@@emmadora7848nani anakuonea amka usingizini ndugu yangu hizo dini sio zenu tumeletewa na wakoloni amkeni usingizini ndugu zangu 😭😭
@Official8364020 күн бұрын
MM NIMESEMA LKN NAONEKANA NA MM KAFILI WAKATI UKWELI NDY HUO SEHEMU SIO SALAMA WATU WAANGALIE WASIMLAUMU MKUU WA WILAYA TU NI BORA WAOMBE MICHANGO KITUO KISAJILIWE BWENI LIJENGWE MAFUNZO YAENDELEE
@HassanJaphari-rx7jy20 күн бұрын
Ameen
@zully75620 күн бұрын
@@emmadora7848kuna mtu alisema ugaidi unaanzia hapo.
@Henricovicent20 күн бұрын
Hongera sana Mhe. DC Petro Magoti kwa hekima na busara uliyo itumia. Mungu akubariki sana!
@innocentboykid244219 күн бұрын
Hekima ni msingi wa wajita
@bensonmgaya569320 күн бұрын
Huyu DC ana hekima sanaa jaman nimempenda bure Mungu akubariki
@lawrencegwerino165620 күн бұрын
@@bensonmgaya5693 hiyo sio hekima inatakiwa mtu ahesabiiwe miaka ya shetani …
@bensonmgaya569320 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656 apana amekili makosa sio kila kosa ni kuhukumu tu bila kufikilia kumbuka hata wewe unakosea Mimi ni mkristo na hekima aliyo tumia na kumpa pesa ya vocha amefanya vizuri sana Cha msingi Mungu aendelee kumpa hekima huyo kiongozi anaona mbali sana
@binobino907820 күн бұрын
Serikali inatakiwa iwasaidie kuweka mazingira mazuri ya watoto kuendelea na masomo yao, lengo la sheikh lilikua ni zuri tu ila changamoto za kiuchumi ndio shida. Ni vyema DC atie nguvu kukisaidia kituo hicho.
@khamishumba651120 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656acha ujinga
@aminakipande564517 күн бұрын
@@lawrencegwerino1656😂😂 😂
@user-kr7ux2dw5l19 күн бұрын
Shekhe Allah akulipe kheri kwa kutimiza heshima na twaa kwa kiongozi wako. Ila unaona wazi kabisa viongozi wa serikali hawajijui kuwa wao ni watumwa wa wananchi. Hapo waislamu washajitahidi sana kilichobakia viongozi kumalizia tu. Na si kuwa abisha waislamu kiasi hiko. Unauzalilisha uislamu hapo. Wa ache watoto wa some dini yao. Ww waekee mazingira mazuri tu kama kweli nataka kusaidia.
@arbababdul309910 күн бұрын
Bado kazungumzia bajeti ya 60million inafanya nini kama si kujenga mambo kama hayo... mimi nakubaliana na wewe
@EzzyEddy-nv6ti3 күн бұрын
Comment yako Haina maana na Haina mashiko nenda katoe msaada
@twalibtz193620 күн бұрын
Maoni yangu binafsi Dini ina dhalilika hapa, waislamu Tujitoe katika dini yetu tuchangie kuendeleza madrassa zetu hii ni AIBU Sheikh anadhalilika hapa nia ni Njema Uwezeshaji hamna
@perfecttentech620820 күн бұрын
mkuu sidhsni kama hapa ni Madrasa. wazazi wawajibike kila mahli kuna madrasa na watotot wanaenda shele na madrasa. kwa nini hawa hawaendi shule?
@dennismwakilembe580020 күн бұрын
Mimi sio Muislamu ila nimeipenda comment yako upo tofaut na wengine wafia Dini hawataki kuambiwa ukweli Mtu anawaza kumsomea dua Dc anaacha kuwaza jinsi ya kutatua hiyo changamoto
@ziggertv318520 күн бұрын
Na ishu nikutatua changamoto na sio kulalamika
@michaelthobias996720 күн бұрын
Inabidi elimu izingatiwe sio elimu dini tu
@sheilalolila223320 күн бұрын
Michango jamani tuanzishe haraka kujenga bweni la msikiti
@PendoMatemba-ql1ng20 күн бұрын
Shekhe umejibu kwa busara sana mwenyezi mungu Akusaidie uweze kukamilisha hilo itaji la moyo wako nakuombea
@user-ov6bq8dc6t18 күн бұрын
Elimu ya akhera haipatikan kiurahisi allah atawasimamia na hiki kituo kitaendelea inshaallah
@sabtinaramadhani541318 күн бұрын
DC kisarawe mwenyezi mungu akulinde na kila baya ,akupe kheri na baraka zake
@rehemavickie652119 күн бұрын
Mungu akubariki sheikh, aisee una Mungu uko mnyenyekevu
@seneu.212819 күн бұрын
Waislamu ndugu zetu mkienda msikitini toeni sadaka ili maendeleo kama haya yafanywe kwa viwango vizuri maana lengo kama nikufundishwa dini ni jambo jema ila dini haipaswi kufundishwa kama adhabu, Ile kasumba yakusema hatutoi sadaka kufaidisha viongozi wa dini muache kabisa. Sadaka ni muhimu kwa maendeleo na ukuaji wa dini yenu ikitumika vizuri kwenye mambo kama haya.
@margarethpolepole74386 күн бұрын
Seneu mwisho wa waumini wa dini hiyo kutoa mchango qa sadaka ni ahs mia 5 hao watajamiana tu jinsia moja Mhe Magoti hamna kitu hapo wakubwa watawaonea wakubwa kwa kuwalazimisha
@user-kr7ux2dw5l19 күн бұрын
Masha Allah watoto wanasoma dini yao hapo waachane tu mnachotakiwa mujenge mabweni tu. Na sikuzalilisha.
@DicksonEdson20 күн бұрын
Huyu shehe nimempenda sana nimstarabu
@jasmintanga247420 күн бұрын
Saana Allah amfanyie wepesi ktk usambazaji wake wa dini aende kisheria
@EliasPaul-qs2ib2 күн бұрын
Hata kama siyo mstaarabu hapo lazima ajifunze kuwa mstaarabu Kwa Maana akijifanya mkali jela inamhusu
@kichanganionlinetv802320 күн бұрын
Sisi wengine tumesoma maeneo kama hayohayo leo hii tuna maadili yetu na tuna maisha mazur Alhamdulillah nikiona hivi binasfi najua na maisha tu magumu nawaombea dua ndugu zetu hawa iko siku huyu Ustadh ataneemeka tena mda si mrefu in shaa Allah
@bokasinvestment921919 күн бұрын
Maashaallah kaka watu markazi tumevumilia cz kilichotupeleka tunakifahamu tusilqzimishane mirengo shule kuna nnn kama huna maadili mzigo tuuu mtaan sindo hao wasomi wanaokaa uchi na kusema ndo utandawaziiii wenye dini hawafanyi upumbavu kama huo
@Pelegrinoemanuel19 күн бұрын
Huyu atakuwa alifundisha ugaidi
@kichanganionlinetv802319 күн бұрын
@@Pelegrinoemanuel wakristo mnachuki sana na uislam hilo tunalijua na quran ishatuambia kuwa chuki mlizonazo kwenye mioyo yenu ni kubwa kuliko hizi mnazozidhihirisha so tunawajua vzr kwahiyo comment kama hii yako ningeshangaa isiwepo
@maymunamakungu626519 күн бұрын
@@Pelegrinoemanuel Acha ushenzi wewe
@geraldkayanda607518 күн бұрын
Toa ujinga wenu,mlizaa watoto kuwapeleka kulelewa? Kama uwezo wa kulea hamna mnazaa wa nini? Badala watoto mkawapeleke shule wasome elimu inayoeleweka mpo busy na kiarabu.
@meryshekoloa96115 күн бұрын
Hongera sana mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo shehe pamoja na DC maisha magumu Sana wakirudishwa tunazalisha panyarodi mungu tutetee
@hamadiayossy20 күн бұрын
Mh DC Mwenyezi Mungu akubariki sana,Mungu akupe maisha marefu in sha Allah,
@m-tatu105018 күн бұрын
Mimi ni Muslim ila Kwa hili usalama wa watoto haujazingatiwa. DC upo sahihi na umetumia busara kubwa shekhe pia umetumia busara kukubali makosa kukiri makosa. Mungu ni mwema yametokea haya kabla madhara hayajawapata watoto.
@ahmedyunus721120 күн бұрын
Kabla ya kuisoma Dunia ni vyema kuisoma akhera yetu wenye Dunia tuwaachie Dunia yao
@AhmadaHassan-gy5uj19 күн бұрын
Swadaqta wa jina
@groundtrader17319 күн бұрын
Serikali wanataka madrassa zifungwe. Hawana lolote hawa. Wanataka elimu ya kizungu tu.
@manish-fp1fb19 күн бұрын
@@groundtrader173usingesoma ya kizungu, ungetuandikia nni hapa????.. ndio inayokusaidia kupambanua mambo
@omarymwaluko976515 күн бұрын
@@manish-fp1fbMambo gani ww choko nini
@husseinyusuph729719 күн бұрын
Mkuu magoti Mungu akubariki sana kwa hekima kubwa uliyo onesha InshaAllah Kazi njema
Achen akili mbovu iyo hali sio nzuri tuache dini pambeni watoto wanakaaje hapo ubishi sio mzuri tubadilike
@user-yj5on8cz3e20 күн бұрын
Chuki na uislamu tuuh mungu anawaona mbona watu wanauza uchi na mashoga hawakamatwi wanachekelewa tuuh na viongozi awachukui hatuwa
@emmadora784820 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3enani aichukie dini ambayo watu wake wako kama mawe? Miaka yote hawataki kubadilika ,ninyi ni wabishi sana na ndio maana wengi hamsomi ila kulalama mnapenda sana
@ramadhanimwinyi-744520 күн бұрын
Didi haiwezi kuachwa pembeni ila utaratibu uchukuliwe dini yeyote haisemi watoto wateswe
@leonnyntandu432420 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3e haya mambo ya kuendekeza udini ndio yaliyosababisha majanga kibiti,mkuranga,Amboni na mtwara mtu anaendesha mafundisho bila hata uongozi wa dini mkoa hufahamu tena unalaza watu msikitini alafu unatetea tu ujinga et dini kuna mtu asiyejua maana ya kumuomba Mungu na kujifunza mafundisho mema kwann mnataka sana kulazimisha dini ya kiislam ionekane na taswira mbaya kwa kukosa elimu ya dunia ninyi ndio mnaofanya uislam uonekane vibaya mbele za watu kwakujiona kama malaika na wengine ni mashetani ingali ndani humo humo kuna mashetani zaidi hata ya hawa mnaowaona wadhambi badilikeni mnakera sana vile hamjui tu mnatufanya tunaowaamini na kutamani kujifunza mafundisho mazuri ya kiislam tuchukie
@lampadshigonko300620 күн бұрын
@@user-yj5on8cz3ehawakamatwi vp... Mbona sinza wameshika madangulo yote
@hermanaaron694520 күн бұрын
Kazi nzuri sana DC
@deusgulamiwa748919 күн бұрын
Kazi ya kufundisha dini na maadili mema. Ni kazi nzuri ya Mungu, iboreshwe.
