DEBATE KATI YA UST HAMZA ISSA NA WAHADHIRI WA KIISLAM KUHUSU UKOMBOZI WA YESU

  Рет қаралды 81,464

NABII ELIYA ILYAAS

NABII ELIYA ILYAAS

Күн бұрын

CALL 0714750521

Пікірлер: 483
@noelamartha7536
@noelamartha7536 3 жыл бұрын
Roho wa Mungu ndio amekufunulia hayo yote Nabii Hamza kwakweli Mungu ni mzuri sana
@shafiimpilika41
@shafiimpilika41 4 жыл бұрын
Diwani kazidi kunijaza imani za ALLAH Asante Sana ndg yangu katika imani
@imranihussen5764
@imranihussen5764 Жыл бұрын
Mwenye kiti anatumia mda mwingi kupooza mada..? Kwa kifupi masheihk welio tumwe kwenye huu mdahalo hawata muweza ustadhi Hamza📌
@omariedward4539
@omariedward4539 6 жыл бұрын
Ahaaa, Kumbe mnajua kabisa kuwa YESU atarudi eeeeeee, Semeni AMEN
@naseemnayiga7032
@naseemnayiga7032 5 жыл бұрын
Omari Edward kila goti litapigwa, na kila ulimi.....!
@razosashirafu2217
@razosashirafu2217 4 жыл бұрын
ustaadh shafi allah akupe umbri mrefu amiin
@amanahmad1631
@amanahmad1631 2 жыл бұрын
Shekhe Yusuf mashaallah Allah akuongezee inshaallah na akusimamie
@muhammadyiddy6966
@muhammadyiddy6966 6 жыл бұрын
Shekh dowani na ust Ibrahim hongereni sana
@noelamartha7536
@noelamartha7536 3 жыл бұрын
Nabii Hamza Mungu wako unae mwamini na ulie amua kumtangaza akutetee katika kila hatua zako
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
HA HA HA HA NAMPENDA SANA UYU ILYASA COZ ANA ONGEA KWA FACT OROPOKI AFU YUKO VZR
@noelamartha7536
@noelamartha7536 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Nabii Hamza
@Izikiel55
@Izikiel55 6 жыл бұрын
Ost.Hamza haijarish ya kuwa unamfuata mtume ambye sis wakristo hatumkubari ila ukweli ni kwamba wewe na jopo lako Mungu amewapa akili,mmetambua thaman ya Yesu si kwa akil yenu ila Roho wa Mungu ndye aliyewafunulia mioyon na akilin mwenu, Hoja zenu ziko na NGUVU ambye kwa yeyote aliye na akili atalitambua hilo, kama Yesu alivyotuambia kuwe wale wote wamfuatao yeye wamepewa Akili ya kumjua Yeye katika Kiroho na kimwili, Mungu akubariki na akulinde,Amin.
@dirayaduniageneralviews312
@dirayaduniageneralviews312 5 жыл бұрын
Ila Giza ni Giza tu kwani yesu unataka kutuambia halikuwa mkristo? Yesu sisi tunaamini ni mtume wa mungu na halikuwa muislam mpaka sasa ni muislaam siyo kafiri mkristo
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 2 жыл бұрын
Wakristo mnamfuata Paulo,. Yesu si mkristo
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Amekuambia yesu akija atautetea uislam anamanisha kua yupo na mana mana bee wote ni wa mmungu mmoja. Masih alikuja Kwa. Vingine sio kwa kubadilisha injili yake hamjamkubali Muhammad saw ndio mmrkatata hata masih mmefata walio badili birthday njili ya kale isa bin mariam ni Muislam safi mpaka mmungu alimtaja ktk quruan na manabee wote ni waislam
@salimrajab8838
@salimrajab8838 2 жыл бұрын
T
@raymondkavumo2921
@raymondkavumo2921 2 жыл бұрын
Kristo maana yake nini?
