Taarab: Viumbe Wazito

  Рет қаралды 1,244,489

Swahili Taarab

Swahili Taarab

6 жыл бұрын

Taarab song by Mwanahawa Ali. Tanzania

Пікірлер: 808
@mohamedathman3310
@mohamedathman3310 4 ай бұрын
Wale wa 2024 wenye tupo hapa like za hunyu bibi kwa mziki wa kuishi mpaka sasa🙌🙌🙌
@SikudhanijumlaSabo
@SikudhanijumlaSabo 6 ай бұрын
Kama bado unasikiliza mwaka 2024 tujuane
@user-wd3bg2bn5d
@user-wd3bg2bn5d 3 ай бұрын
Fadhila mfadhili mbuzi binadamu ana maudhi ukweli mtupu
@HOOFCLANMEDIA
@HOOFCLANMEDIA 6 ай бұрын
Kama unakubali 2024 hi nyimbo bado haikutwi
@mtoto_wa_Mfalme12
@mtoto_wa_Mfalme12 10 ай бұрын
Kama bado unasikiliza viumbe wazito September 2023 gonga like wewe ni LEGEND 🙌
@mamavyombo4801
@mamavyombo4801 5 ай бұрын
Wale tupo hapa 2024❤
@user-pi6ho5lu3z
@user-pi6ho5lu3z 6 ай бұрын
Watu wenye uswahili wetu wallah hii nyimbo inanikosha mama yng kipenzi mwamjua jumanne akidondosha chozi mbele ya ndugu zake likapigwa jisong hili❤❤❤ sssa sijui mama qlikuwa qkiria kwa furaha au ana mazito kwenye moyo wake
@mohdalliy656
@mohdalliy656 6 ай бұрын
Mim bado nauskiliza mpka hii Leo tnaumliz mwk 2023-24 best hit song for @MWANAHAWA ALLIY VIUMBE WAZITO❤🎬🎶 hyu Mom ajngewe Sanam lak NGOME KONGWE
@muhamadshaban3646
@muhamadshaban3646 5 жыл бұрын
Eeeeh mwanahawa weeee wanikumbusha mbali zama za kiujahilia😄 wapi likes za mwanahawa
@yusufujamali4577
@yusufujamali4577 4 жыл бұрын
🤣
@hassanali4838
@hassanali4838 4 жыл бұрын
Usirudi huko kwa ujahiliya mwanangu
@tinaalex7617
@tinaalex7617 4 жыл бұрын
Yaani hadi raha
@mathewmghanga3705
@mathewmghanga3705 3 жыл бұрын
Wimbo maridadi Sana were, kapangwa vyema tu Sana. Big up bibieeee.. .. ..
@mwamvuambayaz8013
@mwamvuambayaz8013 3 жыл бұрын
@@yusufujamali4577 jhhh
@magangakiyabo3429
@magangakiyabo3429 2 жыл бұрын
Wimbo hauchuji huu ukipigwa lazima mapigo ya moyo yaende mbio kwa furaha 🙌🙌🙌👏👏🔥🔥🔥
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 жыл бұрын
Hakika mmy
@lailatumhessi-cd4kh
@lailatumhessi-cd4kh 5 ай бұрын
@@muzdalifatsaid3658
@zawadimushi9283
@zawadimushi9283 5 жыл бұрын
Kama ushaskiliza i nyimbo 2019 gonga like twende sawa
@mubarackntale4925
@mubarackntale4925 5 жыл бұрын
apooooow
@syksyk7295
@syksyk7295 5 жыл бұрын
Zankumbusha mbal xn iz numb jaman
@saadabulali9643
@saadabulali9643 5 жыл бұрын
ngoma Kali sana
@wahidasalum6707
@wahidasalum6707 5 жыл бұрын
mambo
@okumuwere9013
@okumuwere9013 5 жыл бұрын
labda
@user-qx8gc2vh3h
@user-qx8gc2vh3h Жыл бұрын
Wimbo hauzeeki maanake Maneno yake yanahusu maisha yetu ya Kila siku,my always song viumbe wazito haukinaishi
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Vile nivyowathamini nikawaekeni usoni kumbe hamna shukurani viumbe musochukulika viumbe wazito heko dada mwanahawa ukweli kupita kiasi👏👏👏👏
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 3 ай бұрын
Kila nikikumbuka nyumbani lazima nisikilize taarab zilizofuzu shule kama hizi....Nolstagic kwa kweli. Nakumbuka sana Viumbe wazito Camp, Bububu Street, Tandika, DSM. Mungu atuweke!
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Ninamini hakika iko siku itafika kudi munazonipaka nitatakasika, sijui niwaweke fungu gani viumbe muhisabike, la faraja kwenu dhiki hivyo ndiyo mulivyozoweya sadaqqta dada mwanahawa unanikosha kwa ukweli wa nyimbo zako♥️
@AminaRajabu-ob6hn
@AminaRajabu-ob6hn 8 ай бұрын
Aisha Mashauzi
@Khadijaleila-ef8jr
@Khadijaleila-ef8jr 8 ай бұрын
Taarabi naeza sikiliza n ii peke👌
@ogetoj6245
@ogetoj6245 2 жыл бұрын
Bora ufadhili kwa mbuzi , sababu binadamu wana mazoea ya kuhudhi. Ukistajabu ya Musa, virauni jee? Shukrani kwa Mungu tuu!!. Dr. Ogeto International
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Жыл бұрын
Mashairi yake,pia maneno yake ya mtoa nyoka pangoni👁️👁️❤️❤️💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪😁😁😁💪💪💪
@aliamirbakar5580
@aliamirbakar5580 2 жыл бұрын
Nyimbo za mafunzo sio matusi na upuuzi siku hizi nyimbo chafu chafu mama keep it up 23/06/2022 🌹💯
@Yoenacate254
@Yoenacate254 Жыл бұрын
2023/5/19 ... Upon sana
@alphaxityserebwah8475
@alphaxityserebwah8475 11 ай бұрын
Nipo hapa 2023..raha tele
@user-tq8nw9po5x
@user-tq8nw9po5x 11 ай бұрын
Kuxema ukweli hizi ndio nyimbo zangu kimaixha, jameni mpaka sidi zenyewe nko nazo,,,yaan mpaka njisikia sana poa sana mama yangu....
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 9 ай бұрын
Si mpenzi wa taarab lakini kwa huu wimbo mama maua yako chukua miaka 800🔥🔥🔥🔥
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Жыл бұрын
Hizi nyimbo,zilivuma sana mwaka wa2004,2005nakuendelea hadi waleo.zihifadhiwe vizuri kwa maktaba,kwa kumbukumbu kwa vizazi vijazo.
@petermuindi7030
@petermuindi7030 3 жыл бұрын
Nani ansikiliza Jan 2021? Old is gold what about new?? Wapi likes jameni..
@sabringwal3079
@sabringwal3079 3 жыл бұрын
👍👍👍
@aisharashid8035
@aisharashid8035 2 жыл бұрын
Mm
@aisharashid8035
@aisharashid8035 2 жыл бұрын
@@petermuindi7030 nipo muscat
@aisharashid8035
@aisharashid8035 2 жыл бұрын
Peter cjakupata vzr
@aisharashid8035
@aisharashid8035 2 жыл бұрын
Peter fb natumia na wasap
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 жыл бұрын
Mwanahawa Ali, Zuhra Shaaban na Rukia Ramadhan nawakumbukeni na kukukoseni sana kwa nyimbo na sauti safi siku zote. Hongera taarab siku zote mnatuburudisha popote duniani, asanteni sana 07April 2020.
@moshimtakaela6403
@moshimtakaela6403 3 жыл бұрын
Mambo bilbil
@rashidkejo8666
@rashidkejo8666 Жыл бұрын
Hakika Taarabu ni faraja ya moyo! Hakika ujumbe wake ni maridhawa na wenye mafunzo. Wallah nimeridhia.
@user-gx1qz7gy5h
@user-gx1qz7gy5h 7 ай бұрын
❤❤
@sakinaabdallah7713
@sakinaabdallah7713 Жыл бұрын
Wema wangu hauozi milele utabakia fadhila mfadhili mbuzi, binaadamu wana maudhi , la faraja kwenu dhiki jema kwenu huwa baya mwaaaah♥️👏🙏
@pillypriyah8511
@pillypriyah8511 4 жыл бұрын
Old is gold km una kubali 2020 tupia like yako
@viviankrembokarembo822
@viviankrembokarembo822 4 жыл бұрын
Viumbe wazito hawachukuliki
@gracemweli226
@gracemweli226 4 жыл бұрын
Nahukubal vbaya mmno
@hanifayunus8502
@hanifayunus8502 4 жыл бұрын
Yanikumbusha mbali jamani... Daaa!!! Tenda wema nenda zako, 2020 ndani ya corona, Allah atunusuru katika janga hili zito. 😭😭😭.
@neemachengula717
@neemachengula717 4 жыл бұрын
Kama unasikiliza nyimbo hii 2020 gonga like
@umimohammed1815
@umimohammed1815 4 жыл бұрын
Neema Chengula mashaallah
@jamiiwellnesshospital8041
@jamiiwellnesshospital8041 Жыл бұрын
MASHAHIRI YAMEENDA SHULE
@erickymecky9639
@erickymecky9639 2 ай бұрын
Kama umekuja kuangalia hili goma baada ya kumuona dk kumbuka piga like hapa
@rosejuma8778
@rosejuma8778 3 жыл бұрын
Timu 2020 Novemba gonga likes hapa tukipita mbioooooo😎😎😎😎😎Viumbe wazito kweli🤩🤩🤩
@rizionejuma9775
@rizionejuma9775 5 жыл бұрын
Wema nimefanya Hanna shukurani palipo bakia nashukuru mungu.,,,nitaendelea kuisikilaza sana na sana
@paulchurchill7984
@paulchurchill7984 2 жыл бұрын
Wale ambao bado tunausikiliza May, 2022,gonga like. Viumbe wazito Kama zigo la misumari,HAWABEBEKI
@najatmponda6802
@najatmponda6802 Жыл бұрын
22
@rozminhanif4270
@rozminhanif4270 Жыл бұрын
Yani mimi siuchoki huu wimbo😅😅😅😅
@MajaliwaAmboye
@MajaliwaAmboye Жыл бұрын
Mama wa unwell hizo ndio nyimbo zenye mafunzo
@user-cd4dw8gi1v
@user-cd4dw8gi1v 11 ай бұрын
Mwanahawa ally my role model love you shosh napenda nyimbo zako like no man’s bussiness
@athumanimapande8394
@athumanimapande8394 2 ай бұрын
Daaah sad inanikumbusha mbali sana mashairi mazuri kabisa akuwai kupata mafanikio juu ya nyimbo zake juzi anafanyiwa enteview inasikitisha sana Mungu ampe maisha marefu ya kurudia Allah..
@naftaliondego7157
@naftaliondego7157 4 жыл бұрын
Muziki mutamu kweli.Kenya kwa mutangazaji mukogwe khadija ali. K B C ,kwa salaamu za vijana if yes like
@emmanuelymakwawa2539
@emmanuelymakwawa2539 3 жыл бұрын
Dah zamu yangu Leo saa Nane usiku namsikiliza Mwanahawa hebu gonga like na wewe Kama umeona 😂😂
@aineamalimashookali243
@aineamalimashookali243 4 жыл бұрын
Wangap had leo tunatizama mziki mzur 2020 hebu gonga like twende sawa
@nasmaramadhani5752
@nasmaramadhani5752 3 жыл бұрын
Mimi sio mpenzi wa taarabu ila nyimbo zako mama nazipenda mashairi yako mazito nyimbo zazamani nazisikiliza 2020😃😘😘😘😘
@AminaKhamisi
@AminaKhamisi Жыл бұрын
Safi Sana mwanahawa Ali wimbo unanikumbusha 2003 ❤❤❤❤
@afandehassan1
@afandehassan1 6 ай бұрын
Ukiwa wapi Ka Amina
@mengiadam1871
@mengiadam1871 3 жыл бұрын
Unanipa Raha Sana Mwanahawa Ally kweli viumbe hawachukuliki. Ila donge sitoweka ndani ya Moyo wangu.
@khadijahramadhan6321
@khadijahramadhan6321 5 жыл бұрын
Hatari na nusu nakumbuka mbali sana.. Bwana tarabu za zamani ndo tarabu 👌👌👌👌
@halimamasare6838
@halimamasare6838 6 жыл бұрын
Dah! Asante kwa aliye uweka huu wimbo hapa😚
@hamisimsophe639
@hamisimsophe639 5 жыл бұрын
Halima Masare hi
@halimamasare6838
@halimamasare6838 5 жыл бұрын
Hi Hamisi how are you?
@deborahmugagi5384
@deborahmugagi5384 5 жыл бұрын
hakika binadamu wana mauzi....
@muzdalifatsaid3658
@muzdalifatsaid3658 2 жыл бұрын
Nipo 2022 hii nyimbo haipitwi na wkt kwa kweli old is a gold
@kwemoisimon3996
@kwemoisimon3996 5 жыл бұрын
Sijui niwaweke fungu gani, viumbe muhesabike? La faraja kwenu dhiki, vyema kwenu wabaya.....wenzangu hamchukuliki, ndivyo mlivyozoea. 2019 bado nko hapa
@msafirinuru5701
@msafirinuru5701 Жыл бұрын
Holalaaa!!!!..huyu mama allah amjalie umri,nyimbo zake nilizienzi sana mpaka leo hii.swadakta👍👍👍🙏🙏🙏💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@funnyvines5965
@funnyvines5965 7 ай бұрын
❤❤❤❤Amiin
@ali.o.rashid6688
@ali.o.rashid6688 4 жыл бұрын
Kama unasikiliza 2020 like twende sawa
@ashasalon8972
@ashasalon8972 4 жыл бұрын
Tuko pamoja
@moyomussa9548
@moyomussa9548 4 жыл бұрын
Pamoja
@rahimarahima3970
@rahimarahima3970 4 жыл бұрын
Upo sawa
@reubnloli3675
@reubnloli3675 3 жыл бұрын
Hatarisana
@sabringwal3079
@sabringwal3079 3 жыл бұрын
Pamoja
@wardauthman6913
@wardauthman6913 Жыл бұрын
Kama bado mpo uku 23/02/2023 weka like
@hamisathadeo4870
@hamisathadeo4870 5 ай бұрын
Waliosaidia ndg baadae wakawageuka Kula chuma hicho japo ni zilipendwa lkn ujumbe hauchuji❤❤❤❤💯💯🌹🌹🌹
@KhalidKhalid-ox4pg
@KhalidKhalid-ox4pg 2 жыл бұрын
Aisha Oman taarabu zamani sikuhizi nyimbo zote hazina mafunzo ni kichambo na kwenda mbele hata upigaji km singeli hakuna taarabu sikuhizi AISHA WA OMAN
@wondersmotivation5543
@wondersmotivation5543 5 жыл бұрын
Akhlan Wa sakhlan Wa marhaba,,,Ama kweli,,,,mja hana ihsani,,,,maneno matamu,,na yenye funzo,,,,wape vidonge wapambe,,,,dada Mwanahawa,,,,mola akupe stara kwa heshima na kazi safi,,,,
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 5 жыл бұрын
wonders motivation Swadakt
@sawandamariam9030
@sawandamariam9030 5 жыл бұрын
Mja hamna hisani
@cathykiller1361
@cathykiller1361 5 жыл бұрын
January 2019
@hemedynyuki4389
@hemedynyuki4389 Жыл бұрын
Jamani hyu mama kama Bado yuaimba npe namba yake namwitaji kwenye harusi yangu bana duuuh 🔥🔥🔥🔥
@jackwekesa1359
@jackwekesa1359 11 ай бұрын
Napenda sana nyimbo za taarab Zina mafunzo kemukemu,, utungaji wake ❤
@omarikinyory5785
@omarikinyory5785 8 ай бұрын
Rkn taarabu zamani co za Sasaivi
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 жыл бұрын
Viumbe wazito wapo hadi 2018....tuwafanyenini Mwanahawa Ally
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 5 жыл бұрын
Mmaah Sayyid Nimekubali
@pillopack1256
@pillopack1256 5 жыл бұрын
Mmaah Sayyid viumbe wazito inanikumbusha mbali ssna
@ZenaJuma-xx1dd
@ZenaJuma-xx1dd 5 ай бұрын
Hadi hii ni 2024 ila wimbo unaladha bado❤🎉🎉🎉
@magesamatiku7919
@magesamatiku7919 5 жыл бұрын
Mpaka dunia ifike tamati viumbe wagumu watakuwepo tu waambie mahasidi wakubwa hao halooooooooooo mwanamama wanikosha roho.mahasidi mpooooooo nyooooooo hilo dongo liwefikeeeeeee paka shume ninyi😁😁😁
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Jamani nampenda mwanahawa
@janendaki2646
@janendaki2646 3 жыл бұрын
Penda sana mwanahawa imenigusa hiyo
@husseinsalim7211
@husseinsalim7211 Жыл бұрын
Mwanahawa Ali hii taarabu imenifunza mengi Hadi Leo nskiza bdo ina ladha kwangu na Yale uloyasema nayaona
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 5 жыл бұрын
👌👌❤❤❤👏👏👏👏 ukweli mtupuu viumbe ni wazito
@ruthoduor3543
@ruthoduor3543 8 ай бұрын
My Mama's favorite and still rocking my heart,2023 likes zije🎉
@NeemaKaifa
@NeemaKaifa Ай бұрын
Viumbe wazito la faraja kwenu dhiki ,jema kwenu huwa baya👌
@martinemasunga5802
@martinemasunga5802 2 ай бұрын
Hii nyimbo ilitakiwa itolewe mwaka 2030 sasa sijui kwa nn iliwahi ni moto sana duuh. Tunzi mjarab.
@mboyamulati-ls1cu
@mboyamulati-ls1cu 10 ай бұрын
Old is gold,full of wisdom Mama
@hawasadi6400
@hawasadi6400 3 жыл бұрын
Umenikosha moyo mwanahawa wajinalangu nakupenda saana kilanikisafiri uyuwimbo naskiya raha saanaa maana umeelekeyana namaisha yangu kabisa walimwengu nilimwegu niwatu hatari mtendeye wema binaadam baadae firisika ndo utamkujuwa
@mwanatumusalim1558
@mwanatumusalim1558 10 ай бұрын
2023 bado tunasikiza mziki wa maana 🇰🇪 🇰🇪 🔥 🔥
@latiphakasimu6481
@latiphakasimu6481 4 жыл бұрын
Kama bado unasikiliza viumbe wazito 2020 na unampenda mwanahawa ally gonga like hapo chini jamani huyu mama anakoxha nafsi zetu maneno pambee hayo viumbemxiochukulika viumbe wazito
@roses.sharon3480
@roses.sharon3480 4 жыл бұрын
Bado nasililiza..still very relevant💕💕💕
@madinanurudini595
@madinanurudini595 4 жыл бұрын
Kwakweli nampenda sana uyu mm napia nazikubari sana nyimbo zake
@samiahamisi2210
@samiahamisi2210 4 жыл бұрын
Nampenda Sana
@samiahamisi2210
@samiahamisi2210 4 жыл бұрын
Sio POA uyu mama anajua nampenda
@vivianlema6155
@vivianlema6155 3 жыл бұрын
Maneno pambe
@estherambuna9796
@estherambuna9796 Жыл бұрын
So beautiful I love taarab songs with alot of teaching 2023 and still hot long live mum
@cosmasmpwage2576
@cosmasmpwage2576 3 жыл бұрын
2021 February 😍...ndio taarabu zenye mafunzo..sio michambo ya siku hizi
@anittangulu9069
@anittangulu9069 2 жыл бұрын
P
@simonwandacha8069
@simonwandacha8069 Жыл бұрын
Mwahawa alikuwa akifikiria nini wakati akiutunga huu wimbo na shindwa kutafakari.
@FatumaLukwaro
@FatumaLukwaro 6 күн бұрын
Eti Alimkuta Mtt wamume Akamlea Mwisho wack Ikawa Fedheha
@fatumahamisi7666
@fatumahamisi7666 5 жыл бұрын
Nyie nifanyieni chuki ipo siku mtajuta!! Wema nimefanya hamna shukrani palipobakia nashukuru mungu weeee
@ruthkyalo5811
@ruthkyalo5811 Жыл бұрын
Listening to it with full blast. ❤year 2023🎉
@TwahalibHassan
@TwahalibHassan 10 ай бұрын
Nampenda. Sananyimbo. Zake. Zote. Nazikubali. .sana
@maugugoldina6681
@maugugoldina6681 Жыл бұрын
Live long mum💞 huu wimbo ndiyo ringtone ya simu yangu ..one luv from Kenya 🇰🇪 ❤️👌
@mlawatv7508
@mlawatv7508 Жыл бұрын
Daaah Hawa walikuwa wanaimba kweli sio kuimbia njaaaa tuuu
@user-in6ik5kt8u
@user-in6ik5kt8u 5 ай бұрын
Yani hili sogi sijui nilichezeje niwe nimelifaidi yani hlichuji kwangu jamaniiii toka 1994 nalisikia jamanniiiii🤸🤸🤸😂💃🌺🌺 basi acha nimpe maua yake mwanahawa weeeee
@rukiamussa9509
@rukiamussa9509 4 жыл бұрын
Wenzangu wa 2020 gonga like
@shillingiomar6902
@shillingiomar6902 5 ай бұрын
Fadhila nfadhili mbuzi binadamu atakuudhi ,hapo ni kweli mama mbuzi ukiifadhili itanona itapata bei sokoni what a lesson (Kenya)
@patrickndengu
@patrickndengu Жыл бұрын
It reminds me of my first days in Mombasa... the Driver of sterling buses could play it on our journey from msa to kism
@jumaomulubi8887
@jumaomulubi8887 Жыл бұрын
and for me, reminds of my first day to Mombasa, as we were passing Voi, the driver (Tahmeed Coach), was rocking with this song, long live Taarab
@naimatemba8061
@naimatemba8061 11 ай бұрын
Da bado namkubali huyu mwana hawa
@qulthumquanunga7436
@qulthumquanunga7436 Жыл бұрын
am back here on 18/4/2023...still a hit.
@user-xw6dy5ep6x
@user-xw6dy5ep6x 9 ай бұрын
Actually I love it❤
@aminashq1181
@aminashq1181 5 жыл бұрын
bado tunausikiliza 2019🔥🔥💖💖
@jasmineidd3169
@jasmineidd3169 4 жыл бұрын
Hapana chezea wimbo huuuuu
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 жыл бұрын
Bado nasikiliza viumbe wazito 2019/1/17
@priscalyimo5804
@priscalyimo5804 5 жыл бұрын
priska lyimo. mmekusudia nn enyi wenzangu mwenzenu kunidhiiki mwanitia ubayani s hulk yangu mjue sifedheheki maneno kuntu mwana hawa unanikosha mieeeee
@nicholasliseche5476
@nicholasliseche5476 4 жыл бұрын
Am listen hata kwa sasa. Fire moto
@nomorestorynomorestory3835
@nomorestorynomorestory3835 4 жыл бұрын
Wema wangu hauoz mpoo nifanyanvy roho radhi binadam ana maudhii kweli point
@abdallahshee38
@abdallahshee38 4 жыл бұрын
Ujumbe mzito. Wimbo ni wa kale lakini viumbe wazito hawaishi. Asante sana Mwanahawa.
@abubakarswaleh5667
@abubakarswaleh5667 4 жыл бұрын
2020 safi sana na Mama Mwanahawa Ally
@ashuranjoka2354
@ashuranjoka2354 3 жыл бұрын
December 2020 bado naburudika na bi Mwanahawa
@husseinsalim5608
@husseinsalim5608 6 жыл бұрын
Mwanahawa... sisikizi taarabu ila nyimbo zako huwa hazinipiti. Talented and blessed.
@georgeopara4879
@georgeopara4879 5 жыл бұрын
Dah! Hakika viumbe wazito.ndivyo walivyozoea
@zaynamsofe4923
@zaynamsofe4923 4 жыл бұрын
Waooo!
@maftahgerald4872
@maftahgerald4872 4 жыл бұрын
Siuvuii ubunadamu kwa mliyonitendea japo ni vigumu kwa mja kuvumulia,shikamo mwanahawa
@mohammedsigulu575
@mohammedsigulu575 Ай бұрын
Kiswahili fasihi Maashaallah!
@felixmeda8411
@felixmeda8411 3 жыл бұрын
Nazipenda Sana ingawa niko Nairobi hazipatikani
@user-ui9qu8rv2k
@user-ui9qu8rv2k 6 ай бұрын
Hongera haya ni mafuzo Mimi piya yamenipa mengii nimefanya shukurani sikupata lazeid naitwa mchawi
@user-dz3dm8ob1o
@user-dz3dm8ob1o 6 ай бұрын
Aaah jamani naupenda sana huu wimbo♥️♥️♥️♥️♥️
@chinabwoy8701
@chinabwoy8701 Жыл бұрын
Gonga like tujuane kama unasikiliza 2023
@fundimigomigo8743
@fundimigomigo8743 5 жыл бұрын
Wallah naupenda wimbo huu mpaka naumwa.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Ehe watumwa nini my😅
@user-rt5hz5hq1w
@user-rt5hz5hq1w 8 ай бұрын
Leo nimeshinda naupiga huu mwimbo Kama umetoka Jana na ujumbe wangu umewafikia wavimba macho wangu.
@angelabell4184
@angelabell4184 Жыл бұрын
Old is gold 2006-2023❤
@allaboutarts8332
@allaboutarts8332 4 жыл бұрын
Unanikumbusha mbali sana tukiwa tunasikiliza na baba pale Mwananyamala. Mama kajaliwa sauti huyu. Inshallah Mwenyezimungu ampe maisha marefu. Tunammiss ile mbaya!
@LeilaHarith
@LeilaHarith 2 ай бұрын
Pambea sana huyu mama❤
@HOOFCLANMEDIA
@HOOFCLANMEDIA 6 ай бұрын
Kila kitu duniani vya zamani ndo chenye dhamana ni kweli old is gold
@ismailwanyonyi2809
@ismailwanyonyi2809 2 жыл бұрын
Ama kweli wimbo huu unamafunzo mengi sana
@ogetoj6245
@ogetoj6245 2 жыл бұрын
Shukrani Mwanahawa kwa wimbo nadri. Fundisho kwa wengi, ijapokuwa binadamu wana mazoea ya kukiuka Sheria ya utu. Utendaji wema kwao ni kama sumu. Tenda mema nenda zako, malipo kutoka kwa Mungu tuu. Mashallah! Dr. Ogeto International
@3gunssurvivor649
@3gunssurvivor649 7 ай бұрын
still hiring 2025💕💕
@fatumahassan4476
@fatumahassan4476 3 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za kusikiliza yaan ujumbe pambee kwakweli hongera sana Mwanahawa Aly
Taarab: Wa Mungu uwazi (Full HD)
15:27
Swahili Taarab
Рет қаралды 2 МЛН
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 596 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,8 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Zoa Zoa lyrics - East African melody modern taarab  (Mwana idi shaban)
16:54
SWAHILI TAARAB LYRICS
Рет қаралды 293 М.
Taarab: Mwanamke hulka
13:54
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,1 МЛН
Taarab: Debe tupu
19:22
Swahili Taarab
Рет қаралды 1,4 МЛН
Taarab: Khadija Kopa - Mjini Chuo Kikuu . Audio
17:59
Marjan Sempa
Рет қаралды 877 М.
East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
18:24
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,4 МЛН
Taarab: Linawachoma
16:30
Swahili Taarab
Рет қаралды 53 М.
Taarab: Kinyago cha mpapure
14:59
Swahili Taarab
Рет қаралды 457 М.
Taarab: Zilipendwa [Full HD]
14:13
Swahili Taarab
Рет қаралды 639 М.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,7 МЛН
Taarab: Siadhiriki
14:21
Swahili Taarab
Рет қаралды 1 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 266 М.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 5 МЛН
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 1,4 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 304 М.