No video

Dhambi ni Mbaya - Ev. Daniel Mwasumbi (Official Music Video).

  Рет қаралды 37,818

Ev. Daniel Mwasumbi

Ev. Daniel Mwasumbi

Күн бұрын

#danielmwasumbi#DHAMBINIMBAYA#
Watu wengi wamezama dhambini,wengi hawajui jinsi dhambi ilivyo hatari kwa maisha ya mtu; Dhambi imeharibu maisha ya watu na mshahara wake ni mauti ya milele,lakini leo Sikia Ujumbe wa wito wake Yesu juu ya maisha yako,Njoo kwake akusamehe dhambi na kukusafisha na akufanye Mwana wa Mungu na mtumishi wake katika Ufalme wake.
UNAWEZA KUSIKILIZA NYIMBO ZA EV. DANIEL MWASUMBI KUPITIA LINK HIZI :
Boomplay
www.boomplay.c...
Spotify
open.spotify.c...
Amazo Music
music.amazon.c...

Пікірлер: 39
@BenjaminHenry
@BenjaminHenry 8 ай бұрын
Nakumbuka nilikua mdogo miaka ya tisini na kitu hivi mbarikiwe sana.
@jacksonsilvery5963
@jacksonsilvery5963 4 ай бұрын
Kama vile wanatania ila ndo kweli jamani dhambi ni mbaya Sana.
@user-od3wq3sv7w
@user-od3wq3sv7w 4 ай бұрын
Napenda sana wimbo huu
@elizabetjulias8315
@elizabetjulias8315 Жыл бұрын
❤siwez sema sn ila ninapo sikilizaga nyimbo zote zenu napata furah na uwamsho mpia mungu wa mbinguni awabariki
@assodavidofficialmusic5045
@assodavidofficialmusic5045 Жыл бұрын
Amen papa zambia ni mbaya kabisa
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 10 ай бұрын
Mara ya kwanza niliwaona nikiwa mdogo sana kati ya mwaka 1993 na 1995 pale Tukuyu (KKK-kwenye miutano wa Injili)👏
@gamamwasumbi3727
@gamamwasumbi3727 7 күн бұрын
Kwakweli dhambi ni mbaya sana
@eliasfatiye9942
@eliasfatiye9942 Жыл бұрын
nyimbo zako nabalikiwa
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi Жыл бұрын
Ameen
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 19 күн бұрын
Mungu tulinde nakutuhepusha na dhambi pia tamaa za mwili naza dunia tulinde tusije tukapotoka
@rukiasalum5320
@rukiasalum5320 2 жыл бұрын
Mungu atawalipa maisha yenu yote mmeyalizia kwa mtumishi mungu awabariki sana mtalibwa na bwana yesu
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi 2 жыл бұрын
Ameen
@amandaangie4806
@amandaangie4806 Жыл бұрын
YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi Жыл бұрын
Ameen
@hekimamwambegele3870
@hekimamwambegele3870 3 жыл бұрын
balikiwa sana mtumishi
@eliasfatiye9942
@eliasfatiye9942 Жыл бұрын
ubalikiwe
@michaelmwambona3017
@michaelmwambona3017 2 жыл бұрын
Ubarikiwe baba mchungaji
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi 2 жыл бұрын
Amen
@deboraernest029
@deboraernest029 Жыл бұрын
I always touched by your songs, may God bless you abundantly
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwatunza kwa kazi yeke nzuri mnavyoifanya
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethnzunda9223
@elizabethnzunda9223 10 ай бұрын
Upo wapi kwa Sasa mtumish
@sovamumba1304
@sovamumba1304 2 жыл бұрын
Powerful songs.Mungu awaweke pamoja mpaka Siku bya mwisho.Nyimbo zinaokosha hizi Amen.Be blessed
@bonifacemwakyomawaleo5867
@bonifacemwakyomawaleo5867 2 жыл бұрын
Napenda Sana huduma yako ya wimbaji na wimbo huu ulimba kwa kumanisha kwelidhambi mbaya
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi 2 жыл бұрын
Amen
@changuchake7406
@changuchake7406 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi 2 жыл бұрын
Amen
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 3 ай бұрын
Mungu awabariki sanaaaaa mr and mrs mwasumbi. Mfike mbinguni pamoja
@zedrickchisongela51
@zedrickchisongela51 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mr and mrs mwasumbi nazikumbuka sana hizi nyimbo mwaka 1992 kanisani mwenge dsm wakati nabatizwa kwa maji mengi na mch marehemu mboma mbarikiwe sana watu wa Mungu
@nelsontalibo9751
@nelsontalibo9751 2 жыл бұрын
Kweli dhambi ni mbaya barikiwa mtumishi
@eliasfatiye9942
@eliasfatiye9942 Жыл бұрын
wanaimbaji wa sasa nyimbo zao hazina upako mwasumbi nyimbo zake zina upako
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi Жыл бұрын
Neema ya Mungu iwasaidie hakika
@Danielmwasumbi
@Danielmwasumbi Жыл бұрын
Neema ya Mungu iwasaidie hakika
@edwardbussagwe2044
@edwardbussagwe2044 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mno mchungaji Nakupenda Sana baba yangu
@williamalphonce2320
@williamalphonce2320 2 жыл бұрын
Barikiiwa sana Mtumishi wa Mungu
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Nice msg
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 Жыл бұрын
Blessed song
@assodavidofficialmusic5045
@assodavidofficialmusic5045 Жыл бұрын
Amen papa zambia ni mbaya kabisa
@assodavidofficialmusic5045
@assodavidofficialmusic5045 Жыл бұрын
Amen papa zambia ni mbaya kabisa
Daniel Mwasumbi - WANA WA ISRAEL (Official Music Video).
4:02
Ev. Daniel Mwasumbi
Рет қаралды 66 М.
MAZITO YA MCHUNGAJI MWASUMBI/ AFUNGUKA MAGUMU ALIYOPITIA KISA WOKOVU
48:01
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 86 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 56 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН
Mkuyu Ulikauka - Mch. Daniel Mwasumbi (Official Music Video).
4:54
Ev. Daniel Mwasumbi
Рет қаралды 44 М.
Ateka
9:32
Super Wanyika - Topic
Рет қаралды 96 М.
DHAMBI NI MBAYA
8:44
MAJAGIRA ISSA
Рет қаралды 374
TRACK : Namlilia Malebo - By Pastor Faustin Munishi
6:32
Munishi TV
Рет қаралды 6 МЛН
Zambi ni mbaya
5:08
chorale Neema 40 em CECA KAKONO
Рет қаралды 30 М.
LUTENGANO umbili
7:24
EBEN ONLINE TV
Рет қаралды 223 М.
Anakuja na Mawingu  -  Mr. &  Mrs. Daniel Mwasumbi (Official Music).
4:08
Ev. Daniel Mwasumbi
Рет қаралды 17 М.
Taarab: Viumbe Wazito
17:01
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,2 МЛН
Kanisa la Leo  -  Mr. & Mrs. Daniel Mwasumbi (Official Music Video).
6:52
Ev. Daniel Mwasumbi
Рет қаралды 38 М.