DEUSDEDITH SOKA KAIBUA MAZITO MAMLUKI WA RAIS SAMIA NA CCM NDANI YA CHADEMA. WAPINZANI WAPO HATARINI

  Рет қаралды 2,649

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

2 ай бұрын

DEUSDEDITH SOKA KAIBUA MAZITO MAMLUKI WA RAIS SAMIA NA CCM NDANI YA CHADEMA. WAPINZANI WAPO HATARINI 2025

Пікірлер: 13
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 2 ай бұрын
Someni kitabu kitakatifu cha KUTOKA 23:8.Hii inahusu rushwa.Mungu hapendi na viongozi wa dini tumieni mstari huu kuhubili juu ya rushwa.Amen.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 ай бұрын
Mh. U. Soka wewe ni kijana MZALENDO WA HAKI, MJENGA HOJA ZA NGUVU UNAUFURAHISHA MNO MOYO WANGU!!! MUNGU AKULINDE SANA UWE SALAMA ILI TUMAINI JEMA TULILONALO KWAKO KWA AJILI YA KUPATA UHURU MPYA AU UHURU KAMILI TOFAUTI NA ILIVYO SASA!!!! NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Damu.kweli.tunawashali.wache.wasimzuru.mungu.atawaona.kabla.kutenda
@mickgeofreyjoachim1580
@mickgeofreyjoachim1580 Ай бұрын
Mdogo angu nafasi yako kwasasa nikua .wenyekiti wa vijana Taifa kupitia Chadema and u exactly deserve that position my little boy.Pambalu popote ulipo huyu Dogo ndomlisi wako👍
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 10 күн бұрын
Watanzania msikubali mtu yoyote yuko ndani ya chadema kutuuza ni kudiki nao humo humo tusikubali ujinga tena kujenga kupoteza maisha ya watanzania alafu ukae ndani ya chadema huyo hata awe nani ni kudiki nao watanzania wamechoka na wanasiasa mcharwa lisu kateseka sana lisu ndio mwana siasa katika hii nchi wa kweli tusiadanganyene umesema kweli
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Hakuna atakae mmeza lisu awe na pesa awe nani ktk chama lisu ametengeza watanzania ujasiri km vile kina msigwA eche mwabukusi na wengine wengi tuu Sasa nani anaweza kumzarau tundundulisu anauziefu wa kimataifa ktk siasa na hiyo anayo fanya lisu ni sisa za kimataifa watu wajue Hilo ni reasecher ktk siasa za ndani ya nchi na njee ya nchi
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Simba.mwanamke.hatari.wananchi.tumewajua.hatuwataja.wanajulikana.nyerere.aliwakataa.na.majina.yao.yapo.tangu.zamani.kumbukumbu.soma
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
Ndulisu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
WE'LL SAID MWANAMAPINDUZI
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Hapa hamna rushwa bali anaona kuchangiwa kwa Lissu ni rushwa. Kwa sababu tunamchangia kwa uwazi ni kwa mapenzi yetu kabisa. Tungekuwa na pesa nyingi hata tungefanya makubwa zaidi. Labda tukimaliza gari tuchangie Elcopter ili aweze kufika kila mahali na vijijini bila ya wasiwasi.
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i Ай бұрын
Your still too young to speak at that level,,,,,pigana katika level yako ya Kara na Jimbo,, Tatizo la vyama vyetu ni Lila MTU akijua kuongea kidogo anajifanyabkuongea na kujifanya mwanasiasa wa Kitaifa,,,,Lila kitu kinahitaji leadership zaidi ya hapo ni vurugu kitaifa ,,kunahitajika training, vijana watengenezwe na wajue kufanya KAZI kwenye ground
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
#LIVE: LUHAGA MPINA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 190
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН