DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!!

  Рет қаралды 754,991

Ananias Edgar

Ananias Edgar

2 жыл бұрын

EMAIL US : sales@fomaentertainment.com
Follow Us On Instagram
/ ananiasedgartz
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
/ ananiasedgartv
SUBSCRIBE
bit.ly/2ZWGBXo
Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.
______________________________________________________________________________________________
SIMULIZI ZA MATUKIO: bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: bit.ly/3eCOK7m

Пікірлер: 350
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV Жыл бұрын
Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani. Bofya hapa chini kutuchangia; flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox
@SangetNgoirien
@SangetNgoirien 9 ай бұрын
I need to know the current events from your channel
@boniphacemashauri3318
@boniphacemashauri3318 Ай бұрын
Je,mnapokuwa mnafanya utafiti wenu Kwa Hawa mashujaa wetu,huwa mnakumbuka na kuulizia vizazi vyao kwamba vipo au ndo baada ya wao kufa na damu zao huishia hapo?
@herbertlevery13
@herbertlevery13 2 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba sisi tulikuwa na manabii na wazungu waliwauwa manabii wetu ili kuwatangaza wa kwao na ss waafrica tumeferi ktk hill kwa zipo baraka ktk kuwatangaza manabii zenu na mbaya zaidi mmegeuza majina yao kuwa mizimu lakini wazungu wanawaita watakatifu shtuken waafrika
@simonballu1124
@simonballu1124 2 жыл бұрын
leo nimeamini huyu jamaa anasimuliaga vitu vya kweli mana sehemu aliyoitaja ni kwetu na hizo sehemu zipo tukienda kuchunga tulikuwaga tunaona hizo nyayo za mwanamalundi pia kuna mwamba mwingine alikuwa anaitwa chalya naye historia yake inasisimua pia stori ya ibamba ngulu nilisimulia na mama yangu mzazi, keep it up bro unafanya utafiti wa kina hii habari ni ya kweli kabisa.
@SAMISAI.
@SAMISAI. 9 ай бұрын
Nikutafute unipeleke🙏
@nassibu-hy5ny
@nassibu-hy5ny 8 ай бұрын
Nichek mi nkupeleke kwenye nyayo zake utaona na mti alioukausha
@KiyumbiEmmanuel-zc4hv
@KiyumbiEmmanuel-zc4hv 6 ай бұрын
Ukitaka kuyajua maeneo yote haya ya mwanamalundi nitafute nikupeleke
@munawwar.akachwamba
@munawwar.akachwamba 2 жыл бұрын
Historia imebeba mengi , tuitafute historia, tujitambue. Shukran kwa uchambuzi wenu .
@arveengeorge9577
@arveengeorge9577 2 жыл бұрын
Tatizo atutimizi marengo ndugu yangu
@herbertogaro7270
@herbertogaro7270 2 жыл бұрын
Great voice, narration and metaphors....kiswahili kitukuzwe
@kamobcooler1077
@kamobcooler1077 2 жыл бұрын
Watu wengi hapa kuna kitu hawakijui (1)-Kabuli la huyu Jamaa lipo Kijiji kimoja kinaitwa SEKE IDIDI (SHINYANGA) mpk Sasa lipo
@abbytv4659
@abbytv4659 2 жыл бұрын
Huko ni kwetu kabisa ndio nmezaliwa huko.
@matthewkimaro8695
@matthewkimaro8695 Жыл бұрын
Chapa kazi Wadau, tunapenda simuulizi zenu katika mambo mbalimbali. Diaspora ya Watanzania UK
@manp.....7694
@manp.....7694 2 жыл бұрын
Denis nakuelewa san mkuu. Keep up kutupa vitu vitamu havichosh kuskilza, unatufundsha vtu vng sana kuhus maisha na historia ya watu weusi. Nakuombea sik moja uje kua kiongoz Mkubwa katka hii nchi naamini utakua kam JPM kwa philosophy na mtzamo wako dhid ya Whites.
