Naisikiliza hii Ngoma 2025....kama unaisikiliza like hap
@issayamakalius57082 күн бұрын
Still watching in 2025
@IsombaJohn-y8e2 күн бұрын
2025 bado ngoma ni kali sana💥
@honestybeda27045 күн бұрын
Happy new yr 2025
@KhamisaRamadhan-c6c11 күн бұрын
Nakumbuka mbali sana natamani kulia ila najikaza nikikumbuka hii nyimbo na watu wengi wametangulia mbele za haki tulikuwa nao tunasikiliza hii nyimbo
@justinkiswa465211 күн бұрын
almost 2025 still here
@hemedharouna401311 күн бұрын
Utoto wangu ulikuwa murua SANA nakumbuka mbali sana
@khairbinjumaa554514 күн бұрын
Hizi ngoma zilikuwa na akili nyingi sana. Mazee hazichuji. Nyimbo nyingi siku hizi zafanana. Wanaigana kinoma halafu wanachuja haraka
@KwisaBoytz20 күн бұрын
Mziki mzurii
@MarthaNyanda21 күн бұрын
Entry beat 🔥🔥🔥🔥
@eliasmshiu260021 күн бұрын
December 2024 🎉
@nurdinshekivuli46822 күн бұрын
Unaposikia PFunk, sikiliza tu beat hunahaja ya kusikiliza mziki wenyewe, maana lazima beat ibebe wimbo wenyewe
@shabanikhamisi418324 күн бұрын
walaaniwe mpk akhella wote walio pelekea dojo kufariki😭😭😭
@EvanceMaseta-i2o25 күн бұрын
Kioo cha jamii urithi wa kizazi kijacho sijui hua wanaelewa kabla kututungia nyimbo zenye kusifia maumbile na ufuska wa ngono hawa mabroo wasasa htr saana wanaharibu saana kizazi chetu kwanza kwann mziki kabla ya kuruhusiwa kurushwa usikaguliwe kwanza ndo upewe vibali alafu kesi ya upotoshaji jamii na maadili walau iwe na uzito kama kesi ya sembe tu😂😂😂
Wanafki watu wa kupakazia Wameanza tena unafiki (Wameanza tena) Ooh Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia Wanok nok wazee wa kusingizia Madem wa watu washkaji wanawarukia Kumbe ni waongo Wao wenyewe ndio wanaowatokea Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Ulimwengu huu una mambo eti nawe unaijua dini Huishi katamba maskani kwa mi sikosi msikitini aah Ngoja wakati wa kali mambo poa Nikipitia mkoso kodoa pita sogoa mate kupalie kohoa Lugha chafu mbwa chipe na hili jingine halijakwisha Katika wa aibu mshipa Haufai hata kwa service Umemcheki demu wako leo kesho amewahi kufika Anaifahamu ratiba msela huwa anenda saa tisa Anatia timu saa sita peke angu ndani ya pickup Usifate tetesi zake mnoko atakuumiza kichwa Sifa akizidisha Domokaya hakufai kabisa Utakunja ndita sevu mi ni furaha ya mfa haki Juzi guse mtungi na tone la mvuke wa bati unoko sitaki katia vati Wakina mama watu wazima Wenye kuchamba wima wamezaliwa wanasema Si safi sa kusema tunaigiza nchi za kiri Nyie makaka poa huyu mjamaa inamhusu Nani ii Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia Wanok nok wazee wa kusingizia Madem wa watu washkaji wanawarukia Kumbe ni waongo Wao wenyewe ndio wanaowatokea Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Wamezoea kupakazia kurukia Ya kwao yanawashinda Ya watu wayavalia njuga Hao wanafki chakubimbi Ya kwao mengi twayafahamu mmh Tumenyamaza tu Kuwaheshimu kwani tumeamua kuwasitiri ooh Hadithi hadithi hadithi njoo Uwongo njoo utamu kolea Si ndo vijamaa flani vinok nok Watu tukichunguza umbea non stop Yani ninarap pop sipendi unok Wasio na madem yani za kwao soap Hawana sera hawana hela hawa masela Hawana sera hawana hela hawa masela Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia Wanok nok wazee wa kusingizia Madem wa watu washkaji wanawarukia Kumbe ni waongo Wao wenyewe ndio wanaowatokea Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Ni usawa wa ukweli na uwazi Ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu Mwambie ukweli sio kumpakazia Tumewastukia mpenzi tumewastukia njoo tudance Achana nao wanok kusema wataharibu penzi Puuza miluzi ya shuga dady ndani ya benz Njoo tudance, njoo tudance Tumewastukia wanok tumewastukia Tumewastukia wanok tumewastukia Tumewastukia wanok tumewastukia aah Tumewastukia wanok tumewastukia Tumewastukia wanok tumewastukia aah Tumewastukia wanok tumewastukia Tumewastukia wanok tumewastukia aah Tumewastukia wanok tumewastukia Tumewastukia wanok tumewastukia aah Tumewastukia wanok tumewastukia aah
@LindaShirima-p2b27 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@miltonmachage2462Ай бұрын
Rip
@LaurentKaozyaАй бұрын
Tuliorudi November 2024 tujuane
@kingpin469Ай бұрын
I love this.... 2024✅
@ahmedmwatawala7967Ай бұрын
Bonge la vocal, Jamaa wanajua sana Rest in Peace Mandojo
@MussaLonoiАй бұрын
😢😢
@Jefa_AdiliАй бұрын
Daah kuna miaka flani kuna dem nilimuacha bila sababu za msingi, basi ilikuwa naposikia huu wimbo nahisi hatia nikama alikuwa anasema nami kupitia huu wimbo jinsi nilivyomuumiza kwa kumsaliti!
@denissimeo1924Ай бұрын
Sjawai jua song inaitwaje hiii 2024 nabahatisha kuipa aseee
@WaterTreatmentChemicalProcessEАй бұрын
Much Love from kenya 🇰🇪. Great masterpiece. Rest in paradise 😢
@BenBompoАй бұрын
First ngoma kali sana, one of the best old school bongo hits.. Your imagination is sharp bro, fine work Director.
@shadrackwambo9079Ай бұрын
Tbt😢😢
@winifridagama8990Ай бұрын
It feels bad he had to die like that 😢 We still love u Dojo❤ RIP
@LidyaChristopherАй бұрын
Mkn
@Gody3602 ай бұрын
Pamoja 2024
@bornitusmwemez21792 ай бұрын
Tupo live 2024
@victorjames37302 ай бұрын
R. I. P 😢
@victorjames37302 ай бұрын
Beat ya hii Ngoma ni Kali sana
@mfacetz27642 ай бұрын
Kitu ambacho ni ngumu kuamini kama mamndojo katutoka ni Issue kuamini
@SupremeCryptos2 ай бұрын
kifo cha mwamba kinasikitisha sana asee
@MghengerMghenger-pb8zx2 ай бұрын
R.I.p
@MasukaWilson-j3r2 ай бұрын
Nyimbo kali sana,R.i.p
@AchieMwilafi-po4iq2 ай бұрын
Ulikuwa kidato cha ngapi? Kipindi hicho?
@CoachHafidh2 ай бұрын
This song's INTRO is probably one of the BEST intros i've ever heard. 💣 RESPECT Sir nature🙌🏽 R.I.P Mandojo 💔😥