Diamond platnumz ataja wimbo wa Alikiba anaoupenda zaidi, Alikiba aeshimiwe ni kaka yetu ni KING"

  Рет қаралды 19,730

Mino TV

Mino TV

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 Жыл бұрын
Mnafki uyo domo kwasasa tuko bize na wimbo wa mahaba uwo wimbo wa asali tuna mkabidhi🙌
@Rakripher
@Rakripher Жыл бұрын
Gonga like shabiki wa king
@lengesha7273
@lengesha7273 Жыл бұрын
Gonga like kam unamkubali king kiba
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
kumbe kweli, Chibu kafanya vizuri sana.
@patrickndumba7855
@patrickndumba7855 Жыл бұрын
Diamond Platnumz hana noma...wengine njo wanawivu wamaendeleo yake....love you Mondi...🦁🦁🦁
@dr.bonye1
@dr.bonye1 Жыл бұрын
Jambo zuri tuwaombee wakutane kwenye beat moja🙏
@rajimuashirafa8265
@rajimuashirafa8265 Жыл бұрын
Yani sisi mashabiki wa Ali damuni tunamjua huyo vizuri kaona nyimbo ya mahaba imepokelewa kwa shangwe kubwaaaa mnooo sasa anataka kuizima mahaba kachelewa sana Anadhani anaweza kumpoteza Ali mahaba sio kwamba naisifia ila ni ukweli ni nyimbo imekwenda duniani kwa haraka sanaaaa
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@arleneilunga9202 kabisa
@asiaasia1069
@asiaasia1069 Жыл бұрын
Atakuwa hajui na Bado hiyo ni sizon one 😂😂😂 next time mashabiki wa Ally Kiba tunatakakumuona mondi akipiga magoti akiburuzika kwa magoti mpaka mpaka kwa mfalme wetu wa music TANZANIA 🇹🇿na apeperushe bendera ya team work of KING MUSIC huku akiimba weyback ALLY KIBAMI NALIAAAA😭😭😭NISAMEHE MWEZIOOOO😭😭😭NAOMBA TUFANYE COLLABO KIDOGO 😂😂 ngoja niishie hapo kwaleo ipo siku ya🤣🤣 much love king 👑 Kiba wewe @#WASHA ACHANAO naipenda sana🔥🔥🔥 🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤❤❤
@omaribangu8331
@omaribangu8331 Жыл бұрын
Poa kabisa 👑💪💪🇨🇩🇱🇷🇹🇿
@calvinwilliam-hg5xy
@calvinwilliam-hg5xy Жыл бұрын
Chibudengaaa Diamond platnumz baba wa mziki wa TZ 🔥
@jacksonnguwa749
@jacksonnguwa749 Жыл бұрын
Ngoma Kali Xanaaaah Mahaba
@DayaEric-k4t
@DayaEric-k4t Жыл бұрын
😊😊😊😊
@billgatesdan2526
@billgatesdan2526 Жыл бұрын
Twapenda hivo
@simontv235
@simontv235 Жыл бұрын
Alikiba aachane na uyo dogo ana shobo sana😏😏
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Ati alishikwa n haya tu na hiyo kauli yake ati mauzo mauzo ndo kujua kwani haujaona mtu anaacha mahamri mazuri na kwenda kunnua mabaya
@esaumazua-tx5gn
@esaumazua-tx5gn Жыл бұрын
Hiyo nivita yakibiashala anajalibu kuipoteza mahaba ili isiendelee kutazamwa watu waludi nyuma kuitazama asari mnaokubari hili tujuiane hapa #KZbin NICKOLAI SIMFUKWE
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 Жыл бұрын
Muziki ni burudani ndio maana mimi nasikiliza kila muziki mzuri kutoka kwa kila msanii.🤸
@jumasaid-de4jq
@jumasaid-de4jq Жыл бұрын
Vizuri sana tubadirike 2🇹🇿🇹🇿🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇹🇿
@shiru_choppa7654
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
Kwanzia Leo nitakuwa naangalia insta story za mondi😂😂😂💪
@BellonTiger
@BellonTiger Жыл бұрын
Unyamaaaa
@josehaulee1508
@josehaulee1508 Жыл бұрын
Hawa sio maadui kama munavydhani
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 Жыл бұрын
Uyu jama anatafuta kiki, tulisha zoweya
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 Жыл бұрын
Ameshikwa n haya tu huyo domo mjinga asitudanganye hatutaki ata akifanyaje mpaka aregeshe mistari alyoifuta kwa lla salama
@VictorOsonyo-jt5nl
@VictorOsonyo-jt5nl Жыл бұрын
❤😂🎉🎉😢😢
@angelmwaya9872
@angelmwaya9872 Жыл бұрын
We sadala pita kushoto
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Domo nimuhuni2 anataka tusiifatilie mahaba ili zuch aende
@nestonmarko395
@nestonmarko395 Жыл бұрын
Atakosaje kumsapoti mwenzake? Mondi hanaga noma na mtu
@checheblessum8343
@checheblessum8343 Жыл бұрын
Watu wajagundua alicho kifanya diamond, diamond kaona mahaba Ina trend Kila mahali imepiku yatapita na zuena, mahaba yafanya vizuri Sana Kila mahali sasa kaona akipost hii watu watatoa attention kwa mahaba bt only few will have deep thinking to understand what He has just done...
@ismailferouz8688
@ismailferouz8688 Жыл бұрын
Uyo mnafki you tub kalizika Na kaflai alicho kiona, hapo kapumua nyimbo nyingi anazo zisifia zipo chini yutub Uyo sio mzuri wa roh
@mafutamazurishop1481
@mafutamazurishop1481 Жыл бұрын
Bro unapo tangaz kitu weka tusikie saut zao
@simontv235
@simontv235 Жыл бұрын
ivi umesikiliza vizuli?? umeambiwa Diamond aliongea au aliandika?? upumbavu tu!! muwage mnasikiliza vizuli! unaambiwa Diamond kaandika wewe unataka usikie sauti😁😁😁
@gangjux1234
@gangjux1234 Жыл бұрын
Mu nafki ule
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Wimbo au nyimbo hahahha
@zalhatjuma2794
@zalhatjuma2794 Жыл бұрын
Diamond hana bifu na mtu kabisa yna
@bentoafonsoafonso
@bentoafonsoafonso Жыл бұрын
Watu wengine wajinga kweli sasa unazungumzia mahaba in vews wangapi ndio useme anataka kusimamisha nyimbo hiyo watu bwana ukisuporty shida ukiacha shida fac kabisa nyie
@fanuelyamiry7398
@fanuelyamiry7398 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)
3:18
Alikiba
Рет қаралды 35 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA
5:43
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 4,5 М.
Alikiba - Live performance SIMBA DAY 2024 at (Mkapa Stadium)
5:42
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58
ABDUKIBA AWEKA WAZI KILICHOMPELEKA NYUMBANI KWA DIAMOND PLATNUMZ
30:16
EastAfricaRadio
Рет қаралды 13 М.
Alikiba - Mnyama (Simba SC Anthem)
2:59
Alikiba
Рет қаралды 4,1 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41