@radhiamussa16293 ай бұрын
Aliyekuja kusikiliza tena baada ya kufuzu robo final kikubwa Tena na mechi Moja kibindoni vibonde wanasubiria miujiza iwaangukie ndio waingie robo final tujuane kwa like nyingi 😂
😮😮😮 sio poa mwamba umetuweza ila hainambaya Saana kama tumezilipa bao 4 nanyongeza tutashindwaje kulipa wimbo bomba kama huu
@sittakapumbe5065Ай бұрын
Woyooooo... YANGA BINGWAAAAA...😂😂😂
@VeronicaDunbar3 ай бұрын
Meneno machafu ni kawaida sana TZ frm my experience na wao. I met one nnchini ya kigeni. Tukasalimiana. And out of nowhere akaniambia su twende tukato'ban*. Woieyaeee !
@IssaMuhamed-sg6npАй бұрын
Asant yanga❤❤❤
@user-zr2cw2dy4w2 ай бұрын
Yan kiranitaka kufungua yakwaza ni IItu
@WilliamChanja-oo4nuАй бұрын
Vkombe hatuachii
@user-uf4dn9jh2b2 ай бұрын
Waoooo❤❤❤❤❤
@silvernayzer41074 ай бұрын
Wananchiiiiiiiiiiiii sitting eeeeeeee🎉🎉 89
@juliusmngara9373 ай бұрын
Haijakaa kizembe kama za simba
@juliusmngara9373 ай бұрын
Iko poa sana iyo
@sanjodaud10133 ай бұрын
Umeuaaaa
@JosephineRobert-rn5tq4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉Yanga daimambele nyuma mwiko🎉🎉🎉🎉🎉
@hassanhussen73204 ай бұрын
💛💛💚💚
@user-sp3gk1lb5u3 ай бұрын
Wimbo mzur
@patricktegea14304 ай бұрын
Oyaaa Si et eee💛💛💛💚💚💚🔥🔥🔥🔥
@user-zr2cw2dy4w3 ай бұрын
unajuwa San dogo
@simonIbrahim-hc8vm3 ай бұрын
Umetisha sanaaaa Kaka!!! 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@alicenice17114 ай бұрын
Me ni yangaaa
@KuyengamachumuBonphace4 ай бұрын
Kwa huu wimbo Hadi makolo lazima waimbe
@DodiiYabeee4 ай бұрын
Dayoo bado haujasema yan
@lilianmateru31054 ай бұрын
💛💚💛💚💛💚🔥🔥🔥🔥🔥
@jacobmazziwajr62214 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mimi ni yanga
@user-nv1vm8my9c4 ай бұрын
Dayoo 👏👏👏🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@Omma_Lee4 ай бұрын
Tanzania msanii akiachia nyimbo ikahit bas remix yake yanga usenge mtupu