MALALAMIKO YA ZUCHU YAFIKA USTAWI WA JAMII/KUNYANYASWA NA BOSS WAKE/DIAMOND/MWIJAKU APELEKA MEZANI #carrymastorytv #MWIJAKU #ZUCHU #diamondplatnumz #MALALAMIKOYAZUCHU #ZUCHUKUNYANYASWA #DIAMONDZUCHU #MWIJAKUZUCHU #
Пікірлер: 136
@graceamadi109625 күн бұрын
First time to hear mwijaku being positive on zuchu and ready to help, bravo sir she needs help and
@safiasaleh66920 күн бұрын
Yupo right viip kwani wameoana ao wahusika anashadidia zinaa tu mambo yake ovyo kujifanya anajua dini lkn anajisahau ......ovyooooooooooo
@angelabanzi825325 күн бұрын
Uko vizuri Mwijaku umetoa ushauri mzuri, Ustawi ni mkombozi wa changamoto
@user-zz7jr7yj9m26 күн бұрын
Mwijakuuu mtuuu wa Maanaaa sanaaa 😂😂
@chusseboywcb280825 күн бұрын
Hapo nasimama naww mwijaku🙏🙏🙏
@jacklinelyimo740725 күн бұрын
Umefnya vizuri kabisa Mwijaku
@vanessastafford642620 күн бұрын
Safi sana Mwijaku. Zuchu ajuwe dhamani yake. Yule Kaka madanga waliokubuhu wamemuacha.
@user-bw8un9ds6t20 күн бұрын
Mwijaku Allah akuhifadhi na akupe moyo huo huo umefanya jambo zuri sn
@cheiknamouna205819 күн бұрын
Mbona hukumsaidia kajala na harmonize tupate kununua bando😂😂😂
@qamaryasalim953126 күн бұрын
Safi sana mwijaku ❤❤❤
@dennischarles852425 күн бұрын
Much respect DC
@user-ct7vm7bq9w25 күн бұрын
Yaani toka nikufatilie leo hii umefanya jambo la maana saana msaidie huyu Bint anaweza kupata hatataki hatari saana maskini zuchu anamtihani kwakweli. Asante saana mwijaku
@user-tp7bz9ep2l26 күн бұрын
Nikweli mondi atampoteza zuchu kwa kweli Ana upendo
@ngambikomsu6426 күн бұрын
Mwijaku we ni 🔥. Ila una kiherehereeer.
@laurad3225 күн бұрын
Hahaha umenchekesha😂😂kiherehere
@righitkileo25 күн бұрын
Mmh! Strees mwiko Tanzania kwan Ustaw kunani jaman
@margarethpolepole743820 күн бұрын
Atapata nini kutembea na Boss wake huo ni Umalaya wake wenzie wangapi wamepita humo mbona wameachwa na yeye aondoke akajitegemee kama wenzie wakina Zali Mobeto nk na wamezaa watoto acha akione cha moto
@margarethpolepole743820 күн бұрын
Yeye ni mpumbavu kwanini stembee na Boss wake hajui amepoteza haki zake skitaka kuondoka apatta
@shukrishuu967225 күн бұрын
Wah si nimecheka Mwijaku kiherehere itakumaliza
@user-wo2sb9dv3e19 күн бұрын
Kwani huyo zuchu ni mtoto jamani? Ya kwmba hajitambuiii angefunga ndoa ingekuwaje?
Haji kweli unaungana na sheria za uzinzi jee watu kama hawa uislamu unasemaje chungeni mpinga kristo
@HeritierMakemba-ux5im26 күн бұрын
Wwe mwijaku kinacho kuhusu ni nini ebu achafujo wwe nihaduyi wa diamond tuna juwa, I'm from DRC congo 🇨🇩
@spreadlove530025 күн бұрын
Wewee mwijako upo ofisini kwa watu na still upo busy na simu 😮😮😮
@stevensosipita17 күн бұрын
KWANI ALIKUWA MKEWE YAANI WABONGO PUMBAVU KABISA HOVYOOOOO
@hanifamziray27725 күн бұрын
Kwani.umetumwa au.umbea wako lala ukojoe.achana na mambo ya w2
@user-pu6pr5jt4n25 күн бұрын
😂😂😂😂ILA mwijaku hampendi daimond jaman au Kiki ya kumuattack SIMBAAAAA.
@duasufiani278225 күн бұрын
Mond ana uluma Sana anakumbuka alikotoka kumtambulisha Dem wazamani ndio kalala nae kwani?mbona kwa hawa aijakua ivi Sasa mnataka alipwe au mondi achapwe
Haki nchi ina uhuru sana dah! Sijui anko Magu yukoje huko dah..
@mohammadoman896325 күн бұрын
Asante mwinjaku kwa kumsaidia zuchu kwa kweli anapitia changamoto pia huyo diamond mlizeni kwa nini anachezea watoto wa watu maana mie pia imenikera sana
@trice_yanga22 күн бұрын
wanataka wao kwani lazima kua nae😂
@mohammadoman896322 күн бұрын
@@trice_yanga hakuna mwanamke anayelazimisha penzi na hasa mwanaume asiyempenda. Hakuna mwanamke wa hivyo diamond anampenda lkn dunia ndio bado nyingi moyoni mwake
@trice_yanga22 күн бұрын
@@mohammadoman8963 Sasa zuchu si amuache hivi ukishasikia kauli ya mm nikikuchoka nakuchapa matukio unaondoka mwenyewe Sasa matukio yenyewe ndo km Yale mara kampandisha ex wake hapo akili mkichwa Kwa zuchu
@felistaantoni544626 күн бұрын
Ila Kaka wewe ni chawa mnafki mkubwa wewe huna kazi za kufanya huyo unayemzungumzia kaolewa na Nani
@mohammedkombo979826 күн бұрын
Mwinjaku yupo right na sheria za Tanzania hata UK 🇬🇧, kwa sheria hii ya Discrimination and Abuse… UK unaweza kupiga police 999 .. ?
@fatumasaidi259225 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@trice_yanga22 күн бұрын
sasa mwijaku kwann usimshauri zuchu aachane nae anataka mwenyewe hakuna ulazima wa kia nae asipojali ye moyo wake nan ataukali😂😂😂
@sarahmcharo154826 күн бұрын
ungeanzia kwanza kwenye baraza la kata wanapoishi ili ukutane na baraza la wazee wa usuluishi aaaah
@mwanashaali110922 күн бұрын
Ila wtz jamani
@Abu-Hamza25423 күн бұрын
Ushauri(COUNSELING)🇰🇪
@vanessastafford642620 күн бұрын
Kusaidia watu wakiwa hospital, au kuchanga msibani ni tabia mbaya sana. Ni kuwa fake. DC safi sana.
@RamazaniMulongeca25 күн бұрын
@0:29 Nimerudia mara kadhaaaaaa😂😂😂😂
@ibrahimfarha385325 күн бұрын
Untaka.wawape counselling
@TaarabChannel26 күн бұрын
Njooni na kwangu mufurahie kashkash
@sadikiballack163125 күн бұрын
Uyu demu anaulizwa ajitambulishe kaingia kwenye mada mala moja
@rehmahamishamismkande434825 күн бұрын
Mbona ulishindwa kumsaidia hamisa alivyoachwa na diamond kapitia mengi mpka mtoto
@YusufDuale-eq4kl26 күн бұрын
Mwijaku yuko sawa mondi anamtumia zuchu kingono.nchi za nje hiyo ni atia kubwa.
@FatimaAli-of4gh26 күн бұрын
Si mtt mdogo Zuchu kashapitisha 18 ni mtu mzima si mwanafunzi si lachagua ndio mtu wake hajambaka eti
@Octavinaelisa-fn6js26 күн бұрын
Ila nikweri nyie kwasababu zuchu sasa ivi amevurugwa kwasababu mambo yamekuwa mengi mala afungiwe anahitaji kuwa na ukaribu wawatu kumshauri
@YusufDuale-eq4kl26 күн бұрын
Ni kweli.ila unamjua mtu womanizer?
@nahyialetomia928425 күн бұрын
Two consenting adults?
@spreadlove530025 күн бұрын
Sasa huko nje ya nchi si mahusiano baina ya colleagues yanakatazwa in the first place?
@user-hi8le2vb7z25 күн бұрын
NYIE HAMNA AKILI,,YANI DAI ATOKE KWA MADEMU WOTE,,KWA ZUCHU NDO MUMUITE MSULUHISHE😅😅,,AFU MSIJITOE UFAHAMU UYO ZUCHU ALIKUWA ANALIWA ILA ANA MKATABA HAPO,MNADHANI KWANN DAI HANA PRESHA,,,UYO DEM ANA HELA YAKE,MSUBIRI MTAONA MENGI,
@graceamadi109625 күн бұрын
Zuchu should not go back to diamond he is a heart breaker and selfish. Zuchu pls concentrate on your work na acha kushinda ukimwimbia diamond nyimbo za mapenzi go international and sing also in english look at tyla acha kuzubaishwa na diamond. Remember
@vanessastafford642620 күн бұрын
Una akili Sana, hope fully atasikia. Aimbe Kwa Kingereza na aanze kwenda nje kurekodi
@RajabuMerci-cq4lb26 күн бұрын
Mwijaku baanaaaa huuuu
@Mina.1525 күн бұрын
Mwajuma na roja kuchaa kama mwambino 😂😂😂
@pillyseleman809026 күн бұрын
Wapatanisha watu ambao hajana ndoa nawe imetoka umra,,,
@nassercurtis957925 күн бұрын
Hivi umeenda shule, mnakera sana wakati mwemgine, anachosema hapa asaidiwe Zuchu na sio hiyo mwenzie na sio upatanisho ila vile anavyoandika zuchu isichuliwe kawaida anaweza akachukua maamuzi mabaya tukasikitika baadae hivyo ikiwezekana kusaidiwa kisaikilojia asaidiwe. Shida huwa hamsikilizi mkaelewa mnakimbilia kuhukumu tu.
@pillyseleman809025 күн бұрын
Ana ugonjwa gani waliozaa nae hawakwenda Kwa ma saikolojia YY ñdio enda saikolojia ,,amtubie mola wake chini ya ushaur wa mama mzaxi
@YannickKayembe-kp8cp26 күн бұрын
Uyu mwijaku akili zake mbona Sio Sawa
@joankosgei62426 күн бұрын
Kiboko ya kudate mfanyikazi wako😅😅.. Diamond kakosa ustaarabu
@ShirfaDigubike24 күн бұрын
Alimtoa mwenzie sasa yamemkuta
@gracekahunda25 күн бұрын
Huyu diamond alikuwa anataka kulizima timbili lake na shusho!!
@user-vv1te9fu8q25 күн бұрын
Na shusho ilikuwaje best
@user-wu8qe4fv4j25 күн бұрын
Tapata aibu subiri uko mjuwaiii loo nyk
@meryamabdullah208125 күн бұрын
Kwani zuchu na daymond wana ndoa au
@munirhassan155925 күн бұрын
Mininaa ameshakushtaki bakwata
@HadijaZabroni-pu1lt25 күн бұрын
Uyu baba 😅😅😅😅
@user-wu8qe4fv4j25 күн бұрын
Umetumwa kimbelembele km maziwa
@thamani584225 күн бұрын
Ahsante Mwijaku
@zuwenaissa308825 күн бұрын
❤❤
@user-qz5yh1dl1n25 күн бұрын
Mwijaku na x yake ilikuwaje na mininaa
@MelaniaKulaya-eg3qo25 күн бұрын
Hana lolote eti anamtetea zuchu mfyuu aache kusema ameenda kwaofisi yashemeji yake kumtangazia biashara yake ajulikane mjini 😂😂😂
@agwalubifaridah707925 күн бұрын
Ww wazazi ya menina hawakwenda kuomba msaada ulipo mnyanyasa.menina ?mchewww
@mwanas226 күн бұрын
Bongo sihami😅😅😅😅
@user-tp7bz9ep2l26 күн бұрын
Uyu domo ata tupotezea zuchu yan
@user-qz5yh1dl1n25 күн бұрын
Mwijaku bale
@naimanimo492525 күн бұрын
Diamond fears this man
@vanessastafford642620 күн бұрын
Ana kiherehere lakini he sees Diamond exactly the way he is. Zuchu need support ili spare ujasili wa kutokurudi.
Nenda ww ija au upajui kila m2 akatazwii kwenda acha mbamba
@CatherineAmos-zw8dx25 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@naimanimo492525 күн бұрын
Diamond is tolerating this man a lot this guy is doing everything to distory his image and his going to go just that way ,or his using this man to send zuchu away
@AMINASAIDI-mx7rs25 күн бұрын
Kweli wewe muikwaju umbea kwani yanakuhusu ?
@magrethmagonza18626 күн бұрын
Huyu mwijaku kawema.anmsqidia.Zuchu sababu ni mwislamu. Mwenzie kwahiyo km sio.muislamu hakusaidii punguzeni.hixi lugha za kutumia udini sana dio lazima mtu akujue wewe una imani gani hatutako mgawanyo.
@Shuu.A26 күн бұрын
Kwani weye kibakuuma nini akisema hivo
@magrethmagonza18625 күн бұрын
Hutakiwi kumsaidia mtu kwa rangi ,kabila au dini ndio maana yangu
@Jassmin-media-official26 күн бұрын
Aliwai kumshitaki Hamo kuhsu paula hivi kweli unaakili mwijaku he is very stupid,
@ShirfaDigubike24 күн бұрын
Umetumwa na mm zuchu wanamtaka daimond amuowe zuchu.mapenzi yanamwisho
@MuniniAdrien25 күн бұрын
Mwijaku umemaliza Kiki ya nyumba yako umeleta ya zuchu hata wewe wakupime
@tatungwele272825 күн бұрын
Mwijaku Anatangaza biashara hiyo
@MJ-rr6dy25 күн бұрын
aliolewa lini, alizaa lini, fanya yako we mbwa acha kiherehere
@user-ik4ki3zo8c26 күн бұрын
Dc😂
@JanethAgustino-on9hr25 күн бұрын
Zuchu kama ulikuwa unafanya kwa ajili ya kiki ndo ujue Mwijakuu kaharibu. Diamond muepuke huyu mwanamme, ni mwiba wa mchongoma kwakk
@ngambikomsu6426 күн бұрын
Yaani wewe umewasha gari lako hadi ofis ya ustawi kwa ajili ya Zuchu,? Nafikiri pia mwijaku ana tatizo la kisaikologia