@mosesmaganga1490
@mosesmaganga1490 2 жыл бұрын
Mimi nimesoma mwakilyambiti secondary school hiyo history ni ukweli mtupu mpka kwao mwana malundi napajua mwakubiringa
@christopherdimagaaaikopouw916
@christopherdimagaaaikopouw916 2 жыл бұрын
Nimeipenda sana hii ni kumbukumbu nzur zinatukumbusha Asili yetu tuliko toka Ananias tuletee na simulizi za mwamba wengine wa tz
@frankwilbard5775
@frankwilbard5775 2 жыл бұрын
Ndani ya story yako tunapata story nyingine ndogondogo nzuri sana asanteee
@prof.oduoroduor6471
@prof.oduoroduor6471 2 жыл бұрын
huo usimulizi wako uko juuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaana>>> You are a great narrator bro.. so catchy
@adolfkimaro784
@adolfkimaro784 2 жыл бұрын
safi sana story nzuri na inamafunzo kwa watu wa africa tunatakiwa kuthamii vya nyumbani na kuvaamini kabca maana ata leo ukikutana na msukuma halisi atakuambia mwanamalundi ni mchawi wa kutupwa
@coronacermak7099
@coronacermak7099 2 жыл бұрын
Hongera sana. Kupitia hii simulizi, Leo nimewasimulia watoto wangu kuhusu Mwanamalundi. Maana baba yao anapenda sana kuwasimulia kuhusu Legend stories za tamaduni yake ya Czech au Ulaya. Sasa na mimi nilivyoisikia hii nimewasimulia. Mtoto wangu wa Kiume amefurahia pale kamba ya kunyonga ilipokatika na Mwanamalundi alipojamba na wasukuma wakapata Ng'ombe wao 😆☺️. Unasauti nzuri sana yakusimulia, inanikumbusha David Attenborough akivyokuwa msimulizi mzuri kwenye makala za historia na wanyama. Endelea hivyo hivyo, kizazi chetu tunajikomboa kifikra.
@yassinchachalika2446
@yassinchachalika2446 2 жыл бұрын
,
@matthewkimaro8695
@matthewkimaro8695 Жыл бұрын
Umefanya vema sasa Dada. Vijana hawa wanafanya kazi nzuri sana katika kusimulia vizazi vijavyo historia za mashujaa wetu wa Tanzania. Nimekulia Tanzania kwa miaka 30 lakini sikuweza kusikia simulizi hizi. Inanikumbusha kipindi cha miaka ya 90 ambapo tulikuwa tunasikiliza kwenye redio RTD kipindi cha “mama na mwana” saa 8 kamili mchana.
@ibraton4071
@ibraton4071 2 жыл бұрын
unachosema kweli....yule jamaa aliwalisha watu kibao kwwa mikate miwili....lakina mwanamarundi anakausa mti wanamuona mshirikina yule wa israel ni uwezo wa mungu africa banaa
@Delux698
@Delux698 7 ай бұрын
Salute san kiongoz unatufundish vitu tusivyovijua, mung akuongoze....
@peterkisomezi1101
@peterkisomezi1101 2 жыл бұрын
Pamoja brother big up
@fatumaligome4584
@fatumaligome4584 2 жыл бұрын
Nikirudi tz nitakutafuta nipate vitabu vyako kaka ni kwa ajili ya watt wangu hupenda sana kusoma vitabu vya histor ya waliotangulia
@saidbakari2408
@saidbakari2408 Жыл бұрын
the voice of the voiceless King Dennis
@maryaika9645
@maryaika9645 Жыл бұрын
👍🏽 the voice of the faceless king D
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 2 жыл бұрын
Nakumbuka sana nikiwa mtoto tulikua tunaambiwa mwanamalundi alikua kilima viazi ASUhi jioni anachimba viazi anaanza kura
@AyubuSwalehe-bt6gr
@AyubuSwalehe-bt6gr 7 ай бұрын
Congratulations
@fidiankwera6305
@fidiankwera6305 4 ай бұрын
Safi
@manp.....7694
@manp.....7694 2 жыл бұрын
Annanias uje kunifundsha kusmulia story. I really appreciate unavosimulia.
@arveengeorge9577
@arveengeorge9577 2 жыл бұрын
Huyu ndio Yesu asee maana kaacha nyayo zake juu ya mawe kaka
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
😂
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
Kweli kaka Denis watoto wa sikuizi wanaingilia paka maongezi ya watu wazima
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 жыл бұрын
Kwa Uchambuzi tu Asante❤️🙏🏾🇰🇪
@mecksonmasaki5463
@mecksonmasaki5463 Жыл бұрын
napenda sana stori zako lakini ni story za juzi tuu nataka unipe story ya chief mangungo na baba yake masaki . habari zao zipo hata makaburi yao lakini yamefichwa na watu wamejua
@tanialucas4579
@tanialucas4579 2 жыл бұрын
Nimependa sana simulizi yako endelelea kupambazuwa waatu
@primestar5922
@primestar5922 2 жыл бұрын
Mwanamalundi ni shujaa wa Africa nzima.
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 2 жыл бұрын
hahaha unachekesha mwamba nimkwawa
@jacksonjoseph6990
@jacksonjoseph6990 2 жыл бұрын
Safi. Tunatengene filamu yake sasa
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 Жыл бұрын
Ikikamilika Hiyo filam unijulishe ntachukua CD
@compromiseboy7226
@compromiseboy7226 2 жыл бұрын
Nasubiri simulizi hili leo
@Eddyplatnumz700
@Eddyplatnumz700 Жыл бұрын
Napenda kz yako ndugu mungu awe nawe kwakila jambo 🙏🙏
@evodiadominicpaul5006
@evodiadominicpaul5006 Жыл бұрын
Nimeipenda sana history ya mwana malundi, barikiwa msimulizi
@ovidiokibuga1086
@ovidiokibuga1086 2 жыл бұрын
Naomba uniadd kwenye group la Makala za Denis MPAGAZE brother
@princessmunii2530
@princessmunii2530 2 жыл бұрын
Omg nimesoma wasomi huru gerezani, ukombozi wa fikra, na tumbo lisiloshiba na leo nimekusikiliza bila kujua ni wewe mtunzi wa vile vitabu😥 naamini tutaikomboa jamii kwa juhudi zetu sote tukiwa wawazi!!
@kulwalugata7232
@kulwalugata7232 2 жыл бұрын
Kuna anani s edga na Denis mpagaze mmoja mwandishi mwingine msimuliaji
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Tunashukuru Sana naona na wewe kama mkombozi wa fikra zetu waafrika
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 2 жыл бұрын
Kakah iachie sisi tuenjoi leo mana kitambo sana tumeisubiri hii
@godwin6325
@godwin6325 2 жыл бұрын
Noma sana, yani ile Historia ya Tanzania ingefundishwa mashuleni wewe ndiye ungekuwa mtu muhimu sana.
@Beautiful-Place
@Beautiful-Place 2 жыл бұрын
Great voice 👍
@mbayomaikoakzahi9400
@mbayomaikoakzahi9400 2 жыл бұрын
Hawa washkaji uwa nawasiikiliza uzalendotu ila kwamachungu mengi sana hawa majaa wameni kula hela yangu eti watanitumia kitabu paka kitabu akijafika mwezi wa6 hivi nikiwahandikia eti bado kunatatizo kwelii tatizo lisiohisha kwamyiezi yotehiyoo
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV 2 жыл бұрын
Hello pole sana. Tafadhali tunaomba ututumie namba yako whatsapp +255659982764 kwa msaada zaidi.>
@benneliasmahundi1112
@benneliasmahundi1112 2 жыл бұрын
History inakubid uwe Makin kuitafakal maan mmmmmmmmh Asante
@samwelmahwela9576
@samwelmahwela9576 2 жыл бұрын
Nakubali good tuelimishe maana sasaivi vijana hatuna uasilia wetu
@idarusishabani7551
@idarusishabani7551 Жыл бұрын
Hangera sana mzee napenda sana kukusikiliza wana jaribu kukuigizaaa lakini wanafel kabsaa.
@justblackcode
@justblackcode 2 жыл бұрын
Nimependa madoido uloyatia katikati usimulize wako😍, hadi nimeishare kwenye status yangu 🇰🇪♥️
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 Жыл бұрын
Afrika ni Tajiri Lakin sjui nan katuroga
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
Asante
@ababeleikocajacques7796
@ababeleikocajacques7796 10 ай бұрын
Historia nzuri sana.
@asajilemwamundela1220
@asajilemwamundela1220 2 жыл бұрын
Duuu bro upo poa sana
@malaleboy5607
@malaleboy5607 2 жыл бұрын
Kazi nzur sana👏👏
@mustafarbacar4161
@mustafarbacar4161 2 жыл бұрын
Nilishelewa kidogo brother,good good🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@LeonJayson-x9j
@LeonJayson-x9j 4 күн бұрын
Ety mti wa kuwanyongea Wahalifu, Aliyeandika alikua Mpemba niniii😂😂😂
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 Жыл бұрын
Ananias Edgar, upo vizuri Sana, Naomba nipate soft copy, Pia naomba nijue Kama una vitabu Aina zingine, ili niangalie nichukue vitabu vingine Pia.
@joycesengo3976
@joycesengo3976 2 жыл бұрын
Wasukuma tunapenda ndege ndio maana JPM alizinunua Kwa wingi sikupingi 💃💃💃
@mpokimwakisimba692
@mpokimwakisimba692 2 жыл бұрын
Za masiku Joyce?? Umepotea Sana... Uje upande ndege😋😃
@muherefaustine578
@muherefaustine578 3 ай бұрын
Nakubali sana kaka big up 💯💯💯
@mwljuliuskiwovele223
@mwljuliuskiwovele223 2 жыл бұрын
Mimi napenda sana simulizi ukisimuliwa na Ananias Edgar halafu iwe ndefu kama ile ya Thomas sankara,Mkwawa na Mirambo
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Жыл бұрын
FANTASTIC FLOW
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 Жыл бұрын
Nakubali Bro hauna baya kuna watu wamelala mpaka leo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Wasukum wanapend ndege 🤣 ndio maan hata hayat JPM 💔 alizinunua kwa wingi 👏
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
That is it . GOD BLESS WE
@makeresiapawa7947
@makeresiapawa7947 2 жыл бұрын
Hii sio historia sahihi ya Mwanamalundi- ng'wanamalūndi. huyu jamaa hajazungumzia tumboni mwa mama yake, bali ni mjukuu wa Igulu yaani JISHOSHA.
@silveryb
@silveryb 2 жыл бұрын
Igulu bugomola ni nan?
@ernestlameck5523
@ernestlameck5523 2 жыл бұрын
Eee bhana na hyo alie kua anaacha alama ya miguu kwenye mawe ni ibhamba ngulu cyo n'gwanamalund navyo jua Mimi lakin
@carloskitheka5401
@carloskitheka5401 Жыл бұрын
Simulizi tamu sana..keep up good work.
@egidenkeshimana7905
@egidenkeshimana7905 2 жыл бұрын
Keep up bro. 🙏🙏🙏
@SmilingPhoenix-td1rz
@SmilingPhoenix-td1rz 8 ай бұрын
Nimekuelewa sana nanimejifunza mengi ahsante sana nakubali kazi yako❤
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Жыл бұрын
Lakini kabla Brian deacon mwigizaji wa filim ya Yesu hajazaliwa ! Picha za Yesu Kristo zilikuwepo... Fuatilia kisa cha mwanamke Veronica aliyeachiwa kumbu kumbu ya picha ya Yesu kwa muujiza kupitia kitambaa chake mara baada ya kuupunguza uso wa Yesu wakati wa mateso yake.....
@Mushidebb
@Mushidebb 7 ай бұрын
Yaani watanzania sis tuna vitu amazing na hatuvijui
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana Annanias
@samwelyremy4103
@samwelyremy4103 8 ай бұрын
Nmefurah sana kupata hii story Nikirudi Tz 🇹🇿nta tafuta vtabu vyenu ✅
@florentinilyimo9045
@florentinilyimo9045 2 жыл бұрын
ur geniuz bro . napenda mawazo yako yani ningeeza ngefufua mizimu yote ya africa lets go back to where we belong
@juma1hujukii642
@juma1hujukii642 5 ай бұрын
Hakika mswahili alifeli kwatukuza vya weupe. Ndio maana Leo wenye chanjo wameittwa ng'ombe na mahakama za Marekani
@uymm3954
@uymm3954 2 жыл бұрын
Nimekupenda unavyo simulia 🙏😍💓
@silveryb
@silveryb 2 жыл бұрын
Alikua mtaalamu wa ngoma ya wigashe
@luhendesoloshija9502
@luhendesoloshija9502 Жыл бұрын
Mwanalundi hajaenda singida buana ila ni meatu
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Edgar akianza kusimulia tu huwezi kuchoka kumsikiliza
@irenemassawe5791
@irenemassawe5791 2 жыл бұрын
Great
@arakazashabani3295
@arakazashabani3295 2 жыл бұрын
safi sana
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Story qalii Sana tunamisi saut yako ingekua kila siku
@lbmbtv9743
@lbmbtv9743 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Kwanza nakushukuru sana kwa history hii nzuri me pia nilikuwa siyajui haya nimewaza sana kuhusu kifo cha jpm kwnn asingepewa ulinzi kama huo jaman
@jennifermichaels6177
@jennifermichaels6177 2 жыл бұрын
Safi sana hio story.wasukuma tuko juu.asante kwa kutukumbusha ntemi wetu lgulu(mbingu) mwanamalundi.wabeja sana
@franciscomagembe8922
@franciscomagembe8922 2 жыл бұрын
Hakuwa mtemi,alikuwa mcheza ngoma
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 Жыл бұрын
Upo vizuri Sana msomaji na mwandaaji, Ni story inayofundisha Sana.
