Huyo Chley siyo wa mchezo mchezo💪💪💪💪💪💪💪🙌🏽 hongera Diamond Platnumz kwa kuiwakilisha vyema bendera yetu ya 🇹🇿.. 🫡
@kakore_jr2 ай бұрын
KUNAWATU SAHV MZIKI WAO NI KUIMBA NYIMBO ZA MATESO YA MAPENZI😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka hadi basi..... aaaaah wabongo Bana!!!! Yaani mtakufa siku zisizo zenu na mzikwe makaburi yasiokua Yenu
@Ahmed-x1q8w2 ай бұрын
Tega skio kuiskiliza bailando ndio utajua hujui😂😂😂
@lodricophd7282 ай бұрын
😂😂
@BettyNzegenuka-yr5xq2 ай бұрын
Ki ko koooo😂😂😂@@BarbaraPatience-qt9cc
@Rizikialiamechannel7632 ай бұрын
taja ndugu ucogope mtu tha jina tu😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
Hii ni kali zaidi bwana......
@AlfroLyd2 ай бұрын
Nilikuwepo bro, it was amazing DIAMOND PLATINUMZ 💎 Simba lama Simba alipo panda Jukuani
@njoroboihastla2 ай бұрын
🙌🙌🙌SA inampenda diamond ase🚀🚀
@abdulrazack95772 ай бұрын
Hatari sanaa
@ikulunimahalipatakatifu76422 ай бұрын
SAFI SANA MWANA WA AFRICA TANZANIA
@IbrahStaneliy2 ай бұрын
Simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿
@HappyatHome-bn8wm2 ай бұрын
hv ndo ilitakiwa, hv ndyo wanaijeria walituzidi. kufanya ft na wamarekani mziki unaenda
@SifaEmmaАй бұрын
Diamond Platnumz ni African Legend...sio Harmonize Mzee Popo kuroga kazi za Wasanii wengine.. Aibu Tz ❌❌❌😭😭😭
@MuddySalumu-i2l2 ай бұрын
Noma sana
@Brownthekiller2 ай бұрын
Wa kwanzaaa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@EdwinJohn-vo8uf2 ай бұрын
Hatali sana huyu jamaaa
@ray45king842 ай бұрын
Yes.. that was a movie
@PiusWerema-k2y2 ай бұрын
It was amazing guys i enjoyed,kuwa pale 😮😮😮😮
@HamisiKianga2 ай бұрын
Mimi ni mtanzania kwa sasa naishi Mozambique Diamond anatupa heshima kubwa sana
@SamirBSam2 ай бұрын
Namkubali sana CHLEY ANAJUA SAAAANA
@bwalyajr122 ай бұрын
Nilikuwepoo hapoo it's so amazing 😂😂😔
@MhojaSingira2 ай бұрын
Big up
@NoName-pp4lo2 ай бұрын
Naskia dem anaita diamond sana lkn hasikiki😂😂😂
@andrewkilulu2 ай бұрын
Yan Mond kaiweka show Ya Delulo mfukoni mwake 😅😅
@omarykimamure76562 ай бұрын
Walio zan tuta kaa xaiv wana kaa wao..
@othmanibnabdullah2 ай бұрын
Jambo zuri hilo
@stellachalamila74552 ай бұрын
Nakukubari sana buro
@WaziriRamadhan-ML2 ай бұрын
Duuuh bonge la umati wa watu
@SalumuRamadhani-y4y22 күн бұрын
daa.simba alifanya balaa sana nilikuwepo
@marlonstudios44082 ай бұрын
Damn
@kakore_jr2 ай бұрын
MONDI UKIFA HUNUKI😂😂
@AlksvJshd2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@martinjosephat46942 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 hii ni mvi
@fillyberthbayjohnnea64732 ай бұрын
❤
@FrombugendanaTigerАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@PhilemonPaulo2 ай бұрын
mwambino kama mwambino
@amanimuye14512 ай бұрын
Mond kama Arsenal anajua kujua hahahah😊
@kennethbenjamin2752 ай бұрын
Huwa nawashangaa watu kwenda kwenye matamasha hayo naona kujiumiza na kupoteza hela tu
@SaimoAbusei2 ай бұрын
Wewe kabuku sio wote walala nje kama wewe
@adiaygo85462 ай бұрын
Hayakuhusu 😂
@bakarially2532 ай бұрын
Haya ni maneno ya mtu ambaye amepanga na mwisho wa mwezi umefika wakati hana pesa ya kulipia nyumba sasa anajitahidi kujifaridi na kuonyesha Kuwa yeye yupo serious dogo tafuta pesa roho mbaya na chuku ni dalili za umasikini
@fabianjohnas23282 ай бұрын
@@SaimoAbusei🤣🤣😁 we jamaa miyeyusho sana
@MrTop-wj7no2 ай бұрын
Hujui kitu kaa pembeni
@eleven-in5qw2 ай бұрын
Ingekuwa mwaisa angeongea mwaka mzima
@harrietmuzaki2 ай бұрын
❤❤❤
@RoseMadatta2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿
@mwajinawhite65022 ай бұрын
Iiii ndio show kubwa kuwai kuotokea Kwa mondi
@HijaRashid-g4q2 ай бұрын
aangalie tu simba asije akachenyetwa
@cristianofabiao5372 ай бұрын
Anajipendekeza
@FatumaKipita-h4l2 ай бұрын
Mamba uyu
@gwidjiqshabani20822 ай бұрын
MSIJISAULISH UYO DOMO WENU KISHA LIWA MALINDA😂
@salumualoyce56202 ай бұрын
Nilitegemea kuona unapost kipande ambacho Diamond akiperform badala yake umeweka kipande cha Chely.
@josephvenus32592 ай бұрын
Simba NI number 1 all AFRICA 🎉🎉🎉 na wakubisha na abishe maanà WENGINE NI wabishi toka mkiwa tumboni mwa mama ZENU 😂😂😂
@regannicholaus22242 ай бұрын
Sasa hiki kilikuwa kikundi cha wahuni walio Amua kuleta Fujo jukwaani
@MrTop-wj7no2 ай бұрын
Huo ni muziki Amapiano sio Slow ukitaka kusinzia ukumbini nenda kamsikilize Celine dion
@kilimanjarotv2552 ай бұрын
account ya KZbin YA JAYMELODY HAIPO MBONA nasach ngoma zake sizioni sns muulize nn shida
@njoroboihastla2 ай бұрын
Kuna Mtu ametoa Nyimbo inaitwa chibaba nyie🙌😂😂😂
@NasoroOmary-tx5uo2 ай бұрын
Huo umbea sasa
@AsheryMahayu2 ай бұрын
😂😂😂
@njoroboihastla2 ай бұрын
@@NasoroOmary-tx5uo 😂 hapanaa kaka
@njoroboihastla2 ай бұрын
@@AsheryMahayu noma😂😂
@habarugiraRodrigue2 ай бұрын
Kumbe kaalikwa 😂
@eleven-in5qw2 ай бұрын
Huu wivu chunguza usiwe kwenye ukoo mzima
@MrTop-wj7no2 ай бұрын
Kwani kina Davido si walialikwa na kina Chris?
@dismasdastan54932 ай бұрын
Hapo sijui wanafundisha au ina maana gani?...
@DamasLehani2 ай бұрын
Mbona watu si wengi zaidi
@JacksonLuwumba2 ай бұрын
kjaze www
@tariqkhassim40592 ай бұрын
WATANZANIA SJUI UPUNGUAN UTAWAISHA LINI KO SHOW YA JASON WE IKIWA NA WATU WENGI AU WACHACHE WE ITAKULIPIA KODI AU ITAKUONGEZEA NGUVU ZA KIUME😂
@davidsika52922 ай бұрын
Yaaan kuna watanzania wajinga saaana
@BarbaraPatience-qt9cc2 ай бұрын
Unakichaa
@SaimoAbusei2 ай бұрын
Ivi unamacho lakini uyatumii binadamu kweli wifu aitakumaliza wewe umbwa
@MorrisErenest2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@dismasdastan54932 ай бұрын
Hiyo nyimbo haina maadili yoyote
@IssaIssa-h1d2 ай бұрын
Sasa apo diamond atanifanya niyakwake
@VitusEmmanuel-pe3yi2 ай бұрын
Mzee wa kubebwa kashazeek Hana uwezo pekeake
@SaimoAbusei2 ай бұрын
Mzee wakubebwa babako no sense
@alisuleiman-d7r2 ай бұрын
Naenda na ww ukabebwe😅😅😅😅
@mbezzoprince94622 ай бұрын
Enda ubebwe na wew kenge
@Anthonyzombie-d2s2 ай бұрын
Wamakond mtakuf kw wivu,huy mond hamtomfikia kamwe
@DamasLehani2 ай бұрын
Shooo kama ya harmonize Toronto
@chizashungu83642 ай бұрын
Harmonize ni nani katika dunia hii.Aendelee tu kujipatia riziki yake inatosha..Ali kiba,harmonize,mbosso,rayvanny,Ben pol,Aslay,jay melody namarioo,Nancybbillnas,jux,Maua sama,phina,lavlava,dvoice hawa watabaki kuwa wasanii wenu kuwatuburudisha humu ndani ya nchi.Huko Duniani muacheni THE BIG ONE. DIAMOND PLATNUMZ NDIYO MWENYE VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA.ASANTENI KWA KUELEWA.