Dingi acoustic guitar version

  Рет қаралды 18,741

Mandojo na Domokaya

Mandojo na Domokaya

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@bokabecca5473
@bokabecca5473 2 жыл бұрын
YAPASWA KUJUA: Wasanii wengi wa AWALI ni wahanga na waathirika wa kazi zao za muziki wakati walipotoka kimuziki, baadhi ya project walizotoa awali zilikuwa kubwa kuwazidi wao hivyo ni waathirika wa uwezo wao wenyewe. Kuna albamu nyingi za zamani kama zingetoka katika siku za hivi karibuni basi zingefanya mauzo ya kusangaza sana kwenye utiririshaji wa DIGITALI. (Uwezo)ý
@yasinmkuta1616
@yasinmkuta1616 2 жыл бұрын
For sure bro....
@chachajohn6841
@chachajohn6841 5 ай бұрын
R.I.P Mandojo hakika utaishi kwenye mioyo ya mashabiki zako
@expert5898
@expert5898 5 ай бұрын
Imeumiza watanzania wengi sana! Imekuwa ghafla saana
@okelotv8316
@okelotv8316 2 жыл бұрын
Namuona Dada jide naombeni muirudie wanok nok wakupakazia
@vinboymtusafi8976
@vinboymtusafi8976 2 жыл бұрын
Ngoma yangu pendwa all the time Toeni na lyrics video pia
@yassinuddi
@yassinuddi 2 жыл бұрын
Kuna umuhimu wakurejesha aina hii ya mziki, back in time watu walikuwa wanandika na still unaburudika. Things are making sense you still enjoy.
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 2 жыл бұрын
Nomaaaaaa" watoto wadogo:- safiiiii Tid,Dada Jide& Dojo, kaya
@khamisiabeidngonde5515
@khamisiabeidngonde5515 2 жыл бұрын
Hatari. Legendary kabisa💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
Sh*eeet...Saut ya jide imenigusa mbaya sana banaa🔥🔥🔥🙌🏾😭
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 2 жыл бұрын
Nomaa
@geralddisbord8191
@geralddisbord8191 2 жыл бұрын
Jide is such a pearl bro
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 жыл бұрын
@@geralddisbord8191 absolutely
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 5 ай бұрын
Rest in peace my brother 😢😢😢
@davidmangwea5173
@davidmangwea5173 2 жыл бұрын
daah mmetisha sana, big up jide
@homan_nkwama
@homan_nkwama 2 жыл бұрын
Kizazi kilichonipa inspirational ya music
@mcharomshana2167
@mcharomshana2167 2 жыл бұрын
Nyimbo inagusa sana moyoni
@saidyussuf-my8ew
@saidyussuf-my8ew 5 ай бұрын
Wakali na dada jide
@franklawrence5452
@franklawrence5452 2 жыл бұрын
sio dhambi kutoa tena hizi, tutazipokea
@apolnaryjohn92
@apolnaryjohn92 4 ай бұрын
Dojo man daahh😢 bonge ya colabo accostic rip
@murugaisaya6681
@murugaisaya6681 5 ай бұрын
One love old xul RIP MANDOJO
@fdizzo
@fdizzo 2 жыл бұрын
My play list all the time🙌
@adamalibhai4921
@adamalibhai4921 2 жыл бұрын
🔥🔥 too haarrrddd mzee wa kazi mkamanda vaku
@Burner_Acc
@Burner_Acc 2 жыл бұрын
Still my favorite to date. Pigeni show na Jide December lazima nitokee.
@bongotrapaholix5746
@bongotrapaholix5746 2 жыл бұрын
Greatest of all time 🙌
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 2 жыл бұрын
Itoleeni video tena hii ngoma. Much love guys...
@friendslifestyle3497
@friendslifestyle3497 2 жыл бұрын
We need this song
@rostermwakimata81
@rostermwakimata81 2 жыл бұрын
Mabrother mnajua sana
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
T.I.D anakelele mbaka domo hajamalizia verse
@barberianpark964
@barberianpark964 2 жыл бұрын
Nasubiri kichupa wanangu
@richardshumbusho5077
@richardshumbusho5077 2 жыл бұрын
Refix hii ngoma wazee
@akbarmpemba6990
@akbarmpemba6990 2 жыл бұрын
hawajamaa ela jamani.awatusua sasa wakati wao huu tena.hatar nawaona mbariiiii walee wanaenda kuchukuwa grame
@sekakigala3613
@sekakigala3613 2 жыл бұрын
TID hawez lewa iyo wine labda mumchanganyie na Cooker
@gventanzania9548
@gventanzania9548 2 жыл бұрын
Wow! Wow! Wow!
@yasinmkuta1616
@yasinmkuta1616 2 жыл бұрын
Feel the good music
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
HahahaHahaha 👍malegend motooo
