DEBATE KUU;JE,KUNA MUNGU ROHO KWA BIBLIA? NDACHA VS MUROKI

  Рет қаралды 11,438

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@joannekesa1835
@joannekesa1835 Жыл бұрын
Amen amen mumbarikiwe sana na MUNGU
@evansnjuguna906
@evansnjuguna906 Жыл бұрын
Asante Ndacha kwa mafundisho inayoeleweka
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
Mwalimu ndacha barikiwa, wengi tumeujua huu ukweli, na upagani tumetoka
@crispuskasanga8487
@crispuskasanga8487 Жыл бұрын
kazi nzuri mwalimu
@MariaWambugha-nh1wh
@MariaWambugha-nh1wh Жыл бұрын
Waaaaa watu wa utatu mulienda shule lakini maandiko ya Bibilia yamemupiga chenga kabisa baba aweza toshana na mtoto wake, barikiwa mwalimu wetu Ndacha kwa kufundusha vinzuri utatu wakuelewa ameelewa kabisa
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 Жыл бұрын
Na wote pia wanajiita wakristo,wanatumia bible moja na msalaba mmoja haki huu ni msiba,hii imani ambayo kila mtu akisoma kitabu huja na tafsir yake na uelewa wake kishe naye akadai ameambiwa na roho mtakatifu.Imani ambayo ukianza kuihoji hata yeye mwenyewe haezi kubali mungu anaeza kuwa mtu.HESABU 23:19 BUT Jesus said he is a man Yohana 8:40.God can't be Jesus and Jesus can't be God.1 Timothy 6:16 Mungu hakufi but Jesus died as per your faithh.
@mmulandammulanda2371
@mmulandammulanda2371 Жыл бұрын
@@ustadhfarouq7729 ..Waislamu pia wamegawanyika. True or false? We know that there are different sects in islam. How does it make you special from Christians who also have different faith basing on what they believe?
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 Жыл бұрын
​@@ustadhfarouq7729yesu Ni Mungu katika asili Sio nafsi. Kwa vile Sisi ni uzao wa Adamu tunaitwa wanaadamu.
@PeterMoenga-j4e
@PeterMoenga-j4e Жыл бұрын
Hongera mwalimu ndacha mim ni peter,nasema ivi iyo mwalimu mwenye hasira ulimtoa wapi , ety roho ni mungu roho ashindwe uyo ni mwalimu wa mshahara ata akupi tyme ujieleze ashindwe
@simionkimani7669
@simionkimani7669 Жыл бұрын
Great job Man of God Be Blessed
@bethwandia8288
@bethwandia8288 Жыл бұрын
Acts 4:13-20 muroki your education does not matter to God, matusi si Roho wa Mungu. Kimeeleka
@Hymns4Heart
@Hymns4Heart Жыл бұрын
Ile hasira ya MUROKI si roho ya Mungu
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Muroki kujibu kwake hjajbu vzr Kama ndacha
@PeterMoenga-j4e
@PeterMoenga-j4e Жыл бұрын
Mwalimu ndacha mimi nilitoka norminal teba hawawezi niona uko Tena uyo pastor anatumia kifua kutetea maneni yenye amebuni mwenyewe Tena ni mwenye hasira sana na iyo si ukristo
@mwoso
@mwoso Жыл бұрын
Mimi na Baba yangu mzazi tu umoja, lakini haimanishi Mimi ni baba yangu.
@joshuakirema
@joshuakirema Жыл бұрын
Muroki Hongera sana bro, Asante kwa sababu ya vile unaeleza mambo vizuri, kwa utaratibu, Ndacha shinda yake ni elimu imempiga chenga. Asante Tena
@BenedictoPhilimon-tr9kd
@BenedictoPhilimon-tr9kd Жыл бұрын
Ndacha Yuko kinyume na kanisa ila Yuko sawa na biblia
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Tusimame na maandiko na neno ka Mungu sio kanisa la uwongo period
@OtienoKoyi
@OtienoKoyi Жыл бұрын
Sir, muroki, unafunfisha bibilia, sio kutosoma kwa bwana dacha, mavazi nk...unajikosea heshima
@hezbonogecha5246
@hezbonogecha5246 Жыл бұрын
I timothy 3: 16 bibilia inasema kwa uwazi kwamba Yesu ni Mungu, pamoja na maandiko mengine kwa biblia.
@HellenLemilya
@HellenLemilya 8 ай бұрын
Watatu wanakuaje mmoja?
@FranckZakeyo-yo7xs
@FranckZakeyo-yo7xs Жыл бұрын
Wote ni kitu kimoja ila bado hamjaelewana
@filexbenefits5612
@filexbenefits5612 Жыл бұрын
Spirit of God don't need you go to school, let bible work
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Hawa wachungaji wa nominal watatupoteza
@jeanefelix70
@jeanefelix70 Жыл бұрын
Hahahaha niatari sana Mungu atusaidie sana.
@antonymuturi6982
@antonymuturi6982 Жыл бұрын
Please work on the audio it has a lot of noise
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 Жыл бұрын
Bila kufanya matengenezo katika ubatizo, wote mko kwenye utatu
@mush337
@mush337 Жыл бұрын
Na mniambie tofauti ya roho ya na roho wa kama mlienda shule na mniambie Roho ya mungu Iko ngeli gani na roho wa mungu yuko ngeli gani?
