Рет қаралды 127
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe.Mbaraka Alhaji Batenga amewataka wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Wajumbe wa serikali za Vijiji kuwalipa maendeleo Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Wananchi waliowachagua kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27/2024.