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 10 ай бұрын
Nabii Mungu akubariki
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 10 ай бұрын
Mungu awape macho na masikio ya roho waislam waelewe
@newjerusalemhosannaministr9674
@newjerusalemhosannaministr9674 2 жыл бұрын
Farao aliishia kwenye dhiki pia hakuishia kwenye amani lakini pia hoja ya kurhan kuwa kitabu kitakachofuatwa na watu wote bado ilikua katikati ya mada , hoja hii mngeiweka mwishoni atakapo kuja kuiongelea upande auislam maana hapo alikua akiongelea ukristo ktk uhislam
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 5 жыл бұрын
Ndugu Hamza Mungu akubariki sana
@noellyamuya777
@noellyamuya777 4 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@jonathanmasu6803
@jonathanmasu6803 6 жыл бұрын
Ndugu hamza Issa, ninachoweza kusema kama unachohubiri ni kutoka moyoni na kwa utukufu wa Mungu baba katka Kristo Yesu hakika nakuombea kwa Mungu asikusahau katika ufalme wake. Mimi huwa sipo kidini lkn waislamu kitu kitachowaingiza motoni ni kumkataa ni Yesu Kristo kama masihi au mkombozi wa watu wote.
@jonathanmasu6803
@jonathanmasu6803 6 жыл бұрын
Abu Ruqayya Bin Swaleh. Kuitwa na mwanadamu kafiri sio issue, ila siku ya mwisho ndo utajua kafiri ni nani!.
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 жыл бұрын
Jonathan Masu hakika
@zuenaahmad3995
@zuenaahmad3995 5 жыл бұрын
mwehuweee kunizamotoni weee
@shabanijmrisho4715
@shabanijmrisho4715 Жыл бұрын
Nakupenda shaffi kwa ajili ya ALLAH
@govinsonlugano9226
@govinsonlugano9226 6 жыл бұрын
Dini isipoongozwa na Roho wa Mungu,watu uangamia.Elimu ya Dunia ni sawa!bali isipo saidiwa na Elimu ya Roho alie Maharifa watakuchosha bure ndugu Hamza.kweli umewaambia inatosha.alie namaskio asikie maana Roho wa Mungu amenena ndani mwako. Poleni sana ulimwengu maana nikama mnashabikia Dini.myoyo migumu nakufafanua uongo tu ajili yakuficha uchi wa Dini.mmeongea pherauni wapo ata leo jameni marohoo magumu tu wakati Mungu anawatumia nuru hamuoni.
@masudimwinyi7301
@masudimwinyi7301 2 жыл бұрын
Hakuna vitu km ivyo wewe mtume Muhammad ndio mtume wa mwisho ktk uislam hatunaga mambo ya roho kumshukia mtu mambo ya roho yapo kwenu nyie
@dicksonmuthee6239
@dicksonmuthee6239 2 жыл бұрын
@@masudimwinyi7301 pole sana Ndugu yangu maana auelewi roho ni Nani je mungu kwako ni Nani?
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 5 жыл бұрын
Asante BWANA YESU kwa kuwa kwako kila goti litapigwa
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 жыл бұрын
Yesu ni njia kweli na uzima..Njooni kwa Yesu...miaka mia tano ndio unakuja uislam, ulipokuja uislamu ukakopi baadhi ya yaliyomo ndani ya Biblia...ndani ya Qur'an wameelezwa viongozi wa kikristo mpaka ndugu zao,ndugu za Muhammad hakuna hata mmoja aliyetajwa katika Qur'an...Issa(Yesu) katajwa kwa upana sana kuliko Muhammad katika Qur'an....Waislam na Wakristo wametoka katika shina moja...dini ya Ibrahim.
