Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz #bingoonlinetz #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1
Пікірлер: 92
@erickrichard737214 күн бұрын
Nakukubali sana kaka yangu uko vizuri alafu leo umetukumbusha uliko toka nyimbo zako zazamani nikali sana na nzuri sana broo umetisha sana ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mohammadoman896314 күн бұрын
Zuchu mstarabu sana na atapata mwanaume mzuri mwenye tabia anazozipenda
@tanzcanmediatv447313 күн бұрын
Ila ni too much insecure sasa diamond na sara walifanyaje kibaya
@muhsiniissa81516 күн бұрын
Angekua mstaarabu asingeishi na mwanamme bila ndoa,Ayo ndo malipo ya uzinzi
@mohammadoman89636 күн бұрын
@@muhsiniissa8151 fanya yako kaka hayo shashapita watu tushasahau
@tanzcanmediatv44735 күн бұрын
Uzinzi ni ustaarabu.kuachisha mahusiano ya watu ndio ustarabu this is karma bebi alijiona mungu mtu kwendraaa
@fuadaladawi125515 күн бұрын
Diamond never change to gold.you are good as your songs. ❤it
@user-rb2hn4ii1l7 күн бұрын
Zuchu hakufai kabisa ,mm km mkenya namuombea zuchu apte mume mwenye tabia zuri n heshima tena mpole anaemuogopa mungu ,,diamond ynywe we umbwa😅😅😅
@fuadaladawi125515 күн бұрын
Diamond utauwa watu.nice songs
@MoudmaJamesBarry-rk9dh14 күн бұрын
Diamonds tu es le meilleur je t'aime de tout mon cœur ❤️💓💓❤️
@MaxwellLilinga14 күн бұрын
Lion of music akuna anaeweza kuinatain kama huyu ndume 🎉🎉❤
@ashaali134311 күн бұрын
All the way from Kenya mondi never dessapoint us always on top old iz gold my super star
Mondi anapambanaga kwakwel na ana mwili wake usiochosha.😅😅
@mohammadoman896314 күн бұрын
😂😂😂aimba kwa uchungu nenda zuchu asikusumbuwe huyu chura nakupenda zuchu❤
@NdayishimiyeAmissi-el4vr15 күн бұрын
Big up saan bro
@nyandatesther604514 күн бұрын
Sasa this time umefanyia Zuchu nini 😂😂 wewe na kusumbua kusumbua mtoto wa Zanzibar jamani
@user-xl3kb9lx9j10 күн бұрын
Yan usije kunenepa dimond,ivo unanoga sana naunapendeza mwache homonaiz liwe jibonge😂 nakukubali diamond Kam nipo apo Yan kweny show❤❤
@user-jl8ff2fz4m15 күн бұрын
Mond uko nangoma mingi tena nzuri sana ilesiku utakufa utakumbukwa sana zaidi ya kanumba
@user-ch2it3qt5z15 күн бұрын
Huyu nd msaniii anaejua kucheza na jukwaa sio yule Chibonge dar ad😂 aibu akiwa jukwaan
@sadickponera246415 күн бұрын
Blooo fatilia konde boy live band hajawahi kufaa na hamna msanii wa kumkata kibongo bongo labda niger mana jamaa anafanya afrobeat so ya n live band yake fatilia kwa umakini utajua apa hamna msan ujanja ujanja tu😅
@raymondfrancis792114 күн бұрын
A legend, at his prime, a pure artist.
@WahidaHilaly13 күн бұрын
Simba la masimba Dangote ❤❤❤❤❤
@Dotto-hp3qf14 күн бұрын
Nyimbo naipenda sana....moyo unanidundadunda ngoma kali saaana hii ukimuona
@RehemambodzeJefa-bw8vv15 күн бұрын
Nice songs
@user-cy2kb4xf1y14 күн бұрын
nice song simbaa ?
@FatmaKambanga-cj4wn15 күн бұрын
😂😂😂Alie Sikia Kicheko Na Akaambiwa Mondi Na Bado Tujuane
@yusternyirenda723115 күн бұрын
😂😂😂 tena kuna mwingine kamwambia acha umalaya zuchu atakuacha 😂😂😂
To be honest diamond alikuwa msanii bora kwangu.kati kati alianza kuyumba nikawa simuelewi bro Jana show alopiga thanks nimerudi Kwa moyo wote
@tanzcanmediatv447313 күн бұрын
Inatokea yupo api.yaani live anaweza kabisa sema show zingine huwa anaperform zaidi yaani kuonesha kipaji kingine cha kucheza
@vanessastafford642615 күн бұрын
Vocal zipo on point, salut you never disappoint. Performance of the year.
@user-ch2it3qt5z15 күн бұрын
Ww unaachagwa ad ww nd unawaacha😂😂?
@ByronMwangi8 күн бұрын
Kaka diamond tulia usiwe na pupa mampenzi ni kidoda
@mossesgadiye22007 күн бұрын
Huyu jamaa anazeeka vibaya kama Ronaldo 😂
@imeldachaula732814 күн бұрын
❤❤❤❤
@HalimaMohammed-wv7uf15 күн бұрын
na bado
@alisaidahamed806515 күн бұрын
Simba 🦁 Dangonte 🎤🎸🎼🎶 🎩🧎👌👌🌟🌟🌟🌟🦁❤❤❤
@HogaMasunga-ec2jw11 күн бұрын
Hongera unachek na kufurah hata kam upo na majonzi
@radhinamedi83013 күн бұрын
Mnaosema zuchu mbaya huyu mwamba amemtafuta zuchu coz amemfananisha na sara
@user-lq6mt5ji4l14 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉💯
@jackmupenda230712 күн бұрын
Wapi tabani Mondi
@LuluMideko14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@user-jg5xb4kp6e15 күн бұрын
Mond uko vizur sana❤❤❤❤❤❤
@user-mi9ix6ce1q11 күн бұрын
Zuchu kwani alikuwa wapi hapo 😂😢😢 nani anakumbuka ule wimbo wa zuchu akiwachana mashabiki wanafiki eti ( mtasubiri sanaaa waliosema titaachana watasubili sana 😂😂😂😢😢)
@Honest-nt4sb13 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@chrisbonfils402415 күн бұрын
Ivi Sepetu alimfanyiaga nini?
@StanleyaStella15 күн бұрын
Anampendaga tu ajamsahau
@user-mc3fc6jm9g11 күн бұрын
Alitoa mimba 😢 nasikia
@user-wi4nb7fg8v10 күн бұрын
Achana na hako katumbili hakazidi Zari hata kidogo acha kaondoke na kasirudi katumbili kale wako ni Zari mama Tifa na Nilani
@zabibunkya369013 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@julianmsele388014 күн бұрын
we jamaa nicconect na mungu wakoo😅
@user-bw8un9ds6t5 күн бұрын
Tatizo lako Simba ww hujui wataka nn kwenye mapenzi hebu jaribu kutafakari ulivyofanya ww angefanya zuchu ungeskiaje
@iamchusse13 күн бұрын
mjanja mjanja 😂😂
@Nihadshighadi14 күн бұрын
Tuko pamoja na ww mpka akustephenkanumba😆
@user-xf4zk7sr2l11 күн бұрын
Kumbe ameachwa kabla hata ya Sarah kupandishwa stejini watakuwa wanamagomvi yao ya kabla
@tuyisengesamuel416110 күн бұрын
Umenitoa chozi la kulia
@mohammadoman896314 күн бұрын
Ww mwenyewe unasababisha hayo yote mwanaume unatamaa sana hakuna mwanamke anayeweza kukustahamilia ww una tabia mbaya sana mie mwenyewe nafurahi kabisa zuchu akiwa hayuko na wewe maana unamkera tu hujui hata heshima ya mapenzi
@tanzcanmediatv447313 күн бұрын
Kaondoke nako katakuja fia kitandani afu zari na esma wamesema kabeba mabegi atarud
@slimtea311914 күн бұрын
Na ununue mshipi😂😂 don't let Zuchu go...muoe❣️
@fahmymalik215012 күн бұрын
@diamond bro hao ni goro la lesso wastamili tu uowe utulia bro nakuobea lazima nikija dar nikutafute niko na maogezi na wewe
@jeaninentabangana597210 күн бұрын
Unajitakia mwenyewe radiation kwa mkenya wako mnaendana
@MariamNecmi-cy2jl11 күн бұрын
Kiki ni nyingi mno ila Simba na zuchu hawawezi kutengana ngoja tuone wapeni wiki tu mtaona wapo wote Kwa Sasa ni hasira na mawivu tu
@awadhijumaa93913 күн бұрын
napenda hiz ngoma aseeeh 🙌🙌🙌
@tanzcanmediatv447313 күн бұрын
Eiw wanaosemaga hajui live wachawi
@mariamkai270515 күн бұрын
Tudia Misa ndio mumependezana
@rabiaidrisa587112 күн бұрын
Diamond ni msanii na wewe zuchu ni msanii kwanini unashindwa kuelewa kua hayo nimambo yakawaida tu
@ZaberraEmmanuel14 күн бұрын
😅
@IsakGeofrey-gm3mz14 күн бұрын
Moja kwa moja vijembe kwa Zuu, manak ndo basi zuu?????😢maskini zuu
@mohammadoman896314 күн бұрын
Hamna neno zuchu fanya kazi mwaume gani km upupu aende tu zuchu enjoy
@NemessiJoseph-cl6xl11 күн бұрын
Huy. Ndo diamond platinam ss. Huyu hapa❤❤
@danielhaongahaonga212614 күн бұрын
Daaaaaaaah nyimbo zanitoa machozii yanii zote hizi ninzoo haziwahy kuvujaaq
@amina2044amin-zv2gh6 күн бұрын
Wie onthou die 🙏🙏🙏🥰🥰🥰😘😘🥰🥰🥰🥰🥰😘💯🍫 and 😮😢
@stellajohannsen9914 күн бұрын
Simba baba tunakupenda sana kwanza unajuwa kumutumizia mwanake la pili uko saw kwa mziki hata kwenye jukwaa mwanamke asikutiche sisi tunakuombea kwa baba mungu akupe guvu kwenye kipaji hiki cha muziki ili nas tanzania tusonge mbele siyo kila wakati jilani zetu au wengine wanajulikana.simba najuwa utaumia sana ila vumilia angalia muziki kwa sasa .utapata mwingine simba ❤❤❤❤
@user-hi8le2vb7z15 күн бұрын
DAI HANA KIPAJI CHA KUIMBA LIVE ZAIDI YA NYIMBO 1
@yusternyirenda723115 күн бұрын
Kwa hiyo wewe unapata hasara gani?? kikubwa amepata pesa hayo mengine hayamsaidii
@user-hi8le2vb7z15 күн бұрын
@@yusternyirenda7231 we ujui mzik pita kushoto,,,uliamua tu kumshabikia dai ukajiona ushamaliza,,si wenzio tunashabikia wote,,acha kupingana na ukweli
@user-we1wf7ec3i15 күн бұрын
Iyo moja imetokea ki vip nawakati Hana kipaji? acha fitna!
@shamamamalisa651315 күн бұрын
Hahaha atakua kalewa hajui alicho kiandika hajui maana ya hana
@user-hi8le2vb7z15 күн бұрын
@@user-we1wf7ec3i MI SIBISHANI NA WATU WANAOUPINGA UKWELO,,NEVA