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 2 жыл бұрын
Great job 🙌🙌
@Ancy_Conscious_Tz
@Ancy_Conscious_Tz 5 ай бұрын
Rest In Peace #King Dojo😢
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 7 ай бұрын
GOOD MUSIC A LIVE❤❤
@shijaenock7638
@shijaenock7638 2 жыл бұрын
Niwashauri ili muwe package iliyoful mshike kila mahara wekeni na lyrics youtube kuna nyimbo zngne tunapenda tuzjue lakn mnazirap kwa mtu wa kuziiga maneno
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
Hyo dingi anaongelewa fadha alielewa madaraka akafukuzwa kaz akawa mlevi akaanza mambo ya ajabu kubaka mabek 3 akaletwa m2 mzima akamtia mimba vikao vikaanza mzee akawa haonekan mixer maden ya mikopo akakimbia familia ikabidi Domo aanze kukaba walev na kuuza kaptula.zake apeleke mahitaj nyumban na ukizingatia hajasoma akaanza kuvuta na bangi ila kipaj cha mziki kikamfanya kuingia studio na kupiga ngoma kali pia anamshukuru mika na masta jei ngoma yao ipo hewan mambo yake yapo vzr ila bado hajamwona baba ake ndo anasema eb tujurishw kama uoo hai duniani kama umetutoka mungu akulaze pepon ila inahitaj muda akili na utulivu mkubwa umwelewe verse yake
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 5 ай бұрын
Halafu jide kampani yako ni wanaumeee kwa sanaaah
@mamboyetu7737
@mamboyetu7737 5 ай бұрын
Wanaume sio wanafki always😢
@vaneddie418
@vaneddie418 5 ай бұрын
Rest easy Dojo
@massoudmwinyi6299
@massoudmwinyi6299 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alvezog_3836
@alvezog_3836 2 жыл бұрын
Respect brothe's
@DainaNgonda
@DainaNgonda 5 ай бұрын
😢
@salehsimba5306
@salehsimba5306 Жыл бұрын
Back vocal ya Dada angu Jidee ni hatari Sana.
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Hivi alivyosema tukimaliza kula sufuria unazitia msumali alikuwa anamaanisha nini?
@mandojonadomokaya
@mandojonadomokaya Жыл бұрын
Tukimmalizia msosi sufuria anazitia msumari yaani sababu hajakuta chakula hasira yake anatoboa tuone kesho mtapikia nini !😀
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
@@mandojonadomokaya hahahahahahaha!!! Kumbe huwa nilikuwa siusikii vzr huo mstari... ila mnajua kabisa dingi kachizi halafu mnamaliza msosi wote!! Daaa! Asante sana mwamba....
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 5 ай бұрын
​@@expert5898😂😂😂😂😂😂😂 Dah
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
​@@mandojonadomokaya mlijua mnamkomoa kuleta house girl mtu mzima akamtia mimba bwana 😂😂😂😂😂😂😂
@paulebby1877
@paulebby1877 2 жыл бұрын
Dingiuuuu
@augustinealex4178
@augustinealex4178 2 жыл бұрын
Siichok kuichek nairudia kila nikiiona yani
@kelvinfongv899
@kelvinfongv899 2 жыл бұрын
Sioni guitar chords wazee
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Suleiman naye anamchukulia tu father mkatili, eti wakati wa kudozi anakutazama sehemu za siri! Duuu hayo mafumbo!
@braggadachu1723
@braggadachu1723 5 ай бұрын
Alimaanisha nini😢
@expert5898
@expert5898 5 ай бұрын
@@braggadachu1723 yaani hilo fumbo sijalifahamu hadi leo! Ntamuuliza Domokaya
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 ай бұрын
Kaptula.nshauza sana kumsevu mama mzazi 😢😢😢😢
@mwanaidforomen9291
@mwanaidforomen9291 2 жыл бұрын
Noma
@diwanidugumbi3404
@diwanidugumbi3404 2 жыл бұрын
Wanangu sanaa mmenikumbusha mbali sanaaa
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
MANDOJO HUYU HAPA MAHOJIANO YA MWISHO NILIVYOKUTANA NA MANDOJO, 2021 ,,ES SALAAMMZK INFO
18:52
Lady JayDee Ft  Mr Blue - Wangu (Official Video)
4:57
LadyJaydee
Рет қаралды 806 М.
Madee - Kazi Yake Mola {Official Music Video}
4:59
Madee Seneda
Рет қаралды 160 М.
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Mandojo na Domokaya
Рет қаралды 582 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.