"DIAMOND Kaburi Ni Tajiri Kuliko Wewe | Waziri Wa Kilimo TANZANIA Kuhusu Kulima Bangi" Wajackoyah

  Рет қаралды 30,068

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@safarichui8551
@safarichui8551 Жыл бұрын
Wajakoyah huweziamini mimi nakukubali sana yaani am your big big fan, much love from Tanzania 🇹🇿
@joharimapunda7678
@joharimapunda7678 Жыл бұрын
Clouds mmetia aibu na mic yenu moja is ishara ya umasikini TV zetu aibuu
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Prof Wajakoya Tanzania tunakupenda mtu wetu…🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@abu-hasheem6422
@abu-hasheem6422 Жыл бұрын
Ni aibu kwa clouds kuwa na ka mic kamoja tu, halafu kila mara wao ni kujifanya wanafungulia watu dunia......
@amosdaniel1327
@amosdaniel1327 Жыл бұрын
Hehehehe
@mrasniga5008
@mrasniga5008 Жыл бұрын
Wajackoya ni mfalume 👊👊
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Bang bn haijawah kumwacha mtu salama
@skromeotv1
@skromeotv1 Жыл бұрын
Wow! Microphone mnazo kweli?
@MunirDaniford
@MunirDaniford 11 ай бұрын
Yupo sahihi sana
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 Жыл бұрын
Clouds ni kituo kikubwa niaibu munatumia mike moja kuna maradhi bbanaa
@GivenTobago
@GivenTobago Жыл бұрын
Smart African
@simonballu1124
@simonballu1124 Жыл бұрын
yaani nyie clouds mnazidiwa ujanja na millard ayo mnatumia mic moja mate kila mtu mmeshindwa kabisa kuboresha hebu mcheki intrview ya millard ayo na lema,
@Hashdough
@Hashdough Жыл бұрын
MTU NNE NDANI YA MIC MOJA
@sadikibukko2852
@sadikibukko2852 Жыл бұрын
Msukuma naye aliongea kuhusu bangi bungen
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Mtoto utakiwi kuingilia ugomvi wa wazazi, kina mama wanazingua Sana ukioa ndo utajua kwann baba alikimbia
@allyfutto8763
@allyfutto8763 Жыл бұрын
Nani kama Baba?
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Huyo ndiye proffessor wa ukweli
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Maproffesor wa political science wa TZ ni nuksi ktk siasa za ugandamizaji wao wapo MSTARI wa mbele kwa maovu
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Kuna mtu alivosikia saa ya 11 million ya kenya akataka aichukue profesa kairudisha
@mizesuleiman1834
@mizesuleiman1834 Жыл бұрын
Wajakoya amewaishimu sana lkn ichi chuma nakijua kingewaripua
@BoNoBo_Tlm
@BoNoBo_Tlm Жыл бұрын
Jamaa anapaswa kuwa raisi wa East Africa ana vision ambayo wenzake wanaidharau Ila ni fursa kweli kwetu
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
hivi huyu mwenye whte ndo Seki ?
@msafirileuna-fi8qo
@msafirileuna-fi8qo Жыл бұрын
Musa hussen
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Huyu kwa kule Kenya ndyo majambazi, wahuni na wapumbavu wachache ambao wanajua kuongoza ni Kama kuongoza wake zao
@evancemkenda161
@evancemkenda161 Жыл бұрын
Mtu akitaka kukutana na professor inawezekana
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Tuliwaambia watalia hawakusikia
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Huku ni machozi tupu...
@mruntouchable-ol3hh
@mruntouchable-ol3hh Жыл бұрын
Mondi kaingiaje sas kwnye interview ya wajakoya kweli mondi ni kama maji usipooga utakunywa
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Amini blood
@feronandsulubu6711
@feronandsulubu6711 Жыл бұрын
Busara kabisa don't wash your dirty linen in public
@maikobruno341
@maikobruno341 Жыл бұрын
Uu ni ujinga na upumbavu mnashauli kulima bangi wakati mazao ya kimkakati yametushinda
@jamesmassawe4888
@jamesmassawe4888 Жыл бұрын
Tatzo lako elimu maiko
@najmahhassanmossy7020
@najmahhassanmossy7020 Жыл бұрын
Na elimu yako yote Bangi imekuweka chali hakili yako haina Afya
@jamesmassawe4888
@jamesmassawe4888 Жыл бұрын
Najmah tulia najua tatzo lako elimi
The Message 1977 Full Movie 1080p HD English subtitles
2:58:10
A Straight Path
Рет қаралды 1,1 МЛН
POLISI DSM YAWANASA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA DSM
9:55
Millard Ayo
Рет қаралды 132 М.