Banda hakuwa mmalawi ila ilivyomtibu Queen Elizabeth akapewa inchi ya Malawi kama zawadi pia hakuwa na mtoto maana wakati anamfanyia operation Queen Banda aliasiwa ili isiweze kumuingilia Malikia wa ingereza so hakuweza kuzaa mtoto mimi nimemuona Banda Lilongwe kipindi anakutana na Samora marshel
@NtakirutimanaArnaud5 ай бұрын
@@greyson67 Mwina umadziwa dzambili dzokuzana ndi Banda
@ameali12512 жыл бұрын
Hahaha viongozi wa Africa jeuri kweli!! Eti hakuzowea inzi
@daudimpakachoziyanihamisi9982 жыл бұрын
Shikamoo Ananas
@isaachayes97832 жыл бұрын
Malawi nchi maskini afrika, rushwa imetamalaki kila kona
@daudlunyungu7487 Жыл бұрын
Joyce Banda alikuwa mtoto wa nani
@davismutahi5668 Жыл бұрын
Seems he took lots of pics with Kenyatta. Wakenya hope mumenotice kuna pic ya young unyee kamepiga lukuu
@Mariasmith-c9q6 ай бұрын
Asantee kwa historia Nzuri
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Sasa ameuwa mawaziri 4 je na yeye yuko wapi sasa.
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Ka rais kajehu haka, bora walivyoliamsha dude
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Lakini unaambiwa kaburi lake limejengwa vizuri utafikiri