Diamond ana siri za bongo fleva,anazama DM, tumshabikie Diamond kama Mungu Mdogo, Marioo mfalme mpya
Пікірлер: 11
@hamisiviga2750Ай бұрын
True uo ndio ukweli kama unakubaliana na hilo basi gonga like hapa
@user-zn2kx7uj3cАй бұрын
Kama wewe unaona majungu yako hayafanyi kazi bora uunganenae nahuyo marioo hajafikia hata revo za Rava Rava badosana😂😂😂 nautasema🎉
@fazeelshomary8743Ай бұрын
Huyu siku chache nyuma alisema Diamond kashuka na kuwa Rayvanny anamzid Diamond.
@johnmwasilu7087Ай бұрын
Yuko yeye na Master J wote walikuwa wanamponda. Tena Master J alisema wasanii wenye mwelekeo wa international ni Abby Chams na Saraphina tu
@user-zn2kx7uj3cАй бұрын
Hao niwakutapatapa irinao wajurikene katika mitandao wara msiwajaji hawana rorote Simba dangote mungu amweke tu natutaona mengi 🙏🙏❤️❤️
@Ibrahim-ne3inАй бұрын
Kigeugeu sana jamaa
@matiasisilwamba639Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Boyluke-lukeАй бұрын
Yes❤❤❤❤
@ahmadamigeyo3929Ай бұрын
Kwan uyu n nan
@salaahsalaah7787Ай бұрын
Mungu mdogo? Na Salma alipokuwa anakuhoji ulipo tamka tamko la Mungu mdogo yy Salma Jabir hakulipinga hilo lako tamko lako? Shame on you Punzi inakudanganya Mwenyezi Mungu hafananishwi na lolote rudi kwa Mwenyezi Mungu wako omba akusamehe ndugu yangu kabla hujakata punzi yake. Jazakallah khairan 🙏🏿
@tamimuomulungi2102Ай бұрын
Mjinga nn unacheza na mungu ulaaniwe mbwa wew mungu muumbaj au?