Рет қаралды 98
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe.Mbaraka Alhaji Batenga amemshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uwekezaji mkubwa anaoufanya kwenye sekta ya Kilimo ikiwa ni pamoja na kutoa ruzuku kwenye pembejeo za kilimo ikiwa ni pamoja na zao la Tumbaku zao ambalo huzalishwa kwa wingi Wilayani Chunya.