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH Жыл бұрын
2ND COR2:11
@kandrewsang4563
@kandrewsang4563 Жыл бұрын
Where are you guys located?
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Жыл бұрын
Kenya .. Nairobi
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Muroki comediani
@researchcorner.
@researchcorner. Жыл бұрын
Hapo kwa hii ni territory yangu ni hatari sana.
@isaiahonyapidi5662
@isaiahonyapidi5662 Жыл бұрын
Mbona wachungaji wa sda hawatokeei na ni wasomi.
@MuchuiCleophas
@MuchuiCleophas Жыл бұрын
Utatu mchafu dio kifo chake kimekufa Trinity will never prevail again one true God has started
@isaiahonyapidi5662
@isaiahonyapidi5662 Жыл бұрын
Mbona Ndacha ni mkali na namna hii
@alexkizito36
@alexkizito36 Жыл бұрын
Ndacha kama ungesoma Bible in English... Alaf translate mwenyewe ungeelewe utatu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️✝️But usijal Mungu yuko atakusaidia 1 yr to come and you will understand
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Ndach is right and his brother .. Wewe omba roho mtakatifu akusaidie kutetea neno la Mungu not SDA doctrines which is introduced by churches
@Gesareh-v4d
@Gesareh-v4d Жыл бұрын
Do you want to say we have three God's,??
@OtienoKoyi
@OtienoKoyi Жыл бұрын
Je, unafahamu unafunfisha dhidi ya utatu mtakatifu?
@hezbonogecha5246
@hezbonogecha5246 Жыл бұрын
matters godliness is a mystery that even those trying to explain have not understood.
@magdarenachristopher5922
@magdarenachristopher5922 Жыл бұрын
Roho ni uhai wa kitu husika kilicho hai Hivyo MUNGU wetu yuko hai ndiyo maana ana Roho wake Chochote kilicho hai kina roho
@PeterMoenga-j4e
@PeterMoenga-j4e Жыл бұрын
Ety akaulizwa kama roho ni nafsi then akasema yesu anaweza kujibadilisha akawa mungu roho uongo , maandiko inasema roho wa kristo si yesu Ako na roho wake na mungu Ako na roho wake na pia Kuna roho mtakatifu so yesu ana roho wake ndio ilimbadilisha akaingia kwa kile chumba kama imefungwa
@truth7796
@truth7796 Жыл бұрын
Sis pia tuko na roho zetu kama binadamu na pia kuna roho ya Mungu iko ndani yetu ndio maana tunafanya mema. Jesus is the spirit and word of God so when Jesus was on earth He host the spirit of and when He go back to Father the spirit came back again
@benja-rl6in
@benja-rl6in Жыл бұрын
Walimu wa utatu awana kitu ya kusema
@mutanyibenard4280
@mutanyibenard4280 Жыл бұрын
Ndacha ni mwalimu kweli kweli mimi na mwamini
@jimmybiko7629
@jimmybiko7629 Жыл бұрын
1yohana 5:8 kwa biblia ya kigriki haisemi vile ya kiswahili inasema
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Huyu muroki hajajua maandiko
@emmanuelotienoowino9361
@emmanuelotienoowino9361 Жыл бұрын
Haha..huyu ni Mhubiri mgani..hata hajielewi.Yesu msaliwa wa kwanza wa Mungu..alikwepo kable msingi wa dunia ..hakuna utatu ...trinity is paganism.Murioki is pagan..
@magdarenachristopher5922
@magdarenachristopher5922 Жыл бұрын
Mbona hatumtengi shetani na roho yake? Hivyo hata Baba aliye juu hatupaswi kumtenga na Roho yake Kwa sababu MUNGU Baba yuko hai
@legrajay
@legrajay Жыл бұрын
Dhambi isiyo sameheka kwenye bibilia ni kumkufuru roho,inamaanishaje hapo kuhusu huyo roho sasa
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH Жыл бұрын
HUYO ROHO NI KRISTO BRO...AYUB26:4 JHN6:63...SO KRISTO ALIPO PAA MBINGUNI ALITUTUMIA MSAIDIZI ALIYE NASI MILELE AMBAYE UKIMKUFURU HUTASAMEHEWA..MTH18:20
@legrajay
@legrajay Жыл бұрын
@@OLUNGAJOSHMAH naye ni Mungu,kadri nijuavyo kusema si mungu unakosea.
@theold1-2-3
@theold1-2-3 Жыл бұрын
hapa kuna kibarua kikubwa saana
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
Mungu ni mmoja tu. Sasa Ndacha anakataa utatu anakubali umbili. Ukafiri uko pale pale 😂😂😂
Mafundisho ya Biblia..Naye Mwalimu Francis Ndacha
24:47
Priesthood Media
Рет қаралды 35 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
KWANINI MUHAMMAD NA ASIWE YESU (FULL VIDEO)Pro MAZINGE VS NDACHA
1:38:15
arkas online tv
Рет қаралды 15 М.
Ex-Pastor vs Pastor Ndacha & his Team @ Navakholo Kakamega County
2:07:31
DEBATE LIKONI | JE YESU NI MUNGU? | FRANCIS NDACHA
1:34:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 29 М.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 427 М.