No matter what I will never leave Jesus Christ 🙏🙏🙏
@jennysabina86966 ай бұрын
Amena mchungaji
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@Elecovid11 ай бұрын
Haaaaaaa waisilamu 😂😂😂😂huzuni ndacha wafundishe
@SunguraShabani10 ай бұрын
Umufuate marehemu ili iweje kati ya weye muislam na marehemu nani anastahili kuombea mwenzake
@franciscokipepo7757 Жыл бұрын
Sasa kwanini wanakataha kumufuata yesu ,na wanajuwa yesu Ni mwana wa Mungu na ndie atakaye hukumu, inamahanisha wanamukataa Mungu
@aishaarusha894 Жыл бұрын
Hashuolo
@zeinabmaneno81 Жыл бұрын
Umeskia wapi waislam wanasem yesu n mungu
@kisosekatere6282 Жыл бұрын
Kiukweli bila ushabiki Waalim wa Ki Islam Mwalim Ndacha ha Mumuwezi mbona Ana wawekeni wazi hata kupitia Vitabu vyenu pia Waalim wa ki Islam muna sema uongo kwa kukata hata Maandiko someni QURAN na BIBLIA sawa alivyo tumia mwalim mwenzenu Ndacha
@mwanamswahili11 ай бұрын
Fahamu mwenzangu uislamu Una reference si kueleza Kwa maneno yake ....hakuna anayeshinda Mungu kubainisha HAKI tatizo la ukristu hakuna reference
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
Huwongo bro
@swabrinanasser9656 Жыл бұрын
Gg
@faridsaid9180 Жыл бұрын
Debate inafanyika wapi?
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Tanga
@mamoridan4675 Жыл бұрын
WEE USIMFANANISHE YESU KRISTU NA HAO "MANABI WOTE AMBAO WAKO MAKABURINI". YESU KRISTU NI ZAIDI YA HAO WEE SHEKHE DOLILA GET YOUR FACTS RIGHT.
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Maskini Ndacha,atakufa kifo cha MENDE.Oamoja na MSOMAJI wake.Uwongo wake UMEVUKA MOAKA.
@chunaabdullah1333 Жыл бұрын
Alafu Kuna majitu mengine eti mazinge kazidiwa ya sivyo na akili
@edifiquenathan1837 Жыл бұрын
@@chunaabdullah1333 😂😂😂 hakuna ukristo bila roho mtakatifu na uislaam haupo bila majini Sasa Ninyi tulieni mambo ya Mungo hamuezi kuelewa 😂😂😂😂 nendeni kule namajini yenu
@SalmaAbdul-zz7dy Жыл бұрын
@@edifiquenathan1837 alokwambia hakuna uislamu bila majini nani Toa ushahidi usijiropokee tuu Na nyinyi ujinga wenu hamujui jini kaumbwa nani wala kaumbwa kwa lengo gani
@@SalmaAbdul-zz7dy mbona munashindwa kuelewa maandiko ya biblia mungu mkuu na mwekozi wetu yesu alisema nina uwezo kutoa uwai wangu na kuuleta 😅
@rezikomer9552 Жыл бұрын
Nyinyi wakristo mwabishana bure hamuna akili yesu atarudi kumaliza kazi yake ya unabi mngu atamrudisha na ataonja kifo kama mwadamu yotote sasa mwabisha na nini na ndiyo atakuwa yeye wamwisho wa duniya quruani yasema yesu atarudi nanikaribu sana ndiyo mwisho waulimwengu anajianda yuko njiyani kwa mudamfupi tu umebakiya wacheni kufuru sasa
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@privasilayo4846 Жыл бұрын
Mazinge kaelemewa oja niulize Kuna maswali kauliza pasta ndacha kajibu lipi kama ajazunguka swali na kucheka ovyo Ili kumaliza dakika zake waislamu nawaosia mvuateni uyu yesu Alie hai achana na uyo aliekufa hasantee na karibuni katika ukristo
@chunaabdullah1333 Жыл бұрын
@@privasilayo4846we mwehu kweli yani, hapana hata swali 1 lakummbabaisha mazinge hapo kama umuelewi na wala utomuelewa aendelea kupotoka
@edifiquenathan1837 Жыл бұрын
Hakuna ukristo bila roho mtakatifu na hakuna uislam bila Majini. Sasa wa Islam mambo ya Mungu hauwezi kuelewa 😂😂😂😂😂