Mimi sio msemaji wa familia wala nani, ila wanaume wenzangu tujitahidi sana kuacha kuingilia mahusiano ya mtu mwenye mtoto au watoto na mwanauke mwingine, kuna kitu kimejificha hapa lakini kama wewe ni mwanaume na una familia utanielewa vizuri sana, RIP mtoto usiye na hatia! Mungu awape adhabu wote waliohusika kwenye kifo cha huyu mtoto
@aruiyahonoratus7001Күн бұрын
Mwenyez mungu aitembeze ukumu kwa Kila Alie usika kutoa uhai wa mtot wetu...upumzikee kwa amani mwanagu
@PiusMdoe2 күн бұрын
Let me talk nothing.Only God knows.
@traviegrey34342 күн бұрын
Chief bado hujasema kuna kitu unaficha wakikufinya utasema ukweli ☠️
@annafrancis73132 күн бұрын
Inasemekana alikuwa na mahusiano na mama ake ndipo walipobond na kuwa baba ake mlezi. Ila kwasasa wameachana
@Afsa-z3g2 күн бұрын
Msimuhukumu mtu huyu jamaaa Hana roho mbaya kiivyoooo ana njia zake sio hizo achen kuhukumu
@EmiliaYona-g9e2 күн бұрын
😅😅😅 wa mfinye tu nyanya mshenzi zake
@MageseMalimi2 күн бұрын
@@traviegrey3434 kabisa ndo maana analukaluka
@hadijamohd60282 күн бұрын
Ila chef mbona kama kuna kitu sielewi
@rosejackson5930Күн бұрын
We mwenzang na mm, Et mtoto alkua na nyota Kali 😢
@PeterMuniko-uj5stКүн бұрын
MTOTO ANA NYOTA KALI🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Phillip-mktz6 сағат бұрын
Kuna kitu hapo
@abdurahimabdulkadir3926Күн бұрын
Atwambie vizuri chief godlove
@limbomambo97282 күн бұрын
Wewe chief godlov unajua kifo cha mtoto ukifinywa makende utasema wewe umemuuwa mtoto wacha mbambamba anajua coz kafara kwa huu mwezi wa December huaga Sana sana muna toa kafara Sasa wewe pia itabidi ubanwe makende useme mtoto amefariki kivipi eti baba mama mnatoka muwache mtoto na bodaboda kivipi wewe wacha dhulma mungu Mungu Mungu Mungu mungu mungu 🙏 waone hawa mashetani wamemuuwa mtoto Mungu Mungu Mungu Mungu 😭😭😭😭 wachome motto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mtoto usipumzike Rudi uwakamate wote waliokuua huyu mtu mshukiwa wa kwanza mbona anaongea sana week suspect no one
@ZanuraShabani-t3b2 күн бұрын
Acha kumuhukumu mtu
@limbomambo9728Күн бұрын
@ZanuraShabani-t3b wewe na huyo nyote motoni
@pascalvitalis2 күн бұрын
Huyu jamaa hana hata uwezo kuongea... Ni anaongea ongea tu no fact😢
@SaidMtagwa2 күн бұрын
Broo tunasikia kuwa Chama Chako Kinahitaji Watu Wenye NyotaKali Angalia sana. Usije Ukahusika Kukatisha Maisha ya huyu Kinda Utaharibikiwa Kila Kitu Chako Dhambi ni Kubwa hii.
@SairaShein2 күн бұрын
😓🙌🙌
@Kijana-wa-Tanzania2 күн бұрын
Na anakwambia mtoto ana nyota kali.
@hamidafundi-pw1gw2 күн бұрын
Kweli kabisa huyu mbona maneno mbele nyuma. Maneno mengi ! 😢
@williamphill6342 күн бұрын
Mwenyezi mungu aipumzishe nafsi yake mahali pema 🙏🏿amen’with that been say can we talk abt a grown man having a close relationship wth 6yrs boy n not even related to him in no way?!like kwa normal sense kwangu iko na some questions?!!kwa wazazi poleni na pia tujifunzeni kitu I’m not pointing a finger to anybody but in our generation u just can’t trust anybody
@maisaalawy85492 күн бұрын
Kama huyo dada alijiunga jicho la 3 lazima atoe mtoto wale wanaua kimazingira. Kanumva kafaaje si mtu wa karibu kamsukuma Sasa ndio njia zao na kosa sio la lulu hiyo ndio njia zao.
@amarybaajun88112 күн бұрын
Kwan naomba kuuliza maana naona wanamuhatack chief kwa uziefu wang kafara za binadamu huwa wanakufa kimazingala lakin huyu ameuliwa na mangeo kibao ebu acheni utoto humu na zana zenu potofu.
@PaulineMbeke-n6j2 күн бұрын
Huyu jamaa ni yeye ameua huyu mtoto. Aki amungu ni yeye kabisaaaa
@PaulineMbeke-n6j2 күн бұрын
Ulitumana auwawe,hata huyo mama najua anajuta kupatana na wewe sana ..muuaji
@emmadora78482 күн бұрын
Wewe wakuchukue ukatoe maelezo polisi maana una uhakika na tukio huenda Kuna kitu unafahamu@@PaulineMbeke-n6j
@Shaniatwain062 күн бұрын
@@PaulineMbeke-n6j Sio ya kucheka ila umenichekesha Wallah😂😂😂
@JacquelineAdrian-w5r2 күн бұрын
😮unauzoefu
@chawahirelmymashlalltaabar49492 күн бұрын
Usiogope kaburi bro hiyo kaburi ndiyo nyumba ya milele hizo ulizojenga ni mda mfupi kwa hiyo tuombe mwisho mwema
@mariammwinyi64442 күн бұрын
😅😅😅
@RachelMduma-xj5qz5 сағат бұрын
Mtoto alivyofariki mama kakumbuka kuweka status alafu akazimia ila wewe Baba mlezi wa mtoto hajakumbuka kukupa taarifa..😥 duuuh bit all in all apumzike kwa Amani mtoto asiye na hatia Mungu wambingini hawezi kuwaacha waliohusika katika hili.. maana atakae ua kwanupanaga nae 17:34 atakufa kama alivyo ua nakwamaumivi zaidi yayale aliyo sababisha.. 🙌😭
@AnnyEmanul2 күн бұрын
Ebu acheni ujinga chief god love anahusika vipi kwenye kifo chahuyo mtoto yanii wabongo bhana huwa tunaongea bila kufikilia
@donhussle9482 күн бұрын
Alijuaje ana nyota 😂😂
@zainab82512 күн бұрын
😂😂😂😂
@pauljunior51412 күн бұрын
Inauma sana😢
@rahabnkya82762 күн бұрын
Ooh RIP very intelligent boy! Mungu aonaye sirini, aliwaona wauaji wale, hukumu anayo yy tu. Poleni wazazi ndugu na jamaa ..Dunia Ina mambo
@FghgRyy2 күн бұрын
Subhana Allah pumzika kwa amani mtoto pole kwa familia
@SalamaJuma-s8e2 күн бұрын
Daah kwel kbs God umeongea ukweli
@bensonashery2360Күн бұрын
Kukbe hata mama wa mtt hakukujulisha kifo cha mtt bhasi ulikua sio mtuu muhim kwenye hiyo familia hiyo
@Shaniatwain062 күн бұрын
Mama nae kilaza kwahy kila mtu alikuwa anamuachia tu mtoto wake hebu msikilizeni huyu anaweza mchukua mtoto akakaa nae ht wiki si mtihani huo dunia ya sasa kwann umuweke mtoto rahani jaman
@RosecharlesMollel2 күн бұрын
Mungu amlaze mahala pema peponi mtoto mdogo asie na dhambi yoyote na wote waliohusika na kifo chake Mwenyenzi Mungu usiwaache salama 😢😭
@tsmedia.2 күн бұрын
Eeeeh alikua na Nyota kali sana eeeh😂
@Siti_maroneit2 күн бұрын
Huyu Kakà kaongea vitu vya mana na point.umesikia hapo huyu mtoto alikiwa na nuota Kali sana .jmn wahutumiwa wanyongwe wanyongeee ili na wale wauwaji waone utamu na uchungu Wa KIFO 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JosephTembe-v7v2 күн бұрын
Kama ulikua na ukarbu yake mbn mama yake akukupa tarifa unakuja kujua mtandaoni
@KidoaSammy2 күн бұрын
😢😢maskini mbona lkn ..najua walitaka kumkomoa mama huyu mtoto mashaAĺlah mtoto mzuri sana Allah atupe maisha marefu yarab
@FordNzowa-o7f2 күн бұрын
Chief nimeyaelewa maneno yako MUNGU ilaze loho ya marehemu pema peponi amen
@AllyIsmail-hi4yj2 күн бұрын
Mungu ailaze roho yake salama
@EmanuelIbengwe2 күн бұрын
Poleni sana ndugu zangu,mwenyezi mungu awatie nguvu
@nairakiboko2 күн бұрын
wewe chief ulisema huu mwaka lazima utafanya kitu na utazungumziwa sana mtandaoni ulikuwa unamaana gani kama so kuuwa uyo mtoto
@TheGAMEchanger88442 күн бұрын
Kwamba godlove anasema Simba analea sungura😂😂
@MageseMalimi2 күн бұрын
😂😂itajulikana ngoja tuone
@MwajumaHassan-d5l2 күн бұрын
😂haukumuelewa mwenzio alisema Simba wa kwenye movie 🎥🍿 eeeeh
@UNIONGOSPELMUSICBAND-e7bКүн бұрын
😂😂😂😂@@MwajumaHassan-d5l
@triceyangaКүн бұрын
@@MwajumaHassan-d5lfala ww nimecheka 😂😂😂
@officialshelomwangole256Күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@monicamaganga86812 күн бұрын
God love sikujui hunijui ila Mungu atakujuwa zaidi kwa wema wako na huruma zako sikuwahi kujuwa hata kama utamjuwa huyu mtoto mm jamani kweli wewe unajiroa mnoo Mie ni mama wa miaka 57 lakini katika vijana ambao wanajitoa kiroho kabisa wala sio fek ila mti wenyematunda hupigwa mawe umekuwa na maadui wengi ila usijali kaka pambana kwa ajili ya masikini ingekuwa amri yangu ungekuwa waziri wa watetezi wa wanyonge sina cha kukupa zaidi ya kukuombea 2 Mungu akulinde ucku na mchana wakati wote utakapokuwa pole sana godlove
@HassanKilonzo-x1lКүн бұрын
Acha uchawa
@johnstooКүн бұрын
We nae njaa zimezidi
@alphanyaki99517 сағат бұрын
Chief boda boda n boda boda kweli tunamjua wew kama umedanganywa au umedanganya wew unajua mwenyew ila Calvin n boda miaka nenda rudi hapo weka Sawa
@eliaichraymond12152 күн бұрын
Mungu lazima atawaweka wazi wauaji wote!,kama jinsi ile kaini alivyowekwa wazi na Mungu ndivyo itakavyo kuwa kwa wote waliomwaga damu isiyokuwa na hatia
@SaraSara-i1l2 күн бұрын
Kufa kwa namna yeyote hata ugonjwa unapandikiziwa .inatafuta sababu ya kifo alie mpiga na kitu kizito mazingira yalifanyika iwe hivyo
@EliyaKudaga-u4q8 сағат бұрын
Mimi Sina AKILI lakini MUNGU anisamehe kwa kuhisi vibaya, ,,cheef umehusika kwa % 95.. kwa kifo Cha dogo
@WinnerDominic-m9h2 күн бұрын
Tutajiuliza maswali tutahikumu ilaukweli woooote anaujua mungu naye nihakimu wa haki kwahili hatochelewa🫵
@rajabuhassan19322 күн бұрын
Kweliii kabisa
@IrenePhilip-ek4lw2 күн бұрын
Mimi kama police ningeanza na huyu chief
@bensonmgaya56932 күн бұрын
Kwanini uanze naye ?
@newttechog75Сағат бұрын
Ndio maana wewe sio polisi😅😅😅
@neemanasoro41702 күн бұрын
Eee Mungu wa mbinguni naomba Damu ya huyu mtoto iongee ili waaibike na wajulikane wote waliofanya kitendo hiki 🙏🏼🥹🥹
@BethaKahemela2 күн бұрын
Washakamatwa
@hafia.0562 күн бұрын
Amiin yaarab amiin hakika kwa soote
@SashaSalum-dl6ni2 күн бұрын
sio ailaze marehm mahal pema pepon .hyu ni mtto moja kwa moja kwenye kasri y mungu pepon .hna zambi hyu .umri w zmbi ulkuw bdo
@MwashamKheryКүн бұрын
Wamemuua kikatili kama wao hawatakufa jaman binadam pumzi zinatudanganya jaman
@Supershopdubai-ck8td2 күн бұрын
Hhhhhhhh noma sana mkuu from Burundi 🇧🇮♥️
@lissjames2 күн бұрын
Mungu amazed mahali pema pepon amen😢😢😢😢
@laurentraphael54702 күн бұрын
Mama wa mtoto na huyu bwege wahojiwe ili kusaidia jeshi la police. Ninyi watoa makafara Mungu anawaona
@JacksonStephano-xn8ly2 күн бұрын
Kuna kesi ya kutoa kafara😁
@JaphetKulwa-kz1cj2 күн бұрын
Kunakafara ya kupigwa
@MahmoodAlghefeiliКүн бұрын
Ndio inakua kama shakizi tu Kam unavyoon mtu anatolew kafar Kwa njia ya ajal@@JaphetKulwa-kz1cj
@limbomambo9728Күн бұрын
@@laurentraphael5470 mama mzazi wa mtoto anajua kifo cha mtoto mama mzazi....yeye pia ni shetani mkubwa ndio maana hashangai Mungu wewe Mungu Mungu jamani Mungu choma motto wote walio husika na kifo cha mtoto wote Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@innoboxerboxer3830Күн бұрын
Acha upumbavu
@kassimhashi49Күн бұрын
Mambo yanaanza kufichuka .innocent soul.
@nwntzКүн бұрын
Tunafuatilia line kwa line, nyota kali imeondolewa...adi jina la mtoto ukasahau😮😮na kila wikend upo nae😢😢😢
@JosephKifisha-ml7ju2 күн бұрын
Mim nahisi hyo mtoto aliyemuua ni mtu wa karibu sana wa mama mtoto tuangalie Kwa upande mwingne aliyezaa na huyo Dada na shif nae analea je baba wa mtoto ametuma watu wafanye ili kumkomesha huyo Dada na chuf maana wanawake wanamaneno machafu nao dah inaumiza sana 😂😂😂 Mungu ampe pumziko la milele
@mhogomchungu78822 күн бұрын
Mbna kama unacheka au hujui kutumia emoji we kenge
@MiriamKhalid-z6o2 күн бұрын
Mbona unacheka ni nini kinakuchengesha
@GodliestenMariki2 күн бұрын
Sasa wew n kma nan mhna baba ake yupo mzeee wew ankupaje ama I mtoto wa mwezio
Kwenye NYOTA apo tatizo. Wewe broo ulijuaje kua hyo dogo ananyota kali
@michaelnjelekela14182 күн бұрын
Hata ww unanyota pia
@Kijana-wa-Tanzania2 күн бұрын
Hapo ndio utajua jamaa alikuwa na target zake.
@VanessaGodfrey-c1p2 күн бұрын
Binadamu punguzeni kuhukumu 🙌🙌🙌
@LettyLussi2 күн бұрын
Yn😂😂😂
@happynessmpaza2 күн бұрын
Umaskini unafanya watu wahuku hovyo hovyo
@FahimRahim-n6nКүн бұрын
Hii interview huitaji kuwa genius kuona.....
@Emilymama2boysКүн бұрын
Uyo mamake aangaliwe vizuri mana utajiri wa TZ wengi hawaaminiki kama aligiunga na chama basi kamtoa kafara 😭
@costantinekalima83662 күн бұрын
I wonder naimani vyombo vya usalama vinapaswa vipate data kwa wazazi nasio kuwaacha nakukamata wasio na hatia. 1. Walitoka usiku kwenda matembezi. 2. Ilikua ni wazo la nani kutoka usiku huo. 3. Bila shaka alie toa wazo alijua mtoto ataachwa nyumban. 4. Muuwaji sio kwamba ni Mungu ajue wametoka vinginevyo ni mmoja kati ya Familia.
@meryshekoloa96121 сағат бұрын
Acheni kutafuta kiki kwenye kifo cha mtoto inauma sana ww kijana mungu anakuona ulichokifanya unakijua ww na mama yake
@ALBINUSALOYS2 күн бұрын
Hakuna siri hapa dunian............ Itajurikana tu na wote wataonekana,, Anyway bc tu chief.......
@derickmkuwa69772 күн бұрын
Naona kama Godlove anafaa kuisaidia polisi ktk upelelezi
@jimlinekimani23262 күн бұрын
Uyuu pia achunguzwe anaongea mingi
@denishamka86572 күн бұрын
Kabisa
@amonalexander15132 күн бұрын
Kuna kitu wanajua hawa,eeh Mungu mpokee mtoto mikononi mwako
@tigejuma98652 күн бұрын
TUSIONGEE sana kumaliza.... mungu amlaze pema Peponi inshaallah 😢😢😢
@NgoshaZedonnКүн бұрын
Godlove anahusika na mama mtoto wanajikosha tuu hamna lolote upelelezi ufanyike vyema kitajulikana tuu!!
@ConstantineGerald2 күн бұрын
Inasikitisha Sana daaaaah😭
@MwashamKheryКүн бұрын
Kufa kupo jaman lakini unakufaje eeee Mungu tusaidie watoto wetu
@JackyTarimoКүн бұрын
Ameeen
@NgoshaZedonnКүн бұрын
YAN AMEDEAD MTOTO WAKO KABISA ALAF UNAPATA WAPI UJASIRI WA KUKOMENTI V2 KAMA HVYOOO HYO HAIJIIIII AKILINI KABISA KAMETENI HUYU JAMAA JAMAN MBONA ANAONGEA UJINGA MTUPUUUU
@Kijana-wa-Tanzania2 күн бұрын
Huyu jamaa kahusika 💯 baada tu ya kusema huyu mtoto ana nyota kali sana! Polisi wakimuhoji vyema watampata. Maelezo anayoyatoa sasa hajajua ni ushahidi muhimu dhidi yake.
@Kijana-wa-Tanzania2 күн бұрын
Kujieleza sana kunasema mengi sana juu ya hili!
@beatricebarbara3712Күн бұрын
Serikali hawaamini uchawi co ata atohojiwa kwa chochote kile coz hawakuwepo anapotoa lafara co hakuna uhakika ata
@davycharlz4452 күн бұрын
hahhaa godlove chizi sana. kamtoa kweli kafara mwanae . tulijua hana moyo uo. bado shafii tunamsubiria
@denishamka86572 күн бұрын
Kabisa
@PiusMajo-sg6sc15 сағат бұрын
Hakuna siri kwenye hii dunia,tunawapa muda kidogo damu ya mtu haipotei kizembe
@ezesaxo87642 күн бұрын
Uko connected nae kivipi huyu mtoto
@vailethmbulule83392 күн бұрын
Baba mzazi yuko wapi
@NicholousViper282 күн бұрын
Uyu si mganga anashindwa kujuwa tukio limaeanzia wapi
@jadetoto2 күн бұрын
Labda watu walidhani ni mtoto wako na majitambo yako na kukera watu wamekuja kukufanyia ubaya kupitia mtoto..kwa maana hiyo maisha yetu ya kila siku wabaya wetu wakishindwa kukupata wanaenda kwa wapendwa..ni vizuri kuwa makini sana na mienendo yetu watu sasa ni wabaya
@damariszuckschwert94892 күн бұрын
Watu ogopeni Mungu mtachuma dhambi. Msipende kutoa shuhuda kww mambo msiyo na uhakika nayo.😢😢
@KishaLaurian-x7x2 күн бұрын
Mungu ailaze roho yake mahala pema malaika wa mungu😭😭
@ScopionScopion-zj9cd9 сағат бұрын
ulinzi wa mtoto ulikua mdogo sana dah hao wazazi wote viazi
@KalagalaOthman2 күн бұрын
Huyo godlove Akichapwa viboko Ataeleza vzr tu .
@lifedrama254Күн бұрын
This guy is so emotionless. He doesn't look like he has lost a son. Anaongea ni kaa kawaida something isn't right.. hope they do a through investigation.
@maisaalawy85492 күн бұрын
Huyo Godlove sio yeye hiyo dada ajiulize kajiunga jicho la 3 kama ndio wamemchukua.
@LucyNgowi-r2o2 күн бұрын
Wewe umewaza kama mimi
@sikandaPerfectКүн бұрын
Mtoto mdogo eti ana maadui Hadi wamuue kweliiiiii😢😢😢😢😢😢😢
@Jibambeshow254kКүн бұрын
Huyu kamtoa mtoto wanyewe kafara 😢tuachelongolongo hapa kunakitu
@OfficialdrecktzКүн бұрын
New youtuber let grow together here 🎉🎉🎉
@PaulinaSemindu-ob3deКүн бұрын
Alijuaje mtt anadam kali? Huyo mama wa mtt nae alikosa watu wa kumzoes hd akamzoea huyu kaka jmn 😭 mtu unaona anamahela anadharau watu unajua ela yake anaipata wap? Na inaonekana mama wa mtt kazoea kuacha mtt ovyo na watu" hata huyu chifu anasibitisha alikuwa anakaa kwake
@khamisally9559Күн бұрын
Baba mzazi ni nani na yuko wapi? Nyinyi endeleeni kuficha ficha ila ukweli utajulikana tu. Kama ni issue ya wivu wa mapenzi si mseme? Hapa hakuna jipya hii issue inahusiana na usaliti wa mapenzi. Full stop.
@MbavuNene-c8r2 күн бұрын
Akibanwa vizur atasema Kila kitu huyu , anaelewa vyote
@ThekraJanga2 күн бұрын
Kabisa! Nashangaa kwanini yupo mtaani na anahojiwa tu! Kwakweli mimi simwelewi! Hata ile amepost eti analia!
@Dariooboy_2007Күн бұрын
Duuu punguza maneno ongea point broo
@NdayiFrankКүн бұрын
Mtoto bado mzima GodLove kamfanya msukule mjinga huo
@Kabwela776Күн бұрын
Mama na huyu wangebanwa watasema huyu mama lazima anahusika katika mazingira ya kawaida watanzania walivyo washenzi hivi umuachie mtoto Boda Boda halafu yeye aende kutombwa haingii akilini huyu mama amehusika kifo cha huyo mtoto wake
@NaomyPaul-b6v2 күн бұрын
Pole dada
@LichimbaAlly2 күн бұрын
Kwawanasaikolojia tushakusoma Nautaisaidiatu SERIKALI kuonesha wauwaji
@KhalfanShaban-x4xКүн бұрын
Isije ikawa mwenye mtoto kaamua kuyafanya haya baada ya kuona mtoto Yuko kwa God love na kuzalisha ugomvi baina ya mwenye mtoto na mama wa mtoto!!!
@SalamaNauthar2 күн бұрын
Inauma Wallah😭😭😭😭😭
@Siti_maroneit2 күн бұрын
Wachawi waliona nuota ya mtoto ndio MAANA wamemuua kuitumia nuota yake jamn😭😭😭
@HaznaAbdallah2 күн бұрын
Kumbe ulikua unafatilia nyota yq mtot duh 😢
@omarry-x1z22 сағат бұрын
Haya sasa chief tunasubiri ndinga mpya ya kuria bata
@NorahRymondКүн бұрын
Hakika Dunia imekuwa na Mengi MUNGU ATUSAMEHEEEE,,.
@OmaryFumoКүн бұрын
Mkulungwa ukiojiwa usiongee xana utahlibu 6:51 6:59
@athumanfuko1992 күн бұрын
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
@bernardnsengiyumva-zf1bz2 күн бұрын
Jicho la Tatu majibu ndo hayo msishangae maelezo mengi maneno hata hatahayaeleweki kabisa
@mwanamkuumohammed5739Күн бұрын
Ashatolewa kafara uyo😢😢😢😢pole mamake
@Yana_queen12 күн бұрын
Imagine yupo connected 😢duuh
@aureauisso8762 күн бұрын
Shangaa Sasa yuko connected na Mimi sana
@GideonJosephat-y2e2 күн бұрын
Acheni masihala
@GideonJosephat-y2e2 күн бұрын
Acheni
@allyngazi2443Күн бұрын
I've got alot to say, just double tap the voice note. ▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။|||။ 01:05