@trophywilson721114 күн бұрын
Lakin hao si wanatakiwa waende sekondari ndo huko Wapate na Elimu ya Dini??Ili kesho wasianze.kusema Pastor ana gari lakin shekhe Hata baiskeli hana hahaha
@deusgulamiwa748914 күн бұрын
@@trophywilson7211 Kweli, umri ule sio wa elimu ya dini pekee. Ukiangalia upande mmoja yaani ustawi "kiroho" unasema ni sawa jambo jema kufundishwa dini. Ukiangalia kwa upana wake yaani ustawi wao kwa ujumla unapata jibu wanahitaji elimu ya dunia na ya dini.
@vincentcharles438519 күн бұрын
DC na sheikh Mungu awabariki sana.
@kitejamayunga764520 күн бұрын
Sheikh ni mstaarabu sana. Amesema ukweli wake na Allah atamsimamia kupitia ukweli wake. Mafundisho ya Dini ni muhimu sana, tena sana, lakini shida mazingira siyo rafiki. Simple tu kuelewa.
@JoyceMourice20 күн бұрын
Amesema ukweli wap anafanya watoto wasisome mtoto wa darasa la nne amemkumbatia asomi na alisema anawatoto wakubwa kumbe na wadogo wapo
@florencejohn642720 күн бұрын
Angekuwa mstaraab angefanya huu upuuzi? Ovyoo
@user-rw2mm1jk6o20 күн бұрын
@@florencejohn6427chizi ww achakutukana watu unaongea kwajazba ya dini tu fyuuu
@kasimubangu187519 күн бұрын
Upuuzi gani ndugu@@florencejohn6427
@zahranabdi812419 күн бұрын
Kuna machokoraa wamejazana mtaani iyo serikali imefany jukumu gan lakuwasomesha?@@JoyceMourice
@ukhtyrehemaabdy283018 күн бұрын
Ukiwa na busara raha sanaaa DC anabusara Sheikh anabusara hapo Lugha ni Moja Mashaallah
@hidayahshabani337920 күн бұрын
Allah amfanyie wepes sheikh tuchangie waweke bweni, mkuu wa wilaya yuko vixur ana huruma sana, sheikh nae mkweli, mkuu w wilaya ana huruma sana,
@user-fj5qu1qy4u17 күн бұрын
KAZI nzuri magoti DC
@fawaaidibnjuma871620 күн бұрын
Kwenye kulingania dini kuna mitihani mingi. Allah akupeni subra nusra ya allah ipo pamoja na matatizo
@HusseinAbdul-is9xq20 күн бұрын
Sahihi Allah s.w.t awape subra
@groundtrader17319 күн бұрын
Serikali inataka kufunga Madrassa. Maneno yake yanaonesha niya yake kamili
@KHAMIS_SHILINGI19 күн бұрын
Allaahumma aamiin yaa rabbi 😢😢😢
@trophywilson721114 күн бұрын
ndo kulala huko kuitafuta mbingu?
@user-du5wk9ns9m20 күн бұрын
Bakwata simamia hili,sio kusimamia sikukuu na mirad ya msktin
@abdullazaqjuma75927 күн бұрын
Wao wako bize na maulid tu
@khalifaaliomar798914 күн бұрын
Asante chief
@ntibashimadicksonmathiasna291518 күн бұрын
Dc ❤et magodoro Yanaisha kwa ajili ya kutafuta watoto❤
@RaphaelHhari20 күн бұрын
Dc amefanya kazi nzuri
@winfridamakonyola988720 күн бұрын
Mimi machozi yamenitoka eti kwa ajili ya huyo ostaz alivyo mnyenyekevu hadi nimelia😢 jamani achangiwe bweni lijengwe
@mohamedkwiga687019 күн бұрын
Nmejiskia huruma kweli asee
@jafarinauma679817 күн бұрын
Ndio ujue umuhimu wa kusoma dini huyo sheikh kasoma dini
@marywigira390413 күн бұрын
Yaani anaunyenyekevu mnoo Mungu amuinulie wafadhili wa project hii
@joycemkeka376912 күн бұрын
Kwakweli jambo la msingi nikuchanga tu wajengewe bweni zuri waendelee na mafundisho hayo yanafaida sana ila tatizo ni mazingira
@RiyanyMwakipunda19 күн бұрын
Nakupongeza Dc Magoti mpakanimetokwa na chozi kwa hekima zako good bro
@HamisiKashushu19 күн бұрын
Kwa hili nakupongeza sana kazi nzuri
@JK-uq1tv20 күн бұрын
Haya mambo ya kuaza kufundisha watoto namna ya kuja kuwa magaidi yameaza tena jaman 😢
@MuhamedAjigar-dw9ve20 күн бұрын
Nyooo umesikia wanafundisha ugaidi pale kuwa muelewa
Acheni fikra za kimagharib zilizojaa chuki, uislam sio ugaidi bwana, hiyo ni sawa na Sunday school kwa sisi wakristo !! Tusiwekeane mipaka kwa kuwapandikiza wengine ubaya !! Dini ni upendo, kwa taarifa tuu magaidi wakwanza ni hao wanaotuharibia watoto kwa ushoga na usagaji na tena wanalazimisha dunia iangamie, sembuse hawa wanaoipigania dini yao !! Acha chiki bwana
@JumaJuma-i2g19 күн бұрын
@@devisshirima6780 sahihi kabisa ndugu
@shadhirimaalim973919 күн бұрын
Hizo ni chuki zako wee unaubaguzi kwanza akuna gaidi
@adinanibuma609620 күн бұрын
Kama serikali mnatoa kwa ajili ya mashule basi mtoe na kwa ajili ya madrasa kwani kuna wengine sio kwamba wanapenda kuwa wabunge raisi na cheo zingine za kiserikali kuna wengine wanataka kuwa masheikh serikali iangalie hili msiwalazimishe watoto na ndoto zao
@SophyDan-c4s19 күн бұрын
Dc Mungu akubrki,una hekima sana
@AbuuAnuwar-ip7dr17 күн бұрын
Asante sana muheshimiwa, umetumia njia mzuri sana nahekma yahali yajuu licha yakuwa ulikuwa nauwezo nahaki yakumhukumu Shekhe wetu huyo maana kosa lake likowazi
@BLUBEENICE16 күн бұрын
Safi sana MH.ila wazazi wa hao watoto nao vichwa vyao sio sawa.
@alinaalina504416 күн бұрын
Kutafuta elim sio mpaka update pazuri sio
@nathanielshauri513520 күн бұрын
Hongera sana DC kazi nzuri sana ndio viongozi tunao waitaji watazania big up
@libandaonline535819 күн бұрын
Sasa kazi ya nini hapo au ndio ukafiri unakusumbua
@nasrasalumu700515 күн бұрын
Shekhe uko sahihi sikuizi watoto wadogo watukutu huku mtaani bora kuwe navituo kama hivi hata huku mtaani wangekuwa watoto wenye heshima chamsingi tumuwezeshe shekhe atufundishie watoto wetu huku mitaani hakufai asante mkuu kwa busara zako pia shekhe allah akulipe kwa hekima uliyonayo tukiwezeshe kituo waislamu inshallah
@mohamedkwiga687019 күн бұрын
Nmewapenda wote shekhe na DC Magoti...Hapo mkuu wa wilaya tusaidie angalau Bweni Moja Inshallah
@HassanWasiwasi-lq1kh20 күн бұрын
Acha kuidanganya jamii!!! Msikiti ni zaidi ya kufanya ibada, tafadhali tumia lugha nzuri.😢
@Chakol123-k7s19 күн бұрын
Nyumba ya ibada wanapika jaman hiyo ni kambi ya jeshi au ugaidi.. nyumba ya ibada ni ibada tu
@user-dr2lk7im7r20 күн бұрын
Je hao watoto wanafundishwa dini tu. watoto hao waulizwe wanachofundishwa.
@AbdulimalikiDulle-bp5zp20 күн бұрын
ni dini tu wala usihofu
@seifmiraji4320 күн бұрын
Swali la kipumbavu
@user-ji5go2jf6h20 күн бұрын
😂😂😂
@stellamhando175020 күн бұрын
😂😂
@kichanganionlinetv802320 күн бұрын
We ni msenge mbona wakristo mnachuki na uislam ivi bwege wew
@queenmilan202420 күн бұрын
Hongera DC
@vincentcharles438519 күн бұрын
Sheikh Mungu amekupa hekima kubwa sana,wewe ni zaida ya sheikh wa mkoa,Mungu akuzidishie Ndugu yangu.
@alphoncewilliam432520 күн бұрын
Hii aijakaa sawa
@OchoaHomeDecor_20 күн бұрын
Maisha hayo ni bora kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani... Kuwa wahuni,wezi,madawa ya kulevya nk...
