Hamna kitu apo acheni kumpamba eti kama Rey c kiuno chenyewe kigumuivyo kama kafungwa mawe dida kajaaliwa mdomo si haba mengine sio riziki 😂😂😂
@bellaniyo6527 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@wennybarny16824 күн бұрын
Hakutaka tu kumwa miuno ya bure
@mwajumalitwe4105 Жыл бұрын
Asanteni wasafi kwakunimalizia mb zangu
@omaar5693 Жыл бұрын
khe we si mwanamke jamani 😅😅😅 walaumu umekosa kuona kiuno
@MaryamSimai-b9f14 күн бұрын
Hatari
@ismailiibrahimu8624 Жыл бұрын
Kiuno kigumuuuuuuu Chokoza Domo sawaaa "Kweli mungu akupi vyote
@kimrudiger44546 сағат бұрын
Kwann wasafi wasiifute video kama hii baada ya Dida kufariki😢
@R10_Rajab Жыл бұрын
Dah huyu mdada bhana 😂😂😂😂Bora nikae kimya tu nisije nikakufuru ila hahahha😅😅
@omarylukindo5306 Жыл бұрын
Mmetafuta sababu za kula mb za watu bure ,kiuno km jiwe,kajaliwa kupiga domo ila sio makalio na nyonga😁
@RobertChacha-hb9re Жыл бұрын
Video yenyew inazingua
@raiyaomary1988 Жыл бұрын
Juma rokore mbaya sana.ndio.nini mwenzio kumfanyia hivyo dida rudi katangaze
@jumarajab5316 Жыл бұрын
kiuno kigumu kuliko maisha yangu
@wanbissaka2228 Жыл бұрын
Nilikua natafuta hio comment😂😂
@jeremiahkapela9859 Жыл бұрын
Hahahahaha daah wanajua kupamba vichwa vya habari aise
@voisaclassic1866 Жыл бұрын
Nasikia dida alikuaga dancer bana wa twanga pepeta zamani
@MiwagoTzАй бұрын
😢
@bahatibushiri1610 Жыл бұрын
Uno lenyewe liko wapi
@SarahAtugonza-n2i20 күн бұрын
Kweli dunian tunapita
@wennybarny16824 күн бұрын
Hapo hakutaka tu kuachia miuno ya bure Angetaka angeyakata mauno siyo kidogo
@daudbusumbi3230Ай бұрын
Management ya wasafi hamtendi haki kwa Dida, Huyu mtu ameshatangulia mbele za hivyo tunatakiwa kutaja mema yake si kwa video hizi.
@ramsonhudson4013Ай бұрын
Bosi hii video imepostiwa mwaka unaisha sasa au unamaanisha waifute?
@dhishaflowers7549Ай бұрын
@@ramsonhudson4013na watafuta ngapi mtandaoni? Tuwe makini kuna leo na kesho utakavyoish ndo utakavyozungumziwa utakapokufa. Alikubal kupostiw na akajipost akiwa hai bila kujali ana leo na kesho....
Zambi zingne zakujitakia mnamdangnya dida wawatu kiuno km Ray c kmbe hkna kitu
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Amna Kiuno Cha Kiume Icho
@HajjCharlesАй бұрын
Wala ajui kukatika
@EriyaRichardАй бұрын
Lakini amesha kufa
@nadirvrs6509 Жыл бұрын
Aaaaaa hana mauno wala nn munasifia ray c ray c , ray c hvy ndio anavyokata mauno hana lolote
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Weweeeeez watu nguyaz sio!!!!!!!
@MaryamSimai-b9f14 күн бұрын
Huyu tajiri gani anikaaa akakata viuno mitaaani
@AliNgao-r3jАй бұрын
Jamani musipost vedio kama hizi huu ni wakati wa kumuombea sana Dida ana taka Dua zenu si kum dhalilisha kwa hizi vedio
@Kutaila99Ай бұрын
Sasa wakat anacheza mbele za watu maana yake ilikua nini kama si kupost ndugu
@T_DariusАй бұрын
Video imepostiwa mwaka mmoja ulopita hivi huwa mnakurupuka kwa nini?
@MamodelParkАй бұрын
Kwani simu yako haionyeshi imepostiwa lini ama kusoma Ndio hujui 🙄
@BenedictNdetoh-pt7ns Жыл бұрын
Kiuno kama mawe
@Winnie-k8rАй бұрын
😢😢😢😢😢Rip
@czechzyamwaga1021 Жыл бұрын
Hakuna uno hapo wala nyonga
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
Kibibi
@putilegamagama6049Ай бұрын
INGEPENDEZA MUNGEIFUTA HII VIDEO, ILI HUKO ALIPO AWE SALAMA ZAIDI. NI OMBI TU KWENU. #wasafi
@MariamHamis-x4tАй бұрын
Mbinguni haifutiki
@MwanaidHusseinАй бұрын
@MariamHamis-x4t yaani wanamfanya Mungu kilaza eti anakumbuka madhambi Kwa kuona video na picha
@putilegamagama6049Ай бұрын
@@MwanaidHussein Dah we acha tu sister
@AishaSuleimani-k5oАй бұрын
Harafu anatokea mtu anasema apunguxike kwa.amani
@khadijaacuteАй бұрын
ND hivi sahiv hatupo nae tena😢
@hallin9561Ай бұрын
Wew ulitaka apumzukaje
@SumaiyaIssa-qh4ct21 күн бұрын
Wewe kwa akili yako Amani itokee wap?? Ikiwa ameacha mambo kama haya kwamatende yapi au kutatika kiuno, kumcha mwenyezi mungu Hilo ni jambo lingine tusichukulie kawaida tu pumzika kwa Aman mmmmmh tufanye ibada tumche mwenyezi mungu tusichukulie vitu kirahisi tu kwavile tushazoea @@hallin9561
@mishwanwanmish8803 Жыл бұрын
Kiuno kigumu km kesi ya makenxi
@fatmajuma8968 Жыл бұрын
😅😅😅
@patricklawrence2568 Жыл бұрын
Mnataka kutuchumia dhambi uno gumuuuuuu
@JosephinaLyimoАй бұрын
Amna kiuno apo msinitie zambini
@MeryMathias-od5mu13 күн бұрын
Udongo huu unafaidi jmn tena dada tesa ameondoka mweee bhagwitu kyala ujue fiki abhikie ukufwa mwee