Рет қаралды 201
Dhana ni neno la kiswahili ambalo lina maana sawa na fikra...kuna wakati unaweza kufikiria kitu eidha kiwe cha ukweli ama kisiwe cha ukweli, lakini ukakivika uhalisia na kulazimisha kiwe ukweli.
Kwenye tamthilia hii tunampata Shamsa mke wake Pojo ambae anakosa kuamini ukweli anaouelezwa na mumewe na kuvisha uhalisia fikra zake za uongo... swali ni je unatumia njia gani kumueleza mwenzi wako wakati anakosa uaminifu kwako na kuamini kwamba unamsaliti wakati wewe unamapenzi ya dhati kwake?
uskose kufatilia tamthilia ya DHANA ambayo inaandaliwa na GWIJI wa filamu DIRECTOR PANKA #thamani saaana
#thamani saana
#Dolphin Arts Production