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Pumbavu ibrahim ni muislam ww umefata makafiri walie ichakachua injili ya mmungu ya kale ibrahim ni baba wa mitume mnajua ikweli isa yesu alisali na aliletwa kwa wana esrael walimkufuru mmungu na mitume wote hata mmoja haijatoka rome au arecani kwa makafir ibrahim ndio ufate alie jenga uislam na kujenga alcaba mbona hakujenga rome yesu hao wayahudiwwalimua ila kwa uwezo wa mmungu alimchukua muhhamad all mtaja hivyo vitabu vyote ni vya mmungu huyohuyo ila katika quruan ndio ilio kua ya mwisho kukamilika mambo yote injili taira na zaburi vyote mana bee ktk quruan na mengine kukamilishwa ndio mana hakuna na bee mwingine alie kuja mana bee toka dunia imenza wako zaidi ya Mia ila walio chaguliw 25 tu na wote mashariki ya kati wMetokea ardhi ya warabu
@barakaharony4396
@barakaharony4396 Жыл бұрын
Hapo waislamu wanatumia majini kumbishia huyo Hamza si kingine daaa YESU ni MUNGU na ataludi Kwa ajili ya hao
@HBI-TV
@HBI-TV Жыл бұрын
Jina la BWANA libarikiwe sana HALELUYA
@dicksonmuthee6239
@dicksonmuthee6239 2 жыл бұрын
Mungu atamtumia kwa Njia kuu sana kuwakomboa mabaki ya mwenyezi mungu katika uislamu .🙏
@user-qz2yd5wm2m
@user-qz2yd5wm2m 4 жыл бұрын
Mashaa ullah mashekh wetu Allah akuzidishieni Elim muinusuru dini yake?
@beatricezacharia1896
@beatricezacharia1896 4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kama alivyosema siku ya mwisho yesu atahubiriwa kila kona leo yesu anaibiriwa hadi msikitini
@saidharoub4824
@saidharoub4824 2 жыл бұрын
mashekh Allah atakulipen
@salimonelasamyleeoficial436
@salimonelasamyleeoficial436 2 жыл бұрын
Sheikh Diwani na Sheikh Shaffi Nawapenda sana
@bestRasta-
@bestRasta- Ай бұрын
Amen yesu mkubwa
@vinozamhone1110
@vinozamhone1110 6 жыл бұрын
Huyu mwenyekiti hajui maana yawenyekiti anachoongea sheikh Hamza sijasikia akisema kwamba wakristo hawamuabudu mungu isitoshe mwenyekiti nimtu anaesikiliza hoja kwanza after that ndio unakuja kuwauliza watoa hoja
@mengirashidy-ld3lm
@mengirashidy-ld3lm Жыл бұрын
Wewe vinoza ujui kitu
@barakaharony4396
@barakaharony4396 Жыл бұрын
Shehe amza umewahubilia habar za YESU wamezikataa Sasa wasubili adhabu zake maana wanapindisha maneno YESU Yu kalibu kuja wao wnakubali halafu wnakataa na kusema atakuja kukanusha duuu Hawa wamepotea waludi Kwa kristo
@ndikumanazabibu8138
@ndikumanazabibu8138 5 жыл бұрын
nawaombeya Dua vidume bya Allaah wanawo ipiganiya dini ya Allaah pepu iwe amaliyawo njema
@unknownafrica5568
@unknownafrica5568 2 жыл бұрын
Isa hajajenga kanisa za kuimba imba isa ni muislam hajatokea marecani Paulo ndio alie jenga kanisa na hakuna ukristo ukristo umekuja bada yake
@AKASHA.P
@AKASHA.P 6 жыл бұрын
NAFATILIA MJADALA HUU NIKIWA MOMBASA KENYA
@agoogleuser1141
@agoogleuser1141 6 жыл бұрын
AKASHA DAAWAH upuuzie
@laurianbilagoye1854
@laurianbilagoye1854 3 жыл бұрын
Ok
@fidelalex2914
@fidelalex2914 4 жыл бұрын
Wala hakuna wokovu kwa mtu awaye yyte ispo kua Kupitia Yesu kristo
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 жыл бұрын
Ust Hamza uliona mwanga, lakini umetishwa na kuogopa sana, watakurudisha gizani hao...lakini Yesu hakuanza kupingwa leo, miaka mia tano kabla ya uislam alipingwa...lakini leo Ukristo ndiyo wenye idadi kubwa ya waumini, ili Ukristo uwepo lazima mpinga Kristo awepo, miaka mia tano ni mingi sana.