@HusseinAbdul-is9xq20 күн бұрын
Sahihi
@luluray211520 күн бұрын
Uko sahii ila kumbuka watoto Bado wanaitaji shule hicho kituo kinaitaji kijulikane kwa serikal na kwa wakubwa wa dini ili watoto wapewe malez Bora kinacho fanyika hapa ni sahii kabsa
@queenmwasanguti237019 күн бұрын
Umeambiwa ni wa mtaani hao?
@libandaonline535819 күн бұрын
Hakuna dc hapa ni ukristo tu unataka kuturudisha nyuma katika dini laana tu llah
@libandaonline535819 күн бұрын
Wallah nakuomba mungu sambaratisha cheo chake huyu kafiri adharirike mpaka kaima🤲🤲
@user-so5vi2vk2j19 күн бұрын
Ubarikiwe shehe na dc kwa hekima
@athumanyassin779616 күн бұрын
Hizo pesa zinazotolewa ni kiasi gani kinatengwa kwa ajili ya taasisi za kidini kabla hatujawalaumu na kuwadhalilisha viongozi wa kidini?
@ramadhanikitenge318220 күн бұрын
Huyo shkh mm namjua anajitahd sana na ana group la mchango wa hayo mabweni ila ndo hvyo watu wanatoa kdog kdogo sana
@jasmintanga247420 күн бұрын
Allah atamuongoja
@jasmintanga247420 күн бұрын
Atamuongoza inshaa Allah
@mshambaused384019 күн бұрын
Tuma link yake ya group
@ramadhanikitenge318219 күн бұрын
Mtu anaweza akaweka namba yake nkamtumia akuunge kwny group
@MrA24G18 күн бұрын
Angepata network uarabuni wampe fedha za kujenga mabweni.Uarabuni pesa zipo ni apate link Bakwata wangempa link.Ama angeenda ubalozi wa Oman Saudia nk wangemsaidia.Waislam jikusanyeni msaidieni sheikh muonganisheni na waarabu nje ya nchi wam finance.Km dini nyingine wanavyotafuta funds nje na kujenga maskuli nk.
@TV-se1lf20 күн бұрын
Jamani shughuli za uendeshaji shughuli za dini ni changamoto sana, ukizingatia hakuna mfadhili wa kukamilisha kila kitu kwa wakati. serikali ituvumilie waisilamu. Ikiwezekana serikali iangalie namna ya kuwezesha taasisi za dini.
@adinanibuma609620 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@HusseinAbdul-is9xq20 күн бұрын
Sahihi kwasababu nawatu wa dini lengo 1 VP watu wataishi Kwa Imani na khofu hvyo wanafanya kazi kubwa saana kusaidia jeshi la police 🚨 kureta usalam.
@canibalgazaboy832520 күн бұрын
Taasisi za dini zitengeneze mazingira mazuri zenyewe ko kabla ya kuibebesha lawama serikali kwanza jikagueni wenyewe kwanza muone kama mnaweza kutoa huduma hiyo
@maymunamakungu626519 күн бұрын
@@canibalgazaboy8325 Mwisho wa siku huduma lzm ziendelee watoto mashaallah wanazaliwa wengi kama yukisubira mazingiza mazuri watapotea wate hao vijiweni kwa bangi, unga n.k
@cecilialivingstone920217 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-ei5di4oi7g6 күн бұрын
Ninawaombea miundo mbinu iboreshwe. Shekhe Allah akulinde
@ramadhanizengwe19 күн бұрын
Sheikh yupo vizur sana na dc nimemkubali sana hongela dc
@Optionxll_Playz120 күн бұрын
Hivi Serikari wanakuwaga wapi mpka kitu kama hiki kinatokea ? Alipataje leseni ? Mambo ya aibu sana haya.
@WaziriAbdallah-vr4xg20 күн бұрын
Hakuna jambo la aibu hapo hayo maisha ndo maisha asilimia 90 watu wanaishi huko mikoani hivyo usifanye kama Kijiji kwako hakuna
@OchoaHomeDecor_20 күн бұрын
Leseni? Leseni gani? Alafu hayo ni maisha tunayoishi kila siku... Nina jirani yangu anawatoto sita wanalala kwenye chumba kimoja na wazazi wao kwenye chumba kimoja... Maisha hayo ni afadhari kuliko maisha ya watoto kuzurura mitaani kuwa wauni na vibaka
@Optionxll_Playz120 күн бұрын
@@OchoaHomeDecor_ ndio maana Serikari inatakiwa na watalamu wake wanatakiwa kutoka Elimu na makazi bora Ni 2024 sio 1940 lazima wawatoe wanainchi kwenye umasikini kama huo sio wanafikilia matumbo Yao tu .
@leokamil628420 күн бұрын
Ajabu sana hii
@happymvula19 күн бұрын
Me nauliza hao watoto wanaenda saa ngapi shule? Maana navyojua wanaenda madrasa wakitoka shule...siyo kuhamia ,labda kama wapo hapo kwa muda .
@hamishatibu69920 күн бұрын
Wajengewe mabweni watoto wasome Mbona Tanga wanamabweni watoto wanasoma vizuli tu
@user-hj4bc5uh2x20 күн бұрын
Tatizo vituvyakheri havina michango m
@tatujuma479520 күн бұрын
Big up sana mkuu una mauwa yako toka kwangu, umefanya kazi nzuri sana, kwanza ni watoto wa kiume tupu huu unaweza kuwa mwanzo wa ulawiti na kulawitiwa kwa watoto hao
Hwenda ikawa ndio chanzo cha kupata msaada mkakamilisha kituo chenu. InshaaAllah allaj awape wepesi.
@aboudasilver654120 күн бұрын
Ukweli tusifiche WAISLAM Kwa hili wanakosea sana hii tabia misikiti MINGI hiyo tabia ipo sana kuwakusanya watoto sehem km hiyo unatabia ya ongezeko la Ushoga watoto wengi wamearibiwa sehem km hizo za mikusanyiko
@barackmoses700320 күн бұрын
𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀
@husnathabiti411420 күн бұрын
Mbona mfalme zumaridi mbona Analaza usiseme waislam ili nikosa kama makosa mengine
@shabanponera289519 күн бұрын
Sunday school hawaharibiwi?
@user-ci9mr5pt9v19 күн бұрын
Kwani mwenyezi mungu kwenye vitabu vyake anasemaje na mtume naye na watu wema waliishije kipindi chao? Na kuhusu ushoga mungu kakataza lakini pia vilevile kuchanganyika na Wanawake imekatazwa tusiongee tu kwa ushabiki turudi kwa mungu tufate taurati, zaburi, injili na quraan.
@IbrahimuLikolinji-ly2tp18 күн бұрын
Acha ujinga
@israeluronu995820 күн бұрын
Nyie mnaolalamika eti anazuia kazi ya Mungu mnakosea!!! Haowatt kilamtu ametoka kwao na tabia zake. Hivi vitendo vya ukarili nivingi sikwawaislamu wala wakristo. Kwaiyo wacheni kiongozi afanye kazi yake. Watt wakiumia ninyie mtalaumu jmn
@sabojanvierjaja200717 күн бұрын
Sheikh hongera sana umeweza kujitambua na kujieleza vizuri sana Mumgu akubariki sana Japo mi ni mu christo nimekuelewa sana na nimekupenda sana bure Na Bwana DC asante kwa kumuelewa Sheikh
@abdallahkungulilo793919 күн бұрын
Kiongozi ni ni kutafakari na kufanya maamuzi kwa Hekima na Busara, siyo Hisia na Mihemko, I salute you DC Magoti kwa namna ulivyoshughulikia kadhia hiyo, Mungu akubari!
@ednalugano290620 күн бұрын
Serikali iache kulea vitu hivi kwa kisingizio cha uhuru wa Imani. Hivi vituo vinavyokusanya watoto kiholela vinakiuka haki ya watoto ya elimu,nk. Magonjwa yakitokea nani anawahudumia? Na wazazi wenye watoto hawa wachukuliwe hatua za kisheria.
@allymtito811719 күн бұрын
We jaahili kweli,
@NURUABDALLAH-kq4ui19 күн бұрын
We mpuuzi Kweli!!!!
@user-zu8ui2py1z17 күн бұрын
Ww mjinga nmoja
@user-zr1dv2tb5k10 күн бұрын
Mjinga wa mwisho
@user-js1sv8kk3t20 күн бұрын
Taarifa za kiintelligensia zimebeba mambo mengi kuhusu hicho kituo..
@Makikokasongo19 күн бұрын
Tusaidie tujue
@gwajimagwajima18 күн бұрын
Intelijisia ya mavi
@ibnkhaldoun969418 күн бұрын
@HUNA LOLOTE ULIJUALO ZAIDI YA CHUKI NA WAISLAM .
@chusseboywcb280819 күн бұрын
Sheikh mungu awe nawe 🙏🙏💪🙏🙏🙏duniani paka mbinguni 🙏💪💪
@Datsme2019 күн бұрын
Dc ypo humble sana pamoj na sheikh wetu big up sana Dc
@msemasungura565120 күн бұрын
Hiyo pia nielimu kama mtoto ameshindwa kwenda shule kuliko kuzurura hata dini asome .nilazima itambulike kua pia hii nielimu.
@adinanibuma609620 күн бұрын
Ni sahihi akhy kuna watu hapa nahisi si waislam wengine pia ni nawasiasa tu wanongelea vitu vya kijinga sana
@luluray211520 күн бұрын
Kwann ashindwe kwenda shule tunajua dini ni muhimu sawa lakin kumbuka elimu ni Bure kwann ashindwe kwenda shule??
@ednalugano290620 күн бұрын
Waziri Gwajima, ukaguzi ifanyike nchi nzima. Makanisa na misikiti yote ikaguliwe. Na sheria iwe Kali kwa wazazi na walezi. Iko siku waovu wataweka vituo km hivi kuendesha Mafunzo ya ugaidi, ushoga,nk alaumiwe nani?
@mariakibwana370020 күн бұрын
Nimependa ulichoandika.
@SultanMilizar17 күн бұрын
Mh DC Magoti M Mungu akujaalie umli mrefu endelea utafika mbali umetumia hekima sana ila nikuombe umsaidie shekhe ili kupata ufadhiri wa kujengewa bweni za hao watoto Msadie Alifa kupata msaada wewe ni mtu wa watu pia ustadhi tupo tayari kukuchangia nipo tayari takuja kisarawe kukutembelea
@yusufumbwene566914 күн бұрын
Huyu anausakama uislam , mimi siwez unga mkono kabisa , anajifanya busara ila moyoni ana maana yake . Pambaneni na wimbi la ushoga . Chuki tu moyoni ndio zimewajaa
@lawrencegwerino165620 күн бұрын
Ni aibu kwa inchi.kuona haya mambo yanafanyika na serikali ipo…
@TwahaAliMtumbi20 күн бұрын
Wapuuuzi Sana hii serikali
@leokamil628420 күн бұрын
Aibu kubwa sana huu ni utumwa
@user-hz6zl1jr8v20 күн бұрын
Waangaliqe na afya zao je ni wazima? Je hawajaingiliwa kimwili.?
@salmamlokela198719 күн бұрын
Yaan wewe una mawazo ya ovyoo
@fashion744219 күн бұрын
Wataingiliwaje wote hao naww uwe na akili
@IbrahimMaestro19 күн бұрын
Tahila ww
@yusuphmnyamani219919 күн бұрын
Kwahiyo ulivy ingiliw wew ukiw mdog unadhani na haw watoto itakuw hivyo
@saidMahinde14 күн бұрын
kweli tabiaza za m2 zikiwa chafu na mawazoyake yanakua machafu alio zoea kulawitiwa pia mawazoyake kua kilam2 analawitiwa kama yeye
@jasmintanga247420 күн бұрын
Wote wanania nzuri kwa watoto DC amefanya kazi yake nzuri na shekh pia alikua na lengo zuri ispokua amekosea kufuata sheria tu lkn Allah awalipe kwa nia zao njema DC na shekh
@user-xz9zg2yk6m12 күн бұрын
Jamani umetoa maoni mazuri sana mungu akulinde kwa kufuatilia hayo mazingira ya hao watoto🙏🙏🙏
@user-du5wk9ns9m20 күн бұрын
Mama Samia anaona hili na Iman atafanya kitu kama alivyofanya mengi mazur yanayo gusa maisha ya watu😢
@user-do1ug7de3g20 күн бұрын
Hivi mama samia kuna jema amefanya au unampaisha tu mie sijaona pia namshuhudia Mungu
@user-du5wk9ns9m19 күн бұрын
@@user-do1ug7de3g mama kawapeleka bongo movie korea hawez shindwa hili jambo la khery
@ABUU42620 күн бұрын
Yule asiyefahamu nini maana ya dini atamuunga mkono sana DC,na Yule anaefahamu nini maana ya dini atamlaumu sana DC.
@rashidyyusuph438620 күн бұрын
Ukwel DC kakurupuka alafu watu wanaishi maisha ya shida kuliko hayo alafu wala mtu aongei chochote kwa kuwa jambo la dini na la waislam ndio hivyo tena Kumbuka sis tumesoma elimu ya dunia hiyo hiyo kwa kukaa chni na vyoo vya kulenga Lakin miaka sana yote tumeishi hivyo leo jambo la dini watu washabikia DC mwenyewe maneno machafu
@perfecttentech620820 күн бұрын
kiongozi hakuna kulaumu mtu. hapo ni kusecure usalama wa hao watoto. shekhe ajenge hostel afanye hiyo kazi
@ABUU42619 күн бұрын
@@perfecttentech6208 Kama hujui hapo kuna baadhi ni watoto wa mitaani wameletwa hapo kusaidiwa jee warudi mitaani wakazurure na kulala barabarani na masokoni? Au huko ndio salama zaidi.
@egbertlambert14 күн бұрын
Duh kweli
@KONDOBANNAHMUSIC11 күн бұрын
Mh.magoti ila big up sana aseee angkuwa kiongozi mwingine hapo angetaka masifa ila wew muheshimiwa HUNA masifa ALLAH akubariki
@user-rf9vn7lz1n20 күн бұрын
Watu ataawajaelew shid siy wamekataz kufundishw din shid sehem siy Salam ndiy shida ipo hapa
@petroyohana112620 күн бұрын
Wazazi wenyewe ni maboya Sanaa, mungu atusaidie sana. Sijui nani katuloga
@olivajoseph169719 күн бұрын
Hata mm nashangaa akili Gani hizi za wazazi. Ndiomana watoto wanafanywa vibaya
Uko vizuri sana mkuu nenda na kwa mwamposa wanala nje na wagonjwa
@arushijuma605619 күн бұрын
😂😂😂😂 kwakweli
@naifathassan260719 күн бұрын
Wale ni watu wazima hawa ni watoto wanaweza hata kufanyana vibaya tatizo mnaanza kuleta udini
@therealkingo19 күн бұрын
🎉😂😂
@user-mc2zl1gj6u19 күн бұрын
Usha sema hao ni wagonjwa acha wahangikie tiba na uponyaji pia ni watu wazima hawajitaji kwenda Shure ludishrni hao watt kwa wazazi wao wakaende shure na kulijenga taifa msikiti ni sehemu ya kusali na kuludi nyumbani siyo kuishi humo kazi au Shure wanafanya saa ngap? Ulizeni hao watt wanacho fundishwa kusije kukawa kunazalishwa akina hamza
@AlexKing-yg2cc17 күн бұрын
@@user-mc2zl1gj6uKwa uandishi huu hata wewe unatakiwa kwenda shule. Shure ndiyo nn?
@margarethpolepole74386 күн бұрын
Magoti umechapa kazi vizuri sanaaaa hao nikujamiana tu jinaiq moja Mungu walibse hao watoto
@PrinceMgeni5 күн бұрын
Ujielew inaonekana ulizaliw unatukan
@user-rf1gg4ix4y13 күн бұрын
DC Allah akulinde na akuzidishie hekima na busara.
@manfredherman289820 күн бұрын
Iv waislam kaz kutanua midomo wanawaona😢 iv kwel mnashindwa kuchangia din yenu watoto wenu wakasoma vizur 😢😢
@emmadora784820 күн бұрын
Hao kulalama ni balaaa ila kuchangia maendeleo ya taasisi zao ni 0 huo ndio ukweli japo watakataa
@bitecastory213720 күн бұрын
Toka lini uisilamu akawa na Elimu ya kutosha ila Sasa kutukana kafili ndo wamejaliwa
@SaidiAmiri-qv5ed20 күн бұрын
@@bitecastory2137unakosea sana,raisi wako dini gani? Hana elimu yule,nani aliyepigania uhuru taifa hili,chama cha TAA baadae kikazaluwa TANU ndani yake walikuwa akina nani? Acha ufala,elimu waislamu tunayo yakutosha.
@shagufasalim431020 күн бұрын
@@bitecastory2137 allah akusamehe
@victordanistan747020 күн бұрын
Hiyo Kamati ya Afisa Ustawi wa Jamii, Mtendaji, na Afisa Tarafa, na Sheikh mwenyewe, imenifanya kuamini kweli watoto watarudishwa nyumbani kwao. Maana nimeshtuka baada ya kusikia ikifika saa 7 hutakuta mtoto hapo. Hata Nguruwe halali katika mazingira ya Namna hiyo "DC wewe Allah anakutazama" Watu wanamaliza magodoro kutafuta watoto.😂
@bintmrisho352620 күн бұрын
Dc makoti hongera sana
@user-rm3vd6yi8f8 күн бұрын
Shekh wangu uko saw Allah akufanyie wepesi
@IsraelMjita20 күн бұрын
Angalieni hapo kama hakuna viashiria vya mafunzo ya kigaidi
@AshuraMaulid20 күн бұрын
Nilitaka kusema hili nimewaza kama wewe yaani wachunguzwe
@dickmagige931520 күн бұрын
Msiwe na mawazo mgando nyie
@shabanimfikirwa761820 күн бұрын
Hivi kwa nn waislam wakipewa mafunzo ya kidini mnagusisha na ugaid wakati wenzetu wakristo huwa wanakaa makambi ya kupewa kipaimara but hakuna inshu Kama hizo,then hao wanaoambiwa ni magaidi huwa watu wanaowadhamn ni wazungu,naomba tuwe wataft wa mambo kabla ya kuyazungumza.
@madengejr20 күн бұрын
Watoto wakibanwa wataeleza wanalishwa sumu ya itikadi
@SuleymanIbrahim-zi3ot19 күн бұрын
Acha ujinga wew Kila kitu ugaid ulaniwe milelw
@IgnacioAndrew-rj8pd11 күн бұрын
Shekhe yuko vizuri sana ni mazingira hakuyaanda vizuri
@yusufumbwene566914 күн бұрын
Mtume wetu Muhammad ( s.a.w ) ukiangalia maisha yake yote alikuwa akilala mchangani kula alikuwa anakula tende na sio kwamba alikuwa masikini , starehe za kidunia zitawapotosha vijana , huyu dc atafute vijana ambao hawana ajira mtaani awasaidie acheni kusakama uislam
@hadijatwahadossa20 күн бұрын
Hii sio uislam,,,,,hawa watoto wanatakiwa wawe shule,.......kama mzazi huna elimu ya kutosha,,,usitake mtoto nae awe kama wewe,,mzazi
@ibrahimomari245820 күн бұрын
Hiyo wanayo pewa ni elimu pia...kikubwa ni usalama wa hao watoto
@adamhashim335220 күн бұрын
Kwahyo hapo walipo sio shule. Km unahuruma kweli ungewachukua wanaoranda katiakoo uwapeleke shule
@rashidyyusuph438620 күн бұрын
Kwani shule ndio nin mbona kama ubongo wako umelala
@user-yj5on8cz3e20 күн бұрын
@@rashidyyusuph4386 ww toka umesoma umeajiliwa au umepewa kazi ilmu ya dini ndo yenye kumfaa mtu kesho akhera ww unajina la kiislamu lakini hujtambui uislamu ni nini