Congrats 🇬🇷 dudu baya.watching from Greece santorine
@DottoLwambo4 ай бұрын
Fact broo dudu baya mungu akuongoze na kulinde zidi ya maadui love so much best
@FabianJumaGalula4 ай бұрын
Eee mwenyezi Mungu mupe maisha marefu dudu baya
@richardmlimila53844 ай бұрын
Acha tamaa pambana na lizika ktk angle yako maana dunia iko kiganjani mwa shetani adi pale BWANA YESU atakapo rudi tena nice speech
@kevinbrown19004 ай бұрын
This gentleman spoke the facts 👌👌
@HusnaX-u6q4 ай бұрын
Uyu baba umeongea point sana mungu akupe afya njema siku zote ❤❤❤
@esthermwaibasa47784 ай бұрын
Kaka Dudu Baya Mungu akubarki sana sana kwa ,Mungu amekupa neema kubwa sana ya kuona mambo yanayoendelea ulimwengu wa giza,Yesu yu karibu kurudi kwa sasa hivi kidogo Mungu alichokupa ridhika nacho acha kutamani mafanikio ya watu hujui wamepataje hizo pesa,wengi ni kwa njia za kishetani ,Wanadamu tukubali kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yetu tupone kwenda jehanamu,Mungu akubarki Dudu Baya siku zote unaongea hekima tu
@hafswamwinyi41634 ай бұрын
Dudu Baya hapo ume sema kweli iko kitu sibure na kuaminiya dudu Baya 😂😂😂👍👍
@jimmycn70784 ай бұрын
Burundi tunalizika na ulocal wetu😄😄 big up to our Big Fizzo
@davidmotuka64524 ай бұрын
Konki! Konki! Konki! Master ...my all time icon..mungu akupe maisha marefu bro.
@richardmakweta88754 ай бұрын
Asante dudu baya naunga mjini mkono mwombe Mungu akupe kazi yakufanya una Jambo la Mungu kwa dunia hii kwa sasa
@ManaseMoleli4 ай бұрын
uyu baba ana mafunzo mazuri sana na anaonekana ana hofu ya Mungu
@patrickekal2684 ай бұрын
Mwambie Dudu Baya wakenya twampenda Sana...He is smart and his comments are always enlightening.
@AbasiMataka4 ай бұрын
Nakukubali miaka 100000 my brother upo sahihi sana Jah akulinde
@tatankakoroba484 ай бұрын
Dudu baya huwa anaongea kama mzaha ila ana point nzuri sana
@JAHSEED001Ай бұрын
Dudu baya i salute you waongea point fungua kanisa amen sure pastor mamba kama waugana na mimi weka like
@tabithakitundu87364 ай бұрын
Dudu baya Jesus loves you. Karibu tumtumikie pamoja
@emillyzeeh11733 ай бұрын
Wachting form germany 🇩🇪 🇪🇺
@mrben2274 ай бұрын
Brother dudu baya sio mnafiki kabisa .ishi maisha marefu kaka
@AbdillahSalimu4 ай бұрын
Ila dudu baya mimi huwa na mkubali kwasaab huwa ana nyoosha mistar hapindi ameongea fact bila chenga sio mnafiki😂😂
@AbubakarHassanHamad4 ай бұрын
Konk,konk...konk master ......unaakili nyingi sana !mungu akutie nguvu na uendelee kuwashtua vijana katika jamii
@diegondayishimiye4 ай бұрын
Yesu kristo akupe mwisho mwema kwasababu unaongea kweli mimi niko burundi tunakupenda sana
@piusmusigula35124 ай бұрын
Dudu baya, unaonaje ukageukia utumishi kwa MUNGU. Una kitu fulani, unaweza kumtumikia MUNGU,
@tabithakitundu87364 ай бұрын
Kweli kabisa
@mosesmponeja68544 ай бұрын
Kabisaa
@bavonnyaulingo41884 ай бұрын
Huyu jamaa alikua anasomea upadre sema mambo ya dunia yakachukua nafac
@phantyrhymes95364 ай бұрын
Genius and free to speak
@8791david4 ай бұрын
Ukitaka aharibike, aanze kujiita "mtumishi wa Mungu"; alivyo hivyo ni mtumishi tayari. Sio mpaka awe na swaga zileee
@AgnesShonga4 ай бұрын
Nani anaungana na mimi dudubaya awe mchungaji ? Like
@RichWise6714 ай бұрын
Wamifugo gan ama ww 😂😂😂
@BesaiTimotheo4 ай бұрын
mimi hapa
@mlimbamakunja53154 ай бұрын
❤❤
@Raphaeldaudi-q7m4 ай бұрын
Yani unamsaliti Mwenyezi Mungu kwasababu ya simu, noma
@Maria-cx4kn3 ай бұрын
Huhitaji kuwa mtumishi kurlewa au kutamka maneno Kama hayo ya kimungu. Unahitaji tu kubadilika kuwa mwelewa,mkweli, mwadilifu na kuamua kuishi Kama mungu alivyoagiza tuishi…..simple and clear
@meckalex46484 ай бұрын
Kong master unanifurahisha sana 😂😂😂😂
@MwanamkasiAliMwinyi-y9n4 ай бұрын
Wallah humpenda sana huyu dudu baya hafichi kitu 😂😂😂😂Wala haogopi
@evancengatunga48344 ай бұрын
Dudu baya, nimekukubali,unaongea kwa kuielimisha jamii ,,so good dudubaya.
@254tesoboy54 ай бұрын
Napenda uyu jamaa anakuanga straight to the point. Nampenda sana
@filyakusimsigwa50064 ай бұрын
Dudu baya ni mwalimu mzuri sana katika jamii anauelewa na IQ kubwa
@Kwazulu14 ай бұрын
Dudu baya your the best. Motivation speaker for younger generation (GEZ). Keep it up
@Kwazulu14 ай бұрын
Kwa hiyo huyo P Did ni pepo likemewe kwa jina la Yesu wa Nazareth.
@EmmaShirima-gm8vz4 ай бұрын
@@Kwazulu1😢
@ChikuRashid-yg3jp4 ай бұрын
Mh wewe mbona mraibu
@zzeby20434 ай бұрын
TRUE, Nilishawahi kuwaambia watu kuwa Dudu baya ana IQ kubwa
@estevaojacintomuome52534 ай бұрын
Leo mi wa 4 from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@fleynassorali-dp9hw4 ай бұрын
Vp Mozambique hawajapigwa miti?
@maulidimpili6984 ай бұрын
Kuna kitu nataka nikuulize kama upo Mozambique
@blaiseiranzi73134 ай бұрын
Brother Dudu Baya Anaongeleya Ukweli ,Naisha USA I can prove what he is saying.
@KafrogyPep4 ай бұрын
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🔥🔥🔥👊🏿👊🏿👊🏿 Living Legend.. Kama hutamuelewa Mamba.. Baby Oil inakuhusu
@liesmaandy75874 ай бұрын
😂😂😂
@RashidWashe-rj5vy4 ай бұрын
Dudu baya big ups 💪 👏 brother that is great talk 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@YusuphJulius-e2m4 ай бұрын
😂😂😂 Mamba haraaa mimi namwamini mamba ❤
@richardkalamake28544 ай бұрын
DUDU BAYA awe mtumishi😂😂😂😂
@robinilomo28874 ай бұрын
Huyu jamaa kawa na akili sana siku izi Kudos to Dudubaya
Dudu baya ameongea maneno mazito sana sana saluti kwako
@VitaMatata4 ай бұрын
Upo good sana Mzee umejaa hekima
@HurumaeldaudMakala4 ай бұрын
Nakubali konkiii masterrrr... ❤❤❤❤❤
@DeodatusPhabian4 ай бұрын
Mungu akupe neema ya kumtumikia. Ndani yako kunakitu cha maana. Ungana na wachugaji wa kweli ufanye kazi ya mungu.
@GraysonRusseta4 ай бұрын
Nimekuelewa Mungu naona anakutumia sio bule ubarikiwe sana
@ramilmungaboy96834 ай бұрын
Wow ireally like hes conversation he deserve ❤
@ChanceBosco-p8m4 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka umeongeya neno nzur sana🙏🙏🙏😭😭😭
@ClementJonh-g5u4 ай бұрын
Napendaga interviews za Dudu maana utaanza kucheka mwanzo ady mwisho😂😂😂
@RebeccaMuhimba4 ай бұрын
😂😂😂😂 we siuache mimi apa kuna shoga angu ka mgusaaaaa kabisaa
@AmiryMuhanji-b8l4 ай бұрын
Ulaya Wana roho mbaya sana mara 1000 upige Dili na mchina,ila sio wazungu...mchina kwanza ni mwizi ukitulia nae mnapiga pesa,Mimi walinitajirisha sana pindi madubwi yanaingia nchini,wazungu sio kwanza WANAHTAJI wakutumie kwa manufaa yao na si upate wewe..niliwah kumsaidia mmarekani mmoja alitapeliwa nusu billion nikimpa mdada kuishi Bure kwenye gest yangu,alipoondoka aliwah kunikopesha pesa kma million 5 weee ikawa yamoto,alisahaau kma aliishi mwaka kwenye gest yangu,nilipoona makelele mengi nikamwambia hunidai umelipa deni lako la kulala Bure gest,wasenge sana hawa jamaa
@lweyendelabenito4 ай бұрын
Mungu akubariki sana bro i really appreciate you❤
@suleimansultan33334 ай бұрын
Dudu baya anaonekana muhuni lakini kumbe sivyo anazungumza mambo ya msingi
@ivonaevarista46544 ай бұрын
Ndio maana namshukuru Sanaa BWANA YESU KRISTO kwakuniokoa nikiwa hivi amenifundisha mengi Sana nikweli dunia iko kwashetani, Yesu Kristo ameniokoa namemgi,karibuni Sana kwa YESU KRISTO,yohana 3:16
@BEQUINHOVYAKEMUENEVYAKEM-qd8il4 ай бұрын
SAWASAWA 🤓🤓🤓🤓🇲🇿🇲🇿
@YWCTRADES4 ай бұрын
uje kwa kupoa wee namsikiliza dudu umejawa na upako😂😂 yeye ameshiriki disko kibao ajasema aliyoyafanya huko ushaanza namshukuru Bwana Yesu
@lweyendelabenito4 ай бұрын
Amen
@rehemamahendeka-rm2ek4 ай бұрын
Hakika umenena,"TAMAA NI MBAYA SANA ",big up Dudu baya/oil chafu !!!!
@HabebaAli-be6ks4 ай бұрын
Kaka yangu Dudu baya nakupenda sana 😂😂😅
@sist8134 ай бұрын
Jamaa kaongea kama mzazi🎉💥👍
@MwajabuAlly-o1r4 ай бұрын
Dudu baya🎉🎉🎉🎉 ❤❤ hiii imeendaa
@AllyLameck-i9x4 ай бұрын
Kabisa anaebisha msenge pombet ukiona mtu anakuandama kukununulia ujiandae kufiwa sembuse maisha wanafilwa vizuriii kataatu.
@joesydney36464 ай бұрын
Noted thanks 😊
@petersonnjue16934 ай бұрын
Wakenya tunakupenda zaidi,imba wimbo moja kuja Kenya tutakusapoti
@josephsaid33384 ай бұрын
Dudu nimekuelewa sana.... MUNGU Akubariki sana kwa kukumbusha jamii juu ya matukio ya siku za mwisho. Barikiwa sana
@josiacharles27784 ай бұрын
Uyu jamaa akawe ata mchungaji, nimempenda sana uyu ndo anajua usanii👏👏👏
@PstSisco3 ай бұрын
Point sana mtumishi.karibu ktk utumishi wa mbingu.umutumikie mungu.kwa umli uliyonao sasa njoo kwa yesu na hiyo huduma.
@JonathanIrankunda-i2u4 ай бұрын
Dudu baya legend 😊
@lynnmkumbo57274 ай бұрын
Uko vizur una kitu MUNGU kaweka ndani yako.
@Adonkamotci4 ай бұрын
Na kubari sana Braza Dudu Baya Wachane Ukweli👏👏👏
@jacksonjamesndyabawe4714 ай бұрын
Is very smart man.. Kama wakimwelewa
@martinhipolitichuwa3664 ай бұрын
Asante sana Dudu Baya. Huo ndio ukweli halisia wa wasanii wa Tz, waache tamaa, wataolewa na wanaume wenzao kwa tamaa zao
@sultanrajabu83694 ай бұрын
This is great Description of what life is...
@husseinmboje14494 ай бұрын
swiz beat anajua ndo maana alikataa piap.diddy ana power sana ktk grammer award music so ili uzipate lazima diddy akule
@HajiJuma-xw7vh4 ай бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu tuu....
@furahachuma90394 ай бұрын
Kumbe kazagamuliwa 😂😂😂, ingekuwa ni Harmonize ndio tungewajua akina Baba levo na Juma Lokole.
@AboubakarNkurunziza-k5l4 ай бұрын
Mapema sana emekumbana na mwamba wanyankindo kupitiliza
@EuniceJ.Mathias4 ай бұрын
Basi nilikuwa naumia mbona watoto wadogo wanahela wanaendesha gar kumbe ndo wanafanyaga hivyo duh
@TeophilBuilding4 ай бұрын
Pole ishia hapo hapo kuumizw na mafanikio yao wanafirwa sanaaa
@paskaziasholla74714 ай бұрын
😂😂😂😂 mie sijawahi kutamani maisha ya mtu kabisa maana watu mpaka wanajiuza ili watoke
@kayalaonlinetv4 ай бұрын
@@paskaziasholla7471 kabisa usije tamani vya watu kabisa aisee ✔
@RebeccaMuhimba4 ай бұрын
@@paskaziasholla7471 ha😂😂😂😂 nimecheka sana
@MrA24G4 ай бұрын
Vijana sasa hiviii wanatabia chafu tamaa zimewajaa.Mimi ndio maana mambo yao siyataki.Tulieni.
@saidijuma29204 ай бұрын
Smart interview 👏👏
@saidmatola80154 ай бұрын
Wametoma kwenye familia masikini. Wengi wao wamepakuliwa......
@JakoboShisho4 ай бұрын
Mwenyez mungu akujalie maisha malef unahofu ya mungu
@wemacs4 ай бұрын
Huyu jamaa very smart sana, watu wanamchukulia pia lkn ni mtu na nusu
@EmmanuelKamala-wy1ot4 ай бұрын
Dudu baya mwingine umeongea maneno ya kimungu barikiwa sana
@alvictdan5644 ай бұрын
This man speaks alot of sense
@GodfingerCha4 ай бұрын
Dudu umeongea p uyo jamaa n kuma 2 sis km wabishi atujawah kumkubali at kidogi mond ni kuma mmoja2 choko km machoko wengine big up dudu
@abbassalum68244 ай бұрын
Konki Konki Konki Mastar uko vzr san bratha kwel hiii nchi ipo kiganjani mwako👊
@evanccast62284 ай бұрын
Dudu baya unakitu kikubwa nakutabiria @ cast madude utakuwa mtumishi Mungu akujalie umri mrefu 🙏🙏
@jojigeorige10564 ай бұрын
Unang'ang'ana kufanya "collabo" na Ricky Ross utapigwa miti😂😂😂😂... Dudu baya senge sana
@rukiaiddyyahaya95064 ай бұрын
Yani wale sijui kama wamepona wamegongwa
@Abbellll0014 ай бұрын
Anasema ukweli😂😂😂😂 huyu jamaa namkubali sana
@mpjozzegalvanize49264 ай бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506😂
@abbas.h.saydy.39914 ай бұрын
Sketi vazi la wanawake tu. 😅😮😢😂
@badrudindaud10874 ай бұрын
Mr Konki master namfagilia sana hapendagi Kuhepa au ku zungusha maneno hapana yeye anagonga straight
@soccerupdates54 ай бұрын
Dudu Baya ameongea Point Sana Mungu ambariki Sana🙏
@chaulas-n8z4 ай бұрын
Dude baya mungu akuweke
@Artist-my9zx4 ай бұрын
Dudu baya hapendagi ujinga ndio maana kampigaga hata mr nice, heshima kwako legend
@roselynealima36184 ай бұрын
I love his thinking ❤
@NICOMORDECAI4 ай бұрын
Noma
@alimwadima2544 ай бұрын
90% ya maneno ya Dudu Baya na Chidi Benzi ni Ukweli mtupu...Naomba baada ya konki master Mtafuteni Chidi Wana habari
@Maria-cx4kn3 ай бұрын
Kila mtu anajua maana ya kumtumikia mungu na kumtumikia Shetani…..swala ni kuchagua. Yeye hapo anatukumbusha tu. Tusijitoe ufahamu. Tamaa ya pesa za dezo inatuponza na tunajua kuwa tunamuudhi mungu
@Hashim-p4d4 ай бұрын
Alhamdhulillah yarabi 🤲
@MichaelMathew-j3f4 ай бұрын
Ndo maana Biblia inasema hivi, mpingeni shetani naye atawakimbia Yakobo 4:7-8. Afu ikasema hivi, mkaribieni Mungu naye atawakaribia, itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi na kulisafisha mioyo yenu enyi wenye nia mbili. Wapendwa, dunia ukiambiwa imeharibika bac ujue ndo hivo imeshaharibika mbaya mbovu. Turudi kwa Bwana Yesu kwa roho na kweli ili tuokoke. Amen. Bwana Yesu Kristo asifiwe. Samahani ni Imani yangu. Naomba mtu asinielewe vibaya. Amen.
@janemumbua46834 ай бұрын
On your side and that's true God bless you kwa huo ufahamu ulionao na wenye kuelewa waelewe ❤
@sylvestermhojaaron96594 ай бұрын
Uko sawa kabisa mtu wa Mungu
@MichaelMathew-j3f4 ай бұрын
@@sylvestermhojaaron9659 amen
@MichaelMathew-j3f4 ай бұрын
@@janemumbua4683 ahsante
@elvischumba73894 ай бұрын
Amen brother 🙏
@dashuu23524 ай бұрын
Anaongea point
@IbrahimShelimoАй бұрын
Yani unaongea point zuri sana tufundishe jamii ili wajue nakusapoti sana toa sili na uzi fichue zote uwambie jamii
@mahammadanhag44454 ай бұрын
Mond sket yy anataka kua tajr namba 1 diamond 💎 lmbuken mkubwa wa Africa mashark
@mwajumamande84774 ай бұрын
Dudu una point sana,,ila kuhs wasanii wa uganda,rwanda kutoenda marekani ni wao tu....ila wasanii wa tz wakishindana kwenda marekani mi naoana ni vzr na ushindani utakuwa mkubwa tz ila wawe makini tu huko waendako
@PeterMJanga2 ай бұрын
Nakuombea sana kwa Mungu YESU AKUOKOWE uokoke na ulelewe na mch. wa kweli na si hawa mitume na manabii unaojichanganya nao ili upate kuukulia wokovu wa kweli usimame naamini Mungu ana haja kubwa sana na wewe kukutumia kama chombo chake akutengeneze ili uwe nuru kwa watu kupitia wewe waokolewe wengi na shetani aaibishwe KWA JINA LA YESU KRISTO