KUHUSU MAKAMBA KIJANA MZALENDO ACHARUKA "BITEKO AMCHUNGUZE MAKAMBA ALIYOYAFANYA KWENYE NISHATI"

  Рет қаралды 112,997

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

KUHUSU MAKAMBA KIJANA MZALENDO ACHARUKA "BITEKO AMCHUNGUZE MAKAMBA ALIYOYAFANYA KWENYE NISHATI"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 287
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 21 күн бұрын
Uyu jamaa inawezekana ni usalama wa taifa kwa sababu story zake ni za kujitoa muhanga ni kama kuna wakubwa wanamtuma hongera sana kaka ilove u
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Tena kanda ya Xiwa inachapa kazi sanaaaa
@obadiakajungu6965
@obadiakajungu6965 6 ай бұрын
Nakubaliana na wewe kwa yote unayoongea! Mungu akubariki sana. Unaongea kwa uchungu sana kuonesha jinsi nchi ilivyozungukwa na kuongozwa na vibaka!
@RehemaMlowe-k6t
@RehemaMlowe-k6t 2 ай бұрын
Mwizi huyo ,akiwalaisi atauzaichi yetu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Mwandishi mzuri sanaaaa Nyarobi na unahoji vizuri Mungu akubariki upewe maua yako
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Unahoji vizuri sanaaaa mwandishi wa Mwananchi pongezi sanaaaa nahuyu mwannawane anachapa kazi vizuri anaijua vizuri katiba
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 6 ай бұрын
Uko vizuri sana .tukipata watu watano kama wewe nchi itafunguka
@sabuomar2420
@sabuomar2420 6 ай бұрын
Thanks, wewe ni mrithi wa Musiba, Aluta continua !
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 6 ай бұрын
Kwani Musiba yuko wapi siku hizi
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 21 күн бұрын
​@@jacksonamos2008Aaaaaaah imeanza mambo ya Sheria mtu anaua adharan na watu wanajitokeza kutetea😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Ni kweli wengi sana wanaojipendekeza tena hao wengi sana Bungeni
@MiltonSatte
@MiltonSatte 6 ай бұрын
Kwa kweli huyu kijana ametukumbusha mambo mengi muhimu ushauri wake uzingatiwe
@AlanMbilinyi
@AlanMbilinyi 6 ай бұрын
Makamba ni mwizi sana,Wizara ya Nshati ameiba bilioni350 pesa nyingi sana bado mama bado alikuwa anamlinda nakumhashia Wizara nyingine Hafai hafai.ILI RAIS ILI AJISAFISHE MAKAMBA ASHUNGUZWE NA MWIGULU ATENGULIWE BILA HIVYO KWELI ANAWAFUGA WEZI.
@dassustephen731
@dassustephen731 6 ай бұрын
@@AlanMbilinyi True
@sueqadir3371
@sueqadir3371 6 ай бұрын
Leteni ushahidi... fitna siyo nzuri!
@frankpeter4178
@frankpeter4178 6 ай бұрын
Usukumani kuna vichwaa, unastahili kuwa Mbunge na zaidi
@ChristerKoku
@ChristerKoku 6 ай бұрын
Dotto Biteko kijana mzuri sana hekima na busara mungu amlinde,Dotto Biteko safi sana.
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 6 ай бұрын
Wanatakiwa watu wenye uwezo wakazi
@MaikoHaule-v6r
@MaikoHaule-v6r 5 ай бұрын
Uko vizuri kwa kulisaidia taifa tujitambue jamani
@kingmichael1234
@kingmichael1234 6 ай бұрын
Safi sana na Mzalendo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 ай бұрын
Yombaga mwanawane
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf 6 ай бұрын
Kiukweli mama anamacho makali ❤yanaona sana, ila nashauri hizo nyadhifa wawe wanachanganya na viongozi wetu upande wa chama ambao niwazalendo wawe wanapewa fulsa nafasi zisizunguke humo humo huku wengine wanavunjika moyo
@phillipbwilengende3434
@phillipbwilengende3434 6 ай бұрын
Makamba, Chalamila, Ndejembi, Kikwete, Pinda, Nnauye, nk. ni majina utaendelea kuyasikia sana. Hayawezi kusahaulika kwani wenye majina ..
@AtanasiDotto-bk7hk
@AtanasiDotto-bk7hk 6 ай бұрын
Pongezi kubwa kwako kiongozi hakika Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya watanzania🔨
@daudhenry6212
@daudhenry6212 6 ай бұрын
Jamaaa anaitwa nani😂😂😂 hachoshi kusikiliza
@AmaniMwakalapuka
@AmaniMwakalapuka 6 ай бұрын
Akili kubwa sana hii
@petermboje5839
@petermboje5839 6 ай бұрын
Nimekuelewa kaka
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 6 ай бұрын
Magufuli aliwaondoa alijua ni tatizo Mama akawarudisha ili aonekane kwamba yeye ni mwema ionekane walionewa sasa amejionea kwenye ukweli utabakia ukweli tu
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 ай бұрын
Msukumo viongozi wastaafu pia ni mtoto wa mwenzetu.Magufuli alikua haangalii sura ya mtu.
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 6 ай бұрын
Una ushahidi au
@dassustephen731
@dassustephen731 6 ай бұрын
Huo NI mwanzo Tu na bado
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 6 ай бұрын
Tatizo wakina makamba wananiona hii nchi ni yao wanadeka watakavyo na uwezo wa kifanya kazi ni mdogo
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo 6 ай бұрын
Wazuri hawafi
@onesmonkwabi1022
@onesmonkwabi1022 6 ай бұрын
Amfukuze Waziri wa fedha(Mwingulu Chemba)
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 6 ай бұрын
Hapohapo sijui umejuaje yaani simpendi with yule
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 6 ай бұрын
Mwigulu cjui kuna kitu gani yaani
@monicamwita7865
@monicamwita7865 6 ай бұрын
Chanzo cha matatizo
@FrancisChuwa-tk8xt
@FrancisChuwa-tk8xt 6 ай бұрын
Itoshe sasa kumtumia Makamba kuivusha nchi hii. Mama alikuwa na nia njema.Alitaka awaangalie yy mwenyewe. Katika kipindi ambacho tunakabiliana na maadui wakuu wa nchi hii (Mabeberu) hatuwezi kutembea na hawa ambao ni over-ambitious.watahongwa watuuze wazima wazima.
@thomasburito
@thomasburito 6 ай бұрын
Kiongozi uko vizuri.
@elizabethsimba9743
@elizabethsimba9743 6 ай бұрын
Safi sana.
@juliussenzia
@juliussenzia 8 күн бұрын
Kweli mafuta yalipanda bei sana na hivi Sasa yamekuwa stable
@georgenkindikwa5190
@georgenkindikwa5190 6 ай бұрын
Mama Samia snatakiwa awemakini sana watu wapo kwamasilahi yao
@athumanyassin7796
@athumanyassin7796 6 ай бұрын
Hakuna mwanasiasa msafi wengi ukiwachunguza wana mazongezonge yao kama tumesha yaona haya tuanze kupika viongozi wapya wenye uzalendo ili miaka ijayo tupate viongozi bora
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 ай бұрын
Mzungumzaji huna taarifa kuwa mtandao wa wezi wa rasilimali za nchi walijindaa kujimilikisha kila kitu . Walifurahi mheshimiwa mwamba Magufuli kufariki.
@LucianSanga-q8j
@LucianSanga-q8j 6 ай бұрын
Waaveja Mwana wane
@pastorysent6586
@pastorysent6586 6 ай бұрын
Yombaga mwanawane,ila ulitakiwa uongee kabla hajatumbuliwa, .....ila wananchi wanahitaji waziri wa hela atolewe
@rabomunde3550
@rabomunde3550 6 ай бұрын
Jamaa nimemkubali"""! Shikamoo dogo
@BenjaminChristopher-r9d
@BenjaminChristopher-r9d 6 ай бұрын
Kwakweli mtu apendwinaote tanzania munapenda rushwa poleni sana wapinzani wamakonda kawapiga spana ❤ 😂 Mungu atakulinda hutarudi tena wapige tena
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 6 ай бұрын
Bado mwengine MWINGULU hatosha pia sisi Wananchi tunaona
@monicamwita7865
@monicamwita7865 6 ай бұрын
Kidonda cha taifa huyu
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 6 ай бұрын
Raisi Magufuli aliliona muda sana hilo Kuhusu Nape na J. Makamba . Mama hakuamini Hivyo kwasasa ameelewa Kwanini Raisi mwendazake aliwatengua. Nimpongeze Raisi samia kwa uoni huu .
@ramadhansaadalahtawaqal7902
@ramadhansaadalahtawaqal7902 6 ай бұрын
❤❤
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 6 ай бұрын
Amechelewa sana kuchukua hatua
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 6 ай бұрын
ni kweli watu wa lake zone sio mchezo, wengi ni kazi tuu
@BenardLucumay
@BenardLucumay 6 ай бұрын
Nimemkumbuka sana hayati baba wa Taifa na rais mstaafu mwl Nyerere, alikuwa mzalendo kwa vitendo,hakuwa mkabila wala mbinafsi familia yake iliishi kawaida tu!
@daudhenry6212
@daudhenry6212 6 ай бұрын
Sahihi
@ImmaJulius-rg4yf
@ImmaJulius-rg4yf 4 ай бұрын
Ameongea vizuri
@zariadunia6328
@zariadunia6328 6 ай бұрын
Hata mimi nilishangaa sana kitandula kuwa naibu waziri mama nadhani katika uteuzi kuna asilimia50 na zingine niwashauri
@lilianHigilo
@lilianHigilo 6 ай бұрын
Mwigulu atumbuliwe
@ChachaSamwel-k8u
@ChachaSamwel-k8u 16 күн бұрын
braza ukicheki kwandani nirushwa au udalali
@CharlesMafwimbo
@CharlesMafwimbo 6 ай бұрын
Kwa nini mafisadi nchi hii wanaogopwa? Katiba yetu inaonyesha mapungufu makubwa hawa wote wangeshitakiwa mara moja
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 ай бұрын
Ndiyo maana chama kinaogopa suala la katiba mpya!
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 6 ай бұрын
She often wait for the right time...she doesnt react quickly..anamsoma mtu anamjua kwa undani zaidi kisha anaamua..very smart leader
@peterdeus6093
@peterdeus6093 15 күн бұрын
Smart wapi ni mwizi walewale tu nayeye
@LaurentMagesa-iv5yt
@LaurentMagesa-iv5yt 6 ай бұрын
January na Nape hawafai katika taifa hili .
@lucasmugoma2870
@lucasmugoma2870 5 ай бұрын
Umemsahau boss wao kikwete
@salumjoka6286
@salumjoka6286 6 ай бұрын
Ukweli mchungu
@SillinusNyanda
@SillinusNyanda 6 ай бұрын
Mwigulu...makamba...Nape.Hawa jamani....Ni hatari sana...Na ukweli watu kama Hawa wamo wengi sana..Wabathilifu wa mali za umma.Ubanafsi.Waangaliwe kwa jicho la tatu
@robertedward1992
@robertedward1992 6 ай бұрын
Bado jutu Moja pale fedha.alitumbuee.
@IddiUledi
@IddiUledi 4 ай бұрын
Dalili za umasikini Moja wapo nikukaa na kupoteza muda kumteta na kuchunguza mwezako anakula Nini anaishi vipi.badala yake muda huo😊 unge utumia kufanya kazi ukaleta maendeleo yako na taifa.
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 21 күн бұрын
🥹🥹🥹🥹
@Bone_Gamer24
@Bone_Gamer24 6 ай бұрын
kwenye safari hapo uko sawa sana
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 6 ай бұрын
Makamba, Mwigulu, Bashe, Ridhiwan, Mhangama, na Mchgengerwa ni mabomu tu. Sijui kwanini rahis amewavumilia kiasi hiki ukichia Mchengerwa na Ridhiwan tokana na wazazi wao.
@RamadhanRamdhan-i2c
@RamadhanRamdhan-i2c 6 ай бұрын
Hapo uko sawa hujakosea hana uwezo mambo yake ya kitoto sana
@RamadhanMakoka-vp9cl
@RamadhanMakoka-vp9cl 6 ай бұрын
Mngemtazama pia wakati alipokua waziri wa mazingila alifanya nlni,
@yordanyona1234
@yordanyona1234 6 ай бұрын
Shida ni aliyewaweka ukiwa wana doa kubwa ...tena akawapa nafasi kubwa sana na kuwatoa watu WEMA wwaliodhibit uwizi kama Kaliman
@kingmichael1234
@kingmichael1234 6 ай бұрын
Mwigulu nae apumzishwe yeye ndio muhizunishi mkuu wa pesa zetu hazina. Sio mzalendo wa kweli mpigaji pia
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 6 ай бұрын
Makamba hafai ataishia kuota urais hatapata
@Mwana-k2g
@Mwana-k2g 5 ай бұрын
Hili li jamaa bhana na lafudhi yake ya Mwanza linajitahidi kufuatilia siasa hadi linapata kigugumiz kuongea😅😅😅😅😅
@LameckMbele
@LameckMbele 6 ай бұрын
January makamba na Baba yke ni wajuaji sn na rafiki yke Nape kikosi hiki ni kibovu sn
@selegioelias9076
@selegioelias9076 6 ай бұрын
Hawa ni wahuni alio wasema pole pole baloz
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 6 ай бұрын
Waache kaka mungu yupo atawaumbua hajawafukuza wanaandaliwa kwenda kufanya maandalizi ya kuiba kura hao ni vinara wa ccm
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
Kweli
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@hamidumwalula4127
@hamidumwalula4127 6 ай бұрын
Remote ndo inaleta shida ktk nchi hii
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo 6 ай бұрын
Ni kweli
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 6 ай бұрын
Kweliiiiiiììio ndugu yangu uko sahihi kabisa
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 6 ай бұрын
Hawa viongozi wachunguzwe utajiri wao, mana wanatuona watanzania wanasesere.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 6 ай бұрын
MWIGULU NAE HATOLEWE PALE AMEKAA SEHEMU SIO YAKE. KUNA PESA NYINGI SANA HAZINA ZINAPOTEA
@mwanjalimfaume6380
@mwanjalimfaume6380 6 ай бұрын
Utaona watapewa nyasifa zingine Msizungumze sana
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 6 ай бұрын
Kwa kweli
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 6 ай бұрын
Makamba, ni kweli UWEZO WAKO NI MDOGO MNOO, MAJAMBAZI TU,
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 6 ай бұрын
January Nape Kinana Mwigulu Bashe Masauni Mbarswa Hawatoshi kuwa viongozi ndani ya Taifa kwa masrahi mapana ya Taifa hili. Ukweli utabaki kuwa ukweli
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 6 ай бұрын
Wewe,hapo uko nje.kwamba tuna viwanda via nyaya na transformer,wapi vilipo?
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Duh! Tarehe 21/ 7/ 2015 alitimuliwa na JPM. 21/7/24 Ametimiliwa na raisi samia😂
@saidmabanga388
@saidmabanga388 6 ай бұрын
21/7/2015 raisi wa nchi alikuwa kikwete
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg 6 ай бұрын
Juju liliexpire21/7/2015,akarenew likaexpire tena 21/7/2024 .Sidhani kama atarenew tena. 😂😂
@naturelle1097
@naturelle1097 6 ай бұрын
​@@shavasjohnkay-cw8lg😂😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 6 ай бұрын
Sasa hili bwawa la Nyerere mahitilafu tena haya jmni..gharama kubwa sana serikali inaenda kuingia..vitu vingi vimejengwa chini ya viwango...mmh
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 6 ай бұрын
Mimi Niko kanda ya ziwa madudu ni mengi Sana kuliko kanda zingine
@FrancisNgereja
@FrancisNgereja 6 ай бұрын
Mhe kasimu majaliwa tunakuamini,mhe biteko tunakuamini, vaeni kofia ya magufuri mmsaidie mama samia
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 6 ай бұрын
Msiba aritahadhalisha sana kuhusu Makamba na wenzake, sasa wametuletea hasara ndio mnashituka , hawa hawafai hatakua Barozi wa Nyumba kumi.
@TinaZimba
@TinaZimba 6 ай бұрын
Makamba ni mwizi silipendi hata kidogo kwa wizi wake
@Mobmob2013
@Mobmob2013 6 ай бұрын
Jizi alafu machawi
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 6 ай бұрын
Ukombozi wataifa hili Ni Mungu tu atakayelipambania kwa maana walio shika mipini hawaoni maumivu ya washika makali😮😮😮😮
@FrancisNgereja
@FrancisNgereja 6 ай бұрын
Francis zongo ngereja mama samia asiangalie sura ya makamba,lzm ashitakiwe watanzania tumechoka tuna shida mno,hy makamba alete hz hela ht wananchi wa khali ya chini tupate ht unafuu wa maisha tunaibiwa mno,jamani watanzania wamekosa cha kuzungumza kwy nchi yao,wanatawaliwa na mabeberu,mtu mmoja anawetesa watu million 60,du!! Mama kamala hao wanyanganye hate za kusafiria walete hela,na hilo bwana liishe
@DanielWambura-j8r
@DanielWambura-j8r 6 ай бұрын
Hakika umeongea point tupu
@MarriamNg9wi
@MarriamNg9wi 6 ай бұрын
Wezi hao wafilisiwe warudishe fedha za watanzani
@MarriamNg9wi
@MarriamNg9wi 6 ай бұрын
Namshauri mama asiwe anawaweka watoto wa viongozi waliotuchuma sana wanafanya kama nchi yao na si ya watanzania
@OmarOthman-w9k
@OmarOthman-w9k 6 ай бұрын
Unatoka povu bureee kwani yeye mama mgeni na serkali hii? Wanajuwana hao ndugu yangu ila msichoke kusema😅😅😅😅😅😅
@mshanaakbar3687
@mshanaakbar3687 6 ай бұрын
Ni Muda mrefu Dotto yuko madarakani mbona mafuta hayashuki?
@GodwinDeesse
@GodwinDeesse 6 ай бұрын
Kanda ya ziwa oyee
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 6 ай бұрын
makamba ni mwizi afungiliwe mashi taka
@TwaibuLali
@TwaibuLali 6 ай бұрын
Acha ukabila wewe angaria nnchi ulipata uhuru kupitia wapi nyinyi mlikuwa wapi tulia wacha jaziba kachukue 🎉
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 6 ай бұрын
Ukovizur kaka unasema ukweli
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 6 ай бұрын
Kada yeyote wa ccm, Akitoka baba anaacha mtoto ashike nafasi, huo ndio mfumo wanaojisifia kuwa ni wa kidemokrasia, ndivyo wanavyopokezana kijiti cha utawala wa kiukoo kuanzia Tanu youthlig/Uvccm tangu 1985!. Magufuli aliwaondoa, wakarudishwa na sasa tena wameonekana wana majungu na tamaa ya kiti wanaanza kuondolewa
@MsAggie5
@MsAggie5 6 ай бұрын
Hao ni watoto wao na wanafanya kama kisultani au kifalme, subiri tuone watawapa wizara nyingine. Magu aliona hawana uwezo lakini mama yao kaona asiwaangushe ndugu zake 😂😂😂😂😂 watajipanga awape kazi nyingine akishindwa kabisa atawapeleka ubarozini 😂😂
@winifridabyesigwoa741
@winifridabyesigwoa741 6 ай бұрын
​@@MsAggie500😊😊😊😊😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Nkindikwa unayamwaga vizuri na mama ayasikie vizuri kwa makini aliwabeba kumbe wabaya wake
@peterdeus6093
@peterdeus6093 15 күн бұрын
Ana huo muda wa kuyasikiliza haya aache kwenda dubai
@listere-i1b
@listere-i1b 6 ай бұрын
Nitashangaa sana alie kuwa waziri wa nishati january makamba asipo shitakiwa kwa ajiri ya uhujumu uchumi
@nurdinsurve9475
@nurdinsurve9475 6 ай бұрын
Hakuna hayoo kwa huyoo makamba haja msaidia yoyote wala simu hapokei huyo makamba
@Benjamini-k7d
@Benjamini-k7d 6 ай бұрын
Tatizo ni rais wetu ni mubovu sana hayo yalikuwaga majipu yeye kawakaribisha
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 6 ай бұрын
Uko sea jamaa yetu makamba January na,nape na mwiguru waangariwe vizuri au wachunguzwe
@LaurianiMkunzi
@LaurianiMkunzi 6 ай бұрын
Huyo bwana Mama amuone,pia ikiwezekana ampe nafasi ya kumsaidia kazi.
@nyamsabhimagesa
@nyamsabhimagesa 6 ай бұрын
Until we stop being naive, then that is when we shaĺl be able to perceive things and not to mention making the right decisions by selecting the right person. Otherwise, we shall continue to be the casts of thei drama. Ati waswahili wanasema hivi "FUNIKA KIKOMBE MWANA HARAMU APITE KWANZA... Na kikombe hakina budi kufunikwa kea kuwa baadhi ya marefa wa mchezo huu ambao hawakupaswa kujulikana , wamejulikana kwa baadhi ya washabiki... Lakini tena huyo ndio atakuwa Rais wenu wa miaka 10 mpaka 15 ijayo. Amkeni. KATIBA ya Muungano, KATIBA ya Tanganyika na KATIBA ya Zanzibar ndio suluhu pekee yake ya nchi hizi..
@loycep7785
@loycep7785 6 ай бұрын
Yaani viongozi wetu wanaturudisha nyuma kwa sababu ya tamaa zao za hela na kusabsbisha Taifa letu kuwa maskini wakati uchumi wetu unauzwa ebu tuweni makini Na baadhi ya viongozi wakisema ukweli wanachukuliwa hatua hiyo siyo sawa mwogopeni Mungu wapendwa
@FungamezaShabani
@FungamezaShabani 6 ай бұрын
Makamba hana sifa ilanikubebwa bebwa tu
@manimbakikuli6271
@manimbakikuli6271 6 ай бұрын
The truth in plain white! Wananchi inabidi wajue ukweli!
@philipongenzatv
@philipongenzatv 6 ай бұрын
Tutoleeee limwigulu
@georgenkindikwa5190
@georgenkindikwa5190 6 ай бұрын
Naona nduguyangu unapambana
@lemuelrugumyamheto5094
@lemuelrugumyamheto5094 6 ай бұрын
Bado inawezekana kuwa Kiini Macho tu.Sitaona ajabu wakiibuka katika nyadhifa nyingine tofauti katika system hii.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 6 ай бұрын
Hawa baba zao walikuwa marafiki yaani mzee Makamba na Nauye baba yake na Nape na huyo Kinana. Na Makamba baba yake January ndiyo wenye nchi wana uwezo was kupiga simu Ikulu na kuongea na Ikulu kwahiyo ongeeni tu ila hakuna lolote la maaana litakaloleta unafuu, wabunge walipiga kelele lakini ndo kwanza aliambiws fanya kazi usisisikilize maneno ya watu naungana na wewe ni kiini macho
@Fesary
@Fesary 6 ай бұрын
Kiini macho, sema kiini sasa iyo imeenda
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn 6 ай бұрын
Wapasue Haoooo
@SillinusNyanda
@SillinusNyanda 6 ай бұрын
Viongozi wengi wao wanapenda Rushwa na wabathilifu wa mali ya umma.Huu ubinafsi ni mbaya sana na wanaingia kwenye uongozi kwa kupigiwa kura za Rushwa.Tunapata viongozi wa ajabu sana.Tumejaza wezi na fusadis tu.Hii ni hatari sana.
@fikiriadriano4251
@fikiriadriano4251 6 ай бұрын
Kwa swala la Escrow, Rais ndo alitoa msaha, pamoja na ile ya Mashehe, wa uwamsho" Yani ailsamehe wenye Hatia na wasio na Hatia" 😂
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН