No video

DC MAGOTI AWA MBOGO ''HAIWEZEKANI TUKULIPE MSHAHARA, HALAFU UNATAFUNA WANAFUNZI"

  Рет қаралды 2,805

J FIVE TV ONLINE

J FIVE TV ONLINE

Күн бұрын

Mkuu wa wilaya ya kisarawe Ndugu petro magoti amewaagiza watendaji wa vijiji na kata kuacha mara moja tabia ya kumaliza shauri zinahusu matukio ya vitendo vya ukatili dhidi ya Watoto badala yake washiriki kikamilifu kufichua na kuripoti uhalifu na wahalifu wa ukatili kwenye vyombo vya sheria.
Mhe. Magoti ametoa agizo hilo Akizungumza na watumishi katika hafla ya makabidhiano rasmi ya ofisi kati yake na Mhe. Fatma nyagasa aliyeamishiwa Wilaya ya kondoa mkoani Dodoma.. Mhe Magoti amesema hawatamvumilia mtendaji yeyote atakayechelewa kutoa taarifa juu ya matukio ya ukatili katika eneo lake.
Katika hatua nyingine Mhe. Magoti amewaagiza wakuu wote wa Idara kuandaa taarifa ya fedha za miradi walizopokea na matumizi ya fedha hizo katika utekelezaji wa miradi husika.

Пікірлер: 4
@JanuaryMasanga
@JanuaryMasanga 2 ай бұрын
Hongera mkuu
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Ай бұрын
Aisee DC Magoti nimependa sana confidence yako, kusimamia na kunyoosha taratibu zilizopinda na ni kweli jamii yetu ina mambo mengi ya ajabu ajabu sana mikoani, wilayani na vijijini halafu watu hao hao wana kazi ya kulaumu.
@TharcissCiza
@TharcissCiza Ай бұрын
Nampongeza mheshimiwa rais kwanza kwa kuona uwezo wa mhe Magoti.Nampongeza pia DC Magoti kwa kazi yake.Maana nyota njema huonekana asubuhi!!!
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,6 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН