Рет қаралды 15,493
ROM12:1-3
Lyrics
(Basi, ndugu, nawasihi,
kwa huruma zake Mungu,
itoeni mili yenu iwe dhabihu iliyo hai
(takatifu, ya kumpendeza Mungu,
ndiyo ibada yenu yenye maana)x2
Wala-msiifuatishe namna ya dunia hii;
bali mgeuzwe kwa-kufanywa upya nia zenu,
mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu mema,
(yaaaa kumpendeza, na ukamilifu)x2
CHORUS
kwa maisha yenu ndugu zangu
mkaenende kwenye hofu ya Munguuu
ili watu wayaonapo matendo mema
wamsifu mungu na kumtukuzaaaaaa X2
SOLO
(Maisha yako ni ibada
Mwili wako ni ibada)x2
Acha kila tendo la mwili wako liwe tendo la ibadax2
Kila tendo la mwili wako liwe dhihirisho
kwamba mungu baba ndiye azina yako
hebu Kristo awe wa thamani kwakox2