mzee msekwa umejishushia heshima kwa mdahalo huu umeongea kinafiki
@Kiswahili23 күн бұрын
Ahsante kwa maoni yako.
@ezekielezekiely847625 күн бұрын
Act uko sahihi.
@Kiswahili23 күн бұрын
Shukrani kwa maoni yako.
@abudulahiali967623 күн бұрын
Huyu mzee msekwa anaoneka ni mkereketwa sana ajaribu kupwepa ukweli
@Kiswahili23 күн бұрын
Ni kada wa siku nyingi wa CCM. Amefanya makosa kukitetea chama chake?
@msokainno25 күн бұрын
hakuna.uchaguzi bali ni uchafuzi wa kishetani hatutaki uchaguzi bila.katiba mpya
@Kiswahili23 күн бұрын
Shukrani. Maoni yako yamefika.
@benardbonephace489625 күн бұрын
Kbs kbs wapiga kura tunakatishwa tamaa maana unaenda kupiga kura wakati matokeo tayari yanajulikana
@Kiswahili23 күн бұрын
Unaamini huo ndio uhalisia? Inawezekana kwa mifumo kubadilishwa?
@benardbonephace489623 күн бұрын
@Kiswahili mifumo inaweza kubadilishwa ikiwa sisi kama watanzania wote tutakaa pamoja tukakubaliana kuwa na katiba mpya,tukawa na tume huru ya uchaguzi na mchakato wa uchaguzi ukawa huru na haki naamini atakayeshindwa atakubali kuwa kashindwa kihalali na pia kama atakimbilia mahakamani na mahakama zetu zibebe jukumu la kutafsiri sheria ipasavyo ili kusiwe na upendeleo kwa mlengo Fulani wa chama
@YussufPandu-es7ou24 күн бұрын
TANZANIA SI NCHI YA KUPIGA KURA,KWASABABU NI UBABAISHAJI TU HAKUNA UCHAGUZI,
@HenrySamwel-k3x22 күн бұрын
Msekwa vyombo unavovitaja,bunge Na mahakama ni makada wa ccm.
@EnockFumbuka24 күн бұрын
A day is coming when justice will PREVAIL !
@florencejohn642724 күн бұрын
Wazee kama Pius msekwa ndo walitakiwa kufa mapema sana kabla hata ya miaka 30 na kina nyerere waishi miaka mia. Mzee kama huyu ambaye tungetegemea asimamie haki na ukweli lkn anaongea upupu tu. Analinda maslahi maana ccm ikitolewa mali zake anazomiliki lazima zichunguzwe. Ovyooo
@Kiswahili23 күн бұрын
Tutumie lugha ya staha tunapotoa maoni yetu.
@AyyanJambau25 күн бұрын
Hakuna mahakama Tz wala hamna uchaguzi Tz
@GABRIELGAVU-vf7cn22 күн бұрын
Tanzania ni nchi pekee ambayo waziri na mkuu wa tume ya uchaguzi kufurahisha na kutoshirikisha upinzani kutofanya vizuri. Mahali pengine waziri alipaswa kujihudhuru. Hapa fisi alipewa kundi la kondoo na mbuzi akachunge. Watawala wanapo poteza kwa raia hawakubali na kuingiza dora isaidie ushindi.
@TumainiMunale25 күн бұрын
Kipindi kizuri hongereni DW kwa uchambuzi mzuri 🙏🙏
@Kiswahili23 күн бұрын
Ahsante kwa maoni yako.
@TumainiMunale23 күн бұрын
Shukrani pia 🙏🙏@@Kiswahili
@bensonkaduvage954924 күн бұрын
Mzee Msekwa "Huna hata Soni " kuongea hivyo? Mzee ungetunza heshima na jina lako kwa kukaa kimya.
@msongojumbe48622 күн бұрын
Mzee Msekwa umechoka
@faustinebahenobi341222 күн бұрын
Msekwa hana jinsi ccm ndo inamfanya aende chooni
@emanueluroki616025 күн бұрын
❤
@YourMoor-px1rd23 күн бұрын
Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM .lakini ccm ni waongo sana tena ni wezi sana kifupi hawafai
@faustinebahenobi341222 күн бұрын
Asante kwakuliona hilo
@YourMoor-px1rd22 күн бұрын
@faustinebahenobi3412 UKWELI USEMWE TU BRO
@ImmanuelMkwama22 күн бұрын
Msekwa naona ukae kimya kwasababu kinacho fanyika na polic ni dhambi kubwa sana haiwezekani watu wanakaa juani alafu matokeo yananyang'anywa kipumbavu huu ni ujinga waamue t kama ni ccm inatakiwa kwenye nchi hii bac ifahamike.
@KabatesiTherisia25 күн бұрын
Protocols question
@Seifkassimmkumba22 күн бұрын
Kama wanaiba makalatasi je asilimali zetu ziko salama kweli
@faustinebahenobi341222 күн бұрын
Hiv mbn uyu mzee simuelewikabisa anavyoibu anabwabwajaweheee yaani aibu tupu
@johnhamli248924 күн бұрын
Huyu mzee mpuuzi sana ..kwa sababu mission ya ccm imefanikiwa unataka tugange yajayooo?????
@Kiswahili23 күн бұрын
Tutumie lugha ya staha tunapokosoa wengine.
@FakhiiAhmad22 күн бұрын
@@Kiswahili kama ipi ? Tumechoka naujinga kwani ww huoni? Hizo ndo lugha nzuri kwetu tunajifariji kwakuwambea mabaya
@joshuaswai820325 күн бұрын
Uchaguzi wataandaa nwenyewe na kujipigia wenyewe na kushinda wenyewe sisi basi yatosha nchi ni yao wenyewe sisi hatuna tena maslahi ktk nchi
@mossessimon249325 күн бұрын
Huyo mzee Fala sana
@yugemasanza100825 күн бұрын
Nawe utatukanwa hapo baadaye
@FakhiiAhmad22 күн бұрын
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi alipokuwa anasimamia uchaguzi
@calvinlema610725 күн бұрын
Mzee amechoka ana usingizi ameshauri wappinzani waende mahakamani 🤔🤔🤔
@aminimushi694524 күн бұрын
Kwa katiba ipi?kumbe uzee ukifika mahali kila kitu kinazerka.
@BoniphaceKayanda23 күн бұрын
Mzee msekwa katumwa kuzungumza upuuzi. Hana anachokijua uzeee unamsumbua
@CassySalum25 күн бұрын
jeshi linakumbatia CCM. ipo siku panachimbika. wasituone wajinga watanzania. tutakuwa tayari kwa lolote. tumewachoka CCM.
@sebuyoyabiteyubwoba23 күн бұрын
Mzee msekwa ukongwe wake katika siasa za kidemokrasia ameupoteza, wananchi walitegemea angekemea maovu kumbe nae ni wale wale
@adaNahimana-y7b25 күн бұрын
CCM Wamechoooooka.
@benardbonephace489625 күн бұрын
Suruhu ni kuwa na tume huru ya uchaguzi na mchakato wa uchaguzi uwe huru na haki
@AbdalaNdaria25 күн бұрын
Ccm inamtihani tena wala chaguzi hazimamanayoyote
@wakwetu244422 күн бұрын
Kwetu hakuna uchaguzi ni uchafuzi tu.
@YourMoor-px1rd23 күн бұрын
MZEE MSEKWA NI MNAFIKI SANA ANAFICHA UKWELI MSEMA KWELI NI MZEE WARIOBA AMEONGEA UKWELI MTUPU
As matter of fact Wazungu wanasema "You are Dead Wood", maneno yako yanakera na kuwahuzunisha wapenda mageuzi ukiacha wachumia matumbo i.e. yaani CCM walio wengi. Unawatia Aibu wazee wenzako!!!
@harounmaarufu324123 күн бұрын
Wazee kama hawa wala huwa siwasikilizi.mzee kama huyu baada ya kumrudia muumba yeye anazidi kufanya njia yake kuwa ngumu
@HamadMabuga-u8c23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EnockFumbuka24 күн бұрын
Still under one Party system.amkeni.
@juliasmtundu44225 күн бұрын
KUNAUDOKOZI KUNA UPORAJI KILA KITU KINA KAZI YAKE MBUWA KAZI YAKE NI KULINDA NA KUWINDA UKIMUSHILIKISHA MEZANI KESHO ATA ACHA KULINDA ATATAMANO KUITWA MHESHIMIWA WEWE ULIYE KUWA UNAHIJI ULINZI JE UTAKUWA KTK HALI GANI
@adenmwakalobo76025 күн бұрын
Mzee Msekwa anaujua fika ubandia uliokuwepo ktk uchaguzi ulioisha, ila hataki kuukiri ukweli huo kwa vile kwake 'bora mkono unaenda kinywani'. Tofauti na mzee Warioba, huyu anakwepa kuwakosoa walioko madarakani ingawa anaujua udhalimu wao! Aliwahi kusema yeye anapata PENSHENI NONO SANA; hivyo anaona yeye hayamhusu! Mzee wa aina hii hawezi kusaidia chochote, anachoangalia ni maslahi yake binafsi basi! Anasema wenye malalamiko waende mahakamani akijua fika kwamba mahakama imeshikwa na watawala (iko mfukoni mwa ikulu).
Unaye sema huja ona matatizo una ishi inchi ya wapi KTK WAZEE WOTE WENYE UMULI WA MZEE WARIOBA IGENII MFANO WA MZEE HUYU KAMA KWELI MUCHAKATO WA MTAKATIFU HUYU MZEE TUZO NI YA KWAKE
@kassimhaji323824 күн бұрын
Mzee MSEKWA mmebaki wazee wachache, tafadhali,
@johnsinyinza745025 күн бұрын
Msekwa. Kura hizo pension yako huna lolote hata maneno yako unatetemeka. Mungu stawalaani si mda mrefu mungu atashusha mapigo yake..sisi wenye akili hatujiandikishi tena kura za bandia polisi kukimbia na mabokosi ya kura .takataka .
@johnsinyinza745025 күн бұрын
Mwanaume pekee sinde warioba mungu amubariki anakemea maovu majeshi kuingizwa kwenye siyasa. Hakuna kitu.nasha ngaa vyama vingerikuwa naumoja vingekataa uchaguzi.
@johnsinyinza745025 күн бұрын
Kila jimbo kilikuwa na kura bandia.
@gowekogoweko580324 күн бұрын
WAZEE TUJIHESHIMU MBELE YA WATOTO NA WAJUKUU TUMWOGOPE MUNGU KWAKUSEMA UKWELI BILA KUMUNG'UNYA MANENO
@kayombogregory824124 күн бұрын
Mzee wa ajabu sana huyu. Alienda KUPIGA kura kweli? Duu wa ajabu kabisa huyu!
@AliSalim-yu4mo25 күн бұрын
Huyu mzee naye ni chawaa!au mchuzi mwekundu?na umri wote huo alionao bado hataki kurudi ktk haki?nini anataka sijuwi!
@petersilas423425 күн бұрын
Udhaifu wa vyama vya upinzani ndio kilichotokea. Kama CCM haikumeguka usitegemee upinzani imara. Hivi vyama havipo sehemu kubwa ya nchi na hawana watu wenye ushawishi Sana kwenye jamii. Akitoka mtu moja tu mwenye ushawishi akafuatwa na viongozi wachache maarufu Hali itabadilika Sana.
@GjkKessy23 күн бұрын
Upinzani una nguvu sana ila ccm polis wameungana kupora uchaguzi
@ImmanuelMkwama22 күн бұрын
Ww mzee muongo kaa kimya ccm imeshindwa kushindana, hakuna sheria, tanzania sheria mbingun tanzania ni upuuzi mtupu. Haiwezekani wanao kosea ni upinzani t haiingii akilin