@rashidmollel529
@rashidmollel529 2 жыл бұрын
Hongera Mr Denis.nimeipenda
@chiburashfod5122
@chiburashfod5122 2 жыл бұрын
Dah. Kaka nakukubali sna
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
Fact to be told.
@laurenciafeya4283
@laurenciafeya4283 2 жыл бұрын
Big up broo Edgar😊
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 Жыл бұрын
Nakukubali sana bro
@noelynjelekela5406
@noelynjelekela5406 8 ай бұрын
Umeongea point sana bro
@AlhajiomnarisoudiSoudi
@AlhajiomnarisoudiSoudi 5 күн бұрын
Ahn kweli kabisa bibi fisi nimeona live nyumba katikat ya balabala
@christopheshombana5607
@christopheshombana5607 2 жыл бұрын
DUH story nzurikabisa, tunamisi sana sauti yako, tunatamani ingilikuwa ivi kilasiku, kwamaana umeshadipote, sanasana kuusu ukombozi na kuzungumzia kuhusu viongozi wa africa.
@ellvinkerubo6365
@ellvinkerubo6365 Жыл бұрын
Good job 254👍👍👍
@macklynesoloo8538
@macklynesoloo8538 2 жыл бұрын
Good Work Denish
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
Amen
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 2 жыл бұрын
Unaeleza vizuri sana kamanda
@user-jx7uv7bw5k
@user-jx7uv7bw5k 6 ай бұрын
Binafsi naomba sana km inawezekana serkali kwenye hili huyu mtu angeingizwa kwenye vitabu vya histori ya nchi, binafsi ninaomba walau nifike sehemu moja ambayo kuna maajabu yake nikaombe dua! Nikaombe kurithishwa hata robo ya utaalamu wake
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 4 ай бұрын
Kwa nini isiigizwe sinema yake itakua tamu sana.
@nickrandu7759
@nickrandu7759 5 ай бұрын
Nimekuwa nikizifuatilia sana hizi simulizi zako, kazi njema kaka. Naweza vipataje hivi vitabu nikiwa Nairobi Kenya?
@twailyiddy5016
@twailyiddy5016 2 жыл бұрын
Nimependa San brother
@BENZ001.
@BENZ001. 5 ай бұрын
kingwendu kamtaja mwana malundi kumbe kweli yupo💥💥🙏🏼
@gracelema1007
@gracelema1007 2 жыл бұрын
I had this story in my degree I respect u umeenda deep ad naogopa
@yatakwishasoon8665
@yatakwishasoon8665 2 жыл бұрын
Love you Grace
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 4 ай бұрын
Utasikia mtumwa wa fikra anasema "shirk hiyo😂" Akili yake anaamini kila alichoambiwa na waarabu na mwingine utasikia Israel tu... Inabidi tujue siri ya haya mambo
@eliudmaster2175
@eliudmaster2175 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@andreageorge6407
@andreageorge6407 9 ай бұрын
Mwanamalundi mwamba kweli kweli
@chikubundara5761
@chikubundara5761 2 жыл бұрын
Pamoja sana
@kahemajohn9992
@kahemajohn9992 2 жыл бұрын
Ni kweli yote. Mimi hapa nimeandika vitabu vitano. Lakini nimekosa wa kunifadhili kea sababu vinazungumzia mila na desturi za kiafrika
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 Жыл бұрын
Unahitaji ufadhiri Kama tshs ngapi,? Wafadhiri wapo wengi Sana. Hiyo unayofanya Ni Kazi Njema Sana.
@shammoha5297
@shammoha5297 2 жыл бұрын
Watoto wakiume hapo zamani, sashv wakike ndio wanaochunga mali za wazazi
HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI / MATUKIO YA AJABU NA YA KUTISHA
33:08
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 26 МЛН
Mhafamu CLEOPATRA, Malkia mrembo aliyeitikisa MISRI
19:33
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 207 М.
18. Egypt - Fall of the Pharaohs
3:58:24
Fall of Civilizations
Рет қаралды 4,7 МЛН
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Jambo la kihistoria Lafanyika kwa Wanawake wa Kimaasai
5:18
Moving Media
Рет қаралды 2,1 М.