@salehbwila5249
@salehbwila5249 2 жыл бұрын
Sheikh hamza Allah ummah akunusuru insha-Allah
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
Ustadhi hamza umewararua na kuwatandika vibaya sana hao masheikh,mwenyekiti amependelea upande wa Kina shafi lakini bado umethibitisha kwamba umewazidi hoja tena mchana kweupe,huyo sheikh diwani alikutukana kuwa wewe Ni mpumbavu lakini nashangaa hapo kwenye mdahalo amekuwa dhaifu kama kuku mwenye mdondo
@fimbolwanzo9841
@fimbolwanzo9841 2 жыл бұрын
Nawaza Watu hawana upendo njo inatutsaganyaka mungu nimumonja nakitu yamaana niupendo amza iko nafaa vizuri sana kuwa onesha kweli
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 жыл бұрын
Soma Biblia KUTOKA 6 : 8 ....Utamwona Mungu mwenyewe anajitaja yeye kwa jina,anajitambulisha kwa wana wa Israel yeye ni nani? anajitambulisha kwa jina lipi? Kumbuka Biblia imekuwapo kabla ya Qur'an, Ukristo umekuwapo miaka mia tano kabla ya uslam. Sisi tunamwabudu Mungu wa kweli YEHOVAR aliyeumba mbingu na ardhi si mwingine.
@lupisilas9773
@lupisilas9773 4 жыл бұрын
Yesss
@raphaeldaniel5220
@raphaeldaniel5220 2 жыл бұрын
Mwenyekitiiii, shule kwanza .unaeleweshwa maadili ya uongozi hata huelewi .Duh!
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 4 жыл бұрын
Shekhe Diwani anapotosha. Shelkhe Hamza alikuwa sahihi. Diwani anatafsiri anavyotaka yeye Bali Hamza anatafsri Kama ilivyoandikwa.
@romanusfikiri3194
@romanusfikiri3194 4 жыл бұрын
Na uyo mwenyekiti hamna ktu hapo.ila waislamu wanachekesha et mohammed anasema yeye ni bora zaidi kuliko yesu.yan mtu alieoa katoto ka miaka 9 awe sawa na mtu alifanya miujiza yote ile
@barakalukasi723
@barakalukasi723 4 жыл бұрын
Iliandikwa kila kinywa kitamkili kua yesu kristo ndio mwokozi wa walimwengu
@hassanjumamosi7427
@hassanjumamosi7427 6 жыл бұрын
Wallah nawaapieni ndugu zangu katika imani ya kiislam hawa mabwana pamoja na nabii wao feki wallah dalili iko wazi kua wanampango wakuja kutangaza yesu kua ndio Mungu wallah nawaapieni ipo siku watakuja litamka hilo neno kaeni muifadhi comment yangu Ramadhani Kareem wa swaum Makbul
@barakalukasi723
@barakalukasi723 4 жыл бұрын
Shkhe hamza mungu akubaliki
@noelamartha7536
@noelamartha7536 3 жыл бұрын
Siku zote unaambiwa Nabii hana heshima kwao so Nabii Hamza usikate tamaa Mungu atakuvusha
@divamrembo8788
@divamrembo8788 4 жыл бұрын
Haji Mbaga uko vzr sana
@tumahalifa7351
@tumahalifa7351 6 жыл бұрын
Hamza kaa kwanza uisome vizuri Quraan ndio utowe mawaidha, usiingie tu kichwa kichwa
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
inalilah wainalilah lajium halafu unacheka
@tadeikapinga2905
@tadeikapinga2905 2 жыл бұрын
Mwenyekiti, wacha kumtisha Hamza, Hamza yuko sahihi punguza jazba
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
Naona mbambano ni mkali kweli kweli ,asanteni maustadhi wote 🤗🤗🙏🙏
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 18 күн бұрын
Issa sio masihi wala sio Yesu Kristo, Yesu ni Neno lililotumwa likafanyika mwili na Sasa amerudi kama Neno Yupo ndani ya Mjumbe wa agano duniani.ufunuo wa Yohana 19:11-16. Habakuki 2:20.
@abdallanassor9633
@abdallanassor9633 5 жыл бұрын
Mkumbusheni Hamza aya inayosema hawakumuua wala hakumsulubisha bali wamefananishiwa atafahamishe na hiyo aya
@hamzaathuman9703
@hamzaathuman9703 5 жыл бұрын
Abdalla Nassor aya gani hy??? Itaje aya hiyo. Na km ipo basi Qur'an yajipinga
@frankbella4271
@frankbella4271 11 ай бұрын
safii saaana shehe hamza waambie
@nassirally3012
@nassirally3012 6 жыл бұрын
Mm nakuhusia uache kupotosha uislamu Allah atenda kukuuliza juu ya hicho
@rashidmoche8709
@rashidmoche8709 4 жыл бұрын
Yaani ,Qur'an ipo sawa kabisa na haina makosa yoyote kabisa...Mungu awabariki sana waislam waliosimama kutetea ukweli japokuwa elimu yao pia bado kidogo.
@josephosborne3818
@josephosborne3818 4 жыл бұрын
Shekh unachochea Hamza mbona amejib vzr,,wewe ulitegemea atasema WAKRISTO wataenda motoni lkn yeye ameacha kwa maana anajua Mungu mwenyew na amesoma akajua amri kuhukumu Ni dhambi,,good shekh hamza
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Amza.wewe..mkristo.
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 10 ай бұрын
Nabii hamza mungu amtunze
@ibrahimumdogwa6846
@ibrahimumdogwa6846 3 жыл бұрын
Leo ndo naona video zako mwaka 2020 hauwez kuisha kabla sjakulaza chini lazma lazma unyongwe
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 6 жыл бұрын
Mwenyekiti ni kilaza toka
@meisme7540
@meisme7540 6 жыл бұрын
Humfikii hata chembe
@fidhatihassan3763
@fidhatihassan3763 6 жыл бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh nawashukuru sanaa mashekhe wetu mlio shiriki katika mkotano huo na nina IMANI mmetekeleza wajibu wenu vile ambavo Allah amewajaalia Allah anasema ukiona jambo baya liondoe kwa mkonowako ukishindwa kemea na ukishindwa basi chukia kutoka moyoni kukaa KIMYA ni UDHAIFU wa IMANI
@yusuphfutte6979
@yusuphfutte6979 4 жыл бұрын
Mwenyekiti hauko neutrol: Haya mambo 80% ni ya kiroho so haiwezekani mkajadili kwa urahisi maana hivi vitabu vinafaa kwa wakati wote sio historia. Pia mnakua na questions trick ila sio maswali ya uelewa. ILA MMEJITAHIDI! Siku ifike mseme Mungu kama anasikia ajibu kwa namna ya kila mtu kuelewa maana Mungu anajitetea mwenyewe. Ila Mungu ni mmoja katupa vitabu hivi ila kuvitafakari ndio shida.
@deuspascal978
@deuspascal978 2 жыл бұрын
Masheikh wanabishana kana kwamba nabii isaya anahubiri dini ya ukristo ilihali yeye hayupo huko kabisa bali Kristo Yesu. Nabii anapigania Kweli ya Kristo Yesu na wala sio dini ya ukristo maana kwanza hicho kitu hakipo
@allyfutto8763
@allyfutto8763 6 жыл бұрын
Mungu nu mkubwa nathani Ust Hamza aendelee kulingania Uislamu makanisani sababu anafundisha kitu cha maana kwamba Yesu au Isa bin Mariam ni muislam ili kuwanusuru wasife vibudu itafika wakati kitaeleweka maana anazunguka na nia ni kuwashahadisha waisilam wanao mkubali Yesu ila mzunguko au maarifa yake ndio yana mtafaruku maana KUMCHINJA KOBE NI TIMING.
@soyasamson6912
@soyasamson6912 2 жыл бұрын
Mwnyekiti umezingua hakuna kwenye kitu kama wew ila nabii Hamza amewaacha mbali sana anajua mengi kubalini ukweli
@shukurunely7388
@shukurunely7388 6 жыл бұрын
mr hamza hana msaidizi, mwenyekiti na muwadhiri wake wanamchangia mr hamza,wamepanga kudondosha kwa no kaurt!!!
@naseemnayiga7032
@naseemnayiga7032 2 жыл бұрын
Ukweli hauhitaji kusaidiwa kwani unajitosheleza wnyewe
@romanusfikiri3194
@romanusfikiri3194 6 жыл бұрын
hamza mashine akili nyingi
@bakarimbisu8878
@bakarimbisu8878 4 жыл бұрын
Amza ni kafiri
@marigamuraya4449
@marigamuraya4449 3 жыл бұрын
Napenda hili mada
@godlovemlinge2220
@godlovemlinge2220 5 жыл бұрын
Hapo ndipo mnapo poteza watu ,hapo hakuba nwenyekiti,,marumbano ya hoja baina ya mwenyekiti na wengine ni dalili tosha kuwa huo sio mdahalo ila ni commitment ya kutaka watu waelewe kitu fulani tu na sio wapime nini kilo sahihi ili wapate jibu kulingana na hoja za kila MTU.
@saida5091
@saida5091 4 жыл бұрын
Sheikh Hamza ametumia dakika 6 tuuuuu sio 7 kama ilivyoonyeshwa na Mwenyekiti.
@ibrahimumdogwa6846
@ibrahimumdogwa6846 3 жыл бұрын
Hamza kwa tabia yako ya kugeuza aya na kuudharirisha uislam nakuihid nitakutafuta kwa hal yoyote lazima nikuue kafiri wew
@HUMPHREYMWIHAMBI
@HUMPHREYMWIHAMBI 9 ай бұрын
Mpaka wakati huu hujafanikiwa kumuua.
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 6 жыл бұрын
Muslim you really have to respect your BOOK "coran" I'm surprised 😳 how your book glorified JESUS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@athmanlamela9387
@athmanlamela9387 2 жыл бұрын
No Muslim is a Muslim if he/she doesn't believe in Jesus we respect him we believe him but we don't worship him cz he didn't say so 🙏
@athmanlamela9387
@athmanlamela9387 2 жыл бұрын
And it's Qur'an and not Coran
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 5 жыл бұрын
waislamu wamajini hawaelewi Roho mtakatifu eti yesu ni mtume tu oole wanu waislmu
@gladysjosephmacharia3250
@gladysjosephmacharia3250 5 жыл бұрын
hamza na watu wako mungu atakutetea kwa kutetea kristo yesu mwana wa mungu ubarikiwe saña
@shukurunely7388
@shukurunely7388 6 жыл бұрын
mbona mwenyekiti anachonga sana,alafu kaegemea upande mmoja,
@shukurunely7388
@shukurunely7388 6 жыл бұрын
mbona mwenyekiti anauliza maswali na wakati yeye hausiki?
@belgieboys9867
@belgieboys9867 6 жыл бұрын
Shukuru Nely hukumuona hata spika yeye huuliza maswali Mkiristo utasema naye kwa mifano hafahamu. Wala haoni wala hasikii Mfano mdogo bunge la ndugai
@deodatusmagagura519
@deodatusmagagura519 4 жыл бұрын
Sheikh Amza mnyenyekevu sana
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Sheikh Yusuf mashaa Allah
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 6 жыл бұрын
Hamza naamini sasa kweli kibaraka wa kanisa ..
@machaliakulima76
@machaliakulima76 5 жыл бұрын
Si kweli yeye ni muislamu a-z
@machaliakulima76
@machaliakulima76 5 жыл бұрын
Mwenyekiti siye hafai, Hamza anamvumilia. Hamza anafundisha kile anachoamini na kabla amechambua maandiko ya dini zote mbili. Huyu Hamza ni mtu wa Quran si Mkristo. Huyo mwenyekiti ni forceful.
@machaliakulima76
@machaliakulima76 5 жыл бұрын
Mwenyekiti usimlazimishe Ustadh Issa ni mkristo, kijana huyu ni mwislam anachokisema anakijua, ana akili timamu na anatoa maandiko kutoka Quran hatoi kichwani mwake, be fare Mr Chairperson
@machaliakulima76
@machaliakulima76 5 жыл бұрын
Mr Humud Marhoon, Hamza si kibaraka wa Kanisa alienda mwenyewe kwa miguu yake na wenziwe kutoa daawa ya uislam kwa wakristo kinyemela na wakagundua hila zake, Sheikh Mkuu wa Dar ee Salaam na jopo lake walimwita sheikh Hamza na wakamzuia asiingie makanisani afundishe nje ya makanisa kama anatoa daawa. Lakini hata huko nje wanamfuatafata
@machaliakulima76
@machaliakulima76 5 жыл бұрын
Mr Diwani you are nothing before Mr Hàmza Issa.
@shukurunely7388
@shukurunely7388 6 жыл бұрын
mm naona kama hapo mnabishana nasio kufundisha kama vipi fungasheni mkapumzike makwenu
@bethaniahemalautukufu-np3so
@bethaniahemalautukufu-np3so 4 ай бұрын
Shaff mwache hamza mwenye ukweli
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 2 жыл бұрын
Mkristo Ni Mtu Mwenye Akili Kubwa, Hamza Hajasema Kwamba Wakristo Hawana Mungu, Hapo Mnamchomekea Kwa Kutumia Mbinu Zenu Za Mihadhara Mapinga Kristo Wakubwa Nyie😝😂😂 Hongera Hamza Kwa Kuwazidi Akili Hao Mapinga Kristo🏃🏃🏃
@yassimjuma3989
@yassimjuma3989 6 жыл бұрын
hamzaa njaa mbayaa
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Hamza hana njaa mwehu ww
@HBI-TV
@HBI-TV Жыл бұрын
Hamsa yupo sahihi
@allyjuma8925
@allyjuma8925 4 жыл бұрын
kashapata kujulikana huyo kwenye mitandao ndicho alicho kitaka tuuu
@kubyjuma4843
@kubyjuma4843 5 жыл бұрын
Mwenyekit me ndy ananifuraisha tuuu me naic angeweka waz tuu apa amna mwenyekiti
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 6 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kweli jahiri ila kuna baadh ya aya yuko sahihi maisha ya dhki hayako kabrini mashekh maisha ya dhki yalozungumzwa hpo ni Ya duniani
@frankanold9803
@frankanold9803 5 жыл бұрын
Kwa hiyo masheikh Ni makafiri
@mohamedmasoud6517
@mohamedmasoud6517 5 жыл бұрын
So mtume s.a.w kakosea? Wakat kasema mtume na katafsir mwenyewe? FIHI MASHAKIL LAKA
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 жыл бұрын
Dhikii.siyoya.duniani.duniani.unaweza.kuhama.kwenda.kwinvine.kutafuta..maisha..kabrini.utaenda.wapi
@eddyblack3598
@eddyblack3598 2 жыл бұрын
Hamza anatetea ukristo kwsbb ya Maslahi. Ipo wazi
@hemedmasoud9306
@hemedmasoud9306 4 жыл бұрын
Nyinyi njoon nauku Somalia. Mje mtuletee iyo Qur'an yenye mnayoisoma kimyume nyume.alafu mtuletee hoja zenu za ajabu kuwa hamza katabiliwa kwenye kitabu gan mkishindwa mjue kulud kwenu tz itakuwa nindoto.
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 4 жыл бұрын
😂😂😂
@bethaniahemalautukufu-np3so
@bethaniahemalautukufu-np3so 4 ай бұрын
Ukiwa mkweli na WA haki utawekwa huru kwelikweli
@romanstephen4101
@romanstephen4101 3 жыл бұрын
Mwenyekiti kaniangusha
@barakaharony4396
@barakaharony4396 Жыл бұрын
Hamza uko sahihi sisi Allah hatumjui tunamjua MUNGU aliye mkabidhi mamlaka mbinguni na duniani Yesu kristo 🙏
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 6 жыл бұрын
I don't care 🤷🏼‍♀️ Bible or coran I care about JESUS CHRIST In the Bible and coran 🤗 victory belongs to Christ 🙌🙌🙌🙏
@Izikiel55
@Izikiel55 6 жыл бұрын
Cupcakes and dounuts yeeeeeeh!!
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Which is which....! Na wala Yesu hajaleta Ukristo wala Biblia.
@jenifajulius7814
@jenifajulius7814 4 жыл бұрын
Ameni ubarikiwe sana namungu akutie nguvu
@jenifajulius7814
@jenifajulius7814 4 жыл бұрын
@@alhaddajmohammed4768 mungu akutie nguvu baba maana unaelewa
@husseindesign6311
@husseindesign6311 2 жыл бұрын
Allah akuingezee sana shekh huyo sio muislam
@lupaturupatu4185
@lupaturupatu4185 5 жыл бұрын
Hamza wewe ukomakini sana ila Hawa jamaa wanaongea siasa yani ukweli wanaujua ila watafanyaje wanachofanya nikuficha makosa wanayo yafanya wao kwanza nyuso zao zimejaa siasa
@langonihealingministry
@langonihealingministry Жыл бұрын
Bwana Yusfu maelezo yko hayajipati rudi shule fungwe kiswahili
@fimbolwanzo9841
@fimbolwanzo9841 2 жыл бұрын
Maneno yakiharabu nawaza inatafsiriwa naswahili sasa tuta endeya kumaneno ya Nani munasoma corohani monja kwaliga yakiharabu sasa Nani iko naogeya kweli
@kirash847
@kirash847 3 жыл бұрын
Mwenyekiti muonevu sana
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 6 жыл бұрын
Huyu shafi muongo Muhammad hawezi kuwa bora kuwa kama Yesu. Muhammad alitenda dhambi nyiingi na Yesu hakutenda dhambi hata moja. Qoran 47:19
@meisme7540
@meisme7540 6 жыл бұрын
Dhambi gani? Au kama zako??
@meisme7540
@meisme7540 6 жыл бұрын
Hujielewi ww
@martinbibe8411
@martinbibe8411 5 жыл бұрын
khadija abdallah hujui istoria ya mtume wako. Ndio maana una bisha.
@meisme7540
@meisme7540 5 жыл бұрын
@@martinbibe8411 huwezi kuijua vizuri dini yangu kuliko mimi mwrnyewe au sisi wenyewe waislam hata siku moja, huyu hamza njaa inamsumbua, kwa maana inajulikana kabisa ukristo sio dini, hakuna mstari hata mmoja katika bible unaosema hivyo. Kama una swalu uliza.
@ramadhanmussa6318
@ramadhanmussa6318 5 жыл бұрын
@@meisme7540 wasikuumize kichwa hai makafiri
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 10 ай бұрын
Mwenye sikio asikie neno ambalo roho ayaambia makanisa
NABII NA MASWAHABA FEKI WAKE WALIVYOUMBUKA
1:14:38
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 180 М.
JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU? PART 3B
1:26:58
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 66 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Hamza issa asambaratishwa na hoja zake za kikafiri Sehem ya kwanza
44:34
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 3,2 М.
WAHADHIRI WA KIISLAM WAMUUMBUA NABII FEKI (HAMZA ISA)
1:03:31
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 1,5 М.
NANI KAMPA MUHAMMED UTUME     MAKADARA GROUND MOMBASA ; Mombasa
2:35:18
MWALIMU CHAKA TV
Рет қаралды 170 М.
NABII ILYASA 5: WAISLAM WOTE DUNIANI NI WAKRISTO
1:09:47
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 371 М.
HAMZA ISSA NO 2 MIHOJA MIZITO ILIYOMUANGAMIZA NABII FEKI
57:37
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 321 М.
JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU?  PART 1
1:36:10
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 44 М.
MUHADHARA,  KUOKOKA MAANA YAKE NINI??
24:52
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 28 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН