Kila siku nasemaga huyu ni mwili mdogo lakin akili bahari nakama unamkubali diamond acha mabifu acha uoga usione wivu acha kusita gonga like yako hapa👏👏👏
@nairatykasim62506 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@mycoaccid84504 жыл бұрын
Xx
@mycoaccid84504 жыл бұрын
Ngumi muvi
@monicajulius9056 жыл бұрын
Dah aise wewe Kaka utafika mbali kwa roho yako nyeupe,achana na Jay z we ndio jay z wetu,Mungu akubarikia,kama unamkubali simba piga like hapa
@bahatis.mbishi7376 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na azidi kukupa maisha marefu maana niwachache sana mastar au viongozi wanaokumbuka kwao na watu wao bila kujal maisha yao pamoja nakua wapo watu wenye uwezo kuliko ata Diamond kutoa ni moyo.big up sana #diamond platnuz
@Amishjuma6 жыл бұрын
MashaAllah vizuri sana diamond watching 4rom Dubai--Abudhabi.
@briebella38956 жыл бұрын
Love you baba tee una roho nzuri mwenyezi Mungu akuzidishie Baraka na uzima
@danielyohane94416 жыл бұрын
kama umekubali kitu ambacho kafanya chibu leo gonga like hapa
@magesatubeti33526 жыл бұрын
daniel yohane yap
@emmyyahya83586 жыл бұрын
Big up kwa simba mungu akuzidishie pia akufanyie wepesi ufanye na ibada inshallah
@MA-md9ns6 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kukujalia kila la kheri Diamond. Na mungu akupe kikubwa zaidi ❤❤❤❤❤
@سبحانالله-ح7د6 жыл бұрын
Mungu kakujalia broo Alhamdulillah. Mungu akuzidishie mengi ya kher duniani na akhera
@suleimankiumwa53286 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie nasibu jamaniii unamoyo sana diamond
@ramadhanimandanje19906 жыл бұрын
nimeipenda sana hii diamond mungu akudhidishie heli na baraka
@didacekishuga43386 жыл бұрын
"Umenikumbusha maandiko matakatifu yanayosema Cheka na wachekao Lia na waliao" hakika ulichokifanya Mond hakunaga!!! Chezea boy from Tandare wewe, nimeipenda saaaaana hii
@nickmuriz94476 жыл бұрын
Kazi nzuri Diamond watching from Dubai keep up bro.
@sadiaadansadiaadan4496 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akusaidie na akuzidishie kwa kutowa zawadi kwa watoto na piya kwa watu wazima ume fanya kitu kizuri sana diamond
@fatmahchambo20376 жыл бұрын
MashaAllah... salute platnumz, big up...keep it up. Umefunika mbaya.... #Tandale oyeeeeeee....!!!!
@troubleabhat21906 жыл бұрын
Diamond unapendeza lakni hayo mambo ya vipuli na vikuku style za nywele Acha kanzu Mashallah imekupendeza Sana hongera Kwa hapo
@patrasisrael75666 жыл бұрын
GOD bless u diamond platinumz goodluck in everything u are doing big up bro
@stevenpeter22606 жыл бұрын
Hongera sana Diamond, unahuzuni mpaka uso unaonyesha. Furahia kwani hatuwezi kulingana, ulichokifanya kikubwa sana.
@janethamos78196 жыл бұрын
ongera diamond
@mymama14346 жыл бұрын
Steven Peter mie pia namuona.. kama anaeumia
@janaitssa82606 жыл бұрын
mungu akubariki akuzishiye ambapo ulitowa baba👌👌❤❤
@andreamzigua68186 жыл бұрын
aafi sana SIMBA wewe nimfano mzur ktk jamii asie penda hili jambo nimchawi na mfizur ,mungu akuingezee unapo punguziwa.
Hongera sana Diamond mungu akuzidishie kwa kidogo ulichotoa
@georgemgomba65076 жыл бұрын
Diamond huyu Dogo ana IQ kubwa sana na pia ni kijana tofauti mno kila nikitazama trend yake namuona mbali sana Mungu akipenda Ten years to come,Afrika na Dunia nzima tutaelewana ,Go go go Diamond.Mungu akubariki sana.
@revinamussa73206 жыл бұрын
Uyo Kaka anamoyo snaa aiseee mwenyezi mungu akupe Zaid ya hvy unavyotoa baba Tiffany
@tatianatataa14896 жыл бұрын
Diamond ni mfano mwema kwa jamii, umenikumbusha Ali Banat
@stifanicdzuya1656 жыл бұрын
Jackie chao wacha kumfananisha Ali Banat na Diamond plz,Ni ukitowa mkono wa kulia wa kushoto usione y ukusanye media wakati unantia, toa kwa LILLAHI media yako iwe n mungu tu,Ali was great
@tatianatataa14896 жыл бұрын
Stifanic Dzuya hata Ali Banat alikuwa anatangaza kote, sijui lipi la ajabu kwako...Diamond is doing great too
@maatumkhatibmohamed69846 жыл бұрын
Ali banat aliuza Mali yake kwa ajil ya Allah na akafungua taasisi yake ambayo inawasaidia waislamu.Na Akutoa kwa ajili ya kujionesha Alitoa kwa misingi ya Haki ya dini ya kislamu.Allah amrehemu ampee kauli thabit alipee nuru kaburi lake.Amiin
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Stifanic Dzuya Exactly my dear Ali Banat uwezi mfananisha na uyu, ila Diamond nae anajitahidi pia, aswa kwa family yake
@tatianatataa14896 жыл бұрын
Nilisema diamond amenikumbusha Ali, didn’t say diamond is Ali... get the difference
@maryamtv27126 жыл бұрын
Mashallah diamond ana huruma na watanzania ana wapenda pia mungu akubarik
@perismcute51396 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzindishie..big up Diamond
@vicenttz76626 жыл бұрын
diamond nakukubali sana mzazi mm xina mengi yakuongea zaidi ya kukuombea
@edwinernest20126 жыл бұрын
Diamond Mungu akuzidishie! Nakumbuka jinsi ulivyojitoa pia kuchangia madawati 600 na jinsi unavyowasaidia vijana kupitia wcb.
@roseamal66946 жыл бұрын
That made me sad that he is unhappy with his life. Only God can give you peace, Joy and love. Seek him. Praying for you Diamond.
@sharonmutua25156 жыл бұрын
Congratulations babake pokea zangu from Qatar
@suhailalbastaki55316 жыл бұрын
woow diamond baraka tele kaka ni vyema kushare eid tukufu barikiwa na uzidishiwe
@maswetabongomovie3026 жыл бұрын
ASSALAAMU ALAIKUM WA RAHMATHULLAHI WA BARKATHUHU EID MUBARK. Mashaallah mwenyez mungu akupe nguvu na afya uzidishiwe riziki Inshallah
@kelly-drichfabrice99576 жыл бұрын
Diamond platnumz boy from tandale uko fito na kuku bali
@alimustapha90706 жыл бұрын
hongera sana diamond mungu atakulipa unachotoa inshaaaalah
@bonfilsjoseph38676 жыл бұрын
fabrice ndaikeza 🙄😂😂😂 haha
@zainabswaleh49076 жыл бұрын
Mashallah allah barik
@jamalilailu61854 жыл бұрын
Vzr
@ruttenange92136 жыл бұрын
Wow God bless you bro.Big up 👏👏
@jacklinelyimo74076 жыл бұрын
Nampenda ksb akihojiwa anaongei kutoka moyoni kwenye vyombo vya habari napenda sana ulivyo una moyo wa upendo
@sadathasan91656 жыл бұрын
kwamwendo huu braza utafika mbali mungu nimwema
@haithamabdallah10516 жыл бұрын
Allah akuzidishie palipopungua nami natamani niwe kama wewe wallah lakn bado maisha magumu
@shiksshiks84946 жыл бұрын
Nani anakata vitunguu hapa najipata nalia oiye dai nakuombea sana despite unavyoongelelewa kwa mitandao....u are really a nice guy God bless you baba tee
@shiksshiks84946 жыл бұрын
PATRICK PIUS good Sana simba 100 kabisa
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
Hongera sana SIMBA 👏👏
@liborymulunga44656 жыл бұрын
Food shelter and clothes.. Jinsi ulivyoitaja u r genius
@darisimauridi81836 жыл бұрын
Duuuh! jamaa ana moyo wa pekee sana yan mungu akuzidishie chibu
@davidykawau46986 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuwezesha Mr D
@hoseanobocka45336 жыл бұрын
Mungu akubariki Diamond hakika ukifanya hivi utafanikiwa xana Nasibu
@esthermbilinyi94176 жыл бұрын
hadi nimetoa machozi diomond hajisiki anajua kujishusha MUNGU AKUBARIKI SANASANA
@graceleonard61506 жыл бұрын
We mtoto diamond Mungu akubaliki
@magrethfrank16666 жыл бұрын
Grace Leonard mungu akuzidishie
@ablahasa12336 жыл бұрын
Mashaallah day Mungu akuongezee
@danielyohane94416 жыл бұрын
you have a Good heart those are more blessings to your generation
@elizsbethrobert71616 жыл бұрын
Mimi Niko mikoani natamani nami ningekuwepo Mungu akuzidishie
@tellymapito87266 жыл бұрын
Wenye loho mbaya ladhima waongee we jamaa ukifana bongo freva lazima iyumbe mungu akupe maisha marefu nakupenda sana ww na crstian Ronald sababu mjituma sana
@bonosaugustine52776 жыл бұрын
really mi pia cr7 na platnumz nawakubali
@nackymshana63846 жыл бұрын
ongera sana daimond mungu atakuzidishia inshallaah
@mrishojoseph79876 жыл бұрын
Haijalishi ni kiasi gani unatoa kwa watu bali ni kiasi gani cha upendo unaweka kwenye kutoa mungu akusimamie kwenye kila jema unalofanya ni wachache sana wenye moyo kama wako🙏
@امينهامينه-ع6ه6 жыл бұрын
jaman kaka ghangu daimond mungu akujalie ridhiki biidhinillh
@egnokapinga49036 жыл бұрын
Tunapoandika jina la "Mungu" tunaanza kwa herufi kubwa.
@divinahkemunto14296 жыл бұрын
I LOVE this,,,God bless
@hawashabani61506 жыл бұрын
Mungu akubali sana diamond
@mpendwalove43906 жыл бұрын
You have done such an amazing thing.....big up and congrats
@lillianmarco13016 жыл бұрын
Jmn dizzim hamna mshahara mzuri at all..how come uyu dada habadilishi wigi wiki ya ngapi cjui
@leonardebumbuli17686 жыл бұрын
Kazi nzuri....live long Diamond platinum
@abdarahnzilaiwe44815 жыл бұрын
Tanzania Yetu sananyama simba
@hassanbadru67566 жыл бұрын
Nilikuwa sijawahi kuwa shabiki wa huyu bwana Nasbu kutokana na kuhisi ni mtu wa kujifahalisha japo sikuwa nikimchukia but from today onwards kwa kitendo hicho Allah akulipe In shaa Allah na utakapo teleza kutoka kwenye misingi akurudishe.# together's one Mfikishieni dua hii
@nikkev36596 жыл бұрын
kazi nzuri mond mungu azidi kukubariki
@terrykamau9026 жыл бұрын
May God bless you with many more 🙏🏼🙏🏼
@tabbydee67196 жыл бұрын
May God bless u Diamond
@yassinabdy89626 жыл бұрын
Dalili ya kutafuta kiti cha kisiasa ,sana sana ubungu,lazima MTU ajisafishie njia aonekane alifanyia jamii kiti flani.,we are watching you closer sir
@gracegody70236 жыл бұрын
Mungu akubariki mwaya
@TarciusMchina6 жыл бұрын
ubarikiwe sana Nasibu na Mungu aikumbuke hazina unayo iweka AMINA
@rehemashafi48096 жыл бұрын
Mungu akujalie baba tee
@sylvanoshauti29616 жыл бұрын
simbaaaaaa,Watanzania wenye roho safi tunajivunia kua na mtu kama ww #Ubarikiwe
@leonolinga46386 жыл бұрын
i think some guys will see the reason why i like platnumz
@oldinarydonard91876 жыл бұрын
Umejibu vizuri sana daimondi
@amyassyassin79096 жыл бұрын
In shaa Allaah waige mazuri yake na wasiige maovu yake.
@hannahwanjiru33516 жыл бұрын
Watching from dubai my God bless you diamond
@allthingdranabeauty6 жыл бұрын
Nampenda roho yke you Kafka na yupo makini kwenye kazi anajituma sana Nampenda tu na muziki wke Lakin mahusiano yke namwachia mwenyewe
@mahenzomariam54336 жыл бұрын
Mashaallah hongera broo naangalia toka aqaba
@flora.damaryamila73136 жыл бұрын
asante sana Diamond kwa kile ambacho umekifanya nimetazama mpaka nikajawa na furaha mwenyezi Mungu akuzidizie na ubarikiwe sana sana
@alquinmadoro80646 жыл бұрын
Hongera sana #simba sema kweli unanifunza mambo mengi pia una niinsipire sana nipambane na kuwa na nidham ,pia kumwomba mungu siku zote
@majaaliwasalum94626 жыл бұрын
Mungu awe nawe diamond
@emanuel41486 жыл бұрын
Daaa! Alivo sema mzee wa upako ni kweli
@irinekaganga47326 жыл бұрын
mungu akuzidixhie
@saidkaoneka26486 жыл бұрын
Jamani ndio maana nimekuona we daimondi mungu akuzidishie
@lucytatu76756 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah......Allah hakujaze
@tnftz14616 жыл бұрын
Hii sawa co wengne mkipata mnashinda kwny maswiming pool mkioga mnatundika pumbu kwny vtanda mnasahau mlipotoka #jahbless
@jamalymigeyo68376 жыл бұрын
ALLAH akuzidishie ulipotoa ishallah
@bilalbinali12276 жыл бұрын
Allah akuzidishie Dai una moyo wa kipekee
@masiqaima30996 жыл бұрын
hongera Sana'a ....
@mbenamdudu78566 жыл бұрын
cool brother much love
@parsleyy6 жыл бұрын
You will shine forever
@ibosenge3306 жыл бұрын
Diamond mashallah Shika dini. Uisilamu ni nguo.
@ibosenge3306 жыл бұрын
Uisilamu ni nguzo
@brightonvalentino90246 жыл бұрын
Tumtakie maisha marefu diamond platinum like kwa kumuonyesha upendo
@codoboy98126 жыл бұрын
Duh hua naxemaga huyu bwana kaletwa na mungu sasa onen
@latifalatifa14346 жыл бұрын
Hongera baba tiffah
@j...8766 жыл бұрын
Mondi keep up,and be blessed!!
@mitomingi82976 жыл бұрын
Mungu akupe mzee Na atakusimamia kwa yote ufanyayo