Diamond unapambana SANA ila katika hii Dunia hata utende wema namna gani hakuna atakaekubali. Ila wewe ni kiongozi bora NDANI ya Musiki na MUNGU atakulipa ... wewe ni msanii wa kwanza kuwa na Media hapa nchini ,, Hongera SANA MWAMBA 💪💪💪
@lumo99998 ай бұрын
Huyu dada anajua kuuliza maswali vizur sana ❤❤❤❤
@sportsnewstv50028 ай бұрын
mbona huyu dada maswali yake ni anajua mno au mm ndo nimeskia peke yangu. she is good 👏👏
@damianmcba95258 ай бұрын
Yupo vizuri ccta ahulizi kimwamko au kishabiki yupo straight
@leonardadd8 ай бұрын
Kabisaa she's qualified🎉
@afriflix_2558 ай бұрын
Saraphina Jerry huyo wa rickmedia
@nancyg86648 ай бұрын
Ata sauti yake ni nzuri sana
@sportsnewstv50028 ай бұрын
@@damianmcba9525 👏
@estherboniphace24308 ай бұрын
Uyu dada anaeuliza maswali ni very smart
@adnanel-islam32917 ай бұрын
Yeah she is very smart
@williambenedict60748 ай бұрын
Im Kenyan and i love this. We love y'all Tz music🇰🇪🇹🇿♥️
@RASHIDMOHAMMEDI8 ай бұрын
Huyu dem akipata media nzuri atafika mbali sanaa ana maswali yalioenda shule yani anajua jinsi gani ya kuuliza maswali smart sana
@dismasjerome16588 ай бұрын
Mond atamchukua
@afriflix_2558 ай бұрын
Mtoto wa rickmedia huyo
@alfredpilly58788 ай бұрын
Kaka nashukuru Kwa kuliona Hilo kanikosha sana
@kijanayaaput89408 ай бұрын
Kabisa. Ako sawa❤
@nururaymond58 ай бұрын
Mtangazaji mzuri mnooo
@RamadhaniSuru8 ай бұрын
Chibu uko vizuri sana umewabeba mpaka wale waliokataliwa
@SalumSeif-p5r8 ай бұрын
Yaan uyu dada anajua sana kumuhoji mtu yaani she is very good ni verbal questions
@Jiranifachionbusiness7 ай бұрын
Safi sana Diamond una roho nzuri sana napia nime djifunza kitu kutoka kwako yaani nipo drc naona ngoma zako zina sumbua sana huku est ya drc congratulations
@digitalworld55778 ай бұрын
Diamond anajua sana kuongea kwa u-smart. Anajua interviews sana na anajua kuongea kwa kubalance. He’s the best.
@boazmaobe72456 ай бұрын
Kijiji unacho Mond,una utu na raho ya kusaidia.nakubali tokea Kenya kwa kazi safi
@bukaone75078 ай бұрын
Uko vizuri Simba
@YohaneTitus8 ай бұрын
Jamaa anajua sana huyu had kuongea anajua yani mziiki anujua na biashara anaijua sana tena
@rwehumbizajonathan86898 ай бұрын
Huyu Dada Amenifurahisha Sana. Very Smart, hii interview itampa Mchongo mkubwa. 💥💥💥💥
@Loftyattorneys8 ай бұрын
Well said brother akili kubwa
@idinado-wk3lx8 ай бұрын
Mimi mwenyewe naamini kuwa ivyo tu kuwa mungu ndio muamuzi wa kukusha wewe tu lakini siyo chuki za watu maana unaakili sana ya mziki na pia uwa aukulupuki kwenye kufanya maamuzi ndio maana vitu vingi vinaenda zaidi 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥💯💯✔️
@magomakabanja4808 ай бұрын
Kiupande Wangu Nakuamini Unacho Sema Kwenye Music 🎵 Utashuka Mpaka Mungu Aseme yaani Akushushe Sio Binadam Aseme
@ChimpGuardian8 ай бұрын
The one and only Chibu D, Chibu Denga, Simba Baba Lao, Dangote Baba Lao, We Zombie...! You're the best we have ever had in our Music 🎶 You're the true king 🤴 and the living legend @diamondplutnumz
@frankemmanuel52398 ай бұрын
Huyu jamaa kiukweli kabsa hapaswi kuchukiwa
@sabihaibrahim1438 ай бұрын
hee hata Alotuumba na kutupa pumzi buree na kila kitu na hajawahi kupwendwa na kila mtu anatukanwa
@onesmoisack6 ай бұрын
Safi sana kaka mungu akupe maisha marefu ili tuendelee kukuona pia uendelee kuwainua vijana wenye vipaji cha msingi kaka huwez kumzuia mtu kuongea atakacho amua yeye ataongea hata kama utamfanyia mema asilimia 100 bado atakukejeli tu
@CostantinSimba8 ай бұрын
Hyo dada ni Noma sana ukipata media utaimudu vilivyo dada uko vzri sana,pia mdgo wangu Simba uko sawa Kwa maswali,
@BarakaMatali-mv1sv8 ай бұрын
😂😂 huyu jamaa anawatisha sana wenzake. . Awapumzishe kidogo watajinyonga
@MohamediKalanje8 ай бұрын
Bro diamond fungua chuo cha biashara tuje kaka utuoneshe njia ya kufankiwa zaid❤
@mwarabuofficial52418 ай бұрын
Kulala uchi unaweza?
@damianmcba95258 ай бұрын
AKIFUNGUA chu cha bihashara yy atakuwa mmiliki tu Mateacher ni watu wenye elimu zao,, km anavyomiliki media lkn yy sio mwandishi wa habari
@beesmarttv37928 ай бұрын
@@mwarabuofficial5241😂😂😂
@MagrethMallya-we8ui8 ай бұрын
Wallah, una roho nzuri,binadam bana hatunaga shukrani. Naomba nisaidie na mimi aiseee angalau 10m. Tuuuuu.
@shaabanmganga8 ай бұрын
Me ntakpatia laki moja ila shart moja
@ShedyLeeFanclub8 ай бұрын
😂
@MudyNyau8 ай бұрын
SIMBA LA MASIMBA DANGOTE❤❤❤❤
@mrsinia30648 ай бұрын
Sarafina Jerry you're so smart babe chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉
@chizashungu83648 ай бұрын
Diamond platnumz you are the Best.
@LindaMbilinyi-n3n8 ай бұрын
Hyu jamaa huwa sio muongeaji sana ila akiongea huwa ana sifa muhaya arud nyuma😂😂😂😂😂😂😂khaaaaaaaaa
@georgewilson30228 ай бұрын
Anajikubari sana alafu Amna kitu
@rosemarymsafiri32558 ай бұрын
Yeah ana sifaa kwasabb anazo😂😂
@sirvesterndahani56386 ай бұрын
@@georgewilson3022wewe unanini
@innoboxerboxer38304 ай бұрын
Tofautisha kujikubal na kujisifia af we inakuuma nin?
@PanchoValentino-wh7wt8 ай бұрын
Simba lamasimba Dangote Noma saanA 🎙️📺🎬🎙️
@Bitika-wo7cg8 ай бұрын
Diamond anajua kama unakubaliana na Mimi dondosha Like yako hapo chini
@nelsonmsela71928 ай бұрын
Huyo dada anaye muoji simba anajua sana alafu chibu ni moto 🔥🔥🔥
@ngangamtheboss92428 ай бұрын
Kama salama jabir saut
@amoogaza68258 ай бұрын
Even me nimeona hilo😊
@kizdady25448 ай бұрын
Kweli
@davidcheyo27946 ай бұрын
Mpuuz thu
@BoscoDunia125 ай бұрын
5:15
@snooshzeen7 ай бұрын
Diamond kabisa wewe una ongea vizuri nakupenda kwakuongeya yako nipeni ft na harmonize please twache kuwachonganisha sana nawo
@EdmundChota8 ай бұрын
Any way Kwa mtizamo wangu Mimi Diamond ni kijana mpambanaji saaana,na ana mtizamo wa mbali saana,pia ni kijana asiyekuwa na majungu ya kusengenya wasanii wengine.Big up Mond
@RAJABungulukizi4 ай бұрын
Diamond nakutakia utendaji mwema wa kazi yako mungu akupe siku nyingi
@Joscoman4 ай бұрын
Diamond, wewe una moyo wa utu ila watu hawanagi shukrani, napenda mziki wako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NassorMbwana-wm9de8 ай бұрын
mond anajuwa mwamba kapambana sana mpeni maua yake🌹🌹🌹🌹
@RAZAKIMMALINDA8 ай бұрын
Diamond Platinumz fungua chuo Cha biashara ww uwe lecture utufundishe njia za kibiashara 😂🙏🙌
@ashrafadam46298 ай бұрын
Brother chibu uko vzr mungu akupe umr mrefu, na mafanikio tele, akuepushe na maradhi yenye tiba na yacyo na tiba, unajua sanaaaaa kaka
@patrinasakala93928 ай бұрын
Diamond you are wise ,I like your response there is too much wisdom
@MartinWilondja-x3t8 ай бұрын
Boss nakukubali sana 🧏🏻♂️
@HassanJalala-x2l8 ай бұрын
Huy Binti Asee Anauliza Maswali Ad Lahaa
@faridakahunda58117 ай бұрын
Huyu dada anasauti nzuri kama ya salama Jabir
@NunguL.Magembe8 ай бұрын
Fact sana
@hatangimanaJackson-p3xАй бұрын
Diamond Mungu akubariki sana tena akuongezee siku za kuishi dunia hunabifu namtu
@otbop52997 ай бұрын
Diamond is a master of the game, great at learning from greats thats why he’s great
@rosemarymsafiri32558 ай бұрын
This guy tukubal tu katusaidia kupelek soko letu la mzk kimataifa.soko la mzik analjua vbaya mnoo..🙌🙌🤗
@SalumSeif-p5r8 ай бұрын
Yes, she is good woman who tries to maintain peace and harmony among the people
@anfrashadvertiser48018 ай бұрын
Heyyyy Platnum Mishuuziiiiii😂🤣🤣🤣 nakubali lazima ajambe ukimdiemu mtu
@BawiliemediEzdori3 ай бұрын
Dada Mungu akutangulie kwenye maisha yako nimependa swali za msingi
@VedastoAbdallah5 ай бұрын
Nimekukubar sana mond kwa maelekezo ya upambananaji
@mwarabuofficial52418 ай бұрын
Wasafi brand kubwa but... Title haijakaa poa next time kuwa makini kwenye kichwa cha habari kutype vizuri.
@mpambanajitz70262 ай бұрын
HUYU ni MWAMBA Huyu ni Dereva Huyu ni mwanamume na NUSU SANAA imekaa mahali pake,,mimi naamini kuna siku watajua unajua,ila kwa sasa waache wakuzarau MWAMBA WANGU 💪💪💪
Wamarekani saiv wanatamani kufanya kazi na africa yani wafrica saivi tumekuwa dili 😂😂😂😂😂
@tataLil-i3v8 ай бұрын
Umeisha utamu bro,kwa Mungu hauna hisa
@BranhamMugingi6 ай бұрын
Huko lofa ka nyambe😅
@majutojohn55988 ай бұрын
Kaka unatisha sana waandishi wenye tu wana furah kuku Hoji ❤😅😅😅😅saf sana
@onekisstv84128 ай бұрын
Oya iyo kofia mnaikumbuka au 😂😂😂😂😂
@YushanTz6 ай бұрын
Nakukubali sana brother
@khadjamustafa8 ай бұрын
Kwa hapa Tz hakuna anae mzd mond me naona huyu jamaa kwasasa apambane tu nnje ya nnchi ili taifa letu lzd kujulikana khs kuna konde wao wapambane tu kivyaovyao😊😊