Kama umemuona Dada anamuangalia sana simba gonga like
@philipkomba55256 жыл бұрын
😁😁
@janejohn72116 жыл бұрын
Yani loh wanaume ndo tena yuko na bby tanash ningekuwa mm hamisa ningehama hapo
@philipkomba55256 жыл бұрын
@@janejohn7211 waacha wivuu weeeee Jane
@esteradonay47016 жыл бұрын
yaaan ad dhambi jaman
@myownfootball63646 жыл бұрын
Black Son Ismael yaani macho yake kwa diamond tu😂😂
@juniorvictor36586 жыл бұрын
Kama umemona hamisa akimpiga chabo mondi gonga like hapa
@yohanamapunda26546 жыл бұрын
Nilichofurahi mimi nikuona ayo tv kumposti diamond.... kweli tunafungua dunia kwa mambo mapyaaa... gonga like kama umeipenda hii😁😁
@jscksonwilison2396 жыл бұрын
Hata mm yaan
@hassanabuu66 жыл бұрын
Milardayo leo Diamond plutnumz uwendele tu tena Boss ndo hayupo tena! Congratulation
@charlskpc11036 жыл бұрын
Diamond platinumz is back on millardayo ayo channel. Congratulations
@sindyvibe71496 жыл бұрын
😘😘😘😘😘Kweliii msamaha umepita...Lets live peacefully tumoveeee on ...Pale alipopaachilia boss bhas tukapate kupaendeleza....😍😍😍
@viootanzania90806 жыл бұрын
hongera millard ayo maana imepita kitandambo ujampost DIAMOND atimae leo umempost uwo ndo ukubwa
@benjamininyambaso50416 жыл бұрын
Hadii nimeshangaaa ayoo kumpost diamond
@andrewleonard95576 жыл бұрын
Vzr
@maxmilianmariceli67086 жыл бұрын
Imenifurahisha pia
@hamisisha6 жыл бұрын
kila kitu huwakinaisha nae mtu ametambua nini anapaswa kufanya big up ayo boy ayo tv
@banosmaximillian75386 жыл бұрын
hamisi sheby nA Leo ayo kwa kumpost mondi kafkisha viewer million moja ndan ya masaa machache
@allyfarajikimbilimbi67736 жыл бұрын
Naseeb Abdul Diamondplatnumz wewe ni zaidi ya Mwanamuziki bora hakika wewe ni#Good Leader.
@janesuma21936 жыл бұрын
Ally Faraji Kimbilimbi for u
@averinamarco58086 жыл бұрын
Hamisa na Mond, msiba wa Ruge umeunganisha😂😂😂😂😂😂
@liliankhamasi63816 жыл бұрын
Averina Marco 😂😂😂😂😂
@iungwadeogratius78936 жыл бұрын
God blesss u 4rever kama ulivyo we ni mpole waache waongeee maana huwa hulipiz baya kwa baya ungekuwa mkristo ningekuita mlokole maana unayatenda ya kimungu
@hkikajama66806 жыл бұрын
nimefulahi sana kuona simba amemsikiliza mjomba uwo ndo utanzania unavyo takiwa sikwa Rugetu na kwababayako msameetu mungu atazidi kukupa nulu na balakatele
@jscksonwilison2396 жыл бұрын
Kweli kabisa
@bettymuseno88686 жыл бұрын
uko poa sana
@samwelreuben31875 жыл бұрын
Hkika Jama 4
@fatumamukete68396 жыл бұрын
Mama Diamond. Hongera sana. Mungu amekupa Diamond iangalie. Binaadam wengi wamejaa Husda. Watu wanakimbia watoto zao, wewe umempa Mwanao. Leo tunakula matunda. Mdomo ya watu inatereza kama vibogoyo.
@chicharitoronaldo59506 жыл бұрын
Umefanya vizuri kuhudhuria SIMBA🙏🏻UTABAKI JUU MPAKA ILE SIKU Utatangulia mbele za haki🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@abdulmasoud61616 жыл бұрын
Kama umegundua mirad ayo kapost kwamapenz yake gonga like twende sawa!!!!
@missfa46506 жыл бұрын
Chibuu,safii.kama umemuona mobeto gonga like hapa...
@wizshine19046 жыл бұрын
Respect platnumz... we ni mkubwa Kwenye nchi hii.... tulichotarajia ndo umekifanya
@janesuma21936 жыл бұрын
Salum Said ovyo ana ukubwa gani kwenye nchi hii acha mihemko kubwa Mungu tu ndani ya taifa wapili Rais watatu makamu wa Rais wanne Waziri mkuu watano jeshi wasita polisi wasaba wananchi who is diamond by the way ukubwa my foot
@dastanbufe24366 жыл бұрын
@@janesuma2193 acha majungu wew mond ananafas yake et mihemuko tatzo wivu ndo umewajaa watz mwenzio akiwa juu na wew muombe mungu akujalie baraka na wew uwe juu
@wizshine19046 жыл бұрын
No beef...... platnumz anajulikana ni nani? Kwenye nchi... ata rais wa nchi hii anamjua...
@byaombealoys59676 жыл бұрын
Pumbavu kabisa kashindwa kumsamee baba yakemzazi kifula uyo mzoga kaenda kutowa miali tu.
@MemsapSaum6 жыл бұрын
Jamani siageniajiri niwe na mbebea mamake kipochi nipate riziki 👌👌👌
@taraagire61766 жыл бұрын
U did very good Mashallah 2 come Diamond!
@mohammedsuleiman11356 жыл бұрын
Baada ya longtime leo umempost good Ayo tv
@jamessilwamba28626 жыл бұрын
wamejifunza kitu
@masstv45826 жыл бұрын
That's good !!maana wabongo mngechonga sana But also kawafanya had Ayo tv kupost Nimefurahi sana
@abnizplatnumz55206 жыл бұрын
Daaaah diamond anapitia mengi sanaa japo bado ni mdogo
@alexanderson18056 жыл бұрын
Umefnya Jambo jema diamond kwan sisi tunakubali kile chenye kuamini upendo na mshikamoo ni kitu kizuri,🤨
@blessedmoses42436 жыл бұрын
Safi hadi millard leo kampost diamond nzuri hii
@jumamshana64736 жыл бұрын
waandishi wabongo ni wasenge sana diamond ni nan katika msiba fanyeni kazi Moja na si ujinga
@princepiuskamugisha56266 жыл бұрын
juma mshana huma malimda wewe
@princepiuskamugisha56266 жыл бұрын
juma mshana huna malimda wewe
@RichFeelingsForex6 жыл бұрын
Hongera huo ndio uungwana
@amosdaudi97936 жыл бұрын
KIUKWELI tunaomiliki pesa kama mimi tunakuaga na kiburi but dimond umenifunza kuishi kibinadamu zaidi kuliko kipesa rasmi nakutoa team dudu -napenda unavyompenda mama ..maisha yako yangekuwa njia tungelipishwa wapitaji R.I.P Mr Ruge and 4give Mr dudu oil chafu hata akija ulipo mpe mkono msamehe kwani uhai siyo bando
@amisabalongelwa91436 жыл бұрын
Kama unamuona mobeto anapiga jicho kwa mbali gonga like
Yaani binadamu hamna jema ameenda kushiriki msiba mnamnanga asingeenda mngemnanga pia, kuzika mtu ni majaaliwa nyie ndg zenu,marafiki,majirani wanaowazunguka walipofariki mlishiriki misiba yoote inayotokea? Acheni uchawi wa maneno
@mwanahalimamwachili96796 жыл бұрын
True kabsaaaa
@jscksonwilison2396 жыл бұрын
Wambie
@frexalphonce93876 жыл бұрын
Sasa mbona unaesema hivo ww
@ebbyramadhani6 жыл бұрын
Atuganile Swedy pumbav watu Alivokua ajaja maneno kibao Kaja bado wanasema
@atuganileswedy48306 жыл бұрын
@@ebbyramadhani binadamu hatubebeki
@frankmgendi87516 жыл бұрын
kamaa umemuona hamissa anamkodo simba tupia like akoo apa
@rushobokaerick44756 жыл бұрын
Yani kweli wabongo sisi mungu atusamahe sana kwenye msiba tunatafutia kiki shikamoo sana walinzi
@majotv34056 жыл бұрын
#AYO SAFI SANA UJUE ULIKUWA UMEPOTEZA MASHABIKI WENGI SANA KWA KUTOPOST INSU ZA #MOND ambao wanaamini kuwa sasa #miladayo atarudi moto kama zamani gonga like
@kapishoyasini22206 жыл бұрын
Safi sana milad leo umenifurahisha
@mwikamwika48516 жыл бұрын
Diamond ni miongoni mwa watanzania wachache kwenye sanaa ambao wamekataa kuumizwa kimaslahi. Hana ugomvi wa tofauti na maslahi na marehemu ruge. Alihojiwa Mara kadhaa na media tofauti tofauti hapa nchini alirudia maneno yaleyale kuwa aliumizwa na media ya clouds na hata wafanyakazi wake wote kwa kushinikizwa na Ruge,lakini kufika kumzika ni jambo jema kwani kila nafsii itaonja mauti. Hongera diamond kwa utu huo na nakuoongeza kwakutokuwa mnafiki juu ya kuumizwa kwako. Mafanikio yako yametokana na wewe kuongeza juhudi kupinga kunyanyaswa. Ipo siku wengi watatambua kuwa hukuwa na ugomvi tofauti na kutafuta maisha. Mungu azidi kukupa moyo na utafanikiwa zaidi. Naamini kuna mema alikufanyia ruge lakini kuna mabaya pia yalikuumiza na ndiyo maana uliamini kuwa ruge ni binadam mwenzio na alikuwa mshindani wako ktk maisha na ukamsindikiza ktk Makazi yake.
@ephraimkachewa65696 жыл бұрын
hongera chibu kwa kuja
@jacksonalex78706 жыл бұрын
Wangap tunamuona Hamisa mobetto aka Mama daylaan kwa mbali
@rutashobyanovath11166 жыл бұрын
Jackson Alex acha ujinga
@mariamabdallah8066 жыл бұрын
@@rutashobyanovath1116 Sasa Jackson kafanya ujinga upi jmn
@mwashkenya85896 жыл бұрын
Namuona ameshikwa na msisimko wa damu, restless, camera sizimchukue akimwangalia Simba waanze udaku Kwa mitandao
@scoviarobert2356 жыл бұрын
😁😁😁 watu wnapepea atareee
@worldrapamako39606 жыл бұрын
kama umemuona madee tupia like
@dronemiguel22306 жыл бұрын
Mmmhh nyie xi mlkuwa hampoxt k2 chcht cha mond nini tena we Mallard Ayo
@salmamasuod14726 жыл бұрын
hakuna kitu kama mama hongera diamond kwa kumpenda mama yako
@angelababson48226 жыл бұрын
Nakwambia MTU ni mamake Salma
@Rashidmhedhery6 жыл бұрын
Salma Masuod : baba Hana maana???????
@pendomarco71616 жыл бұрын
RIP Ruge
@astaqueen39796 жыл бұрын
poleni sana .watu muhimu siku zote hawadumu
@najimahrupiahgomo21096 жыл бұрын
D bwana jishusha.usipende kua abudiwa kk
@gggjjahhhh94196 жыл бұрын
Safi sana simba umefanya vzr
@KURYABOYTV6 жыл бұрын
Hakuna kitu kizuri kama Mama kumpenda wanae Mama Dee Hongera kwa upendo huo huo kwa mwanao.......!! Tunaomba Tumuone Baba Dee na Mondi Pamoja
@madamcolethaa6416 жыл бұрын
Jamani mumemuona mond namiheleni kama anaenda kupiga show Amisa anamuangalia kwakuibia ibia mmeona
@sarahhamisi20706 жыл бұрын
ayo nakupenda unajielewa mungu akuzidishie
@shafiidumba93536 жыл бұрын
Si uliacha kupost Sasa leo unamanixha nn kupost kwenye hichi kpindi bnadamu bhna hkuna mngu kwenye hii dunia wote tunapita umeonyesha uzaifu mkubwa usio. Na faida na tulixhakusamehe mda mlefu ila jua kila bnadamu ana liziki zake na hkna anaeweza ziba mkubwa Ni mungu 2 tuendelee na maisha ndgu
@mariamhaidari71706 жыл бұрын
Hamisa stil needs Diamond huhuhu mwanamke akomi uyu aya wangapi wanaamini Diamond atarudiana n Hamisa
@nadhirijay99026 жыл бұрын
Daaa bifu la boss hata mfanyakaz n lako hata kam hupendi ,,,,iishee tuu achen uchawi sanaa moja af utoto kam wote
@stevenhinjo96646 жыл бұрын
watu bwana yaani hatuna jema wakati hajaenda mnamsema amekwenda bado yaani sijui afanyeje na wakati mnasema yeye yuko kimya wala hakusema haendi.
@chuination6 жыл бұрын
Very good
@raysalove91786 жыл бұрын
Dunia bwana inavituko kwenye misiba ya watu watu wanatupia. Masudi jameni upendo wetu si wa ndani Bali wa inje ndani tumeja majivuno tu mwenyezi Mungu atusaidie kwa kweli.
Diamond and hamisa still love each other look at the body language 😎
@jamessilwamba28626 жыл бұрын
Sidhani kama kaenda kwa sababu kaitwa au kaambiwa na mtu fulani nafikiri nafsi yake mwenyewe imeamua na alijua atakwenda lkn muda gani alipanga mwenyewe jamani kila jambo na wakati wake.
@kambachaku83906 жыл бұрын
duuhh leo millard umempost diamond aiseee
@shahilmmasai29896 жыл бұрын
Leo nimeview kwa millard baada muda mrefu simbaaaa
@jscksonwilison2396 жыл бұрын
Kama mm yaan
@aisharamazani16816 жыл бұрын
hahaha Dada ana jipepea Atari ana tamani ata aitwe na simba
@okelotv83166 жыл бұрын
Naombeni maana ya miwani mieusi msibani tafadhali maana ata wasioumwa macho huvaa sana siku ya msiba
@patricklugarata23816 жыл бұрын
Na anavyopenda masifa itamjua tu
@bagamundaamina13506 жыл бұрын
Safi sana Diamond 👏🏾
@mariamjumaswalehe6356 жыл бұрын
Sanaaaa
@mropeclassic1666 жыл бұрын
Hatimae nyege za clouds zimeisha, na Leo hii wanampost simba platinum, pumbavu nyinyi hamjui mondi ni kama maji 😎😎😎
@mpozymkoma78276 жыл бұрын
Millard ayo like leo nimekuwa miongoni mwâ subscribes wako baaada ya kuanza kumpost diamond platnumz
@mr_yassinofficial6 жыл бұрын
😀😀😀madame hiro kashindwa kuji zuwia
@KingKong-yf2oj6 жыл бұрын
Huu ndo utu uzima Diamond anaonyesha. Sio Dudu Baya ambaye hajielewi kutukana marehemu.
@mfaumeshaban84216 жыл бұрын
Ticha sana simbaaaa
@nickymeel9866 жыл бұрын
Wabongo mna ujinga . si mmeona simba kahudhuria... nilijua atahudhuria last mnts
@bryanzeconfesor54766 жыл бұрын
kweli diamond ni maji aisee media ambayo haimpost lazima ife na ikitaka kukua lazima impost
@naiyamjay4646 жыл бұрын
Simba umewanyamazisha kimya wanafiki. ......
@ashaabdallah17186 жыл бұрын
Aya Leo ndo umekua mwanaume... sio mambo ya kununiana... nashukuru umetoka habr ya simba
@chandrnyoeliakim10066 жыл бұрын
hiii miwani myeusi bana mnaonana kama hamuonani
@mwanahalimamwachili96796 жыл бұрын
Vizuri sana Nasib kwa Kuhudhuria .
@khamissalum42326 жыл бұрын
Safiii huo ndio ubinaadam Ila hamisa anaibia ibia kumuangalia Mond
@mariamjumaswalehe6356 жыл бұрын
nimefurah Sana kukuona
@vickysteven58984 жыл бұрын
Mashallah
@gabinusaristidius27176 жыл бұрын
mond vip mze bb mbon wenge jingi
@herifredrickson20406 жыл бұрын
Nimefurahi Sana my boss daimond plutnum 🙏 🙏🙏 🙏.
@goodluckmoforo51076 жыл бұрын
Hamna kubembelezana saiv shenzi
@alfabugat21966 жыл бұрын
daaaah wabongo nanyi,tupungeze mdomo jaman mtu kaja bado mnaongea ya nn ss
@sembojwamaterial84096 жыл бұрын
duh"na mmi nmekua limbea sipitwiii 😎
@jenyyusuph49736 жыл бұрын
Yani misiba ya siku hizi mmmm mhhh kujipepea tu nakujifuta viatu utafikili kaburini Kuna leso ama kiwi mnakera bora mngekaa majumbani hovyo kabisa mwenzenu hawezi hata kujikuna badili mtafakali ukuu wa Mungu mnaleta usafi msibani
@mwanatz59806 жыл бұрын
Njia yetu sote mda tu kilamtu na wake , vizuri kuweka tofauti kando.Nitafurahi zaidi kuona anamsaidia baba ake ipasavyo.
@khatimmahsen37536 жыл бұрын
Namuona tu hamisa akitiza kwa mondi hata hajaelekea kwenye jeneza
@leahjoram76936 жыл бұрын
Mm na angalia vile wana angalia a na Hamisa eti. Huyu anajifanya anaongea na yule na jicho lipo huku. Hamisa usiogope kumwangalia
@khadijaomar32996 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@khadijaomar32996 жыл бұрын
Ni kweli
@zulphaiddy11916 жыл бұрын
Kumbe hata we umeona hahahaaa
@princesalumu9816 жыл бұрын
Wakwanza kukoment. R.I.P RUGE
@raphaelukani26376 жыл бұрын
Daaah!! Hiz post za diamond kwenye ayo tv nilisha sahau
@rehemawasafi80506 жыл бұрын
Nimefulai sana
@freedomtoursandsafaris6 жыл бұрын
Iwe ni sababu ya kumsameh baba yke pia...
@mwanahamisinguwa58906 жыл бұрын
Hongera diamond
@senetamtangazaji29016 жыл бұрын
Diamond Mnafik tu angeenda kumuangalia akiwa hai sasa amekufa isiadie nini na Hata Dudu Baya wao ndio walimtuma ajua kuwa watanzania Wamemulika sasa amekuja kudanganya toto Ruge ameenda Ngoja Downfall yako
@deborahkhan48686 жыл бұрын
Kwani asingeenda yeye Ruge asingeagwa hovyooo
@manenojongo6926 жыл бұрын
wapenda misifa
@mangalilikilawe67886 жыл бұрын
Naimani sasa mtakuwa sawa kwani msiba ndio unaopatanisha walio gombana
@lucyminja6136 жыл бұрын
namuona hamisa anavyoteseka na jotrooo la gafla
@joywagofya78866 жыл бұрын
Song name ??????
@rabisonmbena54836 жыл бұрын
Uyu anaga kinyongo na mtu ila baazi ya watu wanataka aonekane anakinyongo na watu
@abdulazizmsonde9856 жыл бұрын
Baada ya muda mrefu..Leo mmeweka habari ya